Mtunzi wa huu wimbo ako sawa kweli. Sichoki ku usikiliza. Maneno yana nguvu ya ushindi ❤🎉🎉
@MUNIRAMODEST18 сағат бұрын
Asanteni kwa ujumbe mzuri pia baraka
@albiniakonaaysaragu71133 күн бұрын
Wimbo mzuri sana, asanteni kwaya na mtunzi
@auleriannjeri37259 күн бұрын
❤❤❤ from hea
@albiniakonaaysaragu71133 күн бұрын
Mungu awabariki sana. Hata mkifa leo, naamini mnakwenda mbinguni, kwa watu mliowasaidia kumshukuru Mungu na kuungama dhambi zao.
@mutongoreprostudios3 күн бұрын
@@albiniakonaaysaragu7113 shukrani sana ndugu yangu
@FelisterSarwatt9 күн бұрын
Owww amazing
@Chrisholyofficialmusic12 күн бұрын
Hongeratulations ,,wimbo mzuri sana
@mutuaaugustine51013 күн бұрын
Wimbo umenibariki katika hii wiki👏💯. Hongereni sana🔥
@mutongoreprostudios13 күн бұрын
@@mutuaaugustine510 shukrani sana
@Sylviaachieng-j2v13 күн бұрын
Congratulations you are always my best ❤
@marymuthoni426929 күн бұрын
Great message this man does it for his music is so solemn they touch my soul congratulations bro
@VeronicaMwangomo18 күн бұрын
Mbalikiwe sana
@christinamaiko24937 күн бұрын
❤wimbo mzuri mnooo unaurudia mpka umesema basi😂 hongereni sana
@despinae.mdendeАй бұрын
Mwambie Mungu Asante🙏🙏🙏🙏
@HappinessSamson-qg9vw29 күн бұрын
Asanteni Kwa wimbo mzuri huu🙏🙏
@moramwita89014 күн бұрын
Proudly to be Catholic Church God bless us,you make me happy we Iam sad I feel God still with me all the time.stay blessed
@rugalemacatherine12 күн бұрын
Hakikaa mko vizuri 🎉
@zureschris20 күн бұрын
Wimbo mzuri sana hongera sana
@vincentmunyao491127 күн бұрын
Asante kwa kila chema maishani mwetu
@annordmwapinga7399Ай бұрын
Hongereni sana
@Embakasisubcountychoir25 күн бұрын
A great piece ongera
@clarammole5639Ай бұрын
Hakika maneno yamesikika vyema
@RaymondGelard-m9fАй бұрын
Mbarikiwe sana
@antoniavicent2827Ай бұрын
Wimbo mzuri hongera sana kwake mtunzi na wote walioshiriki🎉🎉❤❤❤
@aidanangelo001Ай бұрын
Shukrani kwa tabibu wa kweli ❤
@RizikiPonsianoАй бұрын
No comments , cathoric melody , the tone uimbaji,the harmony of the voice,the message,all ,superb,nimeurudia mara 15
@mutongoreprostudiosАй бұрын
@@RizikiPonsiano kwakweli ubarikiwe saana. Mungu akulinde sana
@hildakhamsini821027 күн бұрын
Mary hongera sana kwa uinjilishaji wa uimbaji
@Arati3Ай бұрын
Wimbo mzuri sana 😊
@YasinthaMathias-zd8ifАй бұрын
Kazi nzuri Mwita na kundi lote mbarikiwe Sana kwa wimbo wenye ujumbe mzuri
@LokwangJacinta-c7t26 күн бұрын
Lovely❤❤❤❤❤
@Bether_MichaelАй бұрын
Happy new year team ❤️😘🙏🏿...Maestro Wangu 😊 the super composer😊❤️,,,Director 🔥🙌 pro studio ladies 😊😍❤️🙌
@mutongoreprostudiosАй бұрын
Thank you very much
@SirJames065Ай бұрын
Happy new year Wana pro studios..
@mutongoreprostudiosАй бұрын
Same to you
@ClotlidaFmayanjaАй бұрын
Wimbo mzuri sana hongera sana kwako mtunzi mwanangu Mwita na wana Pro studios kwa ujumla kazi nzuri sana mbarikiwe sana
@mutongoreprostudiosАй бұрын
@@ClotlidaFmayanja aminaaaaa
@edwardmakaura3496Ай бұрын
Wimbo bora sana
@Danielkashatila2024Ай бұрын
Wimbo mzuri sana
@tempochoirАй бұрын
Absolutely beautiful 🎉🎉🎉 hongereni sana
@lydiahshirotsi717127 күн бұрын
Kazi njema❤
@Josephkilango-b2gАй бұрын
Kazi nzuuri saaaana
@linetkarimi231411 күн бұрын
Thanks to the entire team for composing such encouraging song my Almighty God grace to compose more encouraging songs...am inspired 🙏
@mutongoreprostudios11 күн бұрын
Thanks so much
@vairethmhozaАй бұрын
Akhsanteni kwa wimbo Mzuri, Mbarikiwe ❤
@winnienduva6701Ай бұрын
Always blessed by your sweet melodies, kazi nzuri Isaac and your team
@EmmanuelIkeeАй бұрын
Nice one.....feeling blessed❤❤❤❤🙏🙏
@mutongoreprostudiosАй бұрын
Thanks for liking
@JosephBulegea-p8tАй бұрын
Mwita isack again 🔥 hongereni pia waimbaji
@mutongoreprostudiosАй бұрын
Asanteee
@chrisowino9928Ай бұрын
Purely sanctifying. What a way kick off the new year 2025.
