Ubarikiwe sana huu ndi ukwèli halisi sio wale wanaotupoteza wamejivika ngozi ya kondoo kumbe ni chui wanabaki kujitarisha wao hali ya kuwa waumini wao ni maskini mpaka bas
@Asana-wi7yjАй бұрын
Abarikiwe na nini ndugu labda asipotoshe watu
@PatrickKindole24 күн бұрын
Hayo yemepitwa na wakati yesu ndiye kafara wetu
@GetfordMasehe2 ай бұрын
Umetisha safi tunataka watu kama nyinyi siyo kufichaficha vitu
@tiberipolesanakikoti47984 ай бұрын
Amina,
@victoriamtangi3287Ай бұрын
Is very true jpm
@user-jo4fd4jc8u4 ай бұрын
Amina, amina, amina
@barakakevela245Ай бұрын
NAKUELEWA SANA IPM HAYO MANENO YANATUFUNDISHA SANA UBARIKIWE
@SarahPeter-fg3cmАй бұрын
Nimekubali sana we noma uwoo niukweli mtupu
@VenerandaKundi-ph4hgАй бұрын
sawA hao wote walichinja lakini yote hayo yamemalizwa na kafara ya damu ya yesu kristo
@victoriamtangi3287Ай бұрын
Mwenzangu eeeeeee ewweeeeee
@AlembekamiteAlembe3 ай бұрын
Bro ipm vifaa hivyo sisi tunaoitaji kufanyikiwa na hatuna kitu tutaweza kuvikamilisha kweli
@angelsulle7177Ай бұрын
Kazi yako ni kuhubiri uchawi???? Hubiri Injiliiiii
@muchind224 ай бұрын
Nakuelwa ipm nakufuatilia kutoka Zambia
@user-ey9ic9kk8hАй бұрын
nimekuelewa ipm
@victoriamtangi3287Ай бұрын
Vp kuhusu damu ya YESU?????
@hajiramadhanihaji355Ай бұрын
Nani wanafanya kafara ,mbona hujiamini Babu ? We juzijuzi tu uliuza mafuta ya dhahabu ? Leo unaleta habari za Kodi?
@Abbyjunior-pv5qo2 ай бұрын
Kanisa lako lip wP ipm😢
@SalhaUchebe4 ай бұрын
Tateeee ipm
@Abbyjunior-pv5qo2 ай бұрын
Nimeamua nifat mpk uk kutok Tikit
@user-gh1ds6tm8p3 ай бұрын
Maneno magumu ila nimejifunza kitu
@PhillipShokiАй бұрын
Hapo unapajuaje wewe ulisha fika huko
@gloriaaugustino8031Ай бұрын
Mnnnnn
@msemakweli2432 ай бұрын
Wewe unadanganya watu wasio jua watakuamini lkn kaa ukijua kwamba hili ufanikiwe ni lazima uchague kati ya mungu na shetani yupi umamtumikia lkn tofauti na hapo unadanganya watu wapumbavu watakuelewa
@Asana-wi7yjАй бұрын
Mbona unapotosha watu wewe prophet wa wapi wewe prophet yupi kwenye neno la Mungu anazungumza ushetani kama huu unaozungumza wewe