REV. DR. ELIONA KIMARO: SADAKA NA NADHIRI I

  Рет қаралды 7,475

Rev. Dr. Eliona Kimaro

Rev. Dr. Eliona Kimaro

9 ай бұрын

IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING - 26 OCT 2023.
KICHWA CHA SOMO : KUENDELEA TOKA NGUVU HATA NGUVU.
'' FROM STRENGTH TO STRENGTH ''
NENO KUU: Zaburi 84 : 7
Huendelea toka nguvu hata nguvu, Huonekana Sayuni kila mmoja mbele za Mungu.
"SADAKA & NADHIRI"
Mwanzo 28 : 10 - 22

Mwanzo 28 : 10 - 22
10 Yakobo akatoka Beer-sheba, kwenda Harani.
11 Akafika mahali fulani akakaa huko usiku kucha, maana jua lilikuwa limekuchwa; akatwaa jiwe moja la mahali pale akaliweka chini ya kichwa chake, akalala usingizi pale pale.
12 Akaota ndoto; na tazama, ngazi imesimamishwa juu ya nchi, na ncha yake yafika mbinguni. Tena, tazama, malaika wa Mungu wanapanda, na kushuka juu yake.
13 Na tazama, Bwana amesimama juu yake, akasema, Mimi ni Bwana, Mungu wa Ibrahimu baba yako, na Mungu wa Isaka; nchi hii uilalayo nitakupa wewe na uzao wako.
14 Na uzao wako utakuwa kama mavumbi ya nchi, nawe utaenea upande wa magharibi, na mashariki, na kaskazini, na kusini; na katika wewe, na katika uzao wako, jamaa zote za dunia watabarikiwa.
15 Na tazama, mimi nipo pamoja nawe, nitakulinda kila uendako, nami nitakuleta tena mpaka nchi hii, kwa maana sitakuacha, hata nitakapokufanyia hayo niliyokuambia.
16 Yakobo akaamka katika usingizi wake, akasema, Kweli Bwana yupo mahali hapa, wala mimi sikujua.
17 Naye akaogopa akasema, Mahali hapa panatisha kama nini! Bila shaka, hapa ni nyumba ya Mungu, napo ndipo lango la mbinguni.
18 Yakobo akaondoka asubuhi na mapema, akalitwaa lile jiwe aliloliweka chini ya kichwa chake, akalisimamisha kama nguzo, na kumimina mafuta juu yake.
19 Akaita jina la mahali pale Betheli; lakini jina la mji ule hapo kwanza uliitwa Luzu.
20 Yakobo akaweka nadhiri akisema, Mungu akiwa pamoja nami, akinilinda katika njia niiendeayo, na kunipa chakula nile, na nguo nivae;
21 nami nikirudi kwa amani nyumbani kwa baba yangu, ndipo Bwana atakuwa Mungu wangu.
22 Na jiwe hili nililolisimamisha kama nguzo litakuwa nyumba ya Mungu; na katika kila utakalonipa hakika nitakutolea wewe sehemu ya kumi.

Mhubiri : Rev.Dr. Eliona Kimaro
Kwa maoni na ushauri:
Mch. kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

Пікірлер: 16
@feddymwanga5462
@feddymwanga5462 Ай бұрын
Umenifungua ubarikiwe sana
@user-ho6ku8gt7f
@user-ho6ku8gt7f 7 ай бұрын
Mungu akuinue Zaid.
@user-ey9uj4wq7h
@user-ey9uj4wq7h 9 ай бұрын
Amina Baba Askofu mwenye nguvu YA Mungu. Uishi milele. Amina.
@AmonKavatata
@AmonKavatata 9 ай бұрын
Amen
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi 7 ай бұрын
Ameen.
@judithkabunduguru9491
@judithkabunduguru9491 9 ай бұрын
Asante saana baba, mafundisho yako yananitia nguvu ya ajabu. Big up Mungu aendelee kukutunza na kukuinua zaidi.
@esthermliga4875
@esthermliga4875 9 ай бұрын
Amen Amen!! Nabarikiwa sana na mafundisho Yako mtumishi wa Mungu, Mungu azidi kukuinua kweny viwango vingine
@eshimunilema573
@eshimunilema573 9 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana.
@reginardtibishubwamu1522
@reginardtibishubwamu1522 9 ай бұрын
I love Pastor Rev kimaro Mungu akujalie mausha marefu sna
@anitandossi2542
@anitandossi2542 9 ай бұрын
Ameeen Baba..am blessed na hili neno.
@user-ey9uj4wq7h
@user-ey9uj4wq7h 9 ай бұрын
Umenipushi kwenda mbele. Thanks.
@johnkauki2477
@johnkauki2477 9 ай бұрын
Mafundisho mazuri
@wamadenzatv4174
@wamadenzatv4174 9 ай бұрын
Ata mimi
@roviykamage5423
@roviykamage5423 9 ай бұрын
Baba kimaro nafrijika kupata mafundisho yako yanaponya yanafungua uchumi yanatia moyo unapokua nimekata tamaa nainuliwa sna
@neemalaurent9836
@neemalaurent9836 9 ай бұрын
Nitatoa sadaka ya ujenzi wa nyumba Yako bwana,pesa itatoka wapi wewe wanua
@neemalaurent9836
@neemalaurent9836 9 ай бұрын
Wajua
REV. DR. ELIONA KIMARO: SADAKA NA NADHIRI II
1:07:20
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 4,4 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: WEKEZA KWENYE UWEZO II
1:07:39
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 7 М.
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 3,5 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 106 МЛН
REV. DR. ELIONA KIMARO: ELIYA, MTU ALIYEISHI NYAKATI MBILI
34:10
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 2,8 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: IWENI NA UNYENYEKEVU
1:25:45
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 72 М.
Family TODAY, Esther Nasuwa, Ps Wilbroad Mastai: Family & Ministry
1:12:31
Family Today Show
Рет қаралды 12 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO:  MAUMIVU YA MWISHO/LAST PAINS
1:22:32
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 23 М.
Mapito hukufikisha katika hatima ya kuinuliwa kwako
27:34
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 47 М.
MBINU ZA KUOMBEA MAJARIBU || Mwl Christopher Mwakasege
1:23:21
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 142 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: MBEBA KUSUDI LA KUWEPO II
1:02:17
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 5 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: URADIDI- CONSISTENCY II
41:09
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 3,5 М.