Mungu tunakuomba kwa mapenzi yako kuiruhusu na kuibariki kauli hii ya Ally Kamwe kiumbe wako mdhaifu, iwe ndio hali halisi ,, kwani siku zote tunapata nguvu za kuyatamka haya kwa ujasiri mkubwa kwa kuwa WEWE ndio tegemeo letu. Peke yetu bila WEWE hatuwezi. Amina.
@teopistakomba2189Күн бұрын
Ally Kamwe una kipaji kikubwa cha kuzungumza, hongera sana🎉🎉
@Laurentjoseph20013 сағат бұрын
kipaji gani hapo?
@careemdulla16296 сағат бұрын
Ally Kamwe kweli nimekukubali unajua boli . Aziz Ki na Pacome ndio Injin ya Yanga ❤❤❤❤❤
@BenezethEmily20 сағат бұрын
Mwenyekiti kakesha kwa Diva,basi kwenye interview full kupiga miayo 😊😊
@AMINIELIHAALI-xv1rdКүн бұрын
Safiiiiii Aly kamweeeeeeee😢😢😢😢😢😢
@NicodemusMembaКүн бұрын
Young African Americans, tunachukua ubingwa wa CAF champions League
Yes brother 🙌 look like that. And 💚 and yellow we turf very turf mazoeziniiii yesss yesss its. Meaning kupambaaana ktk exercise on pitch sides ewe moll tunakuomba utusaidie.tuseme yaarab amiin amiin hakika kwa soote dawar
@Vickydawi-g5kКүн бұрын
❤❤❤❤❤yanga ni time bora
@Laurentjoseph20013 сағат бұрын
MIAYO FC
@hafia.056Күн бұрын
The Giant Youngs Africans vipi apo lakini eee tunaona mbona sugar sugar sugar and also upthere its good good stuff and also chai cream n.k. again me ask wananchi mmpo lakini eee hayaa Twendeee kazi wananchi wooote allover the world 🌎 ok sugar sugar muwaa mbelee eeeee
@JustineMateiКүн бұрын
Nakubali ally kamwe
@JamesSosthenes-y1zКүн бұрын
Semaji la CAF NI WEWE BROTHER
@allenmhando8443Күн бұрын
Mm yanga,niliangalia
@jamesgebu265210 сағат бұрын
Tickets za YANGA vs Mc Alger zingeanza kuuzwa Sasa hivi badala ya kusubiri hamasa za wiki Moja 😊😊 ni ushauri tu lakini
@DenesceFredericks22 сағат бұрын
NAWAKATI MNAMUOMBA MUNGU TIMU NYINGINE IFUNGWE
@jamesgebu265210 сағат бұрын
Na wewe Ali Kamwe umeanza tena tatizo lako ambalo Mimi nilidhani umeliacha😅😅😅...kupiga miayo kwenye interview...Acha😅
@Ismailiddi-x9e22 сағат бұрын
Tulia bab mbn tunatoboa
@EvaSaimonКүн бұрын
Wew ali una ugonjwa wa mihayo?
@brycesonmathias611218 сағат бұрын
Lakini Kamwe Wachezaji waelezwe kuwa kuna madeni - 2. Wanatakiwa kuwafuta
@Jmbuilder-ly6wp9 сағат бұрын
Katika sehem alizoongea point huyu mwamba ni sehem ya Aziz ki
@salomemahenge79358 сағат бұрын
Hakika unasitahili kuwa mwenyekiti wa wasemaji
@jiimahaba7274Күн бұрын
vp baba mbn miayo mengi hujala nn?
@DenesceFredericks22 сағат бұрын
JITIENE MOYO TU......😂😂😂😂
@MtungaJunior-w4oКүн бұрын
We dogo huna maajabu zaidi comred
@alexanderfute455920 сағат бұрын
Halo ukienda kwenye media usiwe umechoka namna hii, why
@DenesceFredericks22 сағат бұрын
HESABU ZA VIDOLE
@MtungaJunior-w4oКүн бұрын
ila semaji la cuf litakuelekeza nn ukifanye
@NgomelejiSindiyoКүн бұрын
Leo semaji amechoka! Afu ana stress! Miayo ni mingi sana
@NuruNgolle22 сағат бұрын
MUNGU WANA YANGA TUNAKUHITAJI WEWE KTK MECHI ZILIZOBAKIA TUPATE USHINDI MKUBWA