SubhanaAllaah kwakweli twawajibika kusoma dini yetu🥲🥲🥲sababu huyu ni mtihani sana
@mozasaid38693 жыл бұрын
Mtihani kweli kweli!! Kwenye dini watu wako mbali na dini!
@lkshmykomar54723 жыл бұрын
Mashallahu jaman tusomen dn yetu duniya imeisha hii kwel usmtazame mtu kwamuonekano wake
@fatumamwalimu57653 жыл бұрын
Ajabu nikwamba siku hizi mitandao unasoma dini vizuri sana
@johntay88133 жыл бұрын
Subhaanaallah Allahu Akbar shida kwa kweli yani unapo muangalia mtu unajuwa dini ipo ilatuarakie madrasa kwakweli ayachanguwi umri wala rangi wala kabila ukweli nimaskitiko kuona atujuwi siraa yani estoria ya dini yetu mwanzo hadi mwisho ingalau tusijuwi yote ila ata machache kama hayo
@abdullatifrashid11013 жыл бұрын
Wamekula hasara kazi kusoma magezeti ya mpira tu
@humeiraahmed96733 жыл бұрын
Swahaba aitwa ALLY BIN ABUTWALIB (R.A)
@ummutaswaufi39803 жыл бұрын
Shukran jazillah
@zully7563 жыл бұрын
Ally bin abitalib
@ibugharib3893 жыл бұрын
INNALLILLAH WAINA ILLAIH RAJIUN huu mtihani jamani Ndio maana nimeona siku kadhaa watu wanamuombea asiye muislam aingizwe peponi wakati mtume Muhammad alikatazwa kufanya hivyo
@saba-gv3mj Жыл бұрын
Said Saidna Ali radhiyallahu anhuu
@najmaally75562 жыл бұрын
Mashanllah
@janethmachela35303 жыл бұрын
Ungekuwa mpira hapo,alishajibiwa zamani
@aishakinia49573 жыл бұрын
Naam ni Alli bin abutwalib ndie aliemuoa mtoto wa mtume Mohammed (s.a.w.)Fathima
@amisiamisi44892 жыл бұрын
alii ibun twalibu
@mohammedmbarouk77113 жыл бұрын
Vijana tunahitajika kuusoma uislamu na sio kujishughulisha na mambo ya kidunia tuu
@azizauledi41083 жыл бұрын
Mzee mzima kujifanya ujuaji na wala ujui dini yako aibu duuuuu yaraab tunusuru.
@iqbalomar91623 жыл бұрын
Kukosa swali haimanishi hujui dini.
@zully7563 жыл бұрын
Wanamjua diamond na harmorapa
@sadantashavu2933 жыл бұрын
Subhana Allah.... ndugu zanguni tuisome dini 😢
@fatmamsellem2 жыл бұрын
Aliolewa na sayyidna ali
@a.8563 жыл бұрын
Jazakallah khayran
@khadijakhamis3813 жыл бұрын
Swali jepesi la Leo lkn limewachanganya jamaa Sana 😀 jamani kusoma hilmu y dini muhimu
Allah azidi kuikuza kishk TV tunaelimika sana kupitia darsa zenu...
