EXCLUSIVE: Jokate ameeleza alivyokutana na Beyonce na Jay Z

  Рет қаралды 84,060

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 80
@TheChidonline
@TheChidonline 7 жыл бұрын
cjaona cha maana hapo kama na ww hujaona cha maana gonga like hapa
@Hedva255
@Hedva255 7 жыл бұрын
'r hahahaaa nimecheka
@BurhaniLiyau
@BurhaniLiyau 7 жыл бұрын
Nimesha gonga like tayari.
@arafsaaa8844
@arafsaaa8844 7 жыл бұрын
'r 😂😂😂😂😂😂
@rogersrobert9151
@rogersrobert9151 7 жыл бұрын
hahahaha.... babu la maana kwa kweli hamna hapo
@gongalike3441
@gongalike3441 7 жыл бұрын
Kuna watu wanakoment usenge humu, yani Jojo kufurahi kuonekana kwenye picha na Familia ya Jay Z wao sijui wanaumia nini. Maneno yanawatoka mala sijui Jay Z sio mungu, mala sijui sijaona chamaana...wachawi hadi KZbin wamo kumbe, kazi sana!
@emmanuelnyansiro969
@emmanuelnyansiro969 7 жыл бұрын
kwani kukutana na Jay z ndionn huyoo nibinadamu kama wengine, mtafuteni Mungu siyo binadamu Jay z na Beyonce nibinadamu watahukumiwa kwa matendo yao kama wengine
@Hedva255
@Hedva255 7 жыл бұрын
Emmanuel Nyansiro Kabisa wamtafute Mungu atoaye uzima wa bure na wokovu jayz na beyonce hawasaidii chochote ni wanadamu wa kawaida tu.
@henryjulius951
@henryjulius951 7 жыл бұрын
Emmanuel Nyansiro ha ha haaaaa shikamon
@amdimikidadi3668
@amdimikidadi3668 7 жыл бұрын
Elizabeth Jimmy
@amneshifao2346
@amneshifao2346 7 жыл бұрын
you go girl
@allymalick5959
@allymalick5959 7 жыл бұрын
Acheni wivu jayz is biggest superstar in the world kila mmoja ana wish kukutana nae ishu ni kwamba jokate ameshatengeneza jina tayari tmz na vyombo vyote vya habari vitasema who is she kimarkert is the biggest explotion
@hassannahoda5399
@hassannahoda5399 7 жыл бұрын
sio kila mtu kaka, wengine hawana hio mambo kaka. ila kiukwel ktk mambo ya market ina faida kwa jokate
@allymalick5959
@allymalick5959 7 жыл бұрын
yes kozi jokate amesha create attention kwa upande wa media just imagine angevaa t.shirt inayo proud mount kilimanjaro au kivutio chochote kwa nchi yetu iko poa sana kozi TMZ watataka kujua who is she so itampa kiki sana #kidoti now in international level#
@rahmamteri5592
@rahmamteri5592 7 жыл бұрын
Ally Malick umesema kweli wanatamani wangekua nihao 😅😅😅😅lol
@Blackie_blackie9327
@Blackie_blackie9327 7 жыл бұрын
pamoja sana Jokate.....
@n8thegoat
@n8thegoat 7 жыл бұрын
Nice
@anawa4326
@anawa4326 7 жыл бұрын
Safii 👍
@hassankayla4076
@hassankayla4076 7 жыл бұрын
#ACHENIWIVU hata mngekuwa nyie mngepost #JOJO goooooo has long as your happy and keep play your part well. Jitihada zako zitawaweka mahala pazuri vijana wa #KITANZANIA i beleave on GOD big up sweetheart #KIDOTI. THANKS AYO TV FOR NEWS
@millardayoTZA
@millardayoTZA 7 жыл бұрын
Shukran sana mtu wangu Hassan kwa kutembelea KZbin channel ya Millardayo
@deborasalumufifi.3345
@deborasalumufifi.3345 7 жыл бұрын
honger jojo
@lukaninamutakeakazijemanaj3136
@lukaninamutakeakazijemanaj3136 5 жыл бұрын
safi
@johnyty498
@johnyty498 7 жыл бұрын
na huyo n jay z sasa angepiga picha na Lucifer mwenyew duuuh serikali ingehamia songea 😊😊😊
@tumtumkhan3115
@tumtumkhan3115 7 жыл бұрын
Johny Tozzy mdogo mdogo anaenda
@lindaelizabethpatriciabebi2425
@lindaelizabethpatriciabebi2425 7 жыл бұрын
omg ✌✌💋
@emiliehortensia5189
@emiliehortensia5189 7 жыл бұрын
even beyonce doesn't care or look at u girl, just take it easy
@rahmasellemani4563
@rahmasellemani4563 7 жыл бұрын
hongera jojo wangu
@Hedva255
@Hedva255 7 жыл бұрын
maana tanzania kwa ushamba tumekithiri.
