Engine - Mama Samia Anaupiga Mwingi (Official Music Video)

  Рет қаралды 220,959

Engine Sanga

Engine Sanga

Күн бұрын

Пікірлер: 66
@SaidShaaa
@SaidShaaa Жыл бұрын
Ngoma nzur sana
@ONESMO-h7p
@ONESMO-h7p 3 ай бұрын
Upo vzur👍
@fatimajuma3330
@fatimajuma3330 4 ай бұрын
Ooh kumbe wanyramba ❤❤❤
@saimoniezekiel
@saimoniezekiel 4 ай бұрын
ww Abdullah hamis Acha zalau nakaz za watu ebu imba na ww yako sema2 ukwel kua jamaa katisha ngoma kali saana
@ZainaJohnn
@ZainaJohnn 5 ай бұрын
Waooo,mmetisha san kweny mauno ndo napenda san
@fatimajuma3330
@fatimajuma3330 4 ай бұрын
Wanyaturu mko vzr sana❤❤❤
@DicksonMsafiri-ig9xk
@DicksonMsafiri-ig9xk 2 ай бұрын
Hawa ni wagogo, sio wanyaturu
@fatimajuma3330
@fatimajuma3330 2 ай бұрын
@@DicksonMsafiri-ig9xk oky sawa
@epimackjohn461
@epimackjohn461 6 ай бұрын
Mnasifu na kupongeza nini huku mnalalamika kupanda bei vitu vingi na maisha magumu ...kucheza mnacheza vizuri sana , si muwape watazamaji burudani muondoke zenu ?
@MesseSanga
@MesseSanga 5 ай бұрын
Imba wew 🎤🎶
@epimackjohn461
@epimackjohn461 5 ай бұрын
Sikia wimbo huo hadi mwisho usikie na kuelewa .
@isackmachiyanshoka6754
@isackmachiyanshoka6754 Жыл бұрын
Wagogo hampendi ukweli na uwazi, mnapenda kujipendekeza, mnamwambia mwenzeny ameupiga mwingi ndiyo nn Sasa?. Achen kejeli.
@SukuruMeso-po2gj
@SukuruMeso-po2gj Жыл бұрын
Mungu awabariki safi sana kazi nzur
@JudithnyanghwaNyanghwa
@JudithnyanghwaNyanghwa 7 ай бұрын
😢wagogo hawachezagi Ivo,,, msiharibu michezo ya watu
@SilviaKalist
@SilviaKalist Жыл бұрын
Naomba unifundishe
@godymusic6507
@godymusic6507 Жыл бұрын
Unyamaaaaaaah ✊👊
@ashazuber6548
@ashazuber6548 8 ай бұрын
Nimependa hapo tu kwenye miuno😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@josestudio4534
@josestudio4534 2 жыл бұрын
Daaaah nilikumis sana engine kaz nzuri xana
@betykallomo5587
@betykallomo5587 2 жыл бұрын
Umetisha kijana uko vizuri
@tanzanite9944
@tanzanite9944 2 жыл бұрын
Safi sana Vijana. Kazi nzuri.
@kanobanacelestin3249
@kanobanacelestin3249 8 ай бұрын
Ngoma ya kijamii
@bakarimaogo6812
@bakarimaogo6812 Жыл бұрын
Kaz zur sana hapa umeimba mwamva
@kelvinimasagasi7398
@kelvinimasagasi7398 Жыл бұрын
Nyimbo swanu
@evanestharold5079
@evanestharold5079 2 жыл бұрын
Hongera dogo
@aminamahirani5495
@aminamahirani5495 Жыл бұрын
Safi sana
@MesseSanga
@MesseSanga 5 ай бұрын
My dady❤❤
@EdinaManyono
@EdinaManyono 8 ай бұрын
Mh nyimbo za kigogo hazipo ivo
@IreneMbise-t8i
@IreneMbise-t8i 6 ай бұрын
🎉❤❤❤❤
@saudahassan6667
@saudahassan6667 2 жыл бұрын
Saaaafiiiiiiiiii mmemkusha mama yetu
@manenojanja9087
@manenojanja9087 2 жыл бұрын
Addareps
@abdallahhamisi5546
@abdallahhamisi5546 2 жыл бұрын
Njaa inakusumbua tu unachokiimba wala h akipo
@tanzanite9944
@tanzanite9944 2 жыл бұрын
Acha wivu kijana. Yaani huoni wenzio wamejitahidi badala yake unaponda. huna heri wewe.
@allanmbilinyi4826
@allanmbilinyi4826 2 жыл бұрын
Hongera Nay WA MITEGO,Sauti ya WATU .Siku zote UKWELI UNAUMA.
@MRPIYEREHSTARTZ4643
@MRPIYEREHSTARTZ4643 2 жыл бұрын
Nakubleee San kaka
@amosmadebwah5236
@amosmadebwah5236 2 жыл бұрын
Bg
@josephkaaya7577
@josephkaaya7577 2 жыл бұрын
Nimekubali
@christaoman8890
@christaoman8890 2 жыл бұрын
Nimefurahi sana wimbo mzuri san
@allanmbilinyi4826
@allanmbilinyi4826 2 жыл бұрын
Mama uwe mkali kwa kula FEDHA zetu wanatubabishia MAISHA KUWA mgumu,FEDHA hakuna,vitu bei JUU ajira hakuna hosptali dawa hakuna mafisadi wanauupiga mwingi kwa kula Pesa.
@allanmbilinyi4826
@allanmbilinyi4826 2 жыл бұрын
USHAURI RAIS WETU MPENDWA FANYA HIVI.MFANYAKAZI ABAKI KUWA MFANYAKAZI.SIO ANAKUWA MFANYAKAZI NA MFABIASHARA HATA VITABU VITAKATIFU VINASEMA HUWEZI KUTUMIKIA MABWANA WAWILI .KWANI UTAMWACHA HUYU UTAMTUMIKIA HUYU.HATA WIZI UTAPUNGUA.....HÀWO WASHAURI WAKO HAWAKUSHAURI VIZURI WANAKUPORISHA ILI UONEKANE HUFAI MALALAMIKOKILA KONA YA NCHI.USHARI WA BURE MAMA.
@godwinimazuguni
@godwinimazuguni Жыл бұрын
Mkambku agwe ulidodoma sehemchi
@ramadhanrashid8536
@ramadhanrashid8536 2 жыл бұрын
Hii Ngoma ni hatari lakini salama ,wagogo bwana ulimswaano au nimekosea kusalimia ,mtanisahihisha tupo pamoja,
@betinaernest2766
@betinaernest2766 2 жыл бұрын
Hobaho gwee
@aliykepay
@aliykepay Жыл бұрын
Thanks no
@АвшаапС
@АвшаапС 7 ай бұрын
In a Lilaahi Wa Innaa Illayhi Raajicuun
@lukhubeni8726
@lukhubeni8726 Жыл бұрын
Safii sanaaaaaa
@JafariMasanja
@JafariMasanja 6 ай бұрын
Nyimbozakisukuma
@IreneMbise-t8i
@IreneMbise-t8i 6 ай бұрын
🎉🎉
@kelvinimasagasi7398
@kelvinimasagasi7398 Жыл бұрын
Masonenyi Mkwimba viswanu
@allanmbilinyi4826
@allanmbilinyi4826 2 жыл бұрын
Mama inafanya vizuri,Wanakuharibia ni wachini yako,wengine mafisadi wakubwa nao wanaipiga mwingi kwa kwa kulafedha unazokopa.Kwanza jiulize,FEDHA unazo kopa Zinaenda Wapi?
@kulwaluka1870
@kulwaluka1870 2 жыл бұрын
Safi
@bahatimjilimwa5900
@bahatimjilimwa5900 Жыл бұрын
Engine mama anapiga mwingi
@bakarimaogo6812
@bakarimaogo6812 7 ай бұрын
Mkamba
@SaraaSaraa-i1j
@SaraaSaraa-i1j 8 ай бұрын
😂😂😂😂
@SilaPiasoni-yn9hw
@SilaPiasoni-yn9hw 10 ай бұрын
🎉
@ibrahimkashanyuka4862
@ibrahimkashanyuka4862 2 жыл бұрын
Zuchu kwikw
@gichagajohn2975
@gichagajohn2975 4 ай бұрын
Artist please
@michaelkiondo62
@michaelkiondo62 2 жыл бұрын
Thanks so
@LoyDobe-lb3dm
@LoyDobe-lb3dm Жыл бұрын
Inos b
@kisekemussa
@kisekemussa Жыл бұрын
M ncf
@somanda8140
@somanda8140 2 жыл бұрын
Nahuku pia bonyeza hapo uone kzbin.info/www/bejne/e6vZfGmem8uWeKc
@anethjohn8507
@anethjohn8507 2 жыл бұрын
kasage mlenda wako huko usisumbue watu
@allanmbilinyi4826
@allanmbilinyi4826 2 жыл бұрын
Mara zote UKWELI HUWA UNAUMA KWA WANAO WAHUSU.MIRADI YA MILIONI WAANDIKIA MABIONI KWANI UONGO.MH.WAZIRI MKUU ALIGUNDUA NINI MSD.REPOTI CAG IMEGUNDUA MABIONI YAMELIWA WAMEFANYWA NINI,MSIBA ALISEMA KINANA AMEUZA MITAMBO YA MAGAZETI YA CHAMA AMERUDI TENA CHAMANI KAMA MSIBA MWONGO KWA NINI MSIBA HASHTAKIWI ?
@sofiasrivester3615
@sofiasrivester3615 2 жыл бұрын
Ujumbe imefika jamani kufa atufi lakini chamoto tunakiona kwa mfumuko wa Bei mungu atusaidie 😭😭😭tunamkumbuka. Magu aliwaeza kuzibit mfumuko wa Bei maisha yalikuwa afadhali👃👃
@avalonking1655
@avalonking1655 2 жыл бұрын
Safi
Kwaya Ya Injili  NGHUBITA KWA YESU official music video
7:55
INJILI BUIGIRI DODOMA
Рет қаралды 39 М.
KIJANA ANAYEIGIZA SAUTI YA RAIS SAMIA AWAVUNJA MBAVU MKUTANONI
6:59
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
BILLY MWANGI - THE HEARTBREAKING PAIN OF ABDUCTION
35:29
THEE ALFA HOUSE
Рет қаралды 118 М.
OFFICIAL VIDEO-LEKA DUTIGITE VIDEO-KIGOMA ALL STARS
5:43
ACT MEDIA
Рет қаралды 19 МЛН
Elisée Kashala tata leza wafako
5:19
Elisée Kashala
Рет қаралды 3,5 М.
YAKUTUMBA TALEMWANA :(official video)AKINA MAMA WALEZI WA WATOTO
9:35
Kalu Mwana Fizi[Mbondo]
Рет қаралды 48 М.
Japap - Aqueeno Chogo (Official Music Video)
11:03
AQUEENO CHOGO OFFICIAL
Рет қаралды 2,2 МЛН
SAIDA KAROLI × KYZZOBOY OBIYO _omfudo Mwoyo (visualiz)
4:18
Kyzzoboy Obiyo
Рет қаралды 159 М.
CIMOTHEO YAKULONGA
10:09
Efatha Choir-Mima
Рет қаралды 323 М.
WANANYATA NA SOKYE (babondo song, kibembe song)
8:51
Let mix Shabani
Рет қаралды 305 М.
Kwanini Mmenyamaza? Official  Video Hd _ New Gethsemane  1080p
6:30
K V & Media's Channel
Рет қаралды 760 М.
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН