EXCLUSIVE; KP NA ZEBUU WALIVYO KUTANA HADI UCHUMBA

  Рет қаралды 421,843

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 1 000
@kizwaneza123
@kizwaneza123 Жыл бұрын
Kutoka Burundi ❤ kumbe kp&zebu wanapendana!? Mungu wangu wee nafurahi sana! Nawapenda saaaaaaaaanaaaaa mungu atatuonyeshe ukweli na ukweli!!❤❤❤❤❤
@GFmediaTZ
@GFmediaTZ 8 ай бұрын
Nawapenda San kp na zebu❤️💚
@haluwahavla9740
@haluwahavla9740 Жыл бұрын
Waaaaau amazing nmepnda xnaa kuckia kuwa kp na zebuu n mtu na mume wow❤❤❤❤❤❤❤❤ hongereni 🙌🙌 xna mungu azidi kuwa pigania kwa kla jambo ili muweza kufka mbali zaidi na zaidi 🙏 🙏🙏
@saidbakar7137
@saidbakar7137 10 ай бұрын
Yani hata mm nimfrah sana
@annaki318
@annaki318 Жыл бұрын
Asantee Sanaa Mbengo Tv nniliitamani Sanaa tupate interview ya hii couple hatimae kp na zebuu wamefikiwa❤❤❤
@JEDIDAHJEREMIAH-sk7qp
@JEDIDAHJEREMIAH-sk7qp Жыл бұрын
Nawapenda sana kp na zebuu❤️❤️❤️,,vipindi vyao viko 👌👌
@NizigiyimanaEmmanuel-c7f
@NizigiyimanaEmmanuel-c7f Жыл бұрын
Kp una demu mzuri kbsaa afu zebuu ana tabasamu nzuri ata kweny episode ya binti nyoka yani ceko lake nirirerire😍😍
@milcahNanjala-to9gq
@milcahNanjala-to9gq 11 ай бұрын
❤❤❤
@Fortunelucky-s9q
@Fortunelucky-s9q Жыл бұрын
Wow congratulations kp na zebuu napenda kazi mnayoifanya ,,from kenya
@nestherkihwelo
@nestherkihwelo 9 ай бұрын
Nawapenda xna kp na zb
@RaiyaMbissa-kh9fv
@RaiyaMbissa-kh9fv Жыл бұрын
Ndoa yenu ikikaribia msisahau kunambia nna mchango wenu special vipnz, nawalove mpaka sio poa❤❤❤❤
@elenidaEliasi-qr6kw
@elenidaEliasi-qr6kw Жыл бұрын
nawapenda sana
@elenidaEliasi-qr6kw
@elenidaEliasi-qr6kw Жыл бұрын
nawapenda sana
@elenidaEliasi-qr6kw
@elenidaEliasi-qr6kw Жыл бұрын
nawapenda sana
@elenidaEliasi-qr6kw
@elenidaEliasi-qr6kw Жыл бұрын
nawapenda sana
@mercyfaith8566
@mercyfaith8566 Жыл бұрын
Aki mmenifurahisha kuwahoji hawa watu wangu❤❤❤❤❤nawapenda buuree🎉🎉🎉🎉
@ratisiafarasis8051
@ratisiafarasis8051 Жыл бұрын
Nawapenda sana kp na zebuu
@MohammedNyongesa
@MohammedNyongesa 2 ай бұрын
Kabisa 🎉❤❤❤❤❤❤
@francinenahimana7289
@francinenahimana7289 Жыл бұрын
Nawapenda sana mungu azidi kuwa ongezea upendo mpendane mpaka kihama ❤❤❤❤❤
@UkhtyFatmah-he8vg
@UkhtyFatmah-he8vg 10 ай бұрын
Yani kuwapendeni kwa sana ♥️🌹💐 KP &Zebuu Na kuhusu mahusiano yenu basi Allahu akufanzieni wepesi hadi kuoana,bila kumsahau Mtangazaji wetu hapo yani unaweza tena umekaa poa poa ni mekupenda bure wew mdada♥️🌹💐♥️
@paulinabajutha4445
@paulinabajutha4445 Жыл бұрын
Mungu awatunze kp na zebu mfikie malengo yenu nawapenda sana ❤❤
@bilkissumayah1034
@bilkissumayah1034 7 ай бұрын
