I LOVE YOU (Love Story ♥️)

  Рет қаралды 88,353

TAMARI COMEDY

TAMARI COMEDY

8 ай бұрын

Пікірлер: 83
@abdulrahimomar8554
@abdulrahimomar8554 8 ай бұрын
Big leo ndio nimeamini kama wewe ni fundi,hodari,mbunifu
@MOPEBLETv657
@MOPEBLETv657 8 ай бұрын
Mr big hongera Sana Kwa kumuumiza dada wa watu, Asante Sana ndugu, yaani freshi😢😢
@PidfourYoungTz
@PidfourYoungTz 8 ай бұрын
Kaka kazi kubwa hii nimeikubali sana imechezwa kiukubwa zaidi🔥 🙌
@johnchem1632
@johnchem1632 7 ай бұрын
e bhana uyo jamaa alieimba iyo nyimbo duuuuuuuh noma sana aisee
@sibontungie804
@sibontungie804 8 ай бұрын
Mr Bigibigi umepoa sana hauachili siku hizi madongo unatunyongesha mashabimi zako.
@jumakopa2893
@jumakopa2893 8 ай бұрын
Kazi iko poa big mi nataka nyimbo iyo ya mwishon
@ginelisangakrambi9546
@ginelisangakrambi9546 8 ай бұрын
😅😂😂😂nmecheka Anapendwa Emmy. 😂
@edinarobert6716
@edinarobert6716 8 ай бұрын
Naomba rafiki gani iendeleee😘🥰🥰🥰🥰🥰
@yassirgiya6743
@yassirgiya6743 8 ай бұрын
Bigi kazi zako nzuri sana sema NYUMBA ibadilishe kiukweli tumeichoka
@kazidibaraka5171
@kazidibaraka5171 7 ай бұрын
Sidhani kama amekosea sana kwasb Mr bigbig amemwambia usijal nitakutumia address kma umemsikia vzr. Means hiyo address itaeleza wap alipo halaf ataifuata hiyo either Zanzibar au kokote kule maelekezo yatakuwa kwenye address kwenye scene moja huwez weka Kila kitu mengine Huwa yanafichwa. Imagene kma Kila kitu kingewekwa tungekuwa na movies zenye more than 5hrs.unakuta Kuna kipande mtu anasafr utaona anatoka nje anaingia ndan ya gar then sec chache anaonekana yupo barabaran halaf kafika safari na sio kuonyeshwa Kila hatua ya safar.
@faizamohamed6993
@faizamohamed6993 8 ай бұрын
Duh hataree masikini mdada wa watu
@edinarobert6716
@edinarobert6716 8 ай бұрын
😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘dada uliye kosea kutuma pesa umenikumbusha kitu hongera sana 😘😘
@pawasacomedy
@pawasacomedy 8 ай бұрын
Love from Rwanda 🇷🇼 ❤️ ❤
@MasikaCom-dv8vf
@MasikaCom-dv8vf 8 ай бұрын
Wow that is good
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 8 ай бұрын
mara moja hii tu kukosea namba yeshakuwa hayo tobaa hatari magono na u t i wacha yatuvae na mauwaji ya mapenzi kuongezeka
@amoldlishela5166
@amoldlishela5166 8 ай бұрын
nice work
@wasomitv8487
@wasomitv8487 8 ай бұрын
Filamu nzuri
@user-vt8dj2oz9n
@user-vt8dj2oz9n 8 ай бұрын
Mbona kama uwongo iyo namba kahifazi saangapi kicwani bigi umetupiga😂😂😂
@elizabethnguma3379
@elizabethnguma3379 7 ай бұрын
😂😂😂😂 jamani,ama tatizo rangi,maana sijawahi on mtnzania mweusi😢
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 8 ай бұрын
Nzuri.sana ila inakata kata sauti BIG
@salimramadhani5237
@salimramadhani5237 8 ай бұрын
mapenzi mabaya alijisemea banana zoro kwenye song ZOBA
@nicopaswedy102
@nicopaswedy102 7 ай бұрын
tupo pa1
@umaima1178
@umaima1178 8 ай бұрын
Kazi nzuri🎉🎉🎉
@Nsengiyumvao007
@Nsengiyumvao007 8 ай бұрын
Sauti akuna big mbona ivo
@nukhailamursaly5252
@nukhailamursaly5252 7 ай бұрын
Mbona kama umecopy na kupast kwa wanaigeria😅
@agnesmatua9018
@agnesmatua9018 8 ай бұрын
Hi story inafanana na movie Moja ya nigeria
@nukhailamursaly5252
@nukhailamursaly5252 7 ай бұрын
Kakope na kupast 😅kumbe hata wewe unaijua ile movie😅
@rahmasaid762
@rahmasaid762 8 ай бұрын
😢😢😢dah eti nimeumia mm
@imraniside4327
@imraniside4327 7 ай бұрын
Mm nahitaj kumjua huyo msanii alio imba iyo nyimbo ndan umo
@user-si2hl1us4t
@user-si2hl1us4t 7 ай бұрын
Nakubal sana kaz zako
@bramwelmunialo5075
@bramwelmunialo5075 8 ай бұрын
Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉
@lilpblackofficial9950
@lilpblackofficial9950 7 ай бұрын
Kitambo kaka yangu
@saumbliz8983
@saumbliz8983 8 ай бұрын
Kujipelekesha wanaume hawataki hizo tabia
@1czay
@1czay 7 ай бұрын
Hata mimi ningekua mr bigbigi ningechagua huyo dadake kasaut kazuri na nikarembo sana😂😂
@zittotheniceone2769
@zittotheniceone2769 8 ай бұрын
Hongera kazi nzuri sana. Ombi langu naomba unitajie hizi nyimbo zinaitwaje na msanii ni nani?
@amanmissana2931
@amanmissana2931 8 ай бұрын
Iyo sauti kama ya baruti
@salumabdu5415
@salumabdu5415 8 ай бұрын
Saut ya balut iyo
@MkukiLissu-tl6hb
@MkukiLissu-tl6hb 7 ай бұрын
Big hii content umechukua kwenye filamu ya MAPITO😢...
@yasigale6695
@yasigale6695 4 ай бұрын
Mr Big mwambaaaaa
@liylahahmed829
@liylahahmed829 8 ай бұрын
Nzurii sanaaa.....😢❤
@devijackson9918
@devijackson9918 7 ай бұрын
KEEP IT UP
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 7 ай бұрын
Nakubali sana bigi bigi❤❤❤🎉🎉🎉
@nassibmasoud3406
@nassibmasoud3406 8 ай бұрын
Mtu kakosea no Alfu Anampgia Cm Anamwambia Anataka Kuonana Nae Bila Kumuliza Unaishi Wapi,Mkoa Gani,Zanzbr,Anasema tu Direct Nataka Kuonana Kwakujua Tayar Anajua Upo Karibu na Wewe Apo Kidogo Kwangu Icho Kipande Nimekiona Fail Sana Bigbig Mwenetu!?!!
@user-bt1vl8nu5n
@user-bt1vl8nu5n 7 ай бұрын
Nikweli apo wamefeli
@mohdhaji550
@mohdhaji550 7 ай бұрын
Fanya yakoo utie icho kipande 😂
@nassibmasoud3406
@nassibmasoud3406 7 ай бұрын
Mlete mkeo bhc au mama ako tueke kipande chetu hapo kuma msenge,Uyo big Anatafuta Maoni ya Wadau Wake Wewe Km Nani unafirwa nini
@user-ss3zl5cs2j
@user-ss3zl5cs2j 7 ай бұрын
Really hapo hata mm sijaelewa kikubwa wametupga
@nassibmasoud3406
@nassibmasoud3406 7 ай бұрын
​@@user-ss3zl5cs2jnakwambia kwasab sisi hawa tunawafuatilia sana na wenetu kuna fala hajui lolote ananambia nitoe kipande changu akili hana sisi tunafatilia stry zao hatuangaliii picha za mademu hapa
@user-zj3hm8wm5f
@user-zj3hm8wm5f 8 ай бұрын
Kazi nzuri sana ila nimemiss kumuona V , umempeleka wp?
@lujuomjanja2866
@lujuomjanja2866 8 ай бұрын
BIG BIG MMEFANANA KAMA NDUGU
@mjsteven3297
@mjsteven3297 8 ай бұрын
Tunataka part tow
@saadatiyahyashabani-yg2xy
@saadatiyahyashabani-yg2xy 8 ай бұрын
❤🇰🇪
@eliasmaro
@eliasmaro 8 ай бұрын
2 🤙
@zainabukhamisi3839
@zainabukhamisi3839 8 ай бұрын
😂😂😂😂 mapensi
@shugunderitu8999
@shugunderitu8999 7 ай бұрын
I miss Rahma
@user-ft4yx6yk9s
@user-ft4yx6yk9s 7 ай бұрын
We dads mubaya bwana ata ukijibebixha😢😂
@barakamwasi7442
@barakamwasi7442 8 ай бұрын
😂😂😂😂🎉
@zaksmyles3396
@zaksmyles3396 7 ай бұрын
sauti inapotea sana... the audio is not working in some sections
@user-xh9dm3ni4k
@user-xh9dm3ni4k 5 ай бұрын
Kaz hipo apo
@aminali2677
@aminali2677 7 ай бұрын
👏👏👏❤️❤️❤️🤣🤣🤣
@sofiakinyia2734
@sofiakinyia2734 7 ай бұрын
❤❤🎉🎉
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 8 ай бұрын
Jamani 😢
@yuui1878
@yuui1878 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mustafampande173
@mustafampande173 8 ай бұрын
oya BIG nipe namba ya huyo sina nyama
@AminaMbaraka-um4qg
@AminaMbaraka-um4qg 7 ай бұрын
Unataka kumpa nyama?
@saidhaitham
@saidhaitham 7 ай бұрын
Copy ya movie from nigeria🤣🤣ila umejitaid
@giftjonson5739
@giftjonson5739 8 ай бұрын
Ndy shda hzo tucpende kwend Sehm na watu unaend sehm nend mwenyew
@gracechalle7629
@gracechalle7629 8 ай бұрын
😂😂😂
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 8 ай бұрын
sio kwenda na watu tuache umalaya tusubiri wetu ukiona mtu tu ushajishobokesha hujui mapenzi yanamacho yanajua pa kuingia na pakutoka
@HamimuMtoro-ii5is
@HamimuMtoro-ii5is 8 ай бұрын
Ila ktk Maisha ya kawaida kuna cha kujifunza unaenda sehem na mtu yeye anaonekana wa maana kuliko wewe
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 8 ай бұрын
@@HamimuMtoro-ii5is si kakuzidi uzuri
@marthaobetel137
@marthaobetel137 7 ай бұрын
part 2
@user-co4th5ut9e
@user-co4th5ut9e 8 ай бұрын
Big malizia story zako bhana
@user-ub6dl8tm2l
@user-ub6dl8tm2l 3 ай бұрын
Next
MIMBA NDIO CHANZO
13:56
TAMARI COMEDY
Рет қаралды 149 М.
HOUSE GIRL  EP 42 || love story💞💕
21:53
BUSATI TV
Рет қаралды 85 М.
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 14 МЛН
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 122 МЛН
SUPRISING OUR DAUGHTER IN SCHOOL FOR PRIZE GIVING DAY🥳❤️
32:12
FELICITY SHIRU
Рет қаралды 70 М.
WHO AM I? [3]#sandra flms #kiparabrand #clamvevo
14:33
KIPARA BRAND
Рет қаралды 28 М.
Penzi la mzoa taka (Episode 6)
19:28
Kalola Films
Рет қаралды 150
Neema’s  swahili kitchen party 🎊|Najma Ali
36:46
Najma Ali
Рет қаралды 52 М.
JANUARY VS DECEMBER ATTITUDE 😂😂😂😂
6:55
Wakuu Chronicles
Рет қаралды 30 М.
BEST FRIEND ❤️ | 1 |
20:04
CLAM VEVO
Рет қаралды 2,4 МЛН
PENZI LA KIKURYA 🥊🥊
9:02
TAMARI COMEDY
Рет қаралды 44 М.
Matajiri Wachoyo!!
5:31
Awinja Nyamwalo - Jacky Vike
Рет қаралды 750 М.
NDUGU WA MUME
9:25
TAMARI COMEDY
Рет қаралды 84 М.
MWANAMKE HACHUNGWI
7:36
TAMARI COMEDY
Рет қаралды 132 М.
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН