Пікірлер
@jackgodgivenzihindula
@jackgodgivenzihindula 3 минут бұрын
😂😂😂 Iyi video ni mwaka jana uko Pemba 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Fake
@user-sd5zf6fz4v
@user-sd5zf6fz4v 28 минут бұрын
Hakukosea anatenda haki uonevu tu na wivu wa baadhi ya viongozi
@user-eu6ql9zl7n
@user-eu6ql9zl7n Сағат бұрын
Makonda yupo kwenye MFUNGO anaongea na kumuomba Mungu wake mfumgo wa siku 40 wala tusiwe na waswas Anaongea na Mungu wake
@PastorRainAngel
@PastorRainAngel Сағат бұрын
mimi Nimeumia sana, Wanajua Mungu anazidi kukuinua, Njoo mm nakupenda sana
@evancechangae
@evancechangae 2 сағат бұрын
Zuchu wan
@sangasadick3350
@sangasadick3350 2 сағат бұрын
Asee hii nchi iko na viongoz wa hovyo sana imagine na bado mama almteua kua wazir..
@Gaynor1234
@Gaynor1234 2 сағат бұрын
Akifa Makonda Samia uhame nchi.
@AlfredMtandi
@AlfredMtandi 3 сағат бұрын
Mungu atakupatia nguvu tutashinda
@edgercyprian964
@edgercyprian964 3 сағат бұрын
Mungu yupo pamoja nawe naimani mambo yote yatakaa sawa tu kiboko😢
@suzanarupia6484
@suzanarupia6484 4 сағат бұрын
Turudishie pesa zetu tapeli wewe hurudi Tanzania hata kwa nini.
@valenakomba9218
@valenakomba9218 4 сағат бұрын
Mke wake yuko wapi hapo. Maana likizo ni ya familia.
@MustaphaManole
@MustaphaManole 4 сағат бұрын
Huyu co
@RahmaMmanyi
@RahmaMmanyi 4 сағат бұрын
Wala msituone ss wajinga tunataka tumuone aongee
@salminasalim5630
@salminasalim5630 4 сағат бұрын
Mh, Makonda uongee hata kidogo tafadhali mtetezi wa wanyonge. Stay blessed Mh Makonda
@FauzHamisi
@FauzHamisi 4 сағат бұрын
❤❤❤😂🎉🎉
@nabii-zc1hm
@nabii-zc1hm 4 сағат бұрын
WASIOJULIKANA NI MAFALA TU
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 4 сағат бұрын
Toa ujinga huko,video ya zaman hii
@DeborahMatola
@DeborahMatola 5 сағат бұрын
Amina baba, kwaimani tutashinda.😅
@DeborahMatola
@DeborahMatola 4 сағат бұрын
Sisi watoto wako Imani yetu nikubwa Sanaa na tunashukuru Sanaa kwaupndo wako na kutujali pia wew nikaka unaroho na utu pia unahuruma Sanaa baba etu , e yesu mwana wa daudi tuhurumie.😅
@reginamathayo4956
@reginamathayo4956 5 сағат бұрын
Kusema hakujua siyo kweli, hata alama tu mbona zinaonyesha pale!!? Au Kuna mtanzania ambae amfaham Godlove kuwa ni Freemason?? Mungu atusaidie sana na ndiyo mana tunatakiwa kumshirikisha roho mtakatifu kila jambo kabla hatujafanya. Maana kwenye ishu ya pesa Watumishi wengi sana wanaingia amajaribuni.
@GideonMachoka-px3xd
@GideonMachoka-px3xd 5 сағат бұрын
Mmwaaaaah 💞
@user-ec8tp1ex1h
@user-ec8tp1ex1h 5 сағат бұрын
Hao walikuiwa na haki ya kumtukana Magufuli. Maana kweli alikuwa mshamba na dikteta.
@user-ex4hi7fj5c
@user-ex4hi7fj5c 5 сағат бұрын
Yote mnayorusha huku kumbukeni mtatoa HESABU yakulidanganya taifa.... Yote haya tunayaweka kumbukumbuu... Na wewe unaeongea hapa jua kila lenye mwanzo Lina mwisho... Na km anajua haya yote maswali kwanini acjifiche asizungumzeee.. Mistufanye mafalaa
@MarthaMilaj
@MarthaMilaj 5 сағат бұрын
Pole mfate congo
@TanganyikaChakupewa
@TanganyikaChakupewa 5 сағат бұрын
Nyie kaaeni na jipu lenu likipasuka tuu muje na majibu yaliyo sahihi ni kwann jipu lipasuke
@mgolindama1007
@mgolindama1007 5 сағат бұрын
Nina Imani kuwa kwa yaliyofanyika ulianza uchunguzi kwanza, baada ya kujiridhisha ndiyo hatua zikafanyika. Tukumbuke ya kuwa siyo wote ni washirika wengine huenda kwa kazi maalum. Kwa hiyo hajaonewa mtu naomba muamini.
@ShukuruNzenzule
@ShukuruNzenzule 5 сағат бұрын
Ccm hamna haya huyo dogo simnge mwacha tu
@ShukuruNzenzule
@ShukuruNzenzule 5 сағат бұрын
Ubaya ubwela makonda aliumiza watu wengi mno kipindi Cha mwenda zake
@ConsolathaGilli
@ConsolathaGilli 5 сағат бұрын
Hapana hii ni danganya toto. Aongee tumsikie mkuu wetu.
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 5 сағат бұрын
Kwani ni nani aliyetangaza Makonda amepotea na kwamba kanyweshwa Sumu na yuko nje kwa maribabu ?
@eliasbihita4041
@eliasbihita4041 5 сағат бұрын
Urud Tanzania kufanya nin, Tanzania haijawahi kuwa na wachawi kuliko Congo tangu dunia kuumbwa, wewe kama ni muhubiri wa kuua wachawi, jenga kilinge uko kwenu Congo Ua wachawi walioko Uko kwenu ni wengi wala hutawamaliza
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 5 сағат бұрын
Wamemchukua Kama makonda mitanzania ni minyumbuuu mbuziii
@user-dq1ss2uq6u
@user-dq1ss2uq6u 5 сағат бұрын
Sio kwel hii video....
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 5 сағат бұрын
Hatukutaki jambazi mkubwa fungua kanisa kwenu kwani hakuna wachawi laki 5 akupe nani
@danielsinda
@danielsinda 5 сағат бұрын
kasome Yeremia23:21
@mdundotv4501
@mdundotv4501 5 сағат бұрын
Wewe mpumbavu nini? Si ukae huko huko kwenu. Unang'ang'ania nini kubaki hapa kwetu. Kwani huko Kongo hakuna Wachawi.
@josephkisinza6243
@josephkisinza6243 6 сағат бұрын
Polebaba tunakuombeal. Munguyupo
@aladinynur7915
@aladinynur7915 6 сағат бұрын
Acha hii story
@LucasRozi
@LucasRozi 6 сағат бұрын
Mbwa mkubwa wewe kamuaminishe mwanao
@JamesJonas-it8hc
@JamesJonas-it8hc 6 сағат бұрын
Ukiona Ivo hakupendi angekupenda angeondoka na wew
@LucasRozi
@LucasRozi 6 сағат бұрын
Ipo siku tutajua wenyenchi na wafayakazi wa wenyenchi.somo gumu ila ipo siku tutafundishwa na sisi tutafundisha
@annaTemu-wx2rc
@annaTemu-wx2rc 6 сағат бұрын
Mama Yetu Samia tulilizwa sana huko Buza kwa Lulenge,hata zile shuhuda na cm za Capital Mf. Walikuwa wanatenezwa sio kweli,hatutaki Uongo Tanzania,we mpare mfuate mumeo kongo,alivuna pesa nyingi sana
@LucasRozi
@LucasRozi 6 сағат бұрын
Wewe mbwa atutaki akiwa mapumziko tunataka aongee mwenyewe ole yenu tusikie kifo
@annaTemu-wx2rc
@annaTemu-wx2rc 6 сағат бұрын
Zile.laki tano 500,000/= za kumwuna kisha ukiingia ndani kwake bado wanatumwa mamilioni,we unaona ni sawa ? Bonge mweusi alitutapeli wa crown msaidizi wake alitujibu jeuri sana na kutufungia vioo vya gari akiswa kashapokea hela na kututapeli,mfuate mumeo huko kongo
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 6 сағат бұрын
Wamemuuua huyooo wameua wameuaaa kudadekiii
@joyceagripa5128
@joyceagripa5128 6 сағат бұрын
Kwenda zako
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 6 сағат бұрын
Fyuuuu kwani kwenu hakuna makanisa yaani mnatutukanisha wakristo kwa mambo yenu ya hovyo
@vilaniloriphy793
@vilaniloriphy793 6 сағат бұрын
Waombee kongo vitaiishe
@AshaMwamba-g3l
@AshaMwamba-g3l 6 сағат бұрын
Mimi nilijuwaa lakiniii tuu huyu atachukuliwa tuuu munguu
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 6 сағат бұрын
Kwani siku30 zinaganda baasi?
@user-oy2fi5qz9n
@user-oy2fi5qz9n 6 сағат бұрын
Mkataa kwao ni mtumwa,ww umeona Tanzania ndo nchi ya kuleta vituko vyako? Baki kwenu hatukutaki,chukua familia yako, siku zote Ngoma ikilia sn lazima ipasuke na kupasuka kwake ndo huko