Big up my brother Eric am from German one love brother god bless you
@Welly_josh_official12 сағат бұрын
Our erick omondi🎉🎉
@firdaussheikh481712 сағат бұрын
Kumbe kasi pool ni mjabuti. Kweli wacha wakena waongee❤❤❤❤❤❤ 🇬🇧 keep going pozzy
@lswai67778 сағат бұрын
Nakubaliana na Baba Levo. Hivi nani kampatia interview slot Wasafi? Haki waTZ sometimes tuko too kind.
@jackizzi_Media11 сағат бұрын
El Presedente!
@chesantonio942212 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 cassypool ni wa Djibouti 😅😅😅😅
@davidchilumo624613 сағат бұрын
Ndio mjue KASIPULI si🇰🇪😂
@trendz_254811 сағат бұрын
Hapo kwa comedian usiwe star imemake sense
@BarbaraPatience-qt9cc17 сағат бұрын
Nini Eric anaji force kuongea kitanzania si aongee Kiswahili ya ki kenya tuu! Watu wataelewa!!!! He is just trying to be Tanzanian i don't know why..... showbiz is in tz only
@BillyJames-l6x11 сағат бұрын
Sasa akuwe mtanzania ndio imsaidie vipi
@goddyffmarsacha25916 сағат бұрын
let me make this clear, kenyans love erick omondi especially for what he is doing
@emmanuelmusyoka20715 сағат бұрын
rais erick omondi acha kuongei hii lugha ya hawa majirani wetu wenye kelelee mingi...ongea kikenya ..sisi ndio wenye africa...tanzania ni majirani fake
@goddyffmarsacha25916 сағат бұрын
alafu erick ongea vizuri wacha kuongea kama watanzania wenye ata sijui kama shule hawasomi
@ezebiakayingi657616 сағат бұрын
kiswahili hakikupendezi, hukijui, unakiharibu, ongea kingereza nyie mliosoma lakini bado mnaji komba komba kwetu.
@bibivanderveen545516 сағат бұрын
Kwani wale wanaozungumza Kijapani,Kichina,Kikorea hawakusoma pia sababu hawazungumzi kiingereza ama ni watu wanaozungumza Kiswahili tu basi?
@ezebiakayingi657614 сағат бұрын
@@bibivanderveen5455 wanafikiri kujua kingereza ndo kusoma sana, wanajivunia lugha ya kigeni wakati wengine wakijivunia lugha zao.
@EzraKimutai-h9i14 сағат бұрын
Kama sio Diamond Mimi singejuwa Tanzania ninawadharau
@bibivanderveen545513 сағат бұрын
@@ezebiakayingi6576 Ni kutojipenda,kujichukia,kutojiamini na kujidharau.
@ezebiakayingi657616 сағат бұрын
it's true comedian should never be a star, it's true you connect TZ and Kenya na wewe wewe ndio una disconnect
@BarbaraPatience-qt9cc16 сағат бұрын
Boring long interview
@tanzalandtv331116 сағат бұрын
Nyie wasafi wapuuzi , mnamuhoji nini huyo wakati tushawajua roho zao Walitaka kumzika Diamond kufika hatua kuendesha kampeni ya ku unsubscribe Diamond, kampeni yao na malengo yamefail ndo wanajileta kushoboka mabwege sana Wasafi mnajifanya kusahau na nyie tutawamaind mjue
@_bonfaceadera10 сағат бұрын
Nimekwama hapo kwa tutawaMAIND😂😂
@RonnieBertin8 сағат бұрын
Wasafi wasenge sana huyo fala aliongea pumba alivyokuwa kwao
@goddyffmarsacha25916 сағат бұрын
mziki wa kenya ni mzuri...ebu mtu aniambie ni msaani gani tanzania anawezana na BIEN, kila mtz anaefanya ngoma na BIEN anafunikwa ,,,,again, ni rapa yupi tz anawezana na OG khaligraph...i can go on and on...tanzania bado sana ni vile kenya tuwasapoti watz ila watz hawatusapoti...siku kenya itaacha kusupport wasanii wa tz utaona bongo ikianguka
@NoName-pp4lo16 сағат бұрын
That's Fact..
@McAdamsChiry10 сағат бұрын
Achen kusupport kwani tumewaomba mtusupport si nyie wenyewe...
We kwenda enda ukapewe wewe interview Acha majungu
@emmanuelmusyoka20715 сағат бұрын
chuki pumbavu wewe.... kama wasafi ni yako kanyimane basi... unaosema kagombana utawakuta wako lunch pamoja.... hii ni social media shenzi wewe
@cescwho308411 сағат бұрын
We kwani hauna kazi? Umecomment mara kama Mia moja na zote ni hate Tu..... You need some milk? 👀
@tanzalandtv331116 сағат бұрын
Yaani Wasafi mnamuhoji huyo fala ? Na nyie wapumbavu , mtu ametukana nchi alafu mnamchukulia poa Lengo lao lilikuwa baya kuliko mnavyodhani
@maxwellsanga366211 сағат бұрын
Elewa showbiz usichukulie personal sana
@cescwho308411 сағат бұрын
Ametukana nchi wapi? Lini? Watanzania nimeona muko ma chuki Sana nyinyi. Let the artists do their showbiz... Erick Omondi hachukii TZ hata kidogo muwache chuki nyinyi wapumbavu
@_bonfaceadera10 сағат бұрын
Haha hii ni hype ya kucreate showbiz..uyu jamaa haelewi