Mmmh ila sisi wanawake mi mume wangu simlogi tukishindwana tuachane kwa amani sina mda wa kutafta hio dhambi ya kufanya mtoto wa mtu zuzu na ninaendelea kuzaa
@faieshikoo6955 Жыл бұрын
Sasa #bigibigi hii ndo comedy Sasa hapo baba umeweza😂😂
@ClementinaKigomba Жыл бұрын
😂😂😂Romedy umekamatika mdogo wetu rimbwata sio mchezo sema mlete home huyo wifi,,
@EstherBehewa Жыл бұрын
Xhapati ya zuchu 😂😂 ubunifu muziri sana much appreciate Mr Big na timu yako ❤
@tuombemamila1364 Жыл бұрын
Nimekwama hapo kwenyi chapati ya zuchu😂😂😂😂😂😂
@Mary_sup Жыл бұрын
Vero kaenda wapi maanake tumemiss
@nadiasamwel8709 Жыл бұрын
Aacountt yako bado ndogo allaf unapost cliip unakaa et siku nanne8 uwe unapost baada ya siku hata mbil
@Abuuhamda256 Жыл бұрын
Mr bigi bigi at the top
@EdinaShaban Жыл бұрын
kweli dawa zinafnya kazi lkn zina mwisho wake
@patrickmwanza-oj9cv Жыл бұрын
Jikaze sana brother
@GloriaMtana11 ай бұрын
Wanawake kwel tunashida
@shugunderitu89998 ай бұрын
my next love, watch out ,ill show u peppe.
@RebecaKaluse Жыл бұрын
Hakna upendo wa dawa hata siku moja
@shabaniahamadi3798 Жыл бұрын
Madem wa ivo visilan san
@nelsonbisi6499 Жыл бұрын
Mmmm Mr Big Big uliuza account ya awali Nini mbna km sio yenyewe hii