Ni aibu kubwa kwa baadhi ya waislamu kusema eti, Qur'an inajitosheleza kuelezea kila kitu. Lakini ukisoma Qur'an peke yake bila msaada wa vitabu vyengine huwezi kabisa ukaelewa.
Пікірлер: 5
@byamashshaban924613 күн бұрын
Ico siyo kitabu ca Mungu akina busara
@masoudnzowa460813 күн бұрын
We wadanganye tu wakristo wanaopenda kusomewa kuna maneno ktk bible ht unipe milion 1 siwezi soma mbele ya watoto au mama mzazi, ndio maana mungu akaleta, Quran kusahihisha ushetani uliopo ktk bible
@POVELSPORTS13 күн бұрын
Povu
@OscarWilliam-q2k12 күн бұрын
Bc we ndio mbumbu umewezaje kusema yamo wakikuambia wanataka wayajue ili wasije kuyapitia wew sema umepigwa chuma kizito
@ABUUALLY-u6x12 күн бұрын
Hawa wakristo wamezowea kudanganyana makanisani sasa wanaleta usanii wao kwenye kitabu cha qur Ani 😂😂 ila nataka nikwambie kitu unajitesaa buree tu kwa sababu sisi waislamu sio watu wa kudanganywaa ,😂😂 kwahiyo wajitesaa tu buree ni bora uchukue bibilia ukaimbe kwayaa kanisani kma huna kazi ya kufanya.kama waarabu wenyewe wenye lugha yao wameshindwa kuikosaa qur ani utaweza wewe mnyamwezii 😂😂 mwenye chogoo kama tarumbeta 😂😂