ESTHER ANADAI HATAKI MWANAUME MWENYE KAZI YA AINA HII/ KIPATO HAKITOSHI

  Рет қаралды 193,109

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 322
@suleimanrodriguez9484
@suleimanrodriguez9484 Жыл бұрын
Gara B nakupenda big bro kwagisi ulivyo weka hii kipindi sawa kabisa. Mabinti wengine hawajielewe hata kidogo.
@devothakawogo3460
@devothakawogo3460 Жыл бұрын
Dada Mungu akusamehe
@anjelinaesau7109
@anjelinaesau7109 Жыл бұрын
Asante kwa kumshushua maana wanawake wanamashauzi utasema nao wanavipato.. maisha ni kusaidiana
@julianapeason6254
@julianapeason6254 2 жыл бұрын
kudili na mataahira ni kazi sana,pole GaraB
@mwilemkangwa9956
@mwilemkangwa9956 Жыл бұрын
Alafu hiki kipindi inabidi tusiseme ukweli mtu akienda ili upate the really right person
@jeremayaClassicPhoto
@jeremayaClassicPhoto 2 жыл бұрын
Gara B hapo nkupe big up kwa jinsi ulvyomhoji huyo nadhan nadhan kam mwanaume na ww imekutachi sn ...Good questions for her🙏🙏🙏🙏
@mathayongwallo5880
@mathayongwallo5880 2 жыл бұрын
huyo hana dili kwanza mchaga
@sarafina6531
@sarafina6531 Жыл бұрын
Huyu msichana hapana..Mapenz siyo pesa bibie
@salmakashau-ib9fq
@salmakashau-ib9fq Жыл бұрын
Ttzo wchga mpnz yao pesa klko mpnz
@mrmeshack
@mrmeshack Жыл бұрын
I really like hikinkipindi jamani wenye startimes mnaenjoy sana
@cadeaumcgomba7085
@cadeaumcgomba7085 2 жыл бұрын
Good question i will never forget this guy .remember we love you from south africa
@habibamura5255
@habibamura5255 Жыл бұрын
Hakuna muke hapo
@scollantandu2350
@scollantandu2350 2 жыл бұрын
Jaman huyu mwanamke akili hana jaman
@fainajaffary4070
@fainajaffary4070 2 жыл бұрын
😀😀😀
@fainajaffary4070
@fainajaffary4070 2 жыл бұрын
Akili hana kwl na siyo mke wa kuoa
@kirapadiherbalstv9953
@kirapadiherbalstv9953 Жыл бұрын
ukioa hapo wewe nitahila kabisa😅
@chidybwax8080
@chidybwax8080 2 жыл бұрын
Mambo ya kazi duhhh hakun wake hapo
@stephenothis707
@stephenothis707 2 жыл бұрын
Huyo dada mwenyew hana muonekano wa kupendwa ata
@nahoolalbosaidi6665
@nahoolalbosaidi6665 2 жыл бұрын
Dem anaonekan anapenda pessaaaa,, han mapenz
@neemalaurent7786
@neemalaurent7786 2 жыл бұрын
Kasema yeye ni mchaga jamani🤣🤣
@Iasah
@Iasah Жыл бұрын
Mwijaku ako pande ngan
@mickmadinda110
@mickmadinda110 2 жыл бұрын
Dunia hii Ina maajabu Saba😀😀😀 hyo Dada yenyewe Sasa 😀👽
@vailethmwalusa3913
@vailethmwalusa3913 Жыл бұрын
Mfupii😂
@shariffahmed3390
@shariffahmed3390 Жыл бұрын
Kipind ni kizuri ila wekeni vipande virefu hata kimalize mr right mmoja kiukamilifu
@ombeninassary2151