@davidmwipopo2743Ай бұрын
Mungu awabariki
@happinessshilie401922 күн бұрын
KAZI nzuli ❤ sifa na utukufu kwake😊
@geoffreynyongesa1202Ай бұрын
I can't get enough of this beautiful song... Listening to it again and again!!! Blessings to you dear people 🙏
@mutongoreprostudiosАй бұрын
Thank u so much
@geoffreynyongesa1202Ай бұрын
Anytime 🥰
@norbertsunguАй бұрын
Mwambie Mungu Asante kwa wema wako 🎉🎉🔥🔥🙏
@ipyanakajembula7879Ай бұрын
Wimbo bora sana, Hongereni sana
@ipyanakajembula7879Ай бұрын
Happy New year 2025
@augustinondazi5416Ай бұрын
Asante kwa tafakari hii njema
@JosephNtajisheАй бұрын
Pro studio mnajua kunibariki🎉🎉
@jonasboniventura4031Ай бұрын
Nawapenda sana Mungu azidi kuwainua mmetulia sanaaa
@mutongoreprostudiosАй бұрын
Asante sana. Ubarikiwe pia
@evaalute2556Ай бұрын
Hongereni sana..🎉🎉🌹🌹🌹
@bujunebusanya3966Ай бұрын
Kazi nzuri, mbarikiwe
@remigiusernest27 күн бұрын
Asante kwa wimbo mzuri umenibariiki....naurudia Kila mala unanipa Faraja
@mutongoreprostudios27 күн бұрын
Shukrani na hongela sana
@conradkapama914019 күн бұрын
Mungu akubariki mtunzi kazi nzuri sana
@mutongoreprostudios19 күн бұрын
Shukrani sana Mr. Conrad
@magemwaipaja8650Ай бұрын
Duuh nyie watu mnajua sanaa aisee🎉🎉🎉🎉 nawaapenda
@mutongoreprostudiosАй бұрын
Asantee. Tunakupenda pia
@waromokelloАй бұрын
Wow another beautiful song from a great man @isackmwita. Thanks so much @mutongoreprostudios team. Happy 🎊
@mutongoreprostudiosАй бұрын
@@waromokello we wish u a very beautiful new year
@waromokelloАй бұрын
@mutongoreprostudios you too be blessed with a success
@beatusshayo2037Ай бұрын
Asante Mungu
@SalambaPeterАй бұрын
Ni kweli mwmbieni yeye aliyetayari kuwapokea kwake
@AnataliaNgalowokaАй бұрын
Nmetafakari Sana maisha yangu kupitia wimbo huu, kweli nna kila Sababu ya kumshukuru Mungu. Asante Sana kaka Mwita na Wana - pro studios. Nawapenda sana
@mutongoreprostudiosАй бұрын
Tunakushukuru saana. Ubarikiwe mmno
@WinifredaMzengo18 күн бұрын
Asanteni nyimbo imetubariki❤❤
@mutongoreprostudios18 күн бұрын
Amina saana
@abelmochama680Ай бұрын
Hii nayo imeweza sana ❤❤❤❤
@mutongoreprostudiosАй бұрын
Asanteeee
@johnmalibiche745419 күн бұрын
kaz n zuri, nota wa wimbo huu unapatikana?
@nancienancy7180Ай бұрын
Absolutely wonderful 🎉🎉my fav studio all through and kwa mtunzi wetu heko kwako❤❤pro studio ladies 👏 👏
Isack na team yako happy new year. I pray that this year God uses you more to compose hymns for his Glory. Na team yote Mungu aiwezeshe kuendelea kumwimbia❤❤❤❤.
@mutongoreprostudiosАй бұрын
Amina ubarikiwe
@vincentmunyao491126 күн бұрын
𝙺𝚊𝚣𝚒 𝚜𝚊𝚏𝚒
@st.peterscatholicparish-lo8696Ай бұрын
kazi mzuri Mwita. Natumahi Nota ya wimbo unapatikana tusadiane kueneza injili
@mutongoreprostudiosАй бұрын
@@st.peterscatholicparish-lo8696 karibu sana. Check in WhatsApp 0744558606
@thadealatinus4342Ай бұрын
Mungu Asante. Mungu awabariki❤❤❤
@mutongoreprostudiosАй бұрын
Asantee
@DenisYaghambeАй бұрын
Kazi nzuri sana , Mungu awaongeze zaidi
@mutongoreprostudiosАй бұрын
@@DenisYaghambe asante. Ubarikiwe sana
@rosenungu398025 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@SalvatoreMakaya13 күн бұрын
❤🎉
@fransisdindiri476Ай бұрын
Mmenikosha saaana
@mutongoreprostudiosАй бұрын
Karibu sana
@donmulati2547Ай бұрын
Wimbo mtamu sana wa kufungua mwaka. 🎉 Happy New Year Wana Pro..nawaombeeni fanaka mwaka huu..
@mutongoreprostudiosАй бұрын
@@donmulati2547 tunakushukuru sana. Mwenyezi Mungu akujaliee yote uyatamaniyo mwaka huu yawe kweli
@LadislausmzibaMhasaАй бұрын
Kwa hakika ninyi ni wakali katika uimbaji mungu awajalie afya njema na amani tele kwa mwaka huu 2025
@mutongoreprostudiosАй бұрын
@@LadislausmzibaMhasa asante sana na ubarikiwe saana
@euzebiawilliam7955Ай бұрын
Mungu awabariki sana ❤❤❤
@jescaemmanuel8671Ай бұрын
Waaaw!Kazi nzuri sana.
@laurentlugema593Ай бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🕊️
@martinmabala9760Ай бұрын
Tuwekeeni hizi nyimbo audiomack tafadhari
@mutongoreprostudiosАй бұрын
@@martinmabala9760 shukrani. Tutafanyia kazi
@mutongoreprostudiosАй бұрын
Nishaweka uangalie huko. Au nitumie number ya WhatsApp nikutumie link