Kwa nini waislamu wanamlazimishia Muhammad ndani ya Biblia kila kukicha? Wacha tuzichambue baadhi ya aya za Biblia tukizilinganisha na za Qur'an.
Пікірлер: 76
@sundaystanley532214 күн бұрын
Mwalimu unanibariki sana
@robertphilip38514 күн бұрын
Mtumishi nimekukubali umesimama katika kweli
@JohnOuya-w7j14 күн бұрын
Mwalimu hakika mafunzo yako yananijenga mungu akupe umri na akulinde
@Skeletonking211614 күн бұрын
Bora wangesema "Isaya 21:13 iliyotaja sehemu aliyotokea nabii Mohammad yaani Uarabuni inayosema "Ufunuo juu ya Arabuni".
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl14 күн бұрын
Uislam nitakataka tu kama takataka zngine
@ulimwengumaulid739714 күн бұрын
@@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl Unalopoka kama anavyolopoka mwalimu wako uislamu huwezi kuupinga kwa hoja utaupinga labda kwa jeuri na ujinga wako UISLAMU umekamilika sio kama huo ukristo na bibilia yake
@jeanmusamba844814 күн бұрын
huyo prof mjinga sana sioni point hata moja hapo
@JohnOuya-w7j14 күн бұрын
Hamna point hata kidogo ya muhamadi
@ipyanamwasampeta65314 күн бұрын
Huyo professor ana piga hela ya waislamu, huyo professor anajua kabisa ni uongo ila kwa vile waislamu wana penda sana tena sana kuambiwa uongo na kuufurahia ndipo huyo professor kaamua kuwafurahisha waislamu kusudi kitabu chake kinunuliwe, na kita nunuliwa sana kwa sababu waislamu wawe wasomi na ambao sio wasomi ni mambumbu na wavivu wa kufikiri.
@jeanmusamba844814 күн бұрын
@@ipyanamwasampeta653 wanalazimisha sana mtume awepo katika biblia imefika mahali wanageuza aya ziseme uongo
@sultanbakary429214 күн бұрын
@@ipyanamwasampeta653cku ukiwa unakufa utajua tu Muhammad ni nani
@simonbundala638214 күн бұрын
Hakika mafundisho yako huwa nayaelewa vizuri na yamekuwa yakizidi kunijenga katika imani yangu. Mungu azidi kukubariki.
@daudimichael733814 күн бұрын
Waislamu wanachekesha sana, wako kama wamechanganyikiwa. Kwenye kumb. 18:18 Mungu anapomwambia Musa atawaondokeshea nabii mfano wa Musa, wanasema ni Muhammad, wakati ni Yesu Matendo 3:18-22. Haya, Yesu ndiyo akaja sasa, siyo Muhammad. Yesu anaondoka anawambia wanafunzi atawaletea msaidizi, yaani Roho mtakatifu, hapo napo wameparukia, wanasema ni Muhammad. Yaani kama mazuzu vile!?
@AgnesKasayaMigiro8 сағат бұрын
La hasha😷😷
@husseinothman125713 күн бұрын
Kwakuwa mnasema Yesu ni mungu hapo ndipo mwenyezi mungu anasema yeye Yesu si chochote ila yeye Yesu ni mtumishi tu (mtume) wa Mungu muumba wa vyote ulimwenguni (pia ndie aliemuumba mama yake Yesu na Yesu mwenyewe)
@Anthonyzombie-d2s8 күн бұрын
Waabudu majini haooo
@daudimichael733814 күн бұрын
Mtoto wa chekechea ana akili kuliko huyo takataka professor wa Kiislam.
@TomAyodi14 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@moshantoj14 күн бұрын
Mwalimu munapojibishana na wal8mu wa kiislamu musiwekeane copyright kama ulivyo mfanyia Shaffi
@John-qr4kf14 күн бұрын
Mafunzo mazuri.
@yusuphhassan961914 күн бұрын
وَمَا يَنطِقُ عَنِ الْهَوَىٰ Wala hatamki kwa matamanio. إِنْ هُوَ إِلَّا وَحْيٌ يُوحَىٰ Hayakuwa haya ila ni ufunuo ulio funuliwa;
@TomAyodi14 күн бұрын
Waisilamu wawache kutumia Biblia kudanganya watu
@EmmanuelNgalula-ib5mg14 күн бұрын
Ningeshauri waislamu wasimame imara na vitabu vyao badala ya kutaka ukubali wa quran/ islam utokane na maandiko ya biblia. Mimi ninachoona uislam ni dini tofauti na ukiristo uyahudi,hindu, bahaula,jehova nk.
@ZayyanaBamuni14 күн бұрын
Ni kweli Uislamu ni tofauti na dini zote,Uislamu pekee ndio dini inayotoka kwa Mlmungu kwa ushihidi wa maandiko dini nyengine zote zimetokana na mwanaadamu
@basilejuma13 күн бұрын
Kwani kafiri mohamed lazima atabiriwe mahali,waislam wanalazimisha kila kitu kumtetea mpinga kristo wao
@ulimwengumaulid739714 күн бұрын
Dini ya Allah ipo ndani ya vitabu vyake Torath,Zabur, Injir na Quran na sio Bibilia, Bibilia ni mkasanyiko wa vitabu vilivyoandikwa na wanadamu ambamo mambo mengi ya Mungu yametolewa na wameweka uongo ndani yake, kwa hiyo Dini ya kweli huwezi kuipata ndani ya bibilia wala Kitabu cha kweli hakiwezi kuwa bibilia
@prochesernest543914 күн бұрын
Weweee hachana na hiyo dini ya majini mapepo wachafu hakuna dini ya majini kwenye torati zaburi na injili hiyo dini ya mashetani ni ya allah na mtume wake Muhammad tu
@ulimwengumaulid739714 күн бұрын
@prochesernest5439 Torath ya kweli hakuna kwenye bibilia ndo maana inaitwa Kumbukumbu ya torath, ilichomwa moto yote, ikaandikwa upya kwa namna wanayotaka, Bibilia itawachanganya sana hiyo injil ndo usiseme imechakachuliwa hovyo hovyo wakristo tulizeni vichwa acheni makepepe someni vitabu,
@robertphilip38514 күн бұрын
Kwani torati na injili iliandikwa na nani?
