Umoja Wetu Nguvu Yetu | Ibada ya Jumapili | Jun 16, 2024 | Rev. Dr. Eliona Kimaro

  Рет қаралды 7,143

Rev. Dr. Eliona Kimaro

Rev. Dr. Eliona Kimaro

Күн бұрын

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA JUMAPILI (IBADA YA KWANZA)
16/ 06/ 2024
UJUMBE WA LEO;
SIKU YA KKKT UMOJA WETU NGUVU YETU
Nehemia 2 : 18 - 20
18 Nikawaeleza habari ya mkono wa Mungu wangu ulivyokuwa mwema juu yangu; pia na maneno ya mfalme aliyoniambia. Nao wakasema, Haya! Na tuondoke tukajenge. Basi wakaitia mikono yao nguvu kwa kazi hiyo njema.
19 Lakini waliposikia Sanbalati, Mhoroni, na Tobia, mtumishi wake, Mwamoni, na Geshemu, Mwarabu, walitucheka, wakatudharau, wakasema, Ni nini neno hili mnalofanya? Je! Mtaasi ninyi juu ya mfalme?
20 Ndipo nikawajibu, i053

Пікірлер: 20
@neemalaurent9836
@neemalaurent9836 3 ай бұрын
Much kimaro, wakati wote mungu akubariki sana,umeniimalisha sana kiroho, sadaka hii njema mungu aikumbuke sanaaaaa 🙏✍️✍️🙏
@rojasmulishid326
@rojasmulishid326 3 ай бұрын
Mchungaji barikiwa sana + miaka mingi ya kuishi Dunian
@JoshuaHilgath
@JoshuaHilgath 3 ай бұрын
Amina Amina 👏 👏 👏
@schoollife5813
@schoollife5813 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana kwa huduma yako njema.
@expeditosimmon3055
@expeditosimmon3055 3 ай бұрын
God bless you Rev Eliona Kimaro
@waijuwandu5652
@waijuwandu5652 3 ай бұрын
Amina na Amina
@patrickmuli4552
@patrickmuli4552 3 ай бұрын
Nabarikiwa saaana
@jeremiaisowe4443
@jeremiaisowe4443 Ай бұрын
Amen🙏🙏🙏
@EdinaChepkemboi
@EdinaChepkemboi 2 ай бұрын
Amen
@MsangoDiesel
@MsangoDiesel 3 ай бұрын
Mchungaji una vitu athimu Asante hata Mimi nafanikiwa kwa masomo yako ❤❤❤mchungaji kimaro.❤❤❤
@SaraMangena-s8x
@SaraMangena-s8x 3 ай бұрын
Mchungaji kimaro barikiwa sanw
@MercyMinja
@MercyMinja 3 ай бұрын
Amen mchungaji
@maombikonga
@maombikonga 3 ай бұрын
Amina
@doreentemba7833
@doreentemba7833 3 ай бұрын
🙏🏿😇
@wilbrodsulle147
@wilbrodsulle147 3 ай бұрын
🎉
@naeema8155
@naeema8155 3 ай бұрын
Amen 🙏 🙏
@cliffordmaboi684
@cliffordmaboi684 3 ай бұрын
Amen
@francescammari5337
@francescammari5337 3 ай бұрын
Amen Amen
@nickdaudi.4483
@nickdaudi.4483 3 ай бұрын
Aamen🙏🙏🙏
@IsaackMakombe
@IsaackMakombe 3 ай бұрын
Damu ya Yesu ikufunike sana mtumishi
Kuzalisha na Kuongezeka Katika Maisha Yetu | Rev. Dr. Eliona Kimaro
13:30
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 766
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12
MCH DANIEL MGOGO - NGUVU YA UMOJA NDANI YA KANISA (OFFICIAL VIDEO)
57:15
Chapeo La Wokovu
Рет қаралды 14 М.
Afya Na Kazi | Ibada ya Jumapili | 23 Jun 2024 | Rev. Dr. Eliona Kimaro
1:11:06
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 12 М.
Nguvu ya Kuongezeka na Kuzalisha | Ibada ya Jumapili | Usharika wa Imani, Mwanza
36:52
🔴LIVE:UKOMBOZI WA FAMILIA NA UZAO WAKO TAR 19/3/2024"  PASTOR DANIEL MGOGO
1:16:07
Unamkumbuka Mungu? Rev. Dr. Eliona Kimaro
13:31
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 3,1 М.