@ombeninassary2151 2 жыл бұрын
Ester ni mshamba sana
@fainajaffary4070
@fainajaffary4070 2 жыл бұрын
Sana
@miriamalute1540
@miriamalute1540 2 жыл бұрын
Njoo kwangu braza mm nipo hapa
@roqayaro9439
@roqayaro9439 Ай бұрын
MABINT WANA TAMAAA HAWATAKI MWANAUME
@upendofredrick8988
@upendofredrick8988 2 жыл бұрын
Nakuelewa sana Gara B wachane hao wadada
@hadiadaoman1981
@hadiadaoman1981 2 жыл бұрын
Kabisa maana mtu anataka mume mwenye kipato akulee kama baba ake mzaz Alaa hawajui ukiwa na mwanaume ea hiv we mke ndio wa kwenda kukuza kipato gala kamchana huyu dada sio sawa wanamfanya mwanaume hajisikie vibaya
@marykalamba7706
@marykalamba7706 2 жыл бұрын
Huyo Dada anazingua upendo sio hela cz hela zinaisha umemkuta anahela alafu kafilisika hutampenda
@fencianamwamhanga2469
@fencianamwamhanga2469 2 жыл бұрын
😂😂😂yey uyo dada anakaziii. Zambi
@batulimohamed6088
@batulimohamed6088 2 жыл бұрын
Asante cn kk kwaswali zr hao wengi hawanakz lkn wananyodo
@mariapialakanje3446
@mariapialakanje3446 Жыл бұрын
Swali zuri mnoo kweli Yeye anakipayo gni kumkosa akili kazi sana
@mastermaster1627
@mastermaster1627 2 жыл бұрын
Gara B umetisha kwa kumhoji uyo dada
@iranangole7007
@iranangole7007 Жыл бұрын
Wanawake weng tamaaa
@peterhenery7573
@peterhenery7573 Жыл бұрын
Mc gara b unajua sana tena sana yan sana, huyo binti mjinga sana
@husseinali5535
@husseinali5535 Жыл бұрын
It's a nice show I willing to be there one day
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 Жыл бұрын
Congratulations 🎉🎉🎉
@rosulatimothy3148
@rosulatimothy3148 2 жыл бұрын
I think huyu kaka hata siyo storekeeper but kajishusha ili apate the right person......
@euniceapondi3846
@euniceapondi3846 2 жыл бұрын
Exactly
@gracenkembo8318
@gracenkembo8318 2 жыл бұрын
Mwanamke anae jaji sana kipato cha mwanaume hana mapenzi
@doreenjoseph26
@doreenjoseph26 2 жыл бұрын
Your right 🤝
@anastaziajisandu7158
@anastaziajisandu7158 Жыл бұрын
Sahihi kabsa
@mrmeshack
@mrmeshack Жыл бұрын
Yeah off course huyu jamaa anatafuta wife materiel
@bentez911
@bentez911 Жыл бұрын
Right broe wanazingua sana hawa
@innocentkyungai1138
@innocentkyungai1138 Жыл бұрын
Dem kwanza mbaya sana
@edithajonh2970
@edithajonh2970 Жыл бұрын
Huyo ni dada ana mavi kichwani mwake ana matope
@na-shownakshi7453
@na-shownakshi7453 Жыл бұрын
😂😂😂Gara B 😂😂 I personally love that question
@julianapeason6254
@julianapeason6254 2 жыл бұрын
huyu ester akili hana hata tone
@euniceapondi3846
@euniceapondi3846 2 жыл бұрын
Kabisa lack of education big disease