Wow l love the passion of this two zebuu and kp. Keep that spirit strong.l love you all watching you from Uganda ❤
@izackambale4234
@izackambale4234 Жыл бұрын
Upande wangu nawapenda sana pia kazi zenu nazipenda sana, baraka za mungu ziwazidie ❤❤❤
@NizigiyimanaEmmanuel-c7f
@NizigiyimanaEmmanuel-c7f Жыл бұрын
Iyi interview nimekua naitamani kua mda mrefu ivi ssa njonimepata ukweli kma kp na zebuu ni mke na mme congratulation mbengo tv kutupa vitu kma hivi
@gracemugozi8436
@gracemugozi8436 Жыл бұрын
I enjoy because I love your work msisahau KUMWAMBIA Sheila apunguze roho mbaya
@SalumuAbedy
@SalumuAbedy 11 ай бұрын
Waooooooo nawapend Jana nataman nijiung kenyo group Len jaman mko bomb kwanziy nyiy mpek mov love love mpen hai dog❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@SalumuAbedy
@SalumuAbedy 11 ай бұрын
Mku vizul kiukwel 🎉🎉🎉🎉
@GraceKwayu-yo4zf
@GraceKwayu-yo4zf Жыл бұрын
Yaan kwa ujumla mnàfaana sana... Mmefanya maamuzi ya maana.. big up sana❤❤❤❤❤
@MARIA-n3l2o
@MARIA-n3l2o Жыл бұрын
Dah!!!!! Mnaendana mungu abarik kazi zenu na mpate kudumu katika mahusiano yenu pia mleeni mtoto wenu katik maadili memaaas🤝🤝💕💕💕💕💖💖💖
@PeterKayanda
@PeterKayanda 4 ай бұрын
Nawapenda sana zebu na kp film zen zinatuelimisha sana ❤❤❤❤❤❤❤
@sandrineigiraneza
@sandrineigiraneza 10 ай бұрын
Jinsi wanafanana kama vile ni kaka na dada😮much love from Burundi❤😅
@AlenVedasto
@AlenVedasto 4 ай бұрын
Kp na zebuu hongereni kwa kazi yenu nzur sana tunawapenda❤❤❤❤❤❤❤❤
@olivetakapele8721
@olivetakapele8721 Жыл бұрын
Nawapenda sana jamani kp na Zebuu bila kumsahau Dibozi❤
@elishajohnpeter2329
@elishajohnpeter2329 9 ай бұрын
Hongereni sana na mimi nitakuwa Ep na mke wangu atakuwa mamuu nawapenda sana hakika munaelimisha sana nawapenda sana ndugu zangu❤
@laurentlugema593
@laurentlugema593 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awajalie neema na baraka zake katika kazi zenu. Nawapenda sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mlongo1170
@mlongo1170 Жыл бұрын
Nawapenda sana chukueni ❤❤❤❤❤❤❤❤from kenya
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy Жыл бұрын
❤❤❤❤ nawapenda sanaaaaa❤❤❤❤❤ nakujaaa na mimi huko huko ❤❤❤❤❤
@NassirAbdallah-hz5cd
@NassirAbdallah-hz5cd Жыл бұрын
Kp na zebuu mnaendana sana big up ❤️❤️
@TitusMwange
@TitusMwange Жыл бұрын
Mimi napenda kazi zenu zote
@darlingtonmasheti
@darlingtonmasheti Жыл бұрын
Good job zebu na KP I really appreciate this couple KP congratulations 🎉🎉🎉👏
@KokiMwikya
@KokiMwikya 11 ай бұрын
Nice job kp and zebuu,,congratulations from kenya,,nawapeda sana
@shukrankanyamuneza3653
@shukrankanyamuneza3653 Жыл бұрын
Jmn nawapenda Sana kep&zebu❤❤❤❤❤
@DenisDauson-r4d
@DenisDauson-r4d 2 ай бұрын
Waooooooo jaman nilipenda kusikia history ya kp na zebuu❤❤❤
@salum3648
@salum3648 Жыл бұрын
Jamaani nawapenda sana hongeleni kwa kuigiza mnaweza kwelikweli Salum kutoka Bujumbura
@philohmutua2968
@philohmutua2968 Жыл бұрын
Ndoa yetu nawatakia iwena amani kp na zebuu. Nawapenda sana muvii zenu zilinibamba hadi nikajitolea kununua. Wifi walai nawapenda sanasana mtuletee ingine safi kapiza❤❤❤❤❤❤
@BahatiEmanuella
@BahatiEmanuella Жыл бұрын
Nimefurahia sana mapenzi ya kp na zebuu
@AminaAli-y6s
@AminaAli-y6s Жыл бұрын
Hapo sivibaya mugu ata waogoza na kazi zenu 👏👍👍👌 mapedezana sana famufai kuachana 💖💞🎉
@viktoriabohimanda7271
@viktoriabohimanda7271 Жыл бұрын
Tunawapenda tunapenda kazi zenu akuna mbaya zote kunoga ❤️❤️❤️❤️❤️
@Jaydannychawaboy.
@Jaydannychawaboy. Жыл бұрын
Hio vita uliisha kivipi jamani 😢😢😢😢😢❤❤❤....
@oimperador2655
@oimperador2655 Жыл бұрын
I LOVO YOU ZEBUU AND KP MIMI NIPO MSUMBIJI IBRAHIM AND CHAX🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@MerlinamerlinasPhalikia
@MerlinamerlinasPhalikia Жыл бұрын
Much love from Mombasa Kenya ❤❤❤
@NelcyAfrica
@NelcyAfrica Жыл бұрын
Much love from 🇰🇪
@BahatiEca
@BahatiEca Жыл бұрын
Kenya nzuri sana tu❤❤
@NelcyAfrica
@NelcyAfrica Жыл бұрын
@@BahatiEca karibu kenya
@eustinarimba
@eustinarimba Жыл бұрын
Nice couple 🌹🥰 much love from Kenya 🇰🇪
@Maryamu255
@Maryamu255 Жыл бұрын
Nataka ndoa jamani kp na zebu munaendana❤❤❤
@AnnyAnitha-dj6uv
@AnnyAnitha-dj6uv Жыл бұрын
Jmn nawapenda hawa mbon mlikuw hamuwaoji wamangushi ❤❤❤❤❤❤
@kladahmad3333
@kladahmad3333 Жыл бұрын
Mungu ajaliye kwa iyo dowa yenu❤❤❤❤
@michaelowino9061
@michaelowino9061 Жыл бұрын
Nawapenda sana kp na zebuu
@zuwenaabeid8623
@zuwenaabeid8623 Жыл бұрын
​@@kladahmad3333❤
@stephenoloo1473
@stephenoloo1473 8 ай бұрын
Sheila nae
@Lailaty973
@Lailaty973 Жыл бұрын
Jmni nawapenda hawa sina mfano ❤❤❤ kp na zebu mungu awabariki❤❤❤
@cireziHenriette
@cireziHenriette 3 ай бұрын
Na wapenda sana kp na zebuu,kumbe ni mtu na mume wake,Mungu awa linde muendelee mbele❤❤❤❤❤
@DoubleDlyrics-v7k
@DoubleDlyrics-v7k Жыл бұрын
Much love wapendanao big respects for all team WAMANGUSHI.. @Mr.Dim Dick8Tz
@mokogoti1817
@mokogoti1817 Жыл бұрын
Wambie wakimaliza kuongea waniwekee benzema mimi❤❤
@FatimabibiBibi-p5w
@FatimabibiBibi-p5w Жыл бұрын
😂
@mokogoti1817
@mokogoti1817 Жыл бұрын
@@FatimabibiBibi-p5w 😅😅
@salmambeyu5046
@salmambeyu5046 Жыл бұрын
😂😂 me pia
@mokogoti1817
@mokogoti1817 Жыл бұрын
@@salmambeyu5046 wanachelewa sana
@ScholasticaMsosa
@ScholasticaMsosa Жыл бұрын
Naenda sana
@alexandersospeter9592
@alexandersospeter9592 9 ай бұрын
I like it ♥️♥️♥️ ni kwel kumbeee mna mahusinao 👍👍 mdumu kwenye mahusiano, nilitamani pia baada ya kuona Kaz yenu, LIKE👍
@OrnellaNdabarushimana
@OrnellaNdabarushimana Жыл бұрын
Nawapenda sanaa❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@AminaMohamed-b8p
@AminaMohamed-b8p Жыл бұрын
♥️❤️❤️❤️ jamani nawapendeni kp na zebu
@FranciscarKalumukututa
@FranciscarKalumukututa Жыл бұрын
Nawapenda sana kp na zubuu kazi zuri , from Kenya
@JohnLizer
@JohnLizer Жыл бұрын
Kp sebuu nawapenda sana natamani kuwawona bc mungu awabariki wote
@BakeMusic-si6vr
@BakeMusic-si6vr 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤na watakieni maisha marefu katika ndoa yenu.
@maryd1538
@maryd1538 Жыл бұрын
❤❤❤❤ much love from keny good job
@FaithChivatsi
@FaithChivatsi Жыл бұрын
Good job kp &zebuu keep it up love you ❤❤❤❤ from Kenya
@paulinaomira
@paulinaomira Жыл бұрын
Congratulations kp and Zebuu ❤️❤️❤️ mpaka mna mtoto 👏👏 Nawapenda 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ramaddy
@ramaddy 9 ай бұрын
FANTASTIC ❤❤❤
@TamashaAbdala-f6t
@TamashaAbdala-f6t 4 ай бұрын
Wao nawapenda sana sana pia napenda kazi yenu hongereni❤❤❤❤
@Ekerenga045
@Ekerenga045 Жыл бұрын
You are the best
@emmanuelmutua6212
@emmanuelmutua6212 9 ай бұрын
mnalandana sana kp na zebuu👩‍❤️‍👨
@Family-i2d
@Family-i2d Жыл бұрын
Nawapenda sana 💕💕💕💕
@AplA-x9b
@AplA-x9b Жыл бұрын
Ndoa yenu ilifungwa kutoka mbinguni bac hongereeni saana ❤❤❤❤
@SophiaMalinga
@SophiaMalinga Жыл бұрын
Hongera Sana zebuu wajina wng sophy ..kina sophy kwel warembo Sana Kp brooo tunza chombo icho chaa chugga c unajua mapic ya chuga tunawaza business km alivyosema vannyboy Big up sana❤❤❤😂nawapendaaaa
@redemtamunishi1377
@redemtamunishi1377 Жыл бұрын
Nawapenda sana kwani nafuatilia sana yaani mabando hayaishi kwenye sm nawapenda sana❤❤❤❤
@LilianAmbula
@LilianAmbula Жыл бұрын
Good job kp&zebuu keep it up I love you so much ❤❤❤
@johnchacha559
@johnchacha559 Жыл бұрын
Kiukweli Hawa watu wananikosha sana Mimi na familia yangu Kwa ujumla🔥
@mbotendili9557
@mbotendili9557 Жыл бұрын
Nawapenda San kp na zbuu❤❤❤❤❤❤❤❤
@PhilipinerMawondo
@PhilipinerMawondo Жыл бұрын
Waw nawapenda sana kp na Zebu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@DamarisMasese-rh6hy
@DamarisMasese-rh6hy Жыл бұрын
From Kisii Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nawakubali sana Shabiki shakiki wenu
@bibzmwakio5285
@bibzmwakio5285 Жыл бұрын
Nyota zilikubaliana, congratulations
@YasminAthman
@YasminAthman 3 ай бұрын
