MWALIMU YANGA "AL HILAL HAWANA UWEZO WA KUTUFUNGA/YANGA NI TISHIO AFRIKA/SIMBA WANACHEZA NA VIBONDE"

  Рет қаралды 3,197

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

Пікірлер: 47
@simongshayo4678
@simongshayo4678 18 сағат бұрын
Ndio kanajiita mwalimu kanaharibu kazi za watu hana tofauti ya ha na a
@Laurentjoseph2001
@Laurentjoseph2001 18 сағат бұрын
linacheka kama jinga
@castrocastro9615
@castrocastro9615 18 сағат бұрын
Eti Hafrika😂😂😂
@hafidhmohd8696
@hafidhmohd8696 17 сағат бұрын
Kwan kuna mwaka yanga wamewahi kuwafunga al hilal
@fatoommeraje2133
@fatoommeraje2133 15 сағат бұрын
Utopolo hamna uwezo wa kumfunga ibenge usitudanganye labda kama Kuna maongezi
@bone102
@bone102 20 сағат бұрын
Huyu Mwalimu Yanga ndo anayesababisha Tujue kweli mashabiki wa Yanga hakuna mwenye akili
@albabaly8297
@albabaly8297 19 сағат бұрын
Kwi kwi kwi roho yangu inauma 😂😂😂
@habibuhabibu9728
@habibuhabibu9728 20 сағат бұрын
Mmecheza nakina marumo na zalan ambao hawana uwanja kwao ndo maana mlipata chansi yakucheza mpaka fainali acha ukichaa ww
@SebaProcess
@SebaProcess 20 сағат бұрын
Walicheza ma timu mbili au vp acha makasiriko😂
@martinabel3896
@martinabel3896 20 сағат бұрын
jitahidi kutofautisha herufi, hakuna neno hafrika bali kuna afrika
@anthonylusuva6039
@anthonylusuva6039 20 сағат бұрын
Huyo hajui Constantine inoongoza ligi ya Algeria kwa sasa.
@sittandaki2135
@sittandaki2135 12 сағат бұрын
KWAHIYO mnamfunga siyooooo 😂😂😂😂😂😂 subirini mtajinyea siku hiyooo
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 20 сағат бұрын
Hivi hyuu jamaa ana akili kweli Ibenge ameshenyeta mara mbili mlivo kutana anatshindwa vpy kukufunga tena
@KhamisiMbarami
@KhamisiMbarami 21 сағат бұрын
Huyu jamaa mbona hata kusema hajui. kwani ni Utuluki au UTURUKI?
@BussanaMillinga
@BussanaMillinga 16 сағат бұрын
Uwe unautimamu wewe toka ulivyo Anza kukutana na alhilal umewai funga goli hata la mkona ,Acha upumbavu unandoto wewe za bunuwazi eti
@EMANUELNYOLOBIMAKANYANGA
@EMANUELNYOLOBIMAKANYANGA 20 сағат бұрын
Angekuwa kazaliwa zamani tungesema ni mwalimu wa UPE yaani adult people education
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz 16 сағат бұрын
Huyu jamaa hata sidhani kama amewahi kusafiri Angani. Hajui hata safari za Ndege zinavyo kua.
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz 16 сағат бұрын
Daaahh? Robo away Nusu away Final away. Mpaka final mmeshinda away alafu Kombe hamja chukua ili kuaje hapo? Sijaelewa.
@shabanramadhani4897
@shabanramadhani4897 19 сағат бұрын
Ndege.ya.mama
@BussanaMillinga
@BussanaMillinga 15 сағат бұрын
Waandishi ifikemahali muwe mnahoji waenye utimamu ili tupate habari za kweli ,mbona mambumbu hao wanatupotosha?halafu unatuweka kusikiliza ujinga huuuu
@HajiFadhili-vv1us
@HajiFadhili-vv1us 20 сағат бұрын
Pia mwambie waseme walichofanyiwa kongo ni aibu sana
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 2 сағат бұрын
Kwa hiyo wenye mazoea ya kuvunja viti na miundu mbinu ya viwanja vyetu ndo wanaakili?
@hashimmandari8919
@hashimmandari8919 21 сағат бұрын
Huyo ni kichaa
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 18 сағат бұрын
Ww mpenja tutakuhama unahoji wehu
@lawlencekalenga4212
@lawlencekalenga4212 21 сағат бұрын
Kwan malum gallants mlmfunga na akashuka daraja pale psl
@SamwelikazimbayaKitahenga
@SamwelikazimbayaKitahenga 20 сағат бұрын
Hawana uwezo wakutufunga juzi tu hapa wametufunga nyumbani hivi huyu jamaa yupo sawa kweli!Sasa kama wametufunga huku je huko itakuaje ebu tusijipe matumaini ya kisenge tujipange na ligi ya nyumbani huko hatuna chetu
@yusuphyahayaissa4863
@yusuphyahayaissa4863 16 сағат бұрын
Ukitaka kumsikiliza huyu jamaa inabidi ujifyatue akili moja kwanza ili uweze kumuelewa
@yusuphyahayaissa4863
@yusuphyahayaissa4863 14 сағат бұрын
Mpaka mtu wa champion ship anakwenda shilikisho basi ujuwe kawafunga wanaoshiliki ligi kuu ndio maana nimewambia ili kumsikiliza huyo jamaani inakubidi ujifyatue akili moja kwanza ili uwe sawa na yeye
@AmeJumanne
@AmeJumanne 18 сағат бұрын
Ifike mda muwe mnahoji watu wa manaa kama uyu mwalim yanga anaongeaga uongo tu kwa watanzania ebu muwe mnatafuta maludio yk kisha ndio mjue mna hoji bomu apo awezi kuchambua soka kabisaa uyo acheni jamanii watazamaji wenu watakuwa hawafatilii intaviue zenu tena
@SamwelikazimbayaKitahenga
@SamwelikazimbayaKitahenga 20 сағат бұрын
Ebu hacheni kuhoji vichaa bana!
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 2 сағат бұрын
Si uache kumsikiliza, umelazimishwa kumsikiliza? Kwa nini unapoteza data zako? Kelele ni zs nini?.
@EMANUELNYOLOBIMAKANYANGA
@EMANUELNYOLOBIMAKANYANGA 20 сағат бұрын
Mtu mwenye makengeza kumbe hata akili hana
@RashidSadala-f2q
@RashidSadala-f2q 13 сағат бұрын
Ulikuwa una miaka 30 bila kuingi hata makundi umeingia msimu uliopita ndo ushakuwa mkubwa afrika kwa msimu Mmoja?du we kiboko na tim yako
@SadickTouchz
@SadickTouchz 19 сағат бұрын
Mdomo wa alio seme mnyeto wa goli 5 ndo analetaa huyu
@JumabJumamkuula
@JumabJumamkuula 20 сағат бұрын
Huyu bwana kwani nyie mnahoji watu kama Hawa pia nahisi hampo sawa
@MrishoMhina-y5f
@MrishoMhina-y5f 14 сағат бұрын
We mwalimu wajitoa fahamu? Kwani alihilal s aliwafunga mbili hapa? Wasemaje hawezi kukufunga?
@HajiFadhili-vv1us
@HajiFadhili-vv1us 20 сағат бұрын
Huyo mropokwaji hana hata hoja upenzi kauweka mbele mtu unaalama nne unapiga calkuleta nyingi nendeni mkajifuze nyute hata ww baraka mpenja umesoma unakwenda kuongea na huyo mgonjwa
@EMANUELNYOLOBIMAKANYANGA
@EMANUELNYOLOBIMAKANYANGA 20 сағат бұрын
Taja vizuri Africa na siyo Hafrica mbuzi wewe
@Laurentjoseph2001
@Laurentjoseph2001 18 сағат бұрын
kumbe nyie kipindi mnaenda mpaka gfainali,, timu zilikuwa na nguvu ?
@issachivihi2167
@issachivihi2167 14 сағат бұрын
MPENJA TV siku hizi mnapoteza ladha ya habari. Mnahoji watu ambao hawajui wanaongea nini. Hii ni online TV ambayo ina reputation na status kubwa, hivyo lazima mjitahidi kuboresha maudhui yenu. Hojini watu ambao wana weledi na sio kuchambua mpira kishabiki. Mim ni shabiki wa YANGA ila huyu jamaa ni PUMBA.
@BussanaMillinga
@BussanaMillinga 15 сағат бұрын
Kasha panicki huyu
@RashidSadala-f2q
@RashidSadala-f2q 13 сағат бұрын
Kwani wewe tajili siumesaidiwa na mama hiyo ndege ya msaada?
@yusuphitambu3405
@yusuphitambu3405 21 сағат бұрын
Mpenja tv mnahoji watu wajinga wajinga wengi.
@IsayaLukumay-v7h
@IsayaLukumay-v7h 20 сағат бұрын
Ata wewe nimjinga sana
@Laurentjoseph2001
@Laurentjoseph2001 18 сағат бұрын
@@IsayaLukumay-v7h wew hili ni lijinga bana,,,
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
Magoli Yote Yanga vs TP Mazembe 3-1 Highlights leo 2025 Young Africans vs TP Mazembe
10:11
قناة أم جنات وعبداللهom janat abdlah
Рет қаралды 467 М.
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН