Rasulullah (S.A.W) baba alipofariki alikua na miezi 6. Na mama ake aliletewa tu habari kma mumewe amefariki na alizikwa katika hiyo safari aliokwenda. Wabillah taufiq
@isihaqarajabu8374 Жыл бұрын
Mtume wakati baba yake anafariki alikua tumbon kwa mama yake bado hajazalliwa,kaana fii batw,n ummihi
@sophiajuma6798 Жыл бұрын
Mtume babaake alipo fariki alikuwa bado hajazaliwa inamaana alkuwa tumboni la maake.