@othmanali74083 жыл бұрын
amin
@rahmaabdulla49493 жыл бұрын
Amiin
@safiaothman10983 жыл бұрын
Aamiin
@khadijahali48373 жыл бұрын
Swali rahisi sema ndo hvy tuu 🤔🤔 ila jmn muende na mbagala kila siku maeneo ya temeke tuu 🏃♀️🏃♀️
@jarsjam88943 жыл бұрын
Alimuowa Aly bin abyttalib
@missrukia96612 жыл бұрын
Tutafutien naaisi akina mama maswali hayo shokhe kishiki
@anchuanchu38783 жыл бұрын
Maa shaa ALLAH...... Nasi twasoma
@mikidadihussein51523 жыл бұрын
Saidina Ally
@muhammadkipangatv26742 жыл бұрын
Jifunze quran kusom kuandik gusa pich yang hapo kama hautjl
@johntay88133 жыл бұрын
Nimefatilia nyuma sanaa ila nimeona wanaume awapendi kujifuza sababu wamesha kua baba na familia
@saay42733 жыл бұрын
MashaaAllah
@aishaarusha8943 жыл бұрын
Alliy
@jamalathman62193 жыл бұрын
Mashallah
@zaitunisinamenye17993 жыл бұрын
Mashaa Allah, tabarakallah
@hudhudnabil88423 жыл бұрын
Njooni na huku znz
@mahajk19503 жыл бұрын
Subha nallah
@nooraallahuakibarumwenyeez30793 жыл бұрын
Kuna hadithi 1 mtume muhammad s.w... anasema mwenye kumuudhi fatuma ni km kaniudhi mm na mwenye kuniudhi mm ni km kamuudhi Allah fatuma ni mwanamke wa peponi kwa jina la Qauthar
@mwajomaessa75133 жыл бұрын
Masha Allah 🙏🙏🙏
@aliomarbakar69243 жыл бұрын
saydna ally
@azizauledi41083 жыл бұрын
Yaani we mzee afadhali ungekuwa unajua swali ndio ungeleta hz mbwebwe zako .
@mamawa3mamawa3213 жыл бұрын
😂😂
@sakinat25273 жыл бұрын
Eti analeta mbwembwe na hamna kitu hahahaaa mtihani kweli
@tareqhilal67503 жыл бұрын
Aliy
@fatumamwalimu57653 жыл бұрын
Jamani swali rahisi kama hili linashinda vidume wengi hivi!!
@rehemasalim45903 жыл бұрын
Mashallah tabarakallah
@saudambinga38323 жыл бұрын
🇴🇲 Masha Allah
@firdausyalhaji55693 жыл бұрын
Ila huyu anichekeshaga saana😄😄😄😄
@nooraallahuakibarumwenyeez30793 жыл бұрын
Kusoma dini ni muhimu sana aliy abutwalb kamuowa fatuma kazaa watoto 2 hassan na hoseyni na aliy na huseyni wamezikwa iraq hasani yupo na babuyake fatuma hakuna anaejuwa kabuli yake
@claudetiddy67583 жыл бұрын
Ali bin bitwalib
@aminaabdallah77023 жыл бұрын
Mtume alikuwa namtoto moja wakike ndo huo fatma alimza nabi hadija wengine nimadume kama kasim lakini walikufa wote kabla
@almashally88083 жыл бұрын
nop alikua na watoto 7 wa 4 wakike 3 wakiume
@mwanaimaabdallah78253 жыл бұрын
Umechemka
@aminaabdallah77023 жыл бұрын
Ni Ali bin Ali hutabu ndo alimuoa binti fatma Mohamad rasululah
@Yu-jr9uf3 жыл бұрын
Assalam alykum alykum shekh..shukran kwa kipindi kizur mashaallah!! Lakini naomba kufahamu hizo ads zinazotangulia kabla ya video mmezirequest kutoka google au zinakuja automatic tu
@jumanne_mlewa3 жыл бұрын
Zinakuja zenyewe tuu sio Sisi tunaziweka
@Yu-jr9uf3 жыл бұрын
@@jumanne_mlewa shukran shekh.. ahsante kwa elmu mnayotupatia
@jeanmariendikuriyo41743 жыл бұрын
Dini jamaani tumepudhia Allah atunusuru
@jasminjuma63903 жыл бұрын
Ally bin abutwalib
@rehemasalim45903 жыл бұрын
Jumanne ebu changamka kama mwenye kipindi chake mtu akisema kasahau anampelekesha pmk anakumbuka🙄
@jumanne_mlewa3 жыл бұрын
Asantee nitajitahidi Inshaa'Allah
@fatumamwalimu57653 жыл бұрын
Uwa hawaja sahau ukweli nikwamba hawajui, sasa akikomalia mtu mmoja na hajui faidi ni nini?
@rahmaally51283 жыл бұрын
But inachekesh dose watu majib yao hahahahah ila na msiba watu wingi ilmu ya dini hatuijui Allah atuongoz ktk kuitafut