Рет қаралды 31
Jamii, tamaduni, na dini duniani kwote ulimwenguni zinazosherehekea mwanzo wa mwaka mpya. Sherehe hii ni kati ya Sikukuu kongwe na zinazozingatiwa ulimwenguni kote.
Je, kwako Mwaka mpya unamaanaisha nini?
NINUNULIE KINYWAJI NA SAIDIA HUDUMA HII KWA KUCHANGIA
Airtel money: +255 (0) 784 662 2210
📌TAFADHALI KUMBUKA:
Maoni yoyote kati ya yaliyotolewa na wazungumzaji si lazima yawakilishe maoni ya huduma hii (Injili nje ya Kuta za Kanisa) au miradi mingine yoyote ambayo inaweza kuwa nayo au kunuia kufanya. Injili nje ya Kuta za Kanisa na washirika wake hawatetei wala kuunga mkono shughuli yoyote isiyo halali kwa mtu yeyote au jumuiya.
Baraka nyingi kwako.