Uko sawa mzee. Wakukuelewa ni wachache. Wewe ndio muislamu wa kweli mpenda amani.
@obedlange5375 Жыл бұрын
Shekh nimekuelewa sana tena sana hawapaswi kugombana kuhusu hii habar ya mashekhe kwenda Arusha bali wamwabudu na kumtolea MUNGU. Acha mtu amtolee Mungu
@aminaalabri4170 Жыл бұрын
Innalilah wainna ilayh ragioun tutaona Mengi dunia inapofkia ukingon
@hawandosi2500 Жыл бұрын
Wewe mzee akili Yako haitoshi na hauna uislamu wewe na yule anaejiita imam mahadi ni nisawa
@dailantz407311 ай бұрын
Kweli sana kk bina dam nichuki zawajinga hakuna kama nabii mkuu kama kuna shee hamoyo kama nabiii hajitokeze nione
@ellymwakapyanila9274 Жыл бұрын
Hongera sana ustaadhi Kwa kupangua hoja Kali za mitego ya mwandishi ili ujikwae. Ubarikwe.
@samwelkitiku7087 Жыл бұрын
kweli nampongeza kwa maswali ya kina kuyajibu kwa kina.....
@ابنعثمن Жыл бұрын
Hakuna ustadh hapo man, ni mchongo tu.
@yussuphsultan1400 Жыл бұрын
Umewadhania tu masheikh kuwa wake zao wanaenda kwa mwamposa, dhana kama hiyo si sawa. Maelezo yako hata kama ni mazuri vipi hayahalalishi muislamu kufanya kama walivyofanya!!!
@najmaalabri8835 Жыл бұрын
Mtangazaji Mashallah maswali yako Allah akupe imani zaidi
@adijahmdosi5863 Жыл бұрын
Kiyama hicho mwenyezi mungu atunusuru maana mitihani kila aina itajitokeza hiyo tayari ni mtihani mkubwa sana Mwenyezi Mungu atuepushe na fitina za masihi dhajali
@omarothman6608 Жыл бұрын
Asantesana Adam Hussein nimeuona ubora wa taaluma yako ya khabari ongerasana kwamaswali mazuri
@stanslausmteme8455 Жыл бұрын
Yeah jamaa yupo vzr sn is real professional mi nawaelewa sn waislamu wengi wakisoma dini na wakisoma elimu ya circular wanakua vzr sn ila huyo mzee ustadhi ana hoja nzuri
@comredmuslimmputa2275 Жыл бұрын
Duhhhhh Allah akuongoze mzee wangu,unajazba Sana,sikutoi uislamu lakini kuna mahali umeghafirika mahali,naona dalili za uislamu kwako ziko wazi wazi lakini umekosa tawadhui,pia elimu uliyonayo unapaswa uongeze,hujafika level ya kutoa fat'waza mambo makubwa hivi Kishq ni mtu wa Qur'an utalaanika ukimbeza Mzee.
@asiamwenda1108 Жыл бұрын
Mtangazaji MashaAllah, umemuuliza maswali mazuri sana huyo mzee, kwa hakika mzee amepotoka na kama kweli yy ni muislam akatubu.
@charlesmapunda5905 Жыл бұрын
Huwa hampendi kuambiwa ukweli mkiambiwa ukweli mnaanza kumritadisha mtu mara Kafiri mara Muritadi ili mradi mkwepe ukweli. Kwahili wajinga tu ndio hawata muelewa huyu Shekhe kwa kusema Kweli tena kwa Mifano
@asiamwenda1108 Жыл бұрын
@@charlesmapunda5905 usilolijua ni kama usiku wa giza
@bennyngoye8707 Жыл бұрын
Asia anza kutubu wewe,hajakosea kitu ni saula la uelewa tu.
@bennyngoye8707 Жыл бұрын
@@charlesmapunda5905 Ukweli mtupu kaka.
@jameschumbula7351 Жыл бұрын
Chanel hii mnajitahid sana🔥🔥🥰🤗 ila sasa tatizo lipo kwa uyo mtoa like 🤔🤔 kama kabez upande mmoja sana bado ana uyeye sio ktk kujenga😔😔 ili wote tufike panapo takiwa😢😢
@faridaabdullah696 Жыл бұрын
Nakupa pongezi mtangazaji uko vizuri mashaallah kwa maswali yako
@girbetpaul8309 Жыл бұрын
Usitadh nimekuelewa Sana, Mimi ni mkristo una uelewa mpana Sana, ila mtangazaji anataka kukutoa kwenye mantiki.
@khadijasalum2302 Жыл бұрын
Mtangazaji keep going nimekupenda maswali yako
@shabanmohammed5152 Жыл бұрын
Wewe c ostazi mshenzi
@mamamaryam5447 Жыл бұрын
Wewe mzee umechanganyikiwa
@najmaalabri8835 Жыл бұрын
Mtangazaji mashallah nimekupenda sanaa
@nehemiahmgawe975 Жыл бұрын
Mzee wangu mwenyezi mungu akulinde na akupe hekima nguvu na maarifa kila siku,maana umeijua kweli ile ya mungu .
@lilykarim8968 Жыл бұрын
Amina kubwa wapenda magonvi hao mungu awasamehe hawajui walitendalo
@williamnamende1023 Жыл бұрын
Mzee umeongea ukweli waislamu wanapenda sana migogoro na ubabe
@khelefomary4486 Жыл бұрын
Hujui ulisemalo. Hata hiyo biblia hujui. Manake ilikwisha sema watakuja manabii wa uongo. Pia uislam sio magomvi Bali unapokosea na ukaenda kinyume na sheria za uislam hapo ndio unatafuta magomvi
@danielyahya468 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe upo vizuri sheehee mwenye kujua ukwer, Nakusaidia katika biblia nabii mkuu yupo Luka 7mstar 16. Kasome uweze kuwajibu vema.
@engzuberir.akilenza1764 Жыл бұрын
Hizi njaa noma sana kumbe Dajali/ibilisi akitaka kuvuna watu kazi yake itakuwa rahisi sana.
@rehemaphillingsonmlawa4206 Жыл бұрын
Nampa pongezi baba yupo vizuri sana naaelewa nini maana ya dini wala ajachanganyikiwa wala nini anaelewa kila anachoeleza safi baba.hawaelewi wao wajitafakari matendo yao.pia wanapenda sanakujihesabia haki wao.
@aishakinia4957 Жыл бұрын
Subhanaallah Allah atusamee hujui unachokiongea kiukweli njaa inakuzuzua. Njaa inapeleka watu wabaya iviii unampongeza mtu asie jua Shahada. Subhanaaaallah
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Umeona Ustadh wa mchongo huo
@ashaabdalla924 Жыл бұрын
Ustadh atakuwa yeye aache kujiita hili jina wakati hana dini
@saleemadhiyabalkhatri7800 Жыл бұрын
@@ashaabdalla924 kweli huyu babu njaa inamsubua eti anajiita shekhe angejiita hilohilo jinalake mashaka hajui analo lineman wanaupenda ushekhe na hawaujui yy mashakatu mywagongo na chawa wa jodev babu mbishi ka busha la kutendewa
@sefunduwayo7388 Жыл бұрын
Uyu mzee anaponda uislam kbs
@maryammdoe5801 Жыл бұрын
Innalillah wainna ilayhi rajioun Allah atuongoze ktk njia ilionyooka na sio ktk ile yawaliokasirikiwa , Subhanallah Subhanallah Astaghafirullah Innalillah wainna ilayhi rajioun
@abdoulwamana Жыл бұрын
Kabx
@mpjackson9543 Жыл бұрын
Ostaz nimekuelewa haswaa,dini nidhana yamikitaniko ya watu ,ikiwa mtakutania kirabuni basi mtapewa jina leni,ikiwa sokoni mtakuwa na jina lenu ,mkiwa sokoni mtakuwa na jina lenu ,"so hizi dini zilizopo hapa duniani zilipewa majina kutokana nakile walicho kiona walio
@ibrahimaziz7158 Жыл бұрын
Ndio mana uislamu hauendi mbele km huyu mzee nae anaitwa shekhe kazi tunayo kubwa sana na inaonekana huyu mzeee ndie alietoa connection akawaingiza chaka wale wapuuzi wenzake
@rithersospeterkati3355 Жыл бұрын
Nimekuelewa uko vizuri.
