Baba Askofu Mwenyezi Mungu hakupe hekima na Busara zako ili utuongoze kwenye Imani Ili Tumtukuze Mwenyezi.
@raylaurent43894 жыл бұрын
Asanteee kwa historia nzuri.. Lkn Tusisahau kuwa Parokia ya Rutabo haikuwepo kabla ya Kashozi kwani ndilo kanisa LA Kwanza Vicariate ya Bukoba/lower Kagera