Рет қаралды 35,986
Wapendwa elimu halisi inapatikana Geita Adventist. Tunafundisha elimu ya duniani na ya Mbinguni. Tunamwandaa kijana kupata elimu itakayomsaidia hapa duani,pia kuwa raia wa mbinguni. Sikiliza wimbo huu halafu tunakukaribisha. Tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano na wanaohamia kidato cha kwanza na tatu.