@bennyngoye8707 Жыл бұрын
Naomba nimsaidie mtangazaji,nabii mkuu ni kama aka tu,Diamond anajiita simba,harmonize ni tembo,so ni kawaida tu,tunaangalia mtendo yako tu kama yana mfaa Mungu.
@saidmduchu8100 Жыл бұрын
Alhamdullilah mimi nimeelewa vizuri sana na nashkuru sana kwa ufafanuzi inshaalah ikiwa lengo la kuwa hapo arusha ni kwa ajili ya m.mungu na mtume wake basi hamna kosa ila ikiwa hapo munaenda kinyume na ivyo basi mnapaswa kutubia
Mwongo wewe mzee, Mungu aliweka utaratibu wa maisha(dini) tangu zamani acha kudanganya watu, utaenda kuungua vibaya.
@jumamustapha8254 Жыл бұрын
Subhana lah.
@chancekambale3498 Жыл бұрын
Waeslamu wabishi sana Gisi alivio sema Kanisa ni Riho ya mtu Na Roho ya mtu ni matendo yake" Kumbukeni hata Shetani afanye mema kiasi Gani mwishowe ni moto" matendo yamtu ikitoka kwenye Roho Ita ishia Wapi?
@fatmakhanii1676 Жыл бұрын
Jina lake tu linajitosheleza mashaka matupu Allah atuongoze na atupe mwisho mwema mana tutaona mengi zama hizi 😢😭😭eti shekhe mtihani
@husna34562 Жыл бұрын
Mtihan
@husna34562 Жыл бұрын
Amiin
@husna34562 Жыл бұрын
Kibri kinaangamiza
@rahmaarrington9019 Жыл бұрын
@@ladislausngoyinde4384 Jina la Fatuma kaangalie kwenye kamusi nyumbani kwako
@jamesionori4057 Жыл бұрын
Mimi nimependa maswali ya mtangazaji anavyo muliza shekhe na vile anavyo jibu shekhe
@fadhilahaji8719 Жыл бұрын
Huyu yupo kimaslahi zaidi subhanallah
@اللهأكبر-ذ7ث3س Жыл бұрын
Huyo ni Mkristo usipate tabu
@aliujendo Жыл бұрын
Sio mwisalamu huyu
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
@@aliujendo unamhukumu wewe kama nani au Mungu ni mjomba ako? hata ukisema siyo muislamu inakusaidia nini? acha kuabudu dini ndugu utachomwa na moto wa mwenyezi Mungu siku ya mwisho
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
@@اللهأكبر-ذ7ث3سasante siye waKiristo tunashukuru kwakutupatia muumini tena alosoma dini
@mwanamkasihiribae5450 Жыл бұрын
Mwenye akili atajua huyu sio muislam kabisa
@stellah3844 Жыл бұрын
Mungu wetu ni mmoja kila mtu Atajibu kivyake siku ya kiama au umaut ukimkuta maana hajuna mkamilifu chini ya jua
@twaibutwabibu8809 Жыл бұрын
Allah atuepushe na upotevu wa namna hii.
@husseinhamza4819 Жыл бұрын
Mtangazaji hii Dua inakuhusu Sana Rabbana zidna war-zuq-na fahma. ALLAH akubarikie Sana.Wewe umetosha Sana kumpa il-mu huyu mzee. Tena huyu mzee hajui kitu chochote.