@LovenessPaskali
@LovenessPaskali Жыл бұрын
Anapenda hela so mwanaume
@samwelseleman8111
@samwelseleman8111 2 жыл бұрын
huyu dada nimu puuz sana
@ceciliaombela7159
@ceciliaombela7159 2 жыл бұрын
Kabisa
@hellenmwende5536
@hellenmwende5536 Жыл бұрын
Tena sanaaa yaani mi mpumbavu mwenye sura nzuri lakini akili ni nusu kujiko
@shamsaalrahbi7593
@shamsaalrahbi7593 Жыл бұрын
San hajielwi kbx
@manbizzomtawala5755
@manbizzomtawala5755 2 жыл бұрын
Honestly dada kakosea sana alaf apo akulizw swal zur sana na gara b kashindw kuji iko Mwanmke yyt yule aneumbwa kuja dunian ni msaidiz kwa mwanaume but not sio hakim why judging,unakut apo han kaz,alaf miak imeend alaf unamjudge m2 sio kua humpnd eti coz yaa kaz Huyo dada anatak mfany biashar wakat yy mwenyew han hat biashar alaf anatk kumilkiw na mfny biashar Wadd mnakosea san mapenzi kitu sio mapenz i wish siku nishiriki kwny mr.right Kama alikua anatk mfany biashar mchukue hyu aliy ajiriw umpe mbin za kujiajir ili uwe SUPER WOMAN KWAKE MUNGU HAKUPI ALIYE KAMILIKA ATAKUPA CHENYE MAPUNGUFU ILI UKITENGENEZE KUA KAMILI KWA UWEZA WAKE YY VERY DISAPPOINTED
@amoslucas1247
@amoslucas1247 Жыл бұрын
No money no love😢
@sharmilarashid6270
@sharmilarashid6270 Жыл бұрын
Kazoea. Kudanga uyo
@AhmedAhmed-bz1re
@AhmedAhmed-bz1re Жыл бұрын
Huyo ni Mshamba sana na ana Tamaaa wanawake wanatamaaa sana baadhi Yao wapumbavuu sana
@NasraNasa-mp7mf
@NasraNasa-mp7mf Жыл бұрын
Kazinikazi jamani wanawake
@amoslucas4384
@amoslucas4384 2 жыл бұрын
Wanawake mnafeli sana
@PhilomenaSteven-tq2tx
@PhilomenaSteven-tq2tx Жыл бұрын
Safi gara b mashauzi uyo mshamba uyo mdangaji
@azizamvungi1871
@azizamvungi1871 2 жыл бұрын
Duh!utazeeka sana.mchaga ndio nini?wewe vip baba yako anahata hiyo kazi fala wewe kwanza sio mzuri kaka mzuri
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 2 жыл бұрын
Hongera
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Жыл бұрын
Anataka hela tu huyo malaya hakuna mapez hapo
@roqayaro9439
@roqayaro9439 Ай бұрын
Nimekupenda mc garabii unawaambia ukweli mabint
@josephleonard6550
@josephleonard6550 2 жыл бұрын
Hakuna mapenzi hapoooo
@sharmilarashid6270
@sharmilarashid6270 Жыл бұрын
Mtihani jmn
@yonamwakanyamale5023
@yonamwakanyamale5023 2 жыл бұрын
Yeye anaona sifa kutanguliza pesa mbele.. maana ndivyo alivyolelewa na jamii yake. Hawa ndio wanao ua waume zao kisa pesa na mali. Kuna wajibu wa jamii sasa kuwafundisha watoto kua sio kumpenda mtu kwa pesa tu.. Tuanze na utu kwanza then Pesa zinatafutwa..
