Upinzani Wako Kwa Mabadiliko | Your Resistance to Change | Rev. Dr. Eliona Kimaro

  Рет қаралды 3,171

Rev. Dr. Eliona Kimaro

Rev. Dr. Eliona Kimaro

22 күн бұрын

IBADA YA MORNING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) 10/ 07/ 2024
SEMINA YA NENO LA MUNGU:
MADA:
"HOFU YA MABADILIKO"
(FEAR OF CHANGE)
SOMO LA LEO:
"UPINZANI WAKO KWA MABADILIKO"
(YOUR RESISTANCE TO CHANGE)
2 Wafalme 7 : 1 - 20
NENO KUU:
"UTABARIKIWA UINGIAPO, UTABARIKIWA NA UTOKAPO"
KUMBUKUMBU LA
TORATI 28 : 6
&
Yohana 12 : 24
24 Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi.
MAANDIKO YA LEO:
2 Wafalme 7 : 1 - 20
1 Elisha akasema, Lisikieni neno la Bwana; Bwana asema hivi, Kesho panapo saa hii, kipimo cha unga mzuri kitauzwa kwa shekeli, na vipimo viwili vya shayiri kwa shekeli, langoni pa Samaria.
2 Basi yule akida, ambaye mfalme alikuwa akitegemea mkono wake, akamjibu yule mtu wa Mungu, akasema, Tazama, kama Bwana angefanya madirisha mbinguni, je! Jambo hili lingewezekana? Akamwambia, Angalia, wewe utaliona kwa macho yako, lakini hutakula.
3 Basi walikuwapo watu wanne wenye ukoma, penye lango la mji; wakasemezana, Mbona tunakaa hapa hata tufe?
4 Tukisema, Tutaingia mjini, mjini mna njaa, nasi tutakufa humo; nasi tukikaa hapa, tutakufa vile vile. Haya! Twende tukaliendee jeshi la Washami; wakituhifadhi hai tutaishi; wakituua, tutakufa tu.
5 Basi wakaondoka kabla ya mapambazuko, ili waende mpaka kituo cha Washami; na walipofika mwanzo wa kimo cha Washami, kumbe! Hapana mtu.
6 Kwa maana Bwana alikuwa amewasikizisha Washami kishindo cha miendo ya magari, na kishindo cha farasi, kama kishindo cha jeshi kubwa; wakaambiana, Tazama, mfalme wa Israeli amewaajiri wafalme wa Wahiti, na wafalme wa Wamisri, waje wapigane nasi.
7 Kwa hiyo wakaondoka, wakakimbia kungali giza bado, wakaziacha hema zao, na farasi zao, na punda zao, na kimo chao vile vile kama kilivyokuwa, wakakimbia wapate kujiponya nafsi zao.
8 Basi wale wenye ukoma walipofika mwisho wa kituo, waliingia katika hema moja, wakala, na kunywa, wakachukua fedha, na dhahabu, na mavazi, wakaenda wakavificha; wakarudi, wakaingia katika hema ya pili, vile vile wakachukua vitu, wakaenda, wakavificha.
9 Ndipo wakaambiana, Mambo haya tufanyayo si mema; leo ni siku ya habari njema, na sisi tunanyamaza; mkingoja hata kutakapopambazuka, madhara yatatupata; basi twende tukawaambie watu wa nyumba ya mfalme.
10 Basi wakaenda, wakawaita mabawabu wa mji; wakawaambia, Tulifika kituo cha Washami, na tazama, hapana mtu ye yote huko, wala sauti ya mtu, ila farasi wamefungwa, na punda wamefungwa, na hema zao kama walivyoziacha.
11 Na mabawabu wakaita wakawaambia watu wa nyumba ya mfalme.
12 Mfalme akaondoka usiku, akawaambia watumishi wake, Sasa nitawaonyesha ninyi walivyotutendea Washami. Wanajua ya kuwa tuna njaa; basi wametoka kituoni, ili kujificha kondeni, wakisema Watakapotoka mjini, tutawakamata hai; tena tutapata kuingia mjini.
13 Na mmojawapo wa watumishi wake akajibu, akasema, Kunradhi; baadhi ya watu na watwae farasi watano katika hao waliosalia, waliobaki ndani ya mji (tazama wamekuwa kama mkutano wote wa Israeli waliobaki ndani yake; tazama, wamekuwa kama mkutano wote wa Israeli walioangamia), tukawapeleke tukaone.
14 Basi wakatwaa magari mawili na farasi zake; mfalme akawatuma kuwafuata Washami, akasema, Enendeni, mkaangalie.
15 Wakawafuata mpaka Yordani; na kumbe! Njia yote ilikuwa imejaa mavazi na vyombo, walivyovitupa Washami, wapate kukimbia upesi. Watu wale waliotumwa wakarudi, wakamwambia mfalme.
16 Basi watu wakatoka, wakaziteka nyara hema za Washami. Ikawa kipimo cha unga mzuri kikauzwa kwa shekeli, na vipimo viwili vya shayiri kwa shekeli, sawasawa na neno la Bwana.
17 Naye mfalme akamweka yule akida, ambaye alitegemea mkono wake, awasimamie watu langoni; na watu wakamkanyaga langoni, akafa; kama alivyosema yule mtu wa Mungu, aliyenena hapo mfalme alipomshukia.
18 Ikatukia kama vile yule mtu wa Mungu alivyomwambia mfalme, Vipimo viwili vya shayiri kwa shekeli, na kipimo cha unga mzuri kwa shekeli, ndivyo vitakavyokuwa kesho, panapo saa hii, katika lango la Samaria;
19 na yule akida akamjibu mtu wa Mungu, akasema, Sasa tazama, kama Bwana angefanya madirisha mbinguni, je! Jambo hili lingewezekana? Akasema, Angalia, wewe utaliona kwa macho yako, lakini hutakula.
20 Ikampata vivyo hivyo, kwa kuwa watu wakamkanyaga langoni, akafa.

Mhubiri: Mch. Dr. Eliona Kimaro.
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

Пікірлер: 14
@jerubetjoan20
@jerubetjoan20 16 күн бұрын
This message belongs to my country Kenya, vijana wasikizwe.
@happyvalence5352
@happyvalence5352 20 күн бұрын
Asante mchungaji kwa somo zuri. Hata pale Kenya Pana wakoma wanne nafikiri ni vyema wakasikilizwa. 👏🙏
@justinemsela3593
@justinemsela3593 19 күн бұрын
Ubarkiwe sn mchungaji Kimaro
@lisakuingwa7337
@lisakuingwa7337 20 күн бұрын
Ameeeeen we must changeee mimi ni mwenye ukoma ill go for changes
@FredyYusufu
@FredyYusufu 19 күн бұрын
Mung akubarik mafundisho
@AliceHatibu
@AliceHatibu 19 күн бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏
@josephlukumaya4223
@josephlukumaya4223 20 күн бұрын
Hii imenda kweli
@JoshuaHilgath
@JoshuaHilgath 20 күн бұрын
Amina
@neemalaurent9836
@neemalaurent9836 20 күн бұрын
Amina 🙏,kwa kweli wafanyabiashara tunanyanyasika na Kodi horera,,na Kodi inagusa mtaji na sio faida,na mtaji wenyewe ni pesa za bank,, tuna wakati mgumu sana Jamani,na hii ni hofu ya mabadiliko
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j 20 күн бұрын
Semina hadi mwisho ninayo Asante mchungaji ninakupenda hukopeshi kusema ukweli
@JacobMfunga
@JacobMfunga 17 күн бұрын
Múngu aliyekufanya uwebaraka kwa kanisa la kjitonyama bas akakufanye uwe baraka juu ya wafalme wa dunia na mafundisho yako yakawe changes ktk falme zote za nchi
@graice8567
@graice8567 20 күн бұрын
AMEEN🙏
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 20 күн бұрын
Nasikia moto unawaka ndani yangu
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j 20 күн бұрын
Hili swala sisi Africa tunalo hatupendi ushauli
REV. DR. ELIONA KIMARO: KUISHI KESHO I
32:34
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 19 М.
Kuahirisha Mambo Na Kukataa Uzoefu Mpya | Rev. Dr. Eliona Kimaro
45:03
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 4,1 М.
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 14 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 205 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
Madhara ya Hofu ya Mabadiliko | Rev. Dr. Eliona Kimaro
40:10
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 4,8 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO:  SADAKA NA NADHIRI I
40:08
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 7 М.
KUTANA NA FALSAFA ZA PROFESSOR LUKS WAKAILUTI
36:22
Njia Media
Рет қаралды 303
REV. DR. ELIONA KIMARO: MALEZI MABOVU YANAVYOWAHARIBU WATOTO SIKU HIZI
13:20
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 160 М.
Madhara ya Hofu ya Mabadiliko | Rev. Dr. Eliona Kimaro
56:56
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 6 М.
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 23 МЛН
3 IJUE NGUVU YA MUNGU YA MSALABA ITENDAVYO KAZI ILI UNUFAIKE NAYO || Mwl Christopher Mwakasege.
1:55:01
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 24 М.
Usimnyooshe Mtu Kidole | USIHUKUMU | Rev. Dr. Eliona Kimaro
17:56
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 22 М.
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 14 МЛН