@athumanisese5580 Жыл бұрын
Huyo ni mnafqiiiiiii.... Kichaaaa huyoooooooooookk
@bintsalimalbimany287 Жыл бұрын
Ndug mtangazaj nimekupenda Kwakwel Jazakallah kher caus na wewe umembana Sana uyu Babu👏👏👏
@ukhtyrayyan7884 Жыл бұрын
Usimwite ustadhi hana ustadhi mmoja
@fathiyahmuzney7367 Жыл бұрын
Ukhty siku hz huna zile group zako za mafunzo?
@saleemadhiyabalkhatri7800 Жыл бұрын
Huyu mashaka sasa anataka mashekhe watoe sadaka ndio angewafata kwasababu jodev anatoa sadaka hajui sadaka hizo zinatolewa na waumini maskini unadhani huyo jodev atoe pesa kugaiya watu subutu anakula jasho la wamaskini huyu babu anahusda na mashekh sasa hao mashekh feki mbona walijitangazakwenye vyombo vya habari sasa wao shekh kuwatoa kwenye vyombo vya habari kosa alitaka akawaulizie chumbani babu fyaty sita kasorobo ananikera natamani alaa kumbe anafata pesa njaa
@saleemadhiyabalkhatri7800 Жыл бұрын
Eti wewe shekh toa uone kama watu hawata kufata maana yake anafata pesa we mzee wewe mungu anakuona mnafik mkubwa we mashaka pumbazu mpuuzi mmoja
@TwahaMaziku Жыл бұрын
Mtangazaji hauna elimu sana ya sini lakn umejitahidi sana kumkamata huyu bwana asiejielewa hongera
@shamimhayat7637 Жыл бұрын
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu
@lilykarim8968 Жыл бұрын
Kweli shida iko wapi? Huo ndo ukweli mzee yuko sawa
@jameschumbula7351 Жыл бұрын
🔥🙏
@mwakilulelefrancis280 Жыл бұрын
FATHER UKO VIZURI MTU AKIKUSIKILIZA KWA MAKINI MUNGU HAKUTUUMBA TUSIFUKILIE ILA KUNAWATU VICHWA VYAO HAVIWAZI BALI HUPELEKESHWA TU WW NI GUNNIES SALUTE KWAKO UNAJITAMBUA
@mwarimuhamed5665 Жыл бұрын
Subuhana Allah mzee akasome asitupotole watoto wetu njaa mbaya jamani🥺🤔
@naimamasoud2083 Жыл бұрын
Sheikh umetisha...Ndugu Mashaka....🙏🙏
@zakatizakatyasini2026 Жыл бұрын
We mzee mashaka nakufahamu vzuritu tangia utoto Wang we tangia lini ukawa shehe kazi yako kushika nyokatu Tena mm nimecheka nawanao una watoto wa4 shabani Aisha na mwanaidi wamwesho ni fatuma we sio ustazi hata kdogo
@zakatizakatyasini2026 Жыл бұрын
Unakumbuka kipndi Cha utoto Wang ulitaka kunifanyia nn hebu acha zako ww Wala sio ostaz
@mbuerecarlos1396 Жыл бұрын
Sehk wa Kilimanjaro safi sana kwa kueleza ukweri mtupu. Tunaambiwa ukimuukumu mwenzako utaukumiwa na wewe pia.Mzee umesimama himara uko vyema. Mungu yupo nawe akuongezee NGUVU zaidi.
@surehamlela8538 Жыл бұрын
Safiii sana ustaadhi mungu akutunze
@lilykarim8968 Жыл бұрын
Amina watu hawa wanapenda vita sanaa
@OnlyRuky Жыл бұрын
Audhubilahi Minasheitwani Rajeem Astakhafirulah Subhanallah Inalilahi Wainailahi Rajeehun I'm from Arusha I know Geo dev since 200o....alianzaga kuact unabii mpka alipofika hapo Wewe pia Siyo Muslim Hakikah Muslim hawezi sema haya wala hauna uustadhi wowote Yes USTADHI WA MCHONGOOOOOO
@hashimswaibu9827 Жыл бұрын
Tupelekeni watoto madrasa kwa nguvu zote insha allah
@khadijaissa6007 Жыл бұрын
Saaaana saaana na tuwafunze na Aqiida sahiih
@melaniabetho7902 Жыл бұрын
Mtangazaji imepungua Kwa hoja zako, ustadhi yupo na majawabu sahihi. Dini haitupeleki mbinguni...watu wa Mungu utawajua Kwa matunda mema. Matendo mema na Imani ya dhati Kwa Mungu ndicho kitatufikisha mbinguni
@thechosenone.9169 Жыл бұрын
Umeongea vizuri sana ustadhi,unapenda haki,mimi ni mekusikiliza nimekukubali sana!
@azizamohamed7692 Жыл бұрын
Nimekusikiliza ila sijakuelewa kwa upeo wangu
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Kwakwel nayeye yupo kimaslah Astaghfiru llah
@shafiismaily9223 Жыл бұрын
Mzee hana elimu hata kidogo!!!!
@boraimanijumamahenge7554 Жыл бұрын
Aziza una vituko sana 😀😀
@azizamohamed7692 Жыл бұрын
@@boraimanijumamahenge7554 yy mwenyewe yupo kimasilah zaidi ndomana anatetea ujinga kwa elimu yangu ya dini niliyosoma japo ni ndogo ila sijamulewa kabisa anacho kizungumza
@mwanahelazahran9113 Жыл бұрын
@@azizamohamed7692to xxsssSas11
@fatlenebusinesspoint.472 Жыл бұрын
Allah ampe ilm uyu mzee.....hakika ni mchache wa elim
Allah amsamehe xana pia akae afikirie watu hawamuelewi coz unabii na utume haupo tena jamn hapo ndo tatizo lilipo pia huyo bwana asaidiaye cheo alichojipachika hakipo tena Dunian kwa mujibu wa imn ya kiislam Allah atunusuru na atupe uelewa wa kutosha
@afiahamad5983 Жыл бұрын
Innalillahi wainna ilaihi raanjiu'un
@robertphilip385 Жыл бұрын
Kwani huyo mungu wenu hajuikiswahili?
@habibumadege8187 Жыл бұрын
Bwana Aadamu mtangazaji baaraka llaahu fiyka,
@khadijamohanani6476 Жыл бұрын
Innalillahi wainailleihi rajiuun
@asiakheir8684 Жыл бұрын
Pole sana Adam husein unahoji mtu hajitambui et swala siyo matendo huyu dishi limeyumba
@tatuluanda6581 Жыл бұрын
Innalillah wannalillah rajuuni
@samiramadenge953 Жыл бұрын
Kila mtu sheikh siku hizi njaa mbaya sanaaaaaa 🥱 umeongea vitu vingi lakini hata sijafahamu kabisa🥱 🏃♀️🏃♀️🏃♀️
@neemajohn6142 Жыл бұрын
Mtangazaji unarudi kule kule kubagua oooh misikiti inayotambulika !! Madhabahu ni mabhabahu tuuu inatambulika na nani ? Au mm sijaelewa
@zulekhaa6817 Жыл бұрын
Huyu mzee ana njaa Anajifanya n anajipaisha ana elimu, kumbe ni ziroo pumba Njàa inamuhangaisha Mzee tunakuombea kwa Allah akuongoze na ukatubie
@emmanuelemmanuel3047 Жыл бұрын
nikwel mzee yupo sahii nimemuelewa Watu wama abudu dini sio Mungu
@bintsalimalbimany287 Жыл бұрын
Hadi mtangazaj amwpiga na Butwaa Ila Mashallah Uko vizur we Bro Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah KAKA dhahir MCHUNGE Matendo mema kama Huna Swala ni kama Vimbi linalopeperuka tu hajijui hajitambui huyu Babu
@maymunamakungu6265 Жыл бұрын
Njaa inakusumbua
@hamisiomaryi1699 Жыл бұрын
Njaa mbaya Sana uyu mzee hajui Hali semalo
@saleemadhiyabalkhatri7800 Жыл бұрын
Huyu mpuuzi mbishi fala tu
@mac_browntz4095 Жыл бұрын
Inalilah wainailah rajiun 😭😭😭 huyu Nae Njaa inamsumbua Nahisi nayeye anataka pesa kwanza Hana Elimu ya dini yeyeangeenda tu kuomba msaada hajiewi huyu mzee namuona Kama Ni chawa tu Hawa ndio mawakalla wenyewe hawa Asipotoshe waislamu
@mac_browntz4095 Жыл бұрын
Inalilah wainailah rajiun 😭😭😭 huyu Nae Njaa inamsumbua Nahisi nayeye anataka pesa kwanza Hana Elimu ya dini yeyeangeenda tu kuomba msaada hajiewi huyu mzee namuona Kama Ni chawa tu Hawa ndio mawakalla wenyewe hawa Asipotoshe waislamu
@deborah5550 Жыл бұрын
No mara waaa uyu baba kiboko, mimi na muelewa sana
@aishachambo8663 Жыл бұрын
Acheni kuhoji vichaaa
@saleemadhiyabalkhatri7800 Жыл бұрын
Wallahi huyu babu mashaka ni sita kasorobo hazikosawa
@samwelimwanja4105 Жыл бұрын
Mtu akiuongea vizur ukristo akiwa mwislamu inaonekana katumwa na wakristo ila akiulaani na kuutukana ukristo hapo ndio anaonekana hajatumwa na wakristo, kweli kristo ndio njia ya kweli na uzima; ufalme wa Mungu hauingii kwa matusi na kejeli na kudharau na kutukana wengine kuwaona kama wanyama eti wewe ndio unahaki kuliko mwenzako huyo sio Mungu Aliezihirishwa na kristo.
@charlzlomo9219 Жыл бұрын
Elimu ya MUNGU ni mpana sana huu ndio ukweli Truth never die.
@dawaseif3699 Жыл бұрын
Kwan huyu jamaa anaongea nn!!?
@pastorrusagarajosephsolo8692 Жыл бұрын
Afadhali wewe umemuelewa Kuliko hawa ambao miili yao ni nyumba za majini
@aminahussain3058 Жыл бұрын
Kaongea ukweli sana nimemkubali
@irenelyamuya5466 Жыл бұрын
@@pastorrusagarajosephsolo8692 kbsa 💃💃Yaan huu ni ukweli mtupu 📌
@engzuberir.akilenza1764 Жыл бұрын
@@aminahussain3058 hili ni jina TU au wewe ni muislam.
@bennyngoye8707 Жыл бұрын
Asante mzee wangu,hatimae nimekuelewa sana,na ni kwa wachache tu,sisi wote niwamoja.
@zaburi2386 Жыл бұрын
Muislam wa kwanza mwenye akili timamu ndo huyu baba hongera zake naomba yake nimtumie japo ya vocha
@mariammpangalala8423 Жыл бұрын
Huyu siyo muislam ni mkristo jamani, asituchananye, hana lolote, ni njaaa yake
@ashaabdalla924 Жыл бұрын
Hili babu halina dini kabisa
@madawamchuwa8253 Жыл бұрын
Huyu ni kafiri km wewe ndugu muislam hawi na akili za hovyo hivi
@suavisndayizeye5732 Жыл бұрын
Wtu wamezowea Injiri za umasikini, chuki na wivu, naona Mhe Nabii Mkuu GeorDavie anawalemea Sana. Simutulie
@fatumaali4275 Жыл бұрын
Allah akuzindue hujui ulitendalo,😭😭😭
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Kabisa
@sikitingabia2694 Жыл бұрын
Mfuateni Mungu sio dini,dini haipo mbinguni jitambueni
@samxx411 Жыл бұрын
Mzee M/Mungu akuongoe eatleast ujielewe tu mana hujui hata unasema nini almuradi na wewe useme uonekane.
@osamashakeeb7194 Жыл бұрын
Subhanallah 😭
@josephmsiri2245 Жыл бұрын
Mmmhhh waislam mbona hua mnakua na ubinafsi namna hiyo na matusi?? Mbona hamnaga hekima kama wakristo? Hivi mmewahi kusikia wapi wakristo wakawa na mijadala ya kijinga kama yenu?
@hiarijuma2684 Жыл бұрын
INNA LILAH WA INNA ILAHI RAJUUN. Mtaelewa MKIFA
@milley7185 Жыл бұрын
Wanatuita spirit of marine ila tunatoa sadaka na kujitoa kwa kadri na mali hakuna mkamilifu
@jumaamohamed4203 Жыл бұрын
Mwanaisha uko vizuri sana kwa maswali unayo muuliza hajui atendalo mbwa huyo
@saidothman2521 Жыл бұрын
Nimemsikiliza huyu mzee wangu kwa kweli nimwite mzee kutokana na umri wake ila itoshe tu kwa utangulizi wake kua ameifaham dini kwa akili yake na ufaham wake
@bennyngoye8707 Жыл бұрын
Mzee yko sawa sana,jitafakari.Mi naamini kwenye uislam na ukristo.We all one bro said.
@semidegreat4354 Жыл бұрын
Mtangazaj unajua sanaaaaaaaaa
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
🤣😂😂😂😂😂 Mashekhe zangu hakuna sababu za kumzungumzia huyu mtu, maana iko wazi kabisa ni jaaahil.
@VC-oo3cj Жыл бұрын
Mungu ipo siku mungu atakuuliza sikuile ulikuwa unacheka Nini? Si unatumikia binaadam,kwasababu uyu mzee kaongea ukweli ntupu wewe unampuuza,IPO siku
@devothabalisima9710 Жыл бұрын
Ustadh umenifurahisha sana. Umejaw hekima. Hata kama unasema ujasoma sana. Lkn maashalah Mungu amekujalia pakubwa! Hekma na staha.
@suhaylaabdullah4261 Жыл бұрын
Asanteee mwandishi unomhoji huyo jamaa uko vizuri saana kwa masuala yako unahitaji kupewa tunzo
@wiliammussa6273 Жыл бұрын
Waisilam wote wamesomea siasa huyu mzee anawashinda akili pia
@yusufulimo5737 Жыл бұрын
Wote wako vzr Sana Yan hi ni interview Bora mwanzo wa mwaka wengi tumejifunza zaidi ya maada ya mashekhe.
@aminasaid4174 Жыл бұрын
Innalillah wainnaillah rajiun
@zakatizakatyasini2026 Жыл бұрын
Namjua vizuri sana huyu mzee Tena duh muongo sana huyu
@mariamgodfrey53 Жыл бұрын
Safi sana nabii endelea kuwamwagia pesa ili wazidi kuja na ipo siku watakuja kukukwambia leo tumekuja kubatizwa na siku wakija usivunge watie maji fasta.
