Hisa pia inawezekana kutumika kama dhamana kwenye mikopo
@mindsettinginitiative6 ай бұрын
Nashukuru sana Ebenezer kwa input. Unaweza tupa some more info? Labda ni bank zote au baadhi zinakubali? Taratibu gani zinafuatwa?
@EbenezerJohn-qu6cv6 ай бұрын
hisa ni mali na kama hisa ni mali unaweza kuitumia kama dhamana kwenye kuomba mkopo Benki yeyote kwasababu ukienda kuomba mkopo uwa wanaitaji dhamana zako na hisa ni dhamana pia Tena yenye thamani kubwa Moja ya Assert class kubwa Dunia hisa ipo pia.
@mindsettinginitiative6 ай бұрын
@@EbenezerJohn-qu6cv shukrani sana kwa hii taarifa. Naamini kuna mtu itamfaa sana.