Wamekutana mtangazaji na mgen wake wote wana saut nzr 🥰na wazur pia ❤️❤️
@naftalkileo5224 Жыл бұрын
Mwanamke ukishakuwa na hiyo mentality ni ngumu kuishi kwenye ndoa.
@witnessvenance6429 Жыл бұрын
Nampenda sana huyu dada, Mungu azidi kukuweka.
@neemalambo9790 Жыл бұрын
Nami huwa nampenda sana na ongea yake
@lovenessmmanga3348 Жыл бұрын
Nimependa majibu yako mazuri sana Wise women
@sekelasambo229 Жыл бұрын
Mungu azidi kukuweka, nakupenda mno mdada
@jannyjmamdak2570 Жыл бұрын
Dada umeongea point za msingi sana👏
@danamickle9739 Жыл бұрын
Peleken ushamba wenu kwa mnaesema kavaa uchi, uvaaji wowote haurepresent umalaya, hyo n tabia ya mtu, kuvaa hakuhusian na umalaya.. Kavaa simpo tu kapendeza
@harodphilipo8228 Жыл бұрын
Nakupenda coletha
@heritier5119 Жыл бұрын
Ndoa ni ibada na sio KILA mtu anaweza, ndoa ni maalumu kwa watu maalumu
@missykalele5520 Жыл бұрын
Jidanganye
@aishamsofe3274 Жыл бұрын
Nampendaga huyu dada anajuaga kudekaa
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Marry mzuri mwenyew mi na mpenda anavyo ongea sana
@constanciapeter2497 Жыл бұрын
Anafanana sana na Madam Flora gospel singer
@estherkinyaga5172 Жыл бұрын
Sana kama vile ndugu yaan
@missykalele5520 Жыл бұрын
Flora Mbasha
@anethdanfrey5238 Жыл бұрын
Colletha umejibu vyema. Uko vizuri
@josephmarandu8044 Жыл бұрын
Very wise woman and beautiful
@katotokazuri7412 Жыл бұрын
Upendo tu kwako
@marykennedymarwa1641 Жыл бұрын
Kweli jamani ,wanaume wenye umri mdogo eanatongoza wamama sikuhizi Kwa malengo ya kutunzwa , inasikitisha
@subirajohn728 Жыл бұрын
Safi sana❤️❤️❤️❤️
@marthashenenga9076 Жыл бұрын
Yani wewe ni mwanamke wa kwanza kuongea pweti zinazo fanana na umri Mami hongera pwet nzuri
@mariamgodfrey53 Жыл бұрын
Dada mtangazaji nywele zako ziache zibàki hivyo hivyo unapendeza kuliko ukipaka yale marangi rangi unatisha
@neemamkunte3127 Жыл бұрын
Nampenda sana huyu mdaada
@estermahenge-ks3dr Жыл бұрын
sauti nzuri wote
@paskalsimon58 Жыл бұрын
Dada Yuko sahihi
@johanjoha5262 Жыл бұрын
Sasa mbona kavaa uchi,mapaja yenyewe yameinsha regeya,awo wanawake wakibongo eti niwa sanani nishida
@jacquelinemarwa3756 Жыл бұрын
Sio kweli sio Kila character mnaiweza movie au series za action hamuziwezi. Bongo bado mnaweza kuigiza vitu vilevile tu ambavyo ni vya kawaida sana
@pendo8082 Жыл бұрын
Mm hata sishangai mtu ndoa ikimshinda kuna vitu havivumiliki kabisa
@zainabramadhani9838 Жыл бұрын
Ni kweli dear umeongea.ndiyo maana siku hizi mariooo wako wengi saaaana
@marthageorge5043 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@happylynguya3464 Жыл бұрын
Napenda unavyosema mmmmm...
@janetahmed6948 Жыл бұрын
wanawake hata kama niko mwanaume na nyie kua kwa kusema tabia za mwanaume unataka na weye ukue unahangalia tabia unazo
Kama una maanisha god blessing you hii generation ya vi ben 10 .......😅😅
@mmn7480 Жыл бұрын
Yani kma mm nilitoka kwenye ndoa mapema sna manyanyaso yalizidi mno nashukur mungu ss nipo oman mwaka wa4 ss nabanda langu bunju linapumua nikitaka mwanaume kwa ss kunyoosha viungo tu akhalas
@sabrinajuma3253 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅
@happylynguya3464 Жыл бұрын
Hahahaha! hadi rahaaa.
@pracxedismathias5555 Жыл бұрын
Ila mashaghala mnabwabwaja hujaulizwa umeshajimaliza 🤔 utalogwaa maana wachawi wamehamia mitandaoni sasahivi 🤦
@hassanhancha1413 Жыл бұрын
@@pracxedismathias5555 wewe nani kakuuliza uje uandike huu upuuzi kwa coment za wengine
@pracxedismathias5555 Жыл бұрын
@@hassanhancha1413 mbona umejishuku? Kwani nimekutaja? Au wewe ndiyo shaghala?🤣🤣🤣 Mwenyewe ume panic 🤣🤣🤣
@margaretrusteau2871 Жыл бұрын
Mtangazaji unamdanganya eti she looks 30 😅😅😅 she looks late 40 and very mature
@sarahgaula2220 Жыл бұрын
😆
@Scoopermc523 Жыл бұрын
Malaya tu yeye mwenyewe kavaa nusu uchi ataiweza ndoa huyu muache akadange