Kuhusu watu kufika marekani na wasicheze mpira wa kimataifa,. Shida nikwamba opportunity zote za kimataifa zinatoka shule ,. Kama unakipaji na haujabaatika kupita high school huezi fika mbali,. Kwasabu huna elimu na huezi kuonekana kwa masponsor Sio kama kibu , kibu alitoboa local au huo ndo mfumo wa africa ila kwa mfumo wa ulaya lazima upite high school Mfano imani kamungo dalas fc