@robertphilip38514 күн бұрын
@@prochesernest5439asee umemjibu vizuri
@daudimichael733814 күн бұрын
Tuoneshe torati, zaburi na injili, viko wapi? Ukishindwa basi ujikubali ujinga ulionao
@prochesernest543914 күн бұрын
Duuuuuu uongo ndio msingi WA uislamu mfa maji hakosi kutapatapa maana sisi wakristo BWANA Yesu alituambia ibilisi ni baba WA uongo kwaiyo uislamu kiongozi wake ni shetani Hagai 2:7-9 na Yohana 16:12-15 hakuna Muhammad hapo
@mussamohammedy801414 күн бұрын
yaani aongee profes ukamkabidhi mtoto wa shule ya msingi ndo achambue mmmh wacha uongo
@prochesernest543914 күн бұрын
Muhammad ni mpiga kristo atupati tabu na huyo nabii WA uongo uislamu ni unafiki mkubwa ulimwenguni
@ulimwengumaulid739714 күн бұрын
Quran kama imekopi mbona kwenye Quran hakuna Makosa yoyote yale,Kisarufi,kilugha,kihistoria,kisayansi, but bible yenyew ina makosa ya kutosha, na baadhi ya mambo hayana maelezo ya kutosha, Msipobadilika Mtakufa katika Ukafiri
@robertphilip38514 күн бұрын
Makosa mojawapo kwenye qurani ni ushirika wa majini
@shifaazawadi443814 күн бұрын
Wewe hata nimwehu usituharibie huku
@ipyanamwasampeta65314 күн бұрын
Mungu wa Wakristo na waislamu ni tofauti kabisa. Kwa hiyo huyo mtume Mohammed hawezi kutabiriwa kwenye Biblia. Mungu wa Wakristo ni ROHO na Mungu wa waislamu sio ROHO, sio ROHO kwa sababu vitabu vyao na ma imam na ma sheikhe wana sema sio ROHO bali mungu ana mwili, ana mikono miwili na yote iko upande wa kulia na ana mguu mmoja na ana Vidole vitano na ana sura(face).
@chapchap-oz1ou14 күн бұрын
Hehehehe.....waislamu wana lazima wahalalishe uislamu kupitia Biblia...manake bila Biblia koran haingekuwepo. WITHOUT LIES, ISLAM DIES!!
@ZayyanaBamuni14 күн бұрын
Story za jaba
@chapchap-oz1ou14 күн бұрын
@@ZayyanaBamuni umegonga ndipo 😂😂😂...kulazimisha uislamu ndani ya Biblia ni story za jaba 🤣🤣 🤣
@ZayyanaBamuni14 күн бұрын
@@chapchap-oz1ou kwa wenye upeo mdogo hawawezi kuuona uislamu kwenye biblia ijapokuwa umo,kwa ufupi biblia ukitoa mafundisho ya Paulo ulobaki ni uislamu
@chapchap-oz1ou14 күн бұрын
@@ZayyanaBamuni Hehehehe,,,,nipe andiko moja la Biblia linalotaja uislamu tafadhali,,,tuone nani ana upeo mdogo wa akili.
@chapchap-oz1ou14 күн бұрын
@ Najua hujui kwanini mmefunzwa kumchukia Paulo bure....ni kwa sababu alionya kuhusu manabii feki. 2 Wakorintho 11:4 "Kwa sababu kama mtu akija akawahubiria Yesu mwingine ambaye si yule tuliyemhubiri, au kama mkipokea roho mwingine ambaye si yule mliyempokea, au kama mkikubali Injili nyingine ambayo si ile mliyoikubali, mnaipokea kwa moyo mmoja! MIAKA 700 BAADAYE MUHAMMAD AKAJA AKAWAHUBIRIA YESU MWINGINE FEKI KWA JINA ISSA BIN MARYMA NA MKAMPOKEA KWA MOYO MMOJA!!
@VincentPancras14 күн бұрын
Hahahaaaaa! Wanajikoroga sana hawa jamaa! Leo utasikia Biblia sio neno la Mungu ni maneno ya watu! Kesho tena Muhamadi katabiliwa kwenye Biblia! Sasa aliyekuwa anatabili hapo ni Mungu ama watu!
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl14 күн бұрын
Mwarim wewe unaangaika nawapinga klisto waislam wanaangaika tu ushetni tu umewatawala
@TheAlman12 күн бұрын
Choko kweli ww achana na waislamu mbwa wewe😂😂😂😂😂😂
@mussamohammedy801414 күн бұрын
WEWE MWENYEWE AKILI YAKO HAIJASALIMIKA VP MTU MWINGINE AKUAMINI SHIDA NI KWAMBA BIBLIA HAMUIJUI MNAJUA MAFUNDISHO MLIO FUNDISHWA