dah hakika mungu akubariki sana Elshamah washira mimi kama mimi nimekuwa nikivutiwa sana na nyimbo zako na huwa zinanibariki sana . mungu akuzidishie uzidi kuimba . huyu kaka sauti yake nźuri jamani tumwinue kwa kudownload nyimbo zake
@PresenterKai2 жыл бұрын
Washira ndugu yangu, the next time unaenda Dar ukiniwacha Tunakisania hapo😂😂. Kazi nzuri Kisabella na Elshama
@bellatvonline Жыл бұрын
Asanteee Sana Kai
@ministerprincej70333 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@VeronicaJosephSinakesiTenakwajАй бұрын
Mungu akubariki sana kaka katika kumtumikia Mungu.
@VeronicaFrank-lp1uv10 ай бұрын
waoooh Mungu azidi kktumia zaidi Big app sana🙏
@nurukidakule94682 жыл бұрын
Barikiwa dada christabella kwa kuhoji vizuri, pia barikiwa sana kaka kwa kuimba vizuri, hakika Mungu ni mwema sana kwako.
@madoratv2 жыл бұрын
ASANTE SANA
@bellatvonline2 жыл бұрын
Asante Sana Dada Angu
@priscamakwetta74029 күн бұрын
🎉🎉
@NeemaRichard-n6pАй бұрын
Wacha nikadownload kwa Jina la Martha mwaipaja mara tu niliposikia sauti nimejiuliza huyu ni me au ke jamani Martha kabisaaaa barikiwa Sana
@faithkaykay2 жыл бұрын
Congratulations 🎉 Kissabel
@bellatvonline Жыл бұрын
Thanks Dear
@doreenmuhalia9742 Жыл бұрын
Barikiwa sana
@MarySimoni-tz3fm4 ай бұрын
Na bora ameingia kwenye gospel mana kwa muonekano wake asingekua na neema ya mungu tungekua tunamtambua kama mtu mwingine kwa vijana wa sas