Tamthilia inayofuatilia hadhithi ya bitnti Naomi katika kuanza na kupigania maisha yake kwa visa vya kila aina. Imtayarishiwa na Elizabeth Michael / elizabethmichaelofficial Director and DOP Staford kihore www.instagram....
Пікірлер: 150
@janemumbua46833 ай бұрын
Mimi leo wakwaza sijawahi pata hata like moja tangu nianze ku watch hii movie naombeni kila anaye soma my comment Mungu awabariki sana hii movie ina siri nzito kweli maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@PraxedaJustinian3 ай бұрын
Mbona kama kweli jamani!!!! Uu msiba!!!!
@ihezagiregentille73843 ай бұрын
Asa like za nini jmn😂
@mariamagenda1493 ай бұрын
Mbona leo cjapata notification nilikuwa nazunguka tu huku ndo nikaikuta 😊
@CatherineDominic-e6x3 ай бұрын
Hataaa mieh imekujaaa kisiri siri 😂
@LuciaBukula3 ай бұрын
Leo ni kimya kimya @@CatherineDominic-e6x
@saraphinamalyi35063 ай бұрын
Mim pia
@saraphinamalyi35063 ай бұрын
Imetoka moja tu
@olicej78373 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂ni vitu vya Siri 😂😂😂😂@@CatherineDominic-e6x
@SwabraSembwana3 ай бұрын
Mungu aikuze channel yako izidi kufk mbele na iwe na mafanikio makubwa❤
@estherpaul38643 ай бұрын
Amen
@neemamkambwahamisi47183 ай бұрын
Nimechewa nahomba like ❤
@danielaugustino7053 ай бұрын
Yaaannn nilikuwa nawazaa ileee nawashaa data TU ya mkopo... notification hyo....😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Khadjaty3 ай бұрын
Nilijua imeisha kumbe bado ipo❤
@rosedominick-k2h3 ай бұрын
Mnakosea sana wiki nzima unatoa epsod moja kweli mnakela sana basi msitoe kabisa tunasubiri kwa hamu sana mnakua ivyo kwann
@samhasuleiman76733 ай бұрын
Acha klele weee 😂Tunpta 5episode kila week ten utulize komweee ilo nani ksema episode 1😅
@nancyg86643 ай бұрын
kuna watu wanaugua akili sio bure, ushawahi kuangalia "mimi" episode moja kwa wiki?labda kama umeamua kuziweka viporo
@DianaRichard-bu9tz3 ай бұрын
Hizi nne mwenzetu umeweka kiporo utatizama mwakani 😂😂😂😂😂😂😂
@habarizamototv3 ай бұрын
Lulu na Esarito mnajitahidi sana kuvaa uhusika
@ConsolataIsdory3 ай бұрын
Mungu msimamie star wetu lulu azidi kufika mbali , na aendelee kutupa furaha na mafundisho mazuri zaidi Amen ❤
@GrolyMlawa3 ай бұрын
❤❤❤nimependa seen aliyocheza Steve jomon 🎉🎉🎉
@cristaezekiel10363 ай бұрын
😂😂😂😂Et wanawake achen kujifanya kama mko karibu na MUNGU 😂😂😂😂😂ILA baba naomi 😂😂😂😂
@DenayzerChristopher3 ай бұрын
Ana gubu saana baba Naomi
@MuhindoFabrice-n8k3 ай бұрын
Inapendeza sana n'a inaelimisha kweli kweli 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@Ashahizza3 ай бұрын
tamthilia kali kuliko ata jua kali,,hongera eliza kwa kaz nzur
@SunnahAmry3 ай бұрын
Nipo Norway 🇳🇴 hii nikiiangalia huwa nafurahi sana na pia natakaga seem tulivu 😊
@OmarJaffar-fw4lt3 ай бұрын
niliwamis 😂😂😂😂imeniuma Naomi kujitoa 😢😢😢
@JamilaKelota3 ай бұрын
Hii move tam jaman kha ❤
@estherfaustine16123 ай бұрын
Jaman me nahs Glory ametumwa na Joseph amuue Naom
@officialramah12553 ай бұрын
Yani ndoo unapata taalifa kwamba Yule dem unapenda nae anampenz mwengine 😅😅😅😅Niki....unauma Sana yani
Kuna watu ving'ang'anizi Kama Glory yani wao hata umwambie nini 😢😢 😢 Naomi wangu atakuwa sawa unanipa interest sana jinsi gani ya kudili na hawa vidume😅😅
@HappynessPeter-e9z3 ай бұрын
Mm pia inanipa confidence ya kutosha yaaan mwanaume anipelekesh hata
@edithasamson68253 ай бұрын
Ila msiwe na jeur sas😅
@mwakaathuman56373 ай бұрын
Steve kazi unayo
@EliainenyiMosha3 ай бұрын
Dah mnakaa sana bila kutoka episode bana
@EfremuMwasumbi3 ай бұрын
Glory kampenda stivi na ndiye mwanamke anayefaa kuolewa na stiv sio naomi japo glory njia aliyopita sio sahihi
@VeronicaRugoyi3 ай бұрын
Mawazo yako nisawa nayakwangu
@MalkaNinik3 ай бұрын
Uko sawa kabsa tatizo njia aliyo itumia ndio imenikera
@MaryMarijan3 ай бұрын
pinto atakuwa mtoto wa naomi huyo😅
@OmarJaffar-fw4lt3 ай бұрын
umewaza mbali sana shenzi😂😂😂😂😂
@UpendoIrakoze3 ай бұрын
Kweli kabisa🎉🎉🎉🎉
@UpendoIrakoze3 ай бұрын
Kweli kabisa🎉🎉🎉🎉
@NuruOmary-nc2xh3 ай бұрын
Umewaza mbali
@shufaamushil88863 ай бұрын
Haiwezekan😮
@FaudhiaIssa-wm5uq3 ай бұрын
Mbona leo kipande mmetupa kimoja jaman na siyo vitano Kama siku zote
@Salama123-iw7hj3 ай бұрын
Nawamiss ❤❤❤❤
@VeronicaRugoyi3 ай бұрын
Jamani baba naomi hajajua😂😂😂😂😂😂
@YahayaJuma-o9j3 ай бұрын
Oyaaaa eeee
@AminaMaisha-vd6mf3 ай бұрын
Mmmh jmn mbn moja leo🇰🇪
@NoorEesa3 ай бұрын
Lulu kama lulu🎉🎉🎉🎉🎉
@dorcasmueni22903 ай бұрын
Steve mama wa kambo anakupenda
@LovenessJames-i2s3 ай бұрын
movie konkiii👏👏
@bahatiezekiel44703 ай бұрын
Jealous love 😢
@hutahuta11703 ай бұрын
Kazi nzr.ilamnachelewesha sana
@JescaCamilmtui3 ай бұрын
nauza giza kwa bei nafuu sana😅😅
@ireneevaristo55523 ай бұрын
Me nahisi huyo mtoto mwingine atakua Nick😢
@RehemaBakuza3 ай бұрын
Hapana dear ni huyo secretary wa Joseph
@ireneevaristo55523 ай бұрын
@@RehemaBakuza hapo kwenye wosia si wamesema ameacha watoto 3 huyo secretary wa joseph Brian na huyo wa 3 ni nani?
@RehemaBakuza3 ай бұрын
@@ireneevaristo5552 wote wawili ni Brian kama uliangalia episode ya nyuma ingeelewa
@BabycandSylvester3 ай бұрын
Ni mwiba lafki wa naomi
@ireneevaristo55523 ай бұрын
@@RehemaBakuza sasa si 2 huyo wa 3 ni nani?
@JacklineMshati3 ай бұрын
Mm nashangaa watu sijui wanatakaje lulu akipost episode nyingi wanaongea et anapost holela sa iz kapost moja wanaanza tena kulaum haya mliyavuruga sa iz anatupostia kwa kutaka 😂
@winnieseba22573 ай бұрын
Kwahiyo pinto ni ndugu na nancy😂
@Daniella2493 ай бұрын
Hapo kwenye familia ndiyo patamu 😅😅
@shakilasharifa93 ай бұрын
Naomi kapingwa risasi jamani da 😢😢😢
@MercyPeledawsonTV3 ай бұрын
Hii movie inaonekana ni ya kitambo sana...
@ElizabethSeluka3 ай бұрын
Mambo niyapendayo mm hayo sasa Lulu
@BasmaJuma3 ай бұрын
Kazi nzuri sana
@JamilaKelota3 ай бұрын
Nilikuwa naisubiri kwa hamu mimi
@antoniakimario78672 ай бұрын
Pinto sio mtoto wa naomi ,maana mama naomi amesema Jerome ana miaka 17 tu wakati naomi ametoka kujifungua na kwanza kutafuta maisha Jerome alimkabidhi begi so pinto ako kama na 15 years huoni kidogo walingane na Jerome
@Havani-v5g3 ай бұрын
Mimi hapa nawashwa
@ChristineKesi-k9r2 ай бұрын
Mbona episode 36 haijatokea,over,2wks now
@iddysalim63313 ай бұрын
Toa zote 5 kama siku zoteee lizzz pleeeeezzzzzz!!!!
@Daniella2493 ай бұрын
Lakini unachelewa jamani Eliza wewe, basi tufanye mfulu mfulu kama wiki iliyopita😢
@impanuro36003 ай бұрын
Aaaah lulu kamoja tu ?apana mbona ivo unatuonea tupe zingine bwana
@danielaugustino7053 ай бұрын
Love lulu....
@sephaniamussa24983 ай бұрын
Waoh waoh waohhhh😊
@sephaniamussa24983 ай бұрын
Ila leo tumedhurumiwa mbona ep 1 tu?
@Havani-v5g3 ай бұрын
Jamani kweli mbona leo hivi
@jojo-tj8ol3 ай бұрын
❤❤❤ but imechelewa
@winnieseba22573 ай бұрын
Nimeipataa 😂
@GladnessKwesi3 ай бұрын
Tuekee na ya27 jaman😢
@omanbahla15113 ай бұрын
❤❤kz mzr
@jasmineliana52383 ай бұрын
Nimewahi leo jmni liki zenu
@dorcasmueni22903 ай бұрын
Pambe sana
@Erastusbaba3 ай бұрын
People are too fast Watching This Series, saiz tu na Views wote hawa....!??
@WilbertMalula-vv7ml2 ай бұрын
MBONA IMEISHIA 35 HAKUNA MWENDELEZO😊
@cheiknamouna20583 ай бұрын
Huyu Glory atakuwa katumwa na Joseph😢
@Teddy9004-p5f3 ай бұрын
Mbona nalia sasa mm 😢😢😢😢
@CharifaRachidi3 ай бұрын
Waoo
@cristaezekiel10363 ай бұрын
😂😂😂😂😂Joseph 😂😂😂😂😂😂
@khadijatirionaire25103 ай бұрын
Love you all guys
@HadijaKilagule2 ай бұрын
Leo nijumatano lulu mbona haujatuma Mimi Jamani?
@augustierachelle3 ай бұрын
We lulu wewe weka episode za kutosha nimekopa bando mwenzio😅
@VeronicaRugoyi3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@HabibaLukinga3 ай бұрын
😂😂😂
@MonicaMwaisumo-ln4bt3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@zainabkutwaa33273 ай бұрын
Mov nizuri ila luka wajua kali jamani we ujui kuigiza yani auedani kabisa na kuigiza nieri utafute jia nyegine😅😅😅😅 sikwaubaya
@DariaMkula-h5q3 ай бұрын
We nae komwe lile igiza wewe tukuone mschewwwwww
@AishaRashid-z8k3 ай бұрын
@@DariaMkula-h5qdaah😂😂😂
@DariaMkula-h5q3 ай бұрын
@AishaRashid-z8k ndo ushangae na wewe Li mtu halijui kuigiza linamsema anaejua sasa lenyewe limeigiza muv gn tuione Ila mawatu hovyooo😬
@MoriaOrigin-uw4rc2 ай бұрын
dada ungeanza ww kujifunza kuandika kwa ufasahaa kabla ata ya kutoa kaasoro ya luka😏
@BobageniBob3 ай бұрын
Naomba ep27
@MamyAyubu3 ай бұрын
Hi move itatuua warah
@irenemgaya20753 ай бұрын
Wa kwanz
@JamilaOmary-hn3kz3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@cornelsalehe34033 ай бұрын
Mbona Leo n Moja tu
@Daniella2493 ай бұрын
Nimeanza kumchukia grory sasa king'ang'a 😂😂
@olicej78373 ай бұрын
Yaani anahis akifanya ivo atampata mwanaume huyu jinga kweli 😂
@Daniella2493 ай бұрын
@@olicej7837 kaniudhi yaani hajui ndiyo amejiharibia
@olicej78373 ай бұрын
@@Daniella249 au katumwa na Joseph 😂
@naomikisaba57853 ай бұрын
Wangapi wanaamin glory katumwa na baba ake stive?
@olicej78373 ай бұрын
Inawezekana pia 😢
@fettiemaganza14843 ай бұрын
Na mbna alimkusudia Steve naomi akaingilia kati
@RamboDaniel3 ай бұрын
Hakukusudia kwa steve , target ilkua naomi, , aliinyosha kwa steve akijua wazi naomi atamgadi steve
@RamboDaniel3 ай бұрын
Katumwa na Joseph kwel
@MarcoJohn-e7p3 ай бұрын
Tunaomba episodes nyingne bas
@pound_tz72483 ай бұрын
WAKWANZA NAOMBENI LIKE ZANGU
@RajabuMohamed-gz1ms3 ай бұрын
Mbona Leo episode Moja why 😢
@esterkimalio88463 ай бұрын
Naomi umeanza kuchelewesha
@Roevvyne3 ай бұрын
Naomi😢
@GiftMremi3 ай бұрын
Kipande kimoja tu
@joycestanslaus1793 ай бұрын
Mwendelezo plz
@FaridaDaniel-x9g3 ай бұрын
Mnaboa wekeni yote
@rilianwillium3 ай бұрын
Tayari imewekwaa ya 27
@CharifaRachidi3 ай бұрын
Tupe ya 27
@KabiraPaluki2 ай бұрын
Lulu wewe kweli muuwaji tangu awali! Umemuuwa Kanumba wangu Sito kuja kusamee mchawi mkubwa wewe.
@NicksonMwachembe2 ай бұрын
Khee ila wewe nae jmn acha kua serious na vitu visivyo taka kua serious
@PrettyMarie813 ай бұрын
😢nmelia Naomi kupgwa risas km kwel jmn njoo mnibembeleze 🥹🥹