Sijawahi kusikia hili kwa yeyote, natamani ningejua haya mapema. Ubarikiwe sana
@gloriaaugustino8031Ай бұрын
Huyu alikuwa shehe akaokoa
@annahmutune486614 күн бұрын
Amina🙏🙏🙏😮😮😮nimejifunza kitu hapa💪💪
@JuliusKilonzo-vt7qt2 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@hajimnzava19724 ай бұрын
Mimi nina uhakika vyote vinavyo fanyika upande wapili wameiga kutoka kwaMingu,wambingu nanchi,upande wapili wanaelewa sana habari yanyota,wana wamungu ukiwaambia habari yanyota mtagombana,ojamani wana wagiza niwananja kuloliko wana wanuru
@RachelMwaipopo2 ай бұрын
Kafara ilitolewa msalabani mnawapiga sadaka watoto wa Mungu nyie mnatajirika
@user-nz6xy1vs5i8 күн бұрын
Kwani sadaka ni ndugu yangú
@aderanderwa7623Ай бұрын
He NYAKATI ZA MWISHO YESU KRISTO YUKO MALANGONI TUKAE TAYARI KUMLAKI ITAKUSAIDIA NINI UKAPATA ULIMWENGU WOTE UKAUKOSA UZIMA WA MILELE BORA UINGIE MBINGUNI MASKINI KAMA RAZALO UKAKAA KIFUANI KWA IBRAHIM KULIKO KUUKOSA UZIMA WA MILELE MWENYE SIKIO NA ASIKIE SHALOOM SHALOOM
@hafsalucky108813 күн бұрын
Amen Amen Mtumishi
@BarakaOchuchaBarakaochuchaАй бұрын
Maneno ya kweli hayo bora kusema ukweli kuliko kuficha ficha
@user-ti9fd4qm2c2 ай бұрын
mtumishi ukipigiwa hupokei
@BolasieNgongo-rh9wm3 ай бұрын
AMEN AMEN AMEN kweli
@JuliusKilonzo-vt7qt2 ай бұрын
Amen
@user-yo7wn7ih1j2 ай бұрын
Kweli baba
@heritier51193 ай бұрын
Upande mmoja una madhara mwingine utajiri wake hauna madhara
@user-mf7ro4nu9j4 ай бұрын
Ukweli mtupu
@heritier51193 ай бұрын
Pana watu hawaamini katila Mungu Wala shetani na wamefanikiwa bila kafara unasemaje
@festinamwakipale39192 ай бұрын
Hao waliofanikiwa bila Mungu bila shetan wamefanikishwa na Mungu imeandikwa.yy.ndie.anaenyeshea mvua wema na waovu
@IddyMustapha-tj4du2 ай бұрын
Mimi naamin vitu vya ualisia lakin vitu vya Iman ni kubet yaan Kwa mfano kipato changu Kwa mwez ni lak 3 niumize kichwa ni Jin's gan ya kukiongeza kipato changu Kwa vitendo
@MonaMbalike4 ай бұрын
We mchungaji au which doct????umekuwa kweli
@tinnahagustinolyelu42473 ай бұрын
Sasa Si shetani aliongeza maarifa yeye anataka kafara ya mwanadamu sio mbuzi mbuzi Ni mwanzo tu
@JuliusKilonzo-vt7qt2 ай бұрын
Ukweli
@yussufmohamed51202 ай бұрын
Umeongea. Ukweli
@JuliusKilonzo-vt7qt2 ай бұрын
Number
@johnpeterbarongo64452 ай бұрын
Ww Prophert wa upande gani!
@hilarylaurian7896Ай бұрын
Ila maelezo yako mengi yame-base kwenye kafara ya giza kuliko nuru. Kwa nini uoande wa Mungu(nuru) unataka utafutwe kwa simu wakati kwenye upande wa giza umeongea vitu vingi?
@anna1980597412 күн бұрын
HIZI NI ZAMA ZA MWISHO WATU WATATUMIA MAPOTOFU KUWAPOTOSHA WATU
@sm.i341913 күн бұрын
Hao waganga wangekua wakweli waisilamu KIBAO wasingekuja Kwa Mkristu Mwamposa washapita huko ikashindikana😅😅😅😅😅
@user-mf7ro4nu9j4 ай бұрын
Hapo umesema ukweli mtupu ambao sio rahisi watumishi wengi husema.
@salomenachunga359016 күн бұрын
Hiyo dhabihu ni kafara ya mwili wako yaani ujiue mwenyewe
@victoriamtangi3287Ай бұрын
Umeniumiza ubongo 😂😂😂 wewe kweli kabisaa
@leahmgunda415427 күн бұрын
Mtu wako wa kale bado yuko hai.
@user-gm4qi3nn9nАй бұрын
😂😂umenistua akili
@nassibuduma716215 күн бұрын
Hivi wewe unaweza kuwa na majibu ya kila mshirika? Je kila anayetoa inatakiwa atajirike?!
@priscahbosire460814 күн бұрын
Kwaiyo unalinganisha uchawi na nguvu za Mungu, wewe si mchungaji Bali ni wakala tu
@user-nz6xy1vs5i8 күн бұрын
Mh hapa shida ni úelewa
@ananiadamian459728 күн бұрын
Wakristo hawatoi kafara Wana toa dhabihu
@user-nz6xy1vs5i8 күн бұрын
Kafara ni nini bro
@angelsulle7177Ай бұрын
We mchawi Mtakatifu haombwi baraka bali tunamwomba atuombee kwa vile yuko mbele ya uso wa Mungu. Sasa ww unataka tumwombe babu yako atuombee alitendewa miujiza gani??? Petro alitendewa mengi na yeye alitenda mengi.babu yako alikufa kishahidi????
@gloriaaugustino8031Ай бұрын
Utamuombaje binadamu aliyekufa ña wewe?
@zachariamakoba836824 күн бұрын
Vipi kuhusu Freemasons kaka maana daa hawa wasenge wanatesa watu xn,
@nancyg866413 күн бұрын
😂😂kutesaje sasa
@husseinchaka18213 ай бұрын
kweli unayoyasema walakini lazima tukuwe makini sana maana tunaeza teleza kukaenda pabaya .haya mambo ni makumbwa mno
@user-mi4sr4ql2n16 күн бұрын
Agent wa giza
@user-mi4sr4ql2n16 күн бұрын
Uko mtu wa giza
@priscahbosire460814 күн бұрын
Damu ya Yesu iliondoa hizo kafara zako, sema tu unataka hela utajirike, una lolote
@IddyMustapha-tj4du2 ай бұрын
Mimi naamin vitu vya ualisia lakin vitu vya Iman ni kubet yaan Kwa mfano kipato changu Kwa mwez ni lak 3 niumize kichwa ni Jin's gan ya kukiongeza kipato changu Kwa vitendo