"Nilibadili Dini, Marafiki Wakaanza Kunitisha, Ilikuwa Inanitesa Sana" |SALAMA NA GODLIVER PT1

  Рет қаралды 224,400

YahStoneTown

YahStoneTown

Күн бұрын

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
LUVVIE
Jina la episode litosheleze kumuelezea mgeni wetu wa wiki hii, hodari, mahiri, mcheshi na mwenye kujielewa ila kikubwa kuliko yote ni Mwanamke. Alipotoka na mipango yake ya maisha ilikua ni moja ya chachu zilizotufanya mimi na wenzangu tuone anastahili kukaa kitako kwenye kiti chetu kile kilichopauka. Na hakukua na mjadala juu ya yeye kuipata nafasi hii.
Godliver kwa sasa ndo nyota yetu ing’arayo kila kona ya bara na dunia kwa ujumla, kwa imani niliyonayo kwake naamini huu ni mwanzo tu wa mengi makubwa na mazuri na pengine ya kushangaza na kuiandikia historia Taifa letu yanakuja, kiu hiyo ya kupata hayo na zaidi unaiona kwenye macho yake na kujiamini alikonako. Ukibahatika na kuangalia kazi zake basi ndo utazidi kuamini na kumtakia kila lenye kheri.
Mitihani na kupanda na kushuka kwenye maisha yake naye alipitia kama kila mmoja wetu, jinsi alivyokua anayapangua na kutengeneza kinywaji kila mara alipokua anarushiwa malimao kumemfanya awe na kiu zaidi na kutaka kusonga mbele zaidi kwa kasi ya majaaliwa.
Alianza kama mas’hara tu na mengine ni historia tu kwa sasa. Mama wa mtoto mmoja ambaye ni kila kitu kwake, Godliver ananihadithia moja ya mikasa mingi ilowahi kumkuta maishani mwake, na pia amenikumbusha umuhimu wa kuchagua marafiki na watu ambao unawaweka karibu kwenye maisha yako.
Alishawahi kubadili dini na kuwa Muislamu, bahati nzuri alikua na wazazi ambao ni waelewa sana, hakuna aliyekua anamhukumu kwenye maamuzi yake, pengine walikua disappointed kwa kiasi fulani, zaidi Mzee wake lakini wala hakuonyesha kushutushwa au kutaka kumsema vibaya kwa maamuzi yake, badala yake waliheshimu na kumpa support tu kwenye maamuzi na maisha yake.
Maisha yamemumfundisha mengi tu, pengine kwa adhabu zaidi yamemfundisha kuwa marafiki ambao ndo aliwaona wanampenda sana waliishia kumhusisha na mambo ambayo si mazuri na ambayo yalimfanya ajaribu imani yake kwa kiasi kikubwa sana.
Humu anakumbuka jinsi alivyokua anahangaika kwa waganga na kujaribu kwa nguvu vitu ambayo vilikua hata havihitaji hiyo njia ambayo alikua anaaminishwa kama ndo zilikua sahihi.
Anakumbuka Imani yake ilivyo jaribiwa na utukufu wa Mungu alipokuja kumuongoza.
Hapo juu nilisema huyo ndo muigizaji BORA wa kike kwa sasa, pengine wengine wanaweza wakawa na mawazo tofauti kidogo na haikatazwi, ila kwenye vitabu vyangu? Kwa hesabu ya leo? Huyu ndo Mama yao.
Sasa aliwezaje kutoka huko? Alikutana vipi na Baba wa mtoto wake? Na filamu au kazi yake ya kwanza ilikua inatwaje? Na aliipataje hasa? Nani ndo anamuangalia sana maishani mwake? Ambaye angependa kuwa kama yeye? Wapi anajiona huko mbele kwenye kazi yake hii?
Natumai utajifunza mawili matatu kutoka kwa Dada Mkali na uta enjoy pia.
Love,
Salama.
Support us through anchor.fm/yahs...
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
Audiomack Link bit.ly/YahSton...
‪KZbin Link bit.ly/KZbinS...
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Пікірлер: 453
@upendokiwanga9538
@upendokiwanga9538 6 ай бұрын
Safi dada una ujasiri wa kusema habari za Yesu kwa ujasiri mkubwa
@neemashao5328
@neemashao5328 Жыл бұрын
Wow!Godliver umesema vizur umeokoka na unampenda Yesu:Nakupenda unajua kuigiza pia luv❤
@floramarinyo3517
@floramarinyo3517 Жыл бұрын
Jina la YESU ni dawa ni faraja linaponyaa linauwisha Lina fariji aisee kam ww umebahatikaa kumpata Yesu , mashukuru Mungu aisee hii ni NEEMA , NEEMA nikwamba umepata kitu ambacho hukistaili so aiseee tushukuru kuwa wakristo 💒🙏👍💪❤️😘
@FaridaSilwani
@FaridaSilwani Жыл бұрын
🙏🙏
@hamadmohamed3056
@hamadmohamed3056 Жыл бұрын
Yesu awe Mungu Kisha wanaadamu wamkamate wamuuwe!
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 Жыл бұрын
@@hamadmohamed3056 punguzeni kutupia watu majini mnazingua kinoma😂😂
@protassilayo4200
@protassilayo4200 10 күн бұрын
Amen sana
@rachelmuhehe7789
@rachelmuhehe7789 Күн бұрын
Lina huisha siyo kuuwisha
@_fizzle
@_fizzle 2 жыл бұрын
Umeniletea mtu ninayempenda sana, personality yake tu mimi inanikosha mno. Big love Anna 😍
@SerahKasaine
@SerahKasaine Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akubariki sana na uzidi kumpenda mungu na mungu bila shaka ataoneka ndani yako
@majaliwamussa1343
@majaliwamussa1343 Жыл бұрын
Qur an inatosha sana kikubwa ni kujuwa vipi utaitumia kwa shida zako
@choggysly3541
@choggysly3541 Жыл бұрын
Umeongea vizuri...Pili uislamu na ushirkina ni vitu viwili tofauti ulipata watu sio sahihi kabisa
@magiehermess9949
@magiehermess9949 2 жыл бұрын
Kila ulimi utakiri Yesu ni Bwana
@user-ls8rn4tz5m
@user-ls8rn4tz5m Жыл бұрын
Make apo kwanza nicheke 😂😂😂
@mishyomar3567
@mishyomar3567 Жыл бұрын
​@@user-ls8rn4tz5m😅😂
@luckyshija6649
@luckyshija6649 2 жыл бұрын
Godliva is awesome in each way, Salama unajua mpka unaboa yani ni balaa
@jacquelinelukambuzi5085
@jacquelinelukambuzi5085 Жыл бұрын
Mi pia nakupenda sana Godliver Mungu atukuzwe kwa ajili yako
@InfinixHot7-b3t
@InfinixHot7-b3t Жыл бұрын
Hakuna muislam yeyote anemchukia yesu. ila nyiny wa kristo sio waelewa
@WahidYahya-bf4lq
@WahidYahya-bf4lq Жыл бұрын
mskini , nilikuhukumu ktk nafsi yangu kumbe kosa lilitokana na waislam wenyewe. ungepata misingi sahihi ya dini usingerudi kwenye ukristo
@ZubidaAlmasoudi
@ZubidaAlmasoudi 2 күн бұрын
Karud moto huyo
@ZubidaAlmasoudi
@ZubidaAlmasoudi 2 күн бұрын
Wangapi wana Slim nahawapati vitisho imsni hana Ilica stara lkn iman hsikuthib pole Ana wajuakali
@Fatmafo6gojh
@Fatmafo6gojh Жыл бұрын
Hao marafiki ni sababu tu ya ww kurud ukristo coz haukua na Imani na amani na ujasir w kutosha w kufocus na dini ambayo ni ngeni kwko ata muislam ambaye ange shift ukristo ange do the same even if asingekutana na marafiki hovyo.
@yassintaibrahim3541
@yassintaibrahim3541 2 жыл бұрын
Nawapenda Wote Kwaajili Ya M/MUNGU 🙏🙏🙏😘😘😘
@noahyavinmlela859
@noahyavinmlela859 2 жыл бұрын
Nazani Interview hii itakuwa Nzuri sana ngoja tuone
@zuwenasaid3571
@zuwenasaid3571 2 күн бұрын
Kusema kuwa eti mungu alitaka uone yaliyomo katika upande ule si kweli kwa sabab katika uislam Allah mwenyewe anakataza watu kwenda kwa waganga ( washirikina). Sema ww ulikutaka na watu ambao sio sahihi wakakupeleka uko na wewe mwenyewe ulikubal kwa sabab kama usingetaka kwenda kwa waganga basi sidhani kama ungeenda. Uislam sio uganga. kwenda kwa waganga hata wakiristo Hwenda kwa waganga hivo kwenda kwa mganga kutabiri mambo hilo linafanywa na mtu yeyote regardless ni muislam au mkiristo ni tabia tu ya mtu
@laoiyadi1176
@laoiyadi1176 2 жыл бұрын
Ila salama ni mrembo jamani ❤️❤️ I love you 💚
@khadijasalama6074
@khadijasalama6074 Жыл бұрын
Ahsante ila ndivyo tulivyo masalama ama vp
@thomaslyimo1729
@thomaslyimo1729 2 жыл бұрын
She is story teller, she is good and smart.
@hawasapi5480
@hawasapi5480 2 жыл бұрын
I never watch interview za kiswahili like this hadi mwisho, I love this actress.
@ngoni7944
@ngoni7944 Жыл бұрын
But English belong to white people
@MaryamSimai-b9f
@MaryamSimai-b9f 8 ай бұрын
Dunia ni gereza kwa waislam na dunia ni dunia ni pepo kwa makafiri unajihisi km maisha umeyapatia kumbe ni starrehe ya dunia tu
@WardatShaaban
@WardatShaaban 4 ай бұрын
Allah akuongoze
@gracejasson8690
@gracejasson8690 2 жыл бұрын
Nlikuwa najiuliza kwa nini nampenda kumbe ndo maana 💞💞 Nakupenda wewe Dada jamani
@atuganileabrahamu4582
@atuganileabrahamu4582 Жыл бұрын
Tupe Sababu Ya Kumpenda By Loveness Ibrahimu
@neemaandera5514
@neemaandera5514 Жыл бұрын
Nakupenda wewe Dada
@hilaryarande-gs8ht
@hilaryarande-gs8ht 4 ай бұрын
Tha beautiful story of testimony of the blood of Jesus very powerful
@AminaImani-d9b
@AminaImani-d9b Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi dada songa mbele hapo ulipo ndio mahali sahihi na unapokuwa Muslim umemkataa Yesu na kama umemkataa Yesu hauna wokovu hvyo usimuache Yesu tena
@Ayoon_Furniture
@Ayoon_Furniture Жыл бұрын
Pole sana yesu ni nabii wa mwenyezi mungu (Allah)
@AminaImani-d9b
@AminaImani-d9b Жыл бұрын
Hakika Yesu Ni Mungu Quran 3:56
@fatmamohamed6812
@fatmamohamed6812 Жыл бұрын
​@@AminaImani-d9b astaghfirullah
@fatmamohamed6812
@fatmamohamed6812 Жыл бұрын
​@@AminaImani-d9b soma quran 3:55,56,57,58,59,60,61,62.uielewe vizuri tafadhali kukumbusha kwa yaliyo ya haki ni sadaka 🙏
@AminaImani-d9b
@AminaImani-d9b Жыл бұрын
@@fatmamohamed6812 Nimesoma na sijajua wap hijaelewa hau unataka nielewe maana nimeiona quran ikiwainua wanaomfata Yesu Hukuna wokovu kwa Bila Yesu Inabidi ujifunze kwanni Yesu Abebe sifa kama mwanadamu na aitwe Mungu Shetani kawafanya waislamu wengi wa sijue nuru kwa hoja hafifu soma vitabu vitakatifu kwa lengo la kumfahamu Mungu usisome kama Muumini wa imani fulani kamwe hutajua nuru
@ramadhaninkondeja2018
@ramadhaninkondeja2018 Жыл бұрын
Dada huo ni mtihami ujue wislamu ni dini ya kweli Sasa wanachikifanya watu wengi hawaamini maandiko wànawafuata watu Hilo balaa Quran haijabakisha kitu, manake hata hao wanaosali halafu wanaroga au kwenda kwa wagani wote motoni
@nicholousmtemi3902
@nicholousmtemi3902 Жыл бұрын
Kwa yesu ndo mahali sahihi hajakosea
@rizoibrahimovich605
@rizoibrahimovich605 Жыл бұрын
Inategemea unaenda Kwa mganga kufanya nn, kama unaenda kujikinga sidhani kama ni dhambi
@winfridahaule4364
@winfridahaule4364 Жыл бұрын
​@@rizoibrahimovich605Mungu ataki kuchanganywa Kinga ni Mungu pekee
@lilianmoyo9369
@lilianmoyo9369 4 ай бұрын
Tuonyeshe alierudi kutoka wafu akakwambia hayo au ndio bendera fuata upepo
@JosephaNdomba
@JosephaNdomba 5 күн бұрын
Uislamu si mbaya ila kuna baadhi ya watu wanaharibu Uislamu
@pastorvincent9851
@pastorvincent9851 4 ай бұрын
Uliwekwa huru dada, baada ya Uhuru na gharama zake! Inafurahisha!
@RhodaMlowe
@RhodaMlowe 3 күн бұрын
Kumbe Anna asivyo na msimamo kwenye maigizo ndio maisha yake halisiiii😳eti uende uislamu ukaburuzwe huko then urudi Kwa Yesu duuuh!!! Huyu ndio Anna dada Ake Bill na Frank!! Mke WA Diba, mchumba WA bobo, na sasa Mr Focus Aiseee umetishaaaa!!
@gaspamgasa2366
@gaspamgasa2366 2 жыл бұрын
Thank u Jesus ulirudi ukristo nilikua nimeanza kkuchukia kujua kumbe we muislam tena fata mkumbo, abarikiwe baba aliekuombea, atukuzwe Yesu alikurwjesha
@brigithadidas5128
@brigithadidas5128 2 жыл бұрын
Sasa hata kama angekuwa muislam tena why umchukie?
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 2 жыл бұрын
@@brigithadidas5128 chizi huyo!
@happyhousekeeper
@happyhousekeeper 2 жыл бұрын
Chuki haitakiwi
@agnessjohn1222
@agnessjohn1222 Жыл бұрын
Wenzetu ushirikina nikawaida Yao ninao ndugu zangu ndio maisha Yao wamefilisika kwakuendekeza waganga wanaishi maisha ya hofu Sana wao kilamtu ni mchawi wanaishi maisha ya hofu siku zote
@annahulilo6719
@annahulilo6719 Жыл бұрын
@@brigithadidas5128 Yes! Chuki sio mbele za Mungu.
@MaryamSimai-b9f
@MaryamSimai-b9f 9 ай бұрын
Ulikuwa ukipendeza sana ulipokuwa ukivaaa ushungi
@jacksonkendavis8689
@jacksonkendavis8689 2 жыл бұрын
I LOVE YOU GODLIVER..YOU ARE SUCH AN INSPIRATION!!! 🔥🔥❤❤❤💥💥
@AyubuKalukula
@AyubuKalukula 4 ай бұрын
Usiwe mkristo tu kua sister kabisaa afu uwone kama aloumba mbingu atapungukiwa kitu uislamu ndo dini Tu no duscas
@laurenciam2i459
@laurenciam2i459 Жыл бұрын
Thank you for coming back to Christian 🙏
@isacksaimon4532
@isacksaimon4532 Жыл бұрын
Huyu salama ana jua kuuliza sana
@amazing_grace5392
@amazing_grace5392 2 жыл бұрын
She is very humble
@norahmajaliwa3841
@norahmajaliwa3841 3 күн бұрын
Glory to God
@cailesatieno4998
@cailesatieno4998 Жыл бұрын
LOVE HER SO MUCH❤❤❤
@AyubuKalukula
@AyubuKalukula 4 ай бұрын
Polesana ulikutana na waislamu jina afu ukisema dini unakihukumu uislamu kwajiri ya hao matapeli umejichanganya sana mana hayo majini kanisani ndo kilasiku wanaombea sasa mwamposa na wenzie ndo kaziako yesu anafanyinini
@kondempya
@kondempya Жыл бұрын
Hukuwahi kuujua uislam sisi tuliozaliwa nao tunafarijika sana kuzaliwa tukiwa waislam.
@alphredinaalphonce7043
@alphredinaalphonce7043 2 жыл бұрын
Kumbe nishomile mwenzangu🥰🥰
@michaelchuwa1879
@michaelchuwa1879 2 жыл бұрын
It's marvelous interview waited along time .
@deborahkabwe6057
@deborahkabwe6057 Жыл бұрын
Nakupenda Sana dada kazi yako nzuri sana
@magiehermess9949
@magiehermess9949 2 жыл бұрын
She knows what she is doing 🔥🔥
@BhokeWarioba
@BhokeWarioba Жыл бұрын
Woooh ubarikiwe sana anna
@Hot_rod-lies
@Hot_rod-lies 28 күн бұрын
Ww dadangu hukushika uweslamu. Kisawasawa poli
@Nadia-fg8yr
@Nadia-fg8yr Жыл бұрын
Salama,, ni mzuri ,,hazeeki,,,love salama,,❤❤
@queenmwaweya9691
@queenmwaweya9691 2 жыл бұрын
We dada ninakupenda mpaka najishangaa natamani siku nionane nawew lakini naona hixhokibali sina ila nakupenda sana Anna
@aminarichard4302
@aminarichard4302 Жыл бұрын
Inshaallh utamuon tu
@virendavictoria5174
@virendavictoria5174 2 жыл бұрын
Godliver my favourite and the best actress
@InfinixHot7-b3t
@InfinixHot7-b3t Жыл бұрын
Hukuingia kweny uislam. Si kwa7bu mungu
@fatmaahmed8108
@fatmaahmed8108 2 жыл бұрын
Kumbe Anna umesoma Mtendeni mashallah
@yuniea2670
@yuniea2670 2 жыл бұрын
Nagalia hiki kipindi leo nipo hapa Woodland Hills, nje ya Jiji la Los Angeles, California. Ahsante sana kwa kipindi na maswali mazuri.
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Njoo vegas😂
@zenaycechanzinho6702
@zenaycechanzinho6702 Жыл бұрын
MaaashaAllah ulisilim Allah akujaalie upate tena ufaham urejee ktk uislam. AAAMIN
@MsAggie5
@MsAggie5 Жыл бұрын
No way back
@glodieprincess7757
@glodieprincess7757 Жыл бұрын
Forget 🤣
@mercynina6288
@mercynina6288 Жыл бұрын
Asante YESU aliekurudisha mtoto wake! There was a reason @godlivergordian
@MsAggie5
@MsAggie5 Жыл бұрын
Akikuchagua hupotea, utaenda na kurudi nyumbani Kwa Bwana, hallelujah on that. Sifa na utukufu anao yeye.
@pendozakariya2601
@pendozakariya2601 Жыл бұрын
Nakupenda maira
@GodlistenDaudy
@GodlistenDaudy Жыл бұрын
Sio tuu nakupenda nakupenda zaidi yasana
@azinarashidi5204
@azinarashidi5204 2 жыл бұрын
Nice interview
@Somoo220
@Somoo220 3 күн бұрын
Wewe hujakutana na Waislam hasa umekutana na Washirikina bhnaa
@mariambakari7796
@mariambakari7796 2 жыл бұрын
Salama umenenepa Mashaallah
@maisarahnassoro814
@maisarahnassoro814 Жыл бұрын
Tena kanenepa na nusu
@jacquelinekahamba7872
@jacquelinekahamba7872 Жыл бұрын
yote maisha cha muhimu kumjua Mungu
@mkaapwekekariakoo6417
@mkaapwekekariakoo6417 2 жыл бұрын
Sijui Christina Shusho anafuatilia hii Interview🙂 Nadhani akiangalia atakuwa mtu ambaye alikuwa mwanzo... Mnyenyekevu
@michaeljulias878
@michaeljulias878 2 жыл бұрын
Kwanini
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Sikuhizi kawehuka, Roho wa Mungu ashatoweka, tunajionea mapichapicha tu.
@WitnessAbron
@WitnessAbron Жыл бұрын
Nakupenda❤❤ dada Ana MUNGU awe nawe
@rukiaussi2764
@rukiaussi2764 Жыл бұрын
Nakukumbuka kweny nusura ulikuw mke wa cheche❤
@majaliwamussa1343
@majaliwamussa1343 Жыл бұрын
Hawa waganga Mtihani sana
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 2 жыл бұрын
Nakupenda God live
@magiehermess9949
@magiehermess9949 2 жыл бұрын
It's true. Getrude she is the best
@ilhamrachel8474
@ilhamrachel8474 Жыл бұрын
nampenda sna hyu dada kutoka moyoni i wish nije kuwa kma yy mbelen coz napend sn uigizaji
@bustani-inn7328
@bustani-inn7328 2 жыл бұрын
Great interview ila part 2 siioni
@abdul-razaksheha7793
@abdul-razaksheha7793 Жыл бұрын
Nawachukia hao marafik waliokusumbua Kupitia uislam but I love 💞 so much anna
@pendondossy4181
@pendondossy4181 2 жыл бұрын
Yan salama na Godliver❤️❤️❤️❤️💋💋💋
@lucydelina1749
@lucydelina1749 Жыл бұрын
Salma my dada kaz nzuri sana na godlvar
@hilaryarande-gs8ht
@hilaryarande-gs8ht 4 ай бұрын
Ni dhairi waislamu wanatumia majini, sule akuwa wazi Kwa ilo,lakini DAMU,ya YESU Iko na nguvu ya toa Kila nguvu za giza
@jelistinajoel5888
@jelistinajoel5888 2 жыл бұрын
Dah umemleta mtu Makin Sanaa🥰💓
@brendagabriel2052
@brendagabriel2052 Жыл бұрын
My biggest brother khaaaa kinge hiki hahahaha, my Elder brother
@lovelyliliy5822
@lovelyliliy5822 7 ай бұрын
Ulishajua sio watu sahihi ungetafuta watu sahihi wangekusaidia km kweli ulikua na nia na unaupenda uislamu
@mwanahamishassan8017
@mwanahamishassan8017 Жыл бұрын
unafanya kazi yako vizuli dada Ana mungu akubariki
@rodrickmataba8999
@rodrickmataba8999 2 жыл бұрын
Shout out kwa Mwanangu Mboghochov...
@jacklinejerr2447
@jacklinejerr2447 2 жыл бұрын
short hair but smart😍 love you godliver
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 2 жыл бұрын
Mimi Mars afocus zaidi kwenye kuigiza na arudi kwenye utangazaji zaidi itapendeza
@TheFire_Gamer
@TheFire_Gamer Жыл бұрын
😅kwa sababu hiyo kazi unayofanya haiendani na uislaam
@angelraphael4500
@angelraphael4500 2 жыл бұрын
Ubungo kisiwani my best school,,
@omarkhamis4220
@omarkhamis4220 Жыл бұрын
Takbir
@AmeirhajjRamadhan-e1h
@AmeirhajjRamadhan-e1h 2 күн бұрын
Alkahu akbar
@siasia5469
@siasia5469 2 жыл бұрын
Wale marafiki zako walikua si watu wazuri walikupeleka uko kwaajili ya kukuangamiza tuu na si kukulinda ilikua ni kwa manufaa yao
@zakhiamsuya4922
@zakhiamsuya4922 2 жыл бұрын
Mzur
@tausikiyabo6302
@tausikiyabo6302 2 күн бұрын
Kwenda kwa mganga sio dini ya kiislamu msichangabye mambo
@marygregory7566
@marygregory7566 2 жыл бұрын
Wewe umeongea UKWELI
@arjunelly540
@arjunelly540 Жыл бұрын
Salama mnafiki et hata mimi nampenda Yesu😂😂😂😂😂
@SamiraMakame-w9c
@SamiraMakame-w9c 7 күн бұрын
Anampenda yesu salama kwa sababu uyo mnouita yesu ni nabii ISSA mtume wa 24 kati ya 25;waliotajwa katika Quran,atamchukiaje salama yesu?
@jacklinenestory9945
@jacklinenestory9945 2 жыл бұрын
Jaman kitu cha bk hicho nakupenda mno anna
@azinarashidi5204
@azinarashidi5204 2 жыл бұрын
My top interview Ni GODLIVER na Majizo
@isaackobelo6650
@isaackobelo6650 2 жыл бұрын
Hujawah kuiona ya baba levo wewe🤣🤣🤣
@barakarobert1029
@barakarobert1029 2 жыл бұрын
Fact
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 2 жыл бұрын
@@isaackobelo6650 yalaah
@samsoniadamu2727
@samsoniadamu2727 Жыл бұрын
Yan huyu dada jmn...nampenda mno mno
@dullydullahsenior756
@dullydullahsenior756 Жыл бұрын
Godliver 🔥🔥🔥🔥🔥❤️🏆
@melinaferuzi7842
@melinaferuzi7842 Жыл бұрын
Nakupenda wewe ni kitu usicho kijua❤
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Ila salama Hata mimi na mpenda, YESU! 😂😂😂😅🤣🤣😂
@nadrasalim
@nadrasalim 2 жыл бұрын
Hajakosea. Waislam pia tunampenda yesu, na tunamuamini kama Nabii, so hapo ndo tunapotofautiana na wakristo wao wanamuamini km mtoto wa Mungu.
@zenadaudzena2849
@zenadaudzena2849 2 жыл бұрын
🤣🤣
@justinangolinda1939
@justinangolinda1939 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣yaani alivyojibu Kwa haraka
@christermademla5802
@christermademla5802 Жыл бұрын
Jaman nampenda uyu dada...
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
💙Yeah nakupend sana 😘
@ahiakkessy5949
@ahiakkessy5949 2 жыл бұрын
Nampenda salama
@mwasomola9026
@mwasomola9026 2 жыл бұрын
"Hata mimi nampenda Yesu"... Salama 😀
@mamuoman7849
@mamuoman7849 Жыл бұрын
Ahhhhaaa mwiislam hamchukii Yesu coz ni nabii wa Allah but wakristo hawampend Mohamed wakajua labda huyo ni wawaislam tu ila sie waislam tunamfaham Yesu ni kwa ajil ya wana wa izraili sio wa watu wote
@rauhiyafasihi8908
@rauhiyafasihi8908 Жыл бұрын
Kabisa wambie Yesu ni Issa bin Mariyam kwann tusimpende
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 Жыл бұрын
ulikuwa umesimama vizur kwenye uislam shetani ukamkaribisha..ungekuwa imara tu kuamini Mungu mmoja usingewasikiliza marafiki wa sio na imani.
@modestamashoke9038
@modestamashoke9038 Жыл бұрын
Nampenda huyu dada sana
@paulshija7632
@paulshija7632 Жыл бұрын
Uislamu na uchawi ni Samaki na maji uwezi kuvitenga
@salimbahatisha3003
@salimbahatisha3003 Жыл бұрын
Kama ulivokua ukristo Na ushoga huwez kuvitenga kbisaa
@kijakazinyalinga7003
@kijakazinyalinga7003 Жыл бұрын
Ukristo na kufilwa ndio pake mna hama sisha ushoga makanisani😂😂😂
@halimajumanne9778
@halimajumanne9778 Жыл бұрын
Kwa hiyo ana uliacha uislam kwa sababu ya marafiki wabaya wewe hukua na msimamo usitudanyanye bana
@saidimtera6665
@saidimtera6665 2 жыл бұрын
Nice show
@irenemlay9769
@irenemlay9769 2 жыл бұрын
Nampenda sana huyu dada jamani
@khadijaishau352
@khadijaishau352 2 жыл бұрын
Part 2 mbna haikuendelea jamani it was nice interview kwakweli
@mwanaidimuhindi6671
@mwanaidimuhindi6671 2 жыл бұрын
Part 2 mbona ipo
عمل المرأة خيانة للأبناء | د. حامد الإدريسي
1:28:34
البساط أحمدي AlbesatAhmadi
Рет қаралды 54 М.
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:51
EVA mash
Рет қаралды 3,9 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,2 МЛН
AINA ZA BIASHARA ZINAZO MFAA MWANAMKE - JOEL NANAUKA
8:58
Joel Nanauka
Рет қаралды 181 М.
RIYAMA NA MUME WAKE WAFANYA YAO LIVE KWEUPE REDIONI TAZAMA.
16:49
TimesFMTZ
Рет қаралды 2,5 МЛН
PROPHET IPM AMWAGA  UCHAFU WOTE WA DIDDY/ VIJANA ACHENI TAMAA
24:57
REV. DR. ELIONA KIMARO: USHUHUDA WA 'HOUSEGIRL' ALIYEKUJA KUWA PROFESA
7:29
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 773 М.
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:51
EVA mash
Рет қаралды 3,9 МЛН