🎉nam nawapnda snaa❤❤❤❤❤nmefrahshwa n kaz Yao,mngu awabarik awap maish maref yeny barakaaaaa
@zainzain1163
@zainzain1163 Жыл бұрын
Waoo congratulations kp na zebuuu ❤❤❤❤❤❤ nawapenda kutoka kenya
@shufaynakisauti8017
@shufaynakisauti8017 8 ай бұрын
Ilipangwa muwe wote na mmependezana mashaallah
@ManuelCarlitospedro-w6b
@ManuelCarlitospedro-w6b Жыл бұрын
Asante sana 14:51 kp na zebuu ❤❤❤
@RashidiJafari-p5g
@RashidiJafari-p5g 2 ай бұрын
Kweli zb na kp wamefanan San kama ndug❤❤❤❤❤❤❤mungu awajalie
@olicej7837
@olicej7837 Жыл бұрын
Nimempenda mtangazaji hauna mbambamba❤❤❤❤❤kp na zebuu love more
@AnnoyedPropellerHat-wq8nx
@AnnoyedPropellerHat-wq8nx Жыл бұрын
Much love from Taveta kenya
@wotb1708
@wotb1708 Жыл бұрын
Ukweli kp NA zebuu kazi zenu nipoa nawapenda sana❤❤❤❤
@janeffermumbua2466
@janeffermumbua2466 11 ай бұрын
Much love from kenya
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 Жыл бұрын
Wanapendana mpaka wanafanana mashaa allah❤❤❤❤🎉
@SimbiRiziki-rl7xj
@SimbiRiziki-rl7xj Жыл бұрын
Mimi nimkaaji toka Burundi ko& zebuu nawapenda kuliko kitu chochote ❤❤❤❤❤❤❤
@GraceJoel-b5h
@GraceJoel-b5h Жыл бұрын
Waooooo nawapenda saaana Napenda saaana kazi zenu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@CuttyHalima
@CuttyHalima Жыл бұрын
❤ nawapenda sana yani mnanikosha Adi rohoni yangu inakua gada nikicheki movie zenu love 💕
@marialukuni-y7s
@marialukuni-y7s Жыл бұрын
❤❤❤❤❤ nawapenda sana zebuu na kp kwa kazi zenu 😊
@DeboraDaudi-k5y
@DeboraDaudi-k5y Жыл бұрын
Nawapenda muvi zote❤❤❤❤
@eunicesaimon9125
@eunicesaimon9125 Жыл бұрын
Mtangazaji yuko vizur kinomaaa kazi nzuri dada☺️🔥
@NuruKapinga-nt7wm
@NuruKapinga-nt7wm 9 ай бұрын
Naomba nifanye kazii na nyinyi
@FlaviaLaban
@FlaviaLaban 10 ай бұрын
Nawapenda pia jamn kp na zebuu❤❤❤❤❤
@uwimanamadina1872
@uwimanamadina1872 Жыл бұрын
Mimi nilikuwa nikijuwa ni kaka na dada ju wanafanana😂😂nawapenda from burundi 🇧🇮
@emelynenduwayesu6287
@emelynenduwayesu6287 Жыл бұрын
Hhh mimi nilikuwa naona kama wanapendana😃😃
@uwimanamadina1872
@uwimanamadina1872 Жыл бұрын
@@emelynenduwayesu6287 yani wamefanana hadi mwisho sura mapuwa komwe bicwa muonekano🤣🤣🤣kumbe sina habari nimume namuke Namimi natamani mumewangu tufanane ivo ivo kama kep na zebu🤣🤣
@RukiaMponda-o5x
@RukiaMponda-o5x 3 ай бұрын
Hongera zebuu na kp mmenogaje 🎉🎉🎉🎉
@kura.the.boy-
@kura.the.boy- Жыл бұрын
Asante san mbengo tv hakika tulikuwa twaingoja San hiii storry
@bahizirenoella5234
@bahizirenoella5234 8 ай бұрын
Huuuuuuuuu nawapenda sana kabisa. Nilikuwa najuwa muko kaka na dada. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ muyishi sana.
@Zedy_hope
@Zedy_hope Жыл бұрын
One of the best presenter ni huyu dada keep fighting dada ❤❤❤
@oswardmanyika
@oswardmanyika Жыл бұрын
Nilikua naitamani Sana hii interview Leo mmenifurahisha Sana
@SarahEregwa-yd8rs
@SarahEregwa-yd8rs Жыл бұрын
Wee kp na zebuu nawapenda haki mola awabariki kikazi looh
@danielmollel5538
@danielmollel5538 Жыл бұрын
@@oswardmanyika
@sarahkhalifa-jm6zb
@sarahkhalifa-jm6zb 10 ай бұрын
Jaman napenda kazi zenu by meck tz ❤❤❤❤❤mahusiano yenu yawe yenye baraka
@MsEnergy4
@MsEnergy4 Жыл бұрын
Me nawapenda pia ❤🎉keep going guys
@DANIBOYMWENDWAMUMO
@DANIBOYMWENDWAMUMO 2 ай бұрын
❤ fity sana laiti ningewaona ximtutembelee huku KENYA-naweza kujua jinsi ya ku andika sanaa alafu nikuandikie moja
@kevy254
@kevy254 Жыл бұрын
Hawa vijana watafika mbali sana kw usanii❤❤
@FransiskaDomel
@FransiskaDomel Жыл бұрын
I appreciate you ❤️❤️
@judithkadhengi7230
@judithkadhengi7230 Жыл бұрын
Enyewe mwaendana sana❤❤❤🎉🎉
@Leonciakagaruki
@Leonciakagaruki 11 ай бұрын
Much love from chato
@halimamohammed7863
@halimamohammed7863 Жыл бұрын
Congratulations for couple yenu mungu awaogoze 🎊🎊❤️mpka mufunge ndoa
@nonomarrina1437
@nonomarrina1437 Жыл бұрын
Morali zebuu na kp ❤❤❤❤from kenya
@radjabuyamungu
@radjabuyamungu Жыл бұрын
Hongeleni sana wana mbengo tv Yani napenda sana kazi zenu sana
Darkid - Mmetuona ( Lyrics Video ) By KP NA ZEBUU
3:33
Darkid Tz
Рет қаралды 314 М.
ILA STEVE NA NDARO ONA WALICHOMFANYIA BOSS WAO
17:56
Steve Mweusi
Рет қаралды 475 М.
24 Часа в БОУЛИНГЕ !
27:03
A4
Рет қаралды 7 МЛН
-5+3은 뭔가요? 📚 #shorts
0:19
5 분 Tricks
Рет қаралды 13 МЛН
Caleb Pressley Shows TSA How It’s Done
0:28
Barstool Sports
Рет қаралды 60 МЛН
MY DAUGHTER  I ep 15 I
15:35
CLAM VEVO
Рет қаралды 118 М.
UGOMVI WA KP NA ZEBUU BAADA YA FUMANIZI,ONA HASIRA YA ZEBUU
57:43
NDARO NA STEVE WALIVOUMBUKA UTACHEKA
18:16
Ndaro Tz
Рет қаралды 224 М.
KP & ZEBUU _ FUNGU LA KUKOSA
7:16
kp wa Aquino
Рет қаралды 111 М.
DADA NA KAKA FINAL
19:36
Dibozi Manuva
Рет қаралды 286 М.
BINTI NYOKA - EPISODE 1
12:43
kp wa Aquino
Рет қаралды 846 М.
NDARO NA STEVE MWEUSI WALIVO KULA CHAKULA CHA MGENI UTACHEKA
15:51
MALAYA NDOIGE (PART 01)
11:24
ASMA FILMS
Рет қаралды 2,5 МЛН
24 Часа в БОУЛИНГЕ !
27:03
A4
Рет қаралды 7 МЛН