@modestajamada3496
@modestajamada3496 Жыл бұрын
🤏
@yussbreezy918
@yussbreezy918 Жыл бұрын
Ndio maana mnaona vijana tunapenda watu waliotuzidi umri sababu ya hii kitu😢 ,mabinti weny level zetu au wadogo kwetu hawajielew sijui utoto mwingi
@josephmanyama9012
@josephmanyama9012 Жыл бұрын
Mabinti wa siku hizi ni tabu sana wachache sana ndio waelewa
@حسن-ح7م1ق
@حسن-ح7م1ق Жыл бұрын
Mabinti wanataka kupew hela tu 😅😅😅mm mme wangu uchumba wa miaka 4 hakuwai nioa hata buku NA alikuw nazo ila hata niombe hakuwai kunipa
@stevensimon5642
@stevensimon5642 Жыл бұрын
@@حسن-ح7م1ق😂😂😂
@kefasonseth6842
@kefasonseth6842 2 жыл бұрын
😁😁😁 hawa hamna wanawake hapa
@AntonyMM-tx3yj
@AntonyMM-tx3yj 8 ай бұрын
Hapo tick gara B #100%muulize tena yy anakipato cha hela ngapi mshienzi sana uyo bibi mshienzi sana
@magrethwilberd6257
@magrethwilberd6257 2 жыл бұрын
Na Mimi nataka kushiriki jmni Iko wapi
@RandB_Channel
@RandB_Channel Жыл бұрын
Wanawake wengi hatuna hakili tunapenda mwana umme mwenye amesha jipatiya utajiri wake . Kwanini akiwa nahiyo kidogo simunaweza shugulika pamoja mnapata kipato kikubwa pamoja? Je upendo ni pesa ? Wala upendo niwakutoka moyoni . Kuna maswali zingi zahajabu
@Mery-st4nu
@Mery-st4nu 2 жыл бұрын
Huyo hafai
@mwiker_tz6519
@mwiker_tz6519 2 жыл бұрын
wanawake wa kuowa kwa dunia hii ya sasa ni wachache sana
@ramak.9587
@ramak.9587 Жыл бұрын
Hawa ndio wale ma Binti wa jamiii
@NicoleNicholaus
@NicoleNicholaus Жыл бұрын
Kenyewe kabaya sijui ni kamama au kabibi akaeleweki
@glorychristopher7283
@glorychristopher7283 10 ай бұрын
Hawa wadada wanapenda kudanganywa awapendi kuambiwa ukweii
@mshangapeter6566
@mshangapeter6566 2 жыл бұрын
We mankaa ni kiazi,...umeonyesha uelewa mdogo sana..
@mikelasto1755
@mikelasto1755 Жыл бұрын
yani huyu dada dha sijui ana pepo
@EmsonSambo
@EmsonSambo Жыл бұрын
Ajielewi uyo
@LoreenBernard-lr6cg
@LoreenBernard-lr6cg Жыл бұрын
Mashauzi nje ndani analala chini
@jafarimohamedi7900
@jafarimohamedi7900 2 жыл бұрын
Dada kenge hili lenyewe halina kipato chochote kile
@neemanyaburi5829
@neemanyaburi5829 Жыл бұрын
Ccta anavunga na uchaga wakee😢😢😢
@MwanaidiMohammed-bm6qg
@MwanaidiMohammed-bm6qg Жыл бұрын
Shida Anatamaa huyo dada yeye mwenyewe kauzu tu huyo njooo uku omman upambane nawaarabu kwa mwezi upate kaki Saba lakini weye mjinga tu ile uyo mkaka handsome boy nimekupenda brother
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 2 жыл бұрын
Kazi kama ya baba wewe una 😁😁😁😁😁😁😁 mapenzi sio pesa
@Adeen.1
@Adeen.1 Жыл бұрын
Huyu dada anaonekana kabisa hana akili...Lord forbid
@blackscorpion6514
@blackscorpion6514 Жыл бұрын
Huyu ni mwizi sio mke
@AndrewShola-ts5lp
@AndrewShola-ts5lp Жыл бұрын
Hapo hamna make jamanii''!!!!
@NatacollectionMushi-ux2xm
@NatacollectionMushi-ux2xm Жыл бұрын
Huyo Dada hajielewi hatakidogo
@NiceBiscuit-qo4dq
@NiceBiscuit-qo4dq Жыл бұрын
nimpnd hil swal ulomuulza hy dad wanawake sjui huwa tunashda gn jmn kaz kuchmbua vt t hat tusvyoviweza
@HappynessJose
@HappynessJose 2 жыл бұрын
Anashinda na kaz Au mwanaume hana upendo kwan akiajiriwa baadae siata fanya biashara
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 жыл бұрын
Ni wapuuz tu haww mademu wnajikuta makween wKati wanashida ndo mana wmekuja ho. Wangekuwa wp vizur na wrembo wasinge Kuja hp
@rukaiyaramadhani4879
@rukaiyaramadhani4879 2 жыл бұрын
Achana naye uyo mwanamke ajielewi
@levinaasenga2794
@levinaasenga2794 2 жыл бұрын
Uyu dada hana akili kwanza ataki love anataka pesa mwenyewe munayaaa na mwili wake kama mbuyuu
@khadijashabaninimba7890
@khadijashabaninimba7890 Жыл бұрын
😂😂😂Mbuyuuuu
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 2 жыл бұрын
Sa si anaajiliwa na apate mtaji
@aronatv47
@aronatv47 Жыл бұрын
Kweli Sawa Mfanyabiashara na Mwajiriwa Kuna Tofauti..Ila asichokijua kuna Watu wameajiriwa na Wana Michongo Kando ya Ajira na Wana Pata Pesa Mingi Kuliko Hata wanazolipwa Mwisho wa Mwezi..Kiukweli Anaweza akawa ana Hoja ya Msingi ila Kawa jugmental Sana..Labda Ange Uliza Kando na Kuajriwa Je anashughuli Nyingine anafanya Hapo ingekuwa Afadhali..
@cosmascastory9193
@cosmascastory9193 2 жыл бұрын
Ama kweli nilikuwa natafuta kithibitisho cha kwann wanasemaga watu kuwa wanawake hawana Akili sasa Ester hapo ndo kanidhihirishia sasa kuwa wanawake hawana akili
@Cfd_monarch
@Cfd_monarch 2 жыл бұрын
😅😅😅
@alicemabugo2148
@alicemabugo2148 2 жыл бұрын
Wanawake hawana akili akiwemo mama yako na dada zako pia kumbuka hilo.
@Cfd_monarch
@Cfd_monarch 2 жыл бұрын
@@alicemabugo2148 tumia akili wewe sio kutukan tukana ovyo kwani umeambiwa kuwa huna akili hadi umwambie mama ake mzazi hana akili mbna mnapenda kujishitukia hata hamjaambia shame on you
@حسن-ح7م1ق
@حسن-ح7م1ق Жыл бұрын
Tz hamnanga dogo japo nawapenda NA namlea kaka yenu😂😂😂
@oswardniko9846
@oswardniko9846 2 жыл бұрын
Huyu binti hataki mwanaume.
@salmayusuph227
@salmayusuph227 Жыл бұрын
Hakuna mke hapa Malaya tuu
@Dareaziz
@Dareaziz Жыл бұрын
Aibu. Naona mm
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 2 жыл бұрын
huyo dada fala sana
@marrygeorge8247
@marrygeorge8247 2 жыл бұрын
Mjinga uyo dada
@isabellamichael1025
@isabellamichael1025 Жыл бұрын
Garaa b shikamoo😂😂😂
@hadijaomari106
@hadijaomari106 2 жыл бұрын
Uyo dada akili yake aimtoshi
@nnedynshimirimana
@nnedynshimirimana Жыл бұрын
Mwenyewe Hana kipato😂😂
@ashazuber6548
@ashazuber6548 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅dada hela zitakuuwa😊
@petermsechu1519
@petermsechu1519 2 жыл бұрын
Ki Ufupi Huyu Dada Hajafuta Mwanaume Hapo Alicho Kifuta hapo Pesa tu hafai hata Kidogo Kuowa Mdada Kama huyu
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 2 жыл бұрын
Huyu dada ukimuoa siku ukikwama pesa anakutosa
@abdulhakimsaleh6899
@abdulhakimsaleh6899 Жыл бұрын
Sure Bro, ila nahisi haws wadada wanakuja hapo wanaonekana km washamaliza mambo yote wanakosa ndoa , tafute wanaweka wasichina bado sio hawa wajane walikua washakua wajane kabla ta ndoa
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 2 жыл бұрын
Huyo dd Hana mapenzi kaja kutafuta pesa utamjaji mtu kipato chake kashakwambia mfanyakazi
@jamesmayala5491
@jamesmayala5491 2 жыл бұрын
Dadek atasubir sana
@joycemushi248
@joycemushi248 2 жыл бұрын
Asamehewee huyo dada Hana akili
@meck009
@meck009 Жыл бұрын
Ana tamaa huyo ana upendo,ana angalia kazi na kipato duhuu Amna mapenzi hapo
@CHRISTINAYOHANA-oy7vo
@CHRISTINAYOHANA-oy7vo Жыл бұрын
Huyu dada,mmmmh
@greatahfonlinetvshow8776
@greatahfonlinetvshow8776 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉 gara b dadek zake mpka anateta tetaa😂😂
@user-xy8kl9wd2i
@user-xy8kl9wd2i 2 жыл бұрын
Leo hii nimeamini munatuchezea yule dada wapembeni mgongoni kwa gharab si alipata mme juzi juzi tu nashangaa Leo namuona hapo ama kaachika 😂😂😂
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 2 жыл бұрын
Kweli si alikuwa anamuinmbia anapiga magoti😂😂😂😂😂🏃‍♀️
@innocentsanga7947
@innocentsanga7947 2 жыл бұрын
Awawachezei akilii zenu bana apo ilikuwa katika kipengele cha kumtafuta mr right so apo zamu zake zilikuwa bado 😅😅
@elizabethpaulo4808
@elizabethpaulo4808 2 жыл бұрын
Hapo kabla hajaingia mr wake si marudio hayo
@husseinkaoneka5834
@husseinkaoneka5834 2 жыл бұрын
mi nataman ukishampata hpo ukamnyandue kwnza ucje kukuta kidimbwi ukaanza kumsema mr right kakuuzia mbuzi kwny gunia
@richardmichael3728
@richardmichael3728 Жыл бұрын
Jaman na dodoma tupo hatujaowa
@anastaziajisandu7158
@anastaziajisandu7158 Жыл бұрын
Jaman mbona mkaka yuko poa xana wadada tunafeli wap, mpaka nmeumia yan,
@camarajeune4694
@camarajeune4694 Жыл бұрын
Umejua kunifurahisha G b hapo hakuna mke
@neemalaurent7786
@neemalaurent7786 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣Gara B umejua kumuweza uyu dada apo hakuna mke
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 Жыл бұрын
Kweli kabisa hawa mabinti hawa yeye anakipato gani? Wewe una biashara gani?
@allymaliwata3583
@allymaliwata3583 Жыл бұрын
Swali zuri sana
@officialsalhat6719
@officialsalhat6719 Жыл бұрын
@@allymaliwata3583 Hawa ni wale ambao hawana kaz wanategemea ela za mabwana zao hata km wanabiashara zao
@sparkbingabon3312
@sparkbingabon3312 Жыл бұрын
Ndo shida Yama binti wa fupi
@telesiakinyamagoha5775
@telesiakinyamagoha5775 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@GodyMallya-zx8df
@GodyMallya-zx8df Жыл бұрын
Jmn naomba Hao wadada wapewe semina kwanza kabla hawajapanda hiyo stage, baadhi Yao hawaelewi nn maana ya mume
@robsonwisdom1994
@robsonwisdom1994 2 жыл бұрын
Wewe mwenyewe una nini kwani
@AshuraMikango
@AshuraMikango Жыл бұрын
Ester ni mwizi
@sungwevalentin743
@sungwevalentin743 Жыл бұрын
Yani nimeamini kwenye hichi kipindi sipo pakutafutia mwanamke wa kuoa maana wanawake wote wanaofika hapo wanaweka ela mbele kuliko upendo
@safyahzabena3290
@safyahzabena3290 Жыл бұрын
Uyo ana mapenzi anataka pesa nimujinga huo mudada nichisi mupeleke milembe
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
MISSION IMPOSSIBLE [37] SEASON 2
26:19
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 22 М.
DADA KUCHITIWA MALA 4
4:51
Mr Uky
Рет қаралды 25 М.
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Cinewatch
Рет қаралды 85 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН