Be blessed Ernestus. Umeutendea haki wimbo..umetunga wimbo mzuri sana
@georgemburu26472 жыл бұрын
Hongera Sana mtunzi Ogeda
@paskalinaromanus90172 жыл бұрын
Hongereni a good start
@mutongoreprostudios2 жыл бұрын
Thankss
@despinamdende96512 жыл бұрын
Ekaristi ni Yesu Mzima.Wimbo mzuri sana hongera Pro. Mwanzo mzuri sana.
@mutongoreprostudios2 жыл бұрын
Shukrani saana
@georgebingi15362 жыл бұрын
Nabarikiwa mno na huu wimbo , natamani nikakomunike ila au basi acha tu 🤣
@mutongoreprostudios2 жыл бұрын
Hahahahahahhaha. Umetisha
@alexemmanuellutananulwa49312 жыл бұрын
Natamani niwe na sali kila unapokua kwenye Mashine (Piano); supper Maestro #G💯💯💯
@gilbertamani89352 жыл бұрын
E.Ogeda umekua mtunzi bora sana,hakika tungo zako zinaukonga moyo wangu na wengine wengi na kutusogeza kwenye tafakari na uwepo wa Mungu. naupenda zaidi wimbo huu na ule uitwao Bwana wa majeshi. wewe ni zawadi kwetu na kanisa,barikiwa sana!!
@NellyWanjiru-ey8kw11 күн бұрын
So much fun with the bible
@redemptorosano68392 ай бұрын
I love this composer you gave your all to Christ in the Eucharist. God bless you always 🙏🏻
@angelomfilinge86623 ай бұрын
asante sana. Mungu akubariki mtunzi wa wimbo huu. Ekaristi ndio Yesu Mzima (Yohana 6: 51-59)
@josephwairagu2068 Жыл бұрын
🎉Waooo may you be blessed .work done by men and women. Of God . congratulations
@mutongoreprostudios Жыл бұрын
Yes, thank you
@jescaemmanuel86712 жыл бұрын
Hongereni sana,Mungu abariki kazi mliyoianza.
@mutongoreprostudios2 жыл бұрын
Tunashukuru saaana
@paulmwangi25895 ай бұрын
Wimbo bora kabisa. Naomba nota tafadhali.
@almachiusrweyongeza2703 ай бұрын
Kila nikienda kulala.....ndio wimbo unipao usingizi❤... Asante sana mtunzi na waimbaji. Nyimbo sabuni ya roho.
@marineusmutongore2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@mutongoreprostudios2 жыл бұрын
Shukrani sana Brother
@chris_oyier2 жыл бұрын
Huu wimbo umenibariki na umenigusa ajabu.
@mutongoreprostudios2 жыл бұрын
Ubarikiwe kupitia wimbo huu na hata siku zako zote Bwana Mungu akubariki sana
@floridajoseph97872 жыл бұрын
So nice. Ekaristi ni chakula bora. Ekaristi ni Mungu kweli.
@saviomlotwa10472 жыл бұрын
Salute woote ila alieimba soprano huko aliko ajipongeze kwa kujinunulia soda
@mutongoreprostudios2 жыл бұрын
Ameishakunywa za kutoshaaa anasuburi kulipiwa hahhaha
@kennedygichira74472 жыл бұрын
Well persecuted, I love the resolution part of it
@marysemufali70112 жыл бұрын
Kazi ya Pro Studios ni nzuri mno.Me proud,Mungu awabariki
@emilianapaskal73192 жыл бұрын
Hongereni Mary nyimbo nzurii mno,
@mutongoreprostudios2 жыл бұрын
Aminaa
@marysemufali70112 жыл бұрын
Asante sana sanaaa
@judygathoni3971 Жыл бұрын
So nice,,,Ekaristi ni yesu mzima hongera
@renaldakiria33672 жыл бұрын
Safi Sana, Hongera wimbo umetulia
@MagrethCostantine Жыл бұрын
Wimbo ni good
@thadealatinus43422 жыл бұрын
Uhondo, mweee! Nyimbo nzuri sana kaza Buti aisee. Nimeipenda sana
@heriethmdage90408 ай бұрын
Hongera sana Mwalimu Ogeda na Waimbaji mmeutendea haki wimbo jamani,mbarikiwe mno
@mutongoreprostudios8 ай бұрын
Asante sana na tunashukuru sana
@ineskishenyi91752 жыл бұрын
Am blessed
@blessedfamily57132 жыл бұрын
👏👏👏👏
@enriqueonsakia Жыл бұрын
Lovely song
@VedastoKibodya Жыл бұрын
Nimependa Sana kazi iko vzr
@flavialatinus21622 жыл бұрын
Utume wa uimbaji ni utume bora!Hongera sana kwa waimbaji na producer wa hii kazi kwa ujumla!!!!!!!kazi nzuri mno Mungu awabariki sana
@mutongoreprostudios2 жыл бұрын
Shukrani
@ernestndoika46082 жыл бұрын
Hongera producer na waimbaji, kazi safi
@mutongoreprostudios2 жыл бұрын
Asante saana mkuuu
@MEELACOS2 жыл бұрын
Hongereni sana kazi nzuri.......
@emma_mtapila7552 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@samwelotieno8972 Жыл бұрын
This has blessed my evening! Thank you E. Ogeda, the singers and Producer.
@mutongoreprostudios Жыл бұрын
Thanks so much
@andronicussemufali8642 жыл бұрын
What a good start! Keep it up. We can see you making it happen! Mungu awatangulie katika safari yenu
@mutongoreprostudios2 жыл бұрын
Thanks so much. May God belss you
@Kmdkimanga2 жыл бұрын
Audio nzuri sana ongera sana Producer....
@mutongoreprostudios2 жыл бұрын
Shukrani sana ubarikiwe sana
@fridolinusboniface35742 жыл бұрын
Hongera Kwa Audio Tamu sanaaa. Mungu abariki juhudi zenu
@mutongoreprostudios2 жыл бұрын
Shukrani sana mkuuu
@damianosemufali46172 жыл бұрын
Hongera sana, Br. Agripinus.
@mutongoreprostudios2 жыл бұрын
Shukrani sana
@nereusmutongore84662 жыл бұрын
Sounds superb
@lucasmlingi82182 жыл бұрын
Kazi nzuri sana tutakuja....
@mutongoreprostudios2 жыл бұрын
Karibu sana
@richardwabomba2 жыл бұрын
Wow kazi safi Sana
@mutongoreprostudios2 жыл бұрын
Shukrani sana
@ednessnyange9632 жыл бұрын
Hongera kwa kazi nzuri mungu anyooshe mikono yake akuzidishie haja ya moyo wako