God give bella such a voice to use to worship and to glorify God maavazi tuu but as time goes God will teach her how to dress for God's glory
@JohnMakweba-fj4rtАй бұрын
Naomba Mungu huyu Bella awe Mke wangu
@happyfaniabatromeo8010 Жыл бұрын
😄😄😄😄Huyu dada Anasauti ya kuimba ila Sipendi Mavazi yake kwakweli maana Ukiokoka lazima mwenendo wako wa kiroho na Kimwili viwe barua kwa watu wote
@upendogreutert199 Жыл бұрын
Ni kidogo kidogo ndugu zangu
@nicebatare2737 Жыл бұрын
Kwakweli 😢😢
@ainekishagodwin18778 ай бұрын
Sio wote wanao imba nyinbo za dini wameokoka 😢
@eunicecherono87296 ай бұрын
@@ainekishagodwin1877 true
@andekepyemadyedye87366 ай бұрын
God is not done with her yet, Yeye ni mfinyanzi bado anamfinyanga.
@deborahkim3411 Жыл бұрын
Bella ulitakiwa hapo ndio umshuhudie Mungu kuhusu ulipotoka cause there is the right place ulitakiwa ujenge watu kiimani. Ikishakuwa documentary now its more of the business.
@denisbongore30984 ай бұрын
Kwakwel ana sauti nzuri sana but hayo mavanz na mapambo aachane nayo
@Salome-r7q2 ай бұрын
Nakupenda Sana Bella kombo uimbaji wako hunibariki sana
@Rashidmussa-m3x3 ай бұрын
Kwa hiyo kwa Mungu ndo kuna washamba washamba wazur wapo kwa Yesu
@rachaelmacharia161814 күн бұрын
Its God she changed ..changing is a process!
@mamuumamuu1871 Жыл бұрын
Mungu anabadilisha ukimuamini
@monicacyprian9137 Жыл бұрын
Duniani hakuna mwembamba Bella kawa bonge hivo
@sylviesaidi57407 ай бұрын
Kabisa ❤
@TinaJanuary17 күн бұрын
kabica maana inampasa ijitambue anafanya nini kma kaamua kubadilka abadrsh mavaz yake
@guttubundala13068 ай бұрын
UWE UNAFUNIKA KIFUA BELLA IF YOU REAL DON'T LIKE THE TATTOOS ANYMORE