Ep 115 part 2 BEDROOM SECRETS, DREAMS, RELATIONSHIPS & EMOTIONAL DAMAGE The Weekend Update

  Рет қаралды 18,792

Iko Nini Podcast

Iko Nini Podcast

Күн бұрын

Пікірлер: 47
@Bigyield001
@Bigyield001 21 күн бұрын
Iko nini is my cup of tea nowadays 😂
@kabuthakabutha9472
@kabuthakabutha9472 21 күн бұрын
These guys bring story za base online. 😅😅
@arkei4003
@arkei4003 20 күн бұрын
Welcome to the family 😂
@oj.brayan.7608
@oj.brayan.7608 21 күн бұрын
Ndoto tunazo, tatizo usingizi. We have dreams, the problem is sleeping too much. You snooze you loose.
@BritBoundDiaries
@BritBoundDiaries 21 күн бұрын
Si kwa ubaya, but Kileleshwa is the middle-class Pipeline😂
@kannstduvergessen1712
@kannstduvergessen1712 16 күн бұрын
Ian na Himothy karibu wafanye niingie pawnhub kusearch waterboarding. 🙊🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️😂 Litt episode.
@denniskiprop1825
@denniskiprop1825 21 күн бұрын
I've watched @Iko nini the whole night. I'm extremely happy to get the event live now
@KAGECHU_JOHN
@KAGECHU_JOHN 20 күн бұрын
45:30 mwingine ni Nomani mrembo rangi imeshika kama ya crown paint 😂😂
@edmunddianga8641
@edmunddianga8641 21 күн бұрын
Ian Acha ujinga😂😂😂
@stux1143
@stux1143 20 күн бұрын
Hahha napenda vile Mwaf hureason na movies ka example kwa vitu serious 😂
@Laikipianbandit031
@Laikipianbandit031 21 күн бұрын
Watching live from church 🙏🙏🙏
@stevolul1956
@stevolul1956 21 күн бұрын
Hiyo nguvu sijui unatoa wapi especially na ufala za Rapcha na Ian.
@Laikipianbandit031
@Laikipianbandit031 21 күн бұрын
@stevolul1956 😂😂😂😂Niko zangu church afu naona premiere nasiwezi ngoja service iishe😂
@bakaribakari_
@bakaribakari_ 18 күн бұрын
Toeni Ian kwa hii set tafadhali.. Hii raiyaa inaboo
@festusmutiso4127
@festusmutiso4127 18 күн бұрын
Ndoto tunazo, tatizo usingizi. We have aspirations but we are too lazy to work on them
@KIM-xl6zs
@KIM-xl6zs 21 күн бұрын
Na venye nilikuwa naona papoose ni gangster akisema (I got newyork city at the palm of my hands) kumbe ni upuuzi tu
@RootsMizizi
@RootsMizizi 21 күн бұрын
😂😂😂 corner kama Arsenal 😂
@Zirkzee95
@Zirkzee95 21 күн бұрын
Hiyo theory ya Zack ni uongo 😂😂
@juniorngatiri4671
@juniorngatiri4671 20 күн бұрын
Gani😂
@KAGECHU_JOHN
@KAGECHU_JOHN 20 күн бұрын
Theory ni mingi kuna ya tape measure kuna shingo na mkono na kadhilika
@simonkaraku
@simonkaraku 21 күн бұрын
Sherehe pia inajipa na weekend update iko nini
@kelvinmulumba4689
@kelvinmulumba4689 21 күн бұрын
The reason why chelsea doesn't have a shirt sponsor is that they feel without being in the champions league they won't utilise their maximum marketing potential that's why they decided to only sign a year deal with 3....
@bobkagoh8661
@bobkagoh8661 17 күн бұрын
You guys are always on some stuf, daaamn munanimalizanga ajab 😂😂😂😂
@mikekim5595
@mikekim5595 21 күн бұрын
Iko nene
@wellingtonokumu3427
@wellingtonokumu3427 21 күн бұрын
Pigeni Ugali mtajua usingizi ni nini
@kennedykajoles8111
@kennedykajoles8111 21 күн бұрын
Waaah panty ya jeans 😂😂😂
@KushMuhoreri
@KushMuhoreri 19 күн бұрын
Usiku unaweza kuwa karibu kulala, kidogo uanze kujiuliza mahali birth certificate iko. Na hivyo ndio usingizi ilienda!
@eliud_karuga
@eliud_karuga 8 күн бұрын
io part sijaskia poa ati girth hutoshana na nini ??ni me miss joke 😂😂
@brightonsproductions
@brightonsproductions 19 күн бұрын
rapcha hunimaliza na hio accent ya kiluhya
@khanyweraJM
@khanyweraJM 21 күн бұрын
Iko nini 💯
@habari254
@habari254 21 күн бұрын
NASUBIRI KWA HAMU
@tedpotty
@tedpotty 18 күн бұрын
Huyo wa wrestling ni Scott Steiner
@Twinn48
@Twinn48 21 күн бұрын
Dj Zack understands Swahili
@Barakababu
@Barakababu 21 күн бұрын
IKO NENEEEEE
@Bigyield001
@Bigyield001 21 күн бұрын
Shida usingizi😢
@waltertremaine6118
@waltertremaine6118 21 күн бұрын
#ikoneneee
@marywanjiru3511
@marywanjiru3511 20 күн бұрын
😂😂😂
@douglang2327
@douglang2327 21 күн бұрын
iAN ANABOO
@1_Guru
@1_Guru 20 күн бұрын
We mwanaume huna aibu unataka mwenzako akubambe.
@bakaribakari_
@bakaribakari_ 18 күн бұрын
I keep saying this, hii raiyaa haifai kuwa kwa podcast. There's nothing interesting about him.
@lenleno2857
@lenleno2857 17 күн бұрын
Shameless.. unasemaje mwanaume anaboo..Kwani nyi ni wamama...untaka mwanaume akubambie nini?
@douglang2327
@douglang2327 17 күн бұрын
@@lenleno2857 Akili yako inakaa imeingiwa na baridi kama uyo Ian wa Kabete...umbwa wewe na uyo Ian unatetea
@douglang2327
@douglang2327 17 күн бұрын
​@@1_Guru vile we umeficha sura yako kwa account yako ndo vile Ian anafaa afichwe kwa hii podcast...asionekane...Matako
Ep 114 part 2 GACHAGUA, MASSAGE, CRIME & MOVIE NIGHTS The Weekend Update
1:11:41
ВЛОГ ДИАНА В ТУРЦИИ
1:31:22
Lady Diana VLOG
Рет қаралды 1,2 МЛН
Churchill Presents Rapcha Sayantist Raw n Unkut 2
1:05:22
Mwafreeka
Рет қаралды 57 М.
Hell Of A Ride - Young & Stupid 9 Ep 2
48:58
Abel Mutua
Рет қаралды 273 М.
Ep 393 USA MYSTERIOUS DRONES, JAY-Z DIDDY CASE, FIRE & ONLINE RELATIONSHIPS
1:05:46
Ep 389 NIS AURA, PATTNI GOLD SCAM SCANDAL, AI'S ISSUE & TANZANIA
1:11:43
Iko Nini Podcast
Рет қаралды 22 М.
Ep 367 WEB MD, KIBIWOTT, HANIFA & ROAD ACCIDENTS Iko Nini Podcast
1:16:25
Iko Nini Podcast
Рет қаралды 22 М.