🔴# LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA HAJJ SEHEMU YA 6 - JAN 23/ 2024

  Рет қаралды 11,281

EFM TANZANIA

EFM TANZANIA

Күн бұрын

🔴# LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA HAJJ SEHEMU YA 6 - JAN 23/ 2024
Muziki Unaongea
#transformer A#efmtanzania #highlights #live
-
@efmtanzania
Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9 Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
efmtanzania
TWITTER:
efmtanzania
FACEBOOK:
efmtanzania

Пікірлер: 52
@user-us5rq2qu5j
@user-us5rq2qu5j 7 ай бұрын
Dah dada Vero hyu dada ana roho mbya sana hanstahili kuishi.
@priscarjohn
@priscarjohn 7 ай бұрын
Dah Mungu naomba wasaidie watt wote wanaopitia haya
@abdulsalim1069
@abdulsalim1069 7 ай бұрын
Mmmh aisee!!!😳😳
@estermgalla4586
@estermgalla4586 7 ай бұрын
hiii story inafanana kabisa na ya ex wangu jmn😢😢😢.... yan alifanyiwa visa sana na mama ake wa kambo yan hapa naona n yeye kabisa sema sasa yeye mama ake alikua anachoma mpk nguo za shule anaficha nguo za shule lkn Mungu alimpigania mpk sasa ni mtu mwenye maisha yake na always namuombea afanikiwe uko aliko
@user-jo5ig8ww1b
@user-jo5ig8ww1b 7 ай бұрын
😢😢😢😢😢Duuh
@joycemetili3876
@joycemetili3876 Ай бұрын
Hicho chakula lazima kina kitu..sio bure..kama sio sumu basi uchawi
@estarelias6813
@estarelias6813 7 ай бұрын
Nakupenda dada vero esta elia
@khorima
@khorima 7 ай бұрын
Ila Haji ana bahati sana ile siku mama mdogo alikuwa anemwekea sumu tena sumu kali sana na angekufa bila kelele Ana bahati sana Kudhibitisha hilo, ndugu wa baba aliposikia hizo habari haraka sana alimwamnia asiende kukaa tena kule japo ndio kwao maana kengele ya hatari ilishalia angemuua
@user-ly2mj6od3v
@user-ly2mj6od3v 7 ай бұрын
Da vero ,tunaomba usiwe unatuwekea na matangazo bana fanya kama mwanzo
@abdulsalim1069
@abdulsalim1069 7 ай бұрын
Alafu Vero Kwa nin cku hizi huweki mfumo wa episode?
@user-oh9bh9ko8j
@user-oh9bh9ko8j 7 ай бұрын
Kweli kabisa then aliama kabsaa kuli kwa cmulizi sai kabase live sanaa😢😢..kule ni bora ata ukipitwa wiki zima waeza ipata tuu
@abdulsalim1069
@abdulsalim1069 7 ай бұрын
@@user-oh9bh9ko8j ule mfumo mzur xan hauna mambo mengi
@abdulsalim1069
@abdulsalim1069 7 ай бұрын
Lkn ametuleta huku matangazo kibao mara oooh afcon mara oooh mkopo wa sasa tunataka cm
@user-oh9bh9ko8j
@user-oh9bh9ko8j 7 ай бұрын
@@abdulsalim1069 yni mboka inaboo...dakika za matangazi nyingi kushinda cmulizi
@user-ed6wu4hz2p
@user-ed6wu4hz2p 7 ай бұрын
Naitwa kessy kimego Niko posta upande wa radio atuwapati vizuri
@agnesmbanga5429
@agnesmbanga5429 7 ай бұрын
Ninaumia sanaaa
@user-nk3yq3ht4z
@user-nk3yq3ht4z 7 ай бұрын
Huyo Mama mchawi
@agnesmbanga5429
@agnesmbanga5429 7 ай бұрын
@@user-nk3yq3ht4z Kabisa niliishi na mama design hiyo Yaani wa Baba wanakuaga kaa wehu hiyo michawi
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 7 ай бұрын
Nikweli mapenzi yanapawa ila kwa asieona mbali kiakili upende wangu haiwezekani mtoto wangu nimfukuze kwao wakae mafala tu baba kafeli uyo
@ireneaurelian907
@ireneaurelian907 7 ай бұрын
Kulogwa ndugu😢 uchawi upo huwez jua huyo baba haji anamuona haji km muuwaji au ana matatizo
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 7 ай бұрын
@@ireneaurelian907 nikweli aisee nimtihani labdo ndugu ndowamtembe lee kwa watam wanaume ndomana tunakufa mapema
@anoldsakaya
@anoldsakaya 7 ай бұрын
Duuuh 😢😢😢
@janethkomba4485
@janethkomba4485 7 ай бұрын
Mh🙆 baba kashalishwa vyakulishwa😢😢😢😢😢
@lazarozebedayo7477
@lazarozebedayo7477 7 ай бұрын
Dada Veronika kwenye ledio Amna saut eti mm Lazaro mdau wako
@elizabethmwakapesa9909
@elizabethmwakapesa9909 7 ай бұрын
Husikikii kwenye radio
@linahmeena
@linahmeena 7 ай бұрын
Wanawake wanao nyima chakula si mama wakambo tu mimi mama yangu mkubwa alinitesa sana zaid ya sna kamwe siwez sahau
@Fatima1234-wl1nu
@Fatima1234-wl1nu 7 ай бұрын
pole kipenzi
@MsAggie5
@MsAggie5 7 ай бұрын
Mie wifi yangu baada ya nyumba yetu kuungua, yaani anapika anakula na watoto wake anaosha vyombo na hamna chakula cha usiku. Wakati huohuo nyumba ya baba etu! Mimi sikuwa Kama Haji.
@monicagerald6676
@monicagerald6676 7 ай бұрын
watoto wamekariri tu, kuna ndugu anaweza kukutesa mpaka ukakoma.
@marthakitinusa9696
@marthakitinusa9696 7 ай бұрын
Daha
@khorima
@khorima 7 ай бұрын
Huyu baba kweli ni Bwege Vipi kuhusu ile ndoto aliyosema kwamba ameota akiwa safarini?
@lightnesstewart1801
@lightnesstewart1801 7 ай бұрын
Nilicho jifunza kwa hizi story, adui yako ni adui yako tu, Ikitokea kaomba msamaha, Msamehe ila awe mbali na wewe
@chichigrilltz7707
@chichigrilltz7707 7 ай бұрын
Umesema Vyema kabisa… 👏
@Doryatilio
@Doryatilio 7 ай бұрын
Kabisaa wanasema usimuamini adui kwa wema wa siku moja.
@SatwantHoogan-yu6oh
@SatwantHoogan-yu6oh 7 ай бұрын
Mama wa kambo uyo,😢Ameshamroga Haji!😢dah! Hatari sanaaa...na babake Haji nae amesharongwa,na uyo mkewe mshenzi! 😠 Si Bure yaani!
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 7 ай бұрын
Jamani dada vero punguzeni matangazo mweeee
@simonmaige7785
@simonmaige7785 7 ай бұрын
Akipunguza matangazo mshahara ataupata vipi Sasa?
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 7 ай бұрын
@@simonmaige7785 kwani mshahara wake unategemea matangazo?
@user-yy2tt9hl7k
@user-yy2tt9hl7k 7 ай бұрын
Mhmm dada vero una sauti nzuri sna
@saidipinda7880
@saidipinda7880 7 ай бұрын
Yan yule ndugu alijua kbs huyo mwanamke alijipanga keshamroga huyo baba akili co yake maskin karogwa atakuja kustuka baadae dawa zikiisha
@MsAggie5
@MsAggie5 7 ай бұрын
Ma mdogo alisha mroga huyo baba, ali plan iwe hivyo, Haji aondoke abaki yeye na watoto wake ajichane vzr.
@user-rw8gc1is6m
@user-rw8gc1is6m 7 ай бұрын
Uo mrogo kwa baba haji ni balaa
@khorima
@khorima 7 ай бұрын
Ile kwensa shule na chakula ilikuwa zuga tu kama alivyosema yule mwanafunzi mwenzie kwamba baba alikuwa karibuni kuja na nadhani alishampigia simu huyo muuaji
@graciousmwacha
@graciousmwacha 7 ай бұрын
Kweli mrogo ulikuwa umepikwa ukapikika
@MamaHairath-hx2js
@MamaHairath-hx2js 7 ай бұрын
Maisha ya kunyimwa chakula nimeyaishi sana baada tu ya kufa mamaangu nikaishi kwa shangazi
@Fatima1234-wl1nu
@Fatima1234-wl1nu 7 ай бұрын
duuh hatari pole sana kipenzi
@khorima
@khorima 7 ай бұрын
Pole sana Hata mimi nimepitia kwa mama wadogo, mbaya sana Ila funzo ni kwamba mwanao usimpeleke kwa watu mlee mwenyewe unless otherwise
@chemilembestanslaus4797
@chemilembestanslaus4797 6 ай бұрын
Duuuu!ulimwengu huu bhana
@jumakingambe4323
@jumakingambe4323 7 ай бұрын
MWENYE NO YA KUWASILISHA MIKASA ANITUMIE TAFADHALI
@Shareandheal
@Shareandheal 7 ай бұрын
Karibu 0716465944
@chemilembestanslaus4797
@chemilembestanslaus4797 6 ай бұрын
@veronica
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 7 ай бұрын
Aisee haji kwakumsibitishia baba yake angesema kama nasema uongo waitwe mashehe waapishwe kwene musahafu ndoangeamini hiyo ndodawa ya mnafiki
SIKU YA HARUSI YANGU FLORA VOLUME 01
30:05
SHARE & HEAL
Рет қаралды 20 М.
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 33 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 33 МЛН
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 13 МЛН
ARRIVAL KWA KINA BEBI - Oga Obinna & Dem wa Facebook
8:14
The Weekly Show KE
Рет қаралды 76 М.
MO DEWJ  UBAYA UBWELA
10:50
KARIAKOO CONGO TV
Рет қаралды 571
RIPOTI YA LEO  HAMISA VOLUME 01
29:41
SHARE & HEAL
Рет қаралды 10 М.
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 33 МЛН