@abuushekimweri6641 Жыл бұрын
Nyooo
@mariamgodfrey53 Жыл бұрын
@@abuushekimweri6641 nyoo hiyo vipi njaa zitawaua watu wenu
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Innalillahi wa inna ilaiyhi Rajiuun 🤔🙄 nikajuwa utaongea ya maana duh Wew hujuwi naon nawewe upo kimaslah Sina mda kwakwel wakuskia utopolo kha 🥱🥱
@mariyammaria669 Жыл бұрын
Kwani kuna makosa gni Hwa Kati ya uslamu na ukirito Mungu ni wetu sote
@shabanimarima6127 Жыл бұрын
Huyu Mzee tatizo ni Elimu pamoja na jina mtu anaitwa Mashaka kuna nini tena
@muddyally8463 Жыл бұрын
Mtangazaji wamoto huyu babu daah mtihani kweli kweli...Njaa sio nzuri ndio maana nauchukia umaskini
@nassirbenzema9960 Жыл бұрын
jaman tuwemakini nawatu Hawa seivi wapowengi Sana ambao wanatumiwa kutaka kuharibu uwisimu wetu yaniuyo anaejita ustadhi ameishiya haliataka asante Adam umeonyesha kamawewe nimuwandishi bora walasibora muwandishi
Ukweli unauma bt ukimsikiza kwamakini uramuelewa kama unatumia macho ya inje huezi elewa
@teedullah5708 Жыл бұрын
Ela siyo Hao walo pewa zile pesa
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
waislamu mna abudu dini siyo Mungu
@hamadysarum6862 Жыл бұрын
Amna ositadhi apo
@yukundapeter8200 Жыл бұрын
Wape vidonge! Wengi wabaenda an kwa wakristo kuombewa,Safi sana.
@samsiakassakangeta1780 Жыл бұрын
{ لَكُمۡ دِينُكُمۡ وَلِيَ دِينِ } [Surah Al-Kâfirûn: 6] Ali Muhsin Al-Barwani: Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
@saidchombo5952 Жыл бұрын
Mtangazaji unamuhoji vizuri sana, mzee kavurugwa hii njaa mbaya sana
@yusuphkassim8117 Жыл бұрын
Mwehu
@noelbernard6390 Жыл бұрын
Wakristo Takbiiiir
@noelbernard6390 Жыл бұрын
Mzee ameongea point Sana.
@robertabel6984 Жыл бұрын
Kwahiyo??
@halimahbwelele694 Жыл бұрын
MashaAllah mtangazaji mwenyezi mungu akuongoze kwa Kaz nzur, hyo Mzee n kafir kapotoka na njaa inamponza
@jumaibrahim6312 Жыл бұрын
Huyu aneyejiita ustaadhi hana elimu ya uislamu. Kwa mwenye elimu hasa hawezi sema hayo anayoyasema. Hivyo anavyojiita huyo Geodavie kuwa nabii hilo siyo jina ndugu ila alivyojiita nabii ni cheo hicho. Sasa wewe unataka kutudanganya.
@user-to6up4hg2w Жыл бұрын
Mtangazaja mzuri sana mashalla
@shabaniabdallah7554 Жыл бұрын
Mzee hayo hayana mashiko wewe wazi kabisa unashida
@shabaniabdallah7554 Жыл бұрын
Kwa hiyo mwisho wa uyo nabii mkuu atatangaza dini gani?
@shabaniabdallah7554 Жыл бұрын
Mzee cc hatuna shida nae cc tunashida na ndugu zetu
@shabaniabdallah7554 Жыл бұрын
Huyo mzee jina lake ni mashaka na maelezo yke pia yanamashaka
@shabaniabdallah7554 Жыл бұрын
Mzee ivi utavuka sehemu ya maji Bila ya chombo?
@mussabakir7781 Жыл бұрын
Ukweri una erim ww njaa una jua mungu kasema wabaya wausilam wapo ndan ya usilam ww mmoja wao
@salumsicknesspeoplemusafir7902 Жыл бұрын
Huyo mzee njaa itasababisha wanakufuru na kupoteza watu .
@Oscar-qs7tn Жыл бұрын
Sheikh Yuko vizuri mnoo
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
MUNGU wa wote Ahsante
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Faudhia una jina zuri lakiislam lakini kwakutokuacha kuudoma uislam wako
@joyyjoyy5474 Жыл бұрын
Kabisa hakuna Mungu WA waislam Wala wawakristo Mungu mmoja SS ndio hua tunajigawa
@shabaniibrahim9388 Жыл бұрын
Kumbe anasumbuliwa na njaa huyu ndugu mtangazaji mwisilam mwinye Imani hawezi kwenda hapo