@francorowland6201
@francorowland6201 7 жыл бұрын
Elizabeth Jimmy mshambaaa wew
@princessyvetteevedollyisma2586
@princessyvetteevedollyisma2586 7 жыл бұрын
Elizabeth Jimmy hahaa waache ushambq jamani tzd
@jahkeythomas6043
@jahkeythomas6043 7 жыл бұрын
Elizabeth Jimmy hahaaaa
@maryamandayi6106
@maryamandayi6106 7 жыл бұрын
aiyaa gonga lyk kama unaona hamna cha maana hapo.😂
@sphrb1063
@sphrb1063 7 жыл бұрын
poa Millard ayo
@josephkisembe6663
@josephkisembe6663 7 жыл бұрын
Uelewa hapo ni mdogo kweli,badala ya kumlilia mungu Jay z ndio nn mbele za mungu unamlilia mwanadam pole sana.
@saidcnn9730
@saidcnn9730 7 жыл бұрын
African u night
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
yan kuwaon tu wasan. wa bongo ni shida ukiskia diamond kaja utatamn ata upae kibongo bongo ,,sembuse iyo ya jz na Beyonce wee 😂😂 utatamni uwarukie sem ndo ivo tu big up jojo
@Kazoba2011
@Kazoba2011 7 жыл бұрын
Yes picha pamoja na Beyonce so what??? Bahati nzuri kasema mwenyewe kwamba alikataa....
@Hedva255
@Hedva255 7 жыл бұрын
tusije shangaa anaenda pokelewa airport kisa kaonana na Jay Z hahahahaaaa
@alexkenny2667
@alexkenny2667 7 жыл бұрын
Hahahahaahhhahahahahaaa
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 7 жыл бұрын
Elizabeth Jimmy hahahaaaaaa😂😂😂
@bongelabwana7523
@bongelabwana7523 7 жыл бұрын
Elizabeth Jimmy hahahhahaha hahahhaha
@munabakari7706
@munabakari7706 7 жыл бұрын
Elizabeth Jimmy 😂😂😂😂
@alialsalmi7662
@alialsalmi7662 7 жыл бұрын
Muna Bakari nm
@papafikiri
@papafikiri 7 жыл бұрын
Jokate sikiliza Jipange Sawasawa
@henryjulius951
@henryjulius951 7 жыл бұрын
Raymond Kaswaga upo mpaka hukuuu
@papafikiri
@papafikiri 7 жыл бұрын
henry Julius wakinitibua nakuja
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
ila ningekuwa ni mm ningezima kabisaa 😂😂😂😂wee apana chezea ,,
@ernestjohanes9087
@ernestjohanes9087 7 жыл бұрын
HAKUNA CHA MAANA WHAT A POINT UJINGA TU
@juliusuronu8812
@juliusuronu8812 7 жыл бұрын
Mimi mwenyewe...nimeshapiga story sana na huyo Jay Z...kama mnabisha niwaoneshe picha,,,,Ila nimetulia tu sina shobo kama za Jokate
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
hee hee he likin some time yeah same time no ,,,
@salitosofo5561
@salitosofo5561 7 жыл бұрын
lakini mbona hapana kubwa hapo picha yenyewe kama uyo beyonce kapoteza au ndio wabongo tunapenda kik za vespa
@neemamaleo5481
@neemamaleo5481 7 жыл бұрын
mmh
@360-t5s
@360-t5s 7 жыл бұрын
huko ni kujizalilisha tu
@halimkepa7766
@halimkepa7766 7 жыл бұрын
mnapotea Polen san
@salmasalim6055
@salmasalim6055 7 жыл бұрын
sifa😕😕
@anodnjenje9084
@anodnjenje9084 7 жыл бұрын
Beyonce alikata kupga pc na joket Duh naona km Jojo aibu vile.... Co Kwa kujpendekeza uko hahahaaa
@shakirarashid9181
@shakirarashid9181 7 жыл бұрын
jojo ww ndio ungekuwa Madem bola
@khadijambuta4360
@khadijambuta4360 7 жыл бұрын
kumbe nawe mshamb mhmhmh nilizani pekeyang aya good😦😦😦
@alialle6441
@alialle6441 7 жыл бұрын
Tatizo la millardayo.com kila kitu video sio kila mtu ana hizo Mb za kuangalia KZbin kukuongezea views! Mpaka inaboa
@brucechonjo3417
@brucechonjo3417 7 жыл бұрын
Mmmh kumbe Sie tunamuona star, kumbe yy n local tu, chaajabu nn SSA?
@venmason1949
@venmason1949 7 жыл бұрын
sasa unaona chaa maana ett jay z mbona normal tu n watu wa kawaida na hao watu they are fu...... illuminat shit mtafute mungu jay z na Beyonce Sasha fierce hawakupelek heaven
@jescaramadhani2038
@jescaramadhani2038 7 жыл бұрын
jokate ckuwez
@khamisjuma4691
@khamisjuma4691 6 жыл бұрын
Kwavile.wewe.ni.ccm a.chana.na.ccm ulewe.nawajaja.message USA marekani freedom duguyangu your beautiful
@ريهامالسريري-ل1ص
@ريهامالسريري-ل1ص 7 жыл бұрын
ngoja me nipite maana dah cyo kwa kufurah huko jokate
@markakhereokhale8788
@markakhereokhale8788 7 жыл бұрын
افلح السريرس haaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@jumakiumbe1783
@jumakiumbe1783 7 жыл бұрын
Sasa ulitaka picha ya nin hebu acheni hizo habar bhana mnatutia aibu huko mnakoendaga mnaonekana washamba tu haya sasa umetaka kupiga picha mtu kakataa sasa si utakuwa umeonekana wa kuja tu na shobo zako
@wajuraofficial
@wajuraofficial 7 жыл бұрын
Ndomana marekani hawatutaki 😁😁😁😁
@kelvinhaule7505
@kelvinhaule7505 7 жыл бұрын
mmmh
@wajuraofficial
@wajuraofficial 7 жыл бұрын
Ndio ivyo
@graciousjerry1322
@graciousjerry1322 7 жыл бұрын
kumbe alikataa!! ha ha ha ha haaaa asa unajichekesha nn na mtu alikataa?? picha nzur mtu awe na utayar asa we hapo walipiga tu bila ridhaa yake!! ha ha haaaa ndo kakodoa macho mbele maana anatujua watz tulivyo vinganganiz
@bashearabdi8631
@bashearabdi8631 7 жыл бұрын
upuuuzii mtupu njoo upige pic na mm uwe star km unatk....
@jahkeythomas6043
@jahkeythomas6043 7 жыл бұрын
Bashear Abdi 😂😂😂😂😂😂😂ww ni star
@halimkepa7766
@halimkepa7766 7 жыл бұрын
mkubwa mung ww acha ujing
@khamisjuma4691
@khamisjuma4691 6 жыл бұрын
Dio.duguyangu nimefura.hisa.achana.na.ccm Freedom Tanzania my.friends LeBron James. Tibiti.anajua.leave u
@ernestjohanes9087
@ernestjohanes9087 7 жыл бұрын
KWANZA ALIKATAA LOL WABONGO BANA WHO THE FUCK IS BEYONCE
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 352 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 76 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 123 МЛН
Mapacha wa Beyonce na Jay Z waonekana kwa mara ya kwanza
2:08
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 6 М.
LULU ATOA MACHOZI MAHAKAMANI, HUKUMU YAKE NOVEMBA 13
1:52
FRANCIS DANDE (Habari Mseto)
Рет қаралды 28 М.
JAY-Z  "Forever Young" (feat. Beyoncé) @ Barclays Center Brooklyn
5:53
AREACODE: MIUJIZA NDANI YA FAMILIA YA JAY Z | BEYONCE NA MWANAE!
2:37
50 cent in Tanzania
2:15
samapson
Рет қаралды 59 М.
Jokate Interview on air with Millard Ayo
11:43
Millard Ayo
Рет қаралды 369 М.
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 352 М.