EXCLUSIVE: LEMA AIBUKA NA MAPYA, UTAJIRI, KAZI YAKE CANADA, MKE WAKE, WATOTO, LISSU KUONDOKA, SABAYA

  Рет қаралды 134,404

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 414
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 Жыл бұрын
Lema uko sawa mzee Mim nlikuwa boda boda nliacha sio kazi inayo weza kuku fikisha mahali pazul zaidi yaku leta matatizo kwenye maisha yako
@andrewshirima6332
@andrewshirima6332 Жыл бұрын
Well said Lema, Mungu Baba amekunusuri kwa kusudi lake.Umefanya vema kutimiza wajibu wako kwa Taifa, ungeweza amua kuwa mbinafsi ukabakia ugaibuni na maisha yako. Mfano Kutamka haya ya boda na Vikoba ukiwa Tz umeamsha mjadala chanya ambao mwisho wa siku WaTZ tutazinduka.
@anselmoonolius
@anselmoonolius Жыл бұрын
Aisee lema your the best very understandable 🔥🔥🔥🔥
@ombenianton3611
@ombenianton3611 Жыл бұрын
Tatizo wapotoshaji mkuu, wanaaminisha watanzania kuwa hiyo ni kauli mbaya
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
Ukienda wodi ya vichaa wote mle wanaelewana isipokua asiyekua kichaa atapata taabu sana pale... Message delivered
@king_King-4029
@king_King-4029 Жыл бұрын
Kwa Interview hii nimependa fikra zako, naungana na wewe kwenye transformation keep on advising good ideas Tanzania itajengwa na watanzania na sio kubaki kutengeneza tensions zinazobomoa nchi yetu.
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 Жыл бұрын
Sasa ndio muwambie ndugu na Baba zenu wa ccm, waache kutengeneza intension ili kulahai wa Tanzania na kuleta taharuki Nchini. Maana hayo yote hufanywa na wanaccm pamoja na serikali zao.
@king_King-4029
@king_King-4029 Жыл бұрын
@@issackchalahani1235 Huu ni wajibu wa kila mtaanzania kupambana kwaajili ya nchi yake na sio chama fulani
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 Жыл бұрын
@@king_King-4029 kweli kabisa, ila tunaitaja ccm na serikali yake kwa sababu ya wao ndio wameshika dola na hivyo inawapasa kutumia dola vizuri kufanya mazuri wakishirikiana nasi na sio kutengene propaganda dhidi ya wale wenye uwezo wa kuwashauri na kuwakosoa.
@remiginatusmalale5336
@remiginatusmalale5336 Жыл бұрын
@@issackchalahani1235 l1
@zablonnyanda6095
@zablonnyanda6095 Жыл бұрын
Sio kweli bwana lema! Unamdanganya nani?
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 Жыл бұрын
Huyu ndio Godbless Jonathan Lema, Waziri wangu Mimi wa wakati wote wa mambo ya ndani ya Tanzania.
@kinondoni4668
@kinondoni4668 Жыл бұрын
Sawa sawa muheshimiwa uende lupango kumuona sabaya usiiache ile gari ya mwaka 1952 kwa kwa usafiri 🙏🙏
@jamesmongelwa8625
@jamesmongelwa8625 Жыл бұрын
For the first time muhesh Nimekuelewa sana big up man
@elineemazakaria1828
@elineemazakaria1828 Жыл бұрын
Facts,! This is called paradigm shifty!, hii interview kuna watu watachukia sanaa!, kwa sababu ukweli umefika penyewe😂😂
@brotherbenson7912
@brotherbenson7912 Жыл бұрын
I love how he reasons but he doesn’t offer solution rather than politicizing the issue
@noeljuvenalmunishi75
@noeljuvenalmunishi75 Жыл бұрын
Hongera kwa hoja nzuri sana
@jimmykaaya387
@jimmykaaya387 Жыл бұрын
Moja ya point umeongea nikuhusu sabaya mpambanieni jamaa atoke uwa naumua sana navyo muona akiwa kizimbani
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 Жыл бұрын
Sure kabisa
@marrymenas
@marrymenas Жыл бұрын
Uko sahihi sana! Lakin swali ni kwamba tukikupa utasaidiana kubadili mfumo wa uchumi Tz ? Au na ww utatugeuka??
@amosisaya-nc2cm
@amosisaya-nc2cm Жыл бұрын
Good leader amin sana your ideas
@petersakilu
@petersakilu Жыл бұрын
✌✌✌Big up xana lema
@johnjoycemalusu4886
@johnjoycemalusu4886 Жыл бұрын
Msela wa Mungu we love you so much
@maase2023
@maase2023 Жыл бұрын
Si wanaona hawa chadema kukaa kuelezea maisha yao tu na walivochukuliwa na polisi basi hawana kingine
@nururaymond5
@nururaymond5 Жыл бұрын
Ulipokuwa Mbunge hukuwaona Boda? Na Uliwasaidiajeee? Siasa chaaaaa!🙌
@echagwhy4442
@echagwhy4442 Жыл бұрын
Nimeipenda sana fikra za kiongozi zinajenga
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Жыл бұрын
Maneno mengi... Mazuri yapo mabaya yapo... Mwenye shibe huongea Kwa dharau.... Lema...tunajua wazi mnalipwa na mabeberu ... Mnalenu jambo.....Iwe heri Kwa watz
@alifredmangunga423
@alifredmangunga423 Жыл бұрын
Mwamba iyo hapooo💪✌✌
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Nime kuelewa Lema, ni kweli kabisa.
@fidelismushi-jb7jx
@fidelismushi-jb7jx Жыл бұрын
Uko vizuri sana broo lema, welcome home man of God
@digital-d2t
@digital-d2t Жыл бұрын
Unajua maana ya man of God?
@fradiusfredrick1429
@fradiusfredrick1429 Жыл бұрын
Mwambie naomba kazi ya rangi kwake
@mckobatz5861
@mckobatz5861 Жыл бұрын
Smart dude
@eddybrokaliieddybrokalii196
@eddybrokaliieddybrokalii196 Жыл бұрын
Lema hongera sana umeongea ukweli
@waltertesha3312
@waltertesha3312 Жыл бұрын
Ukisoma comment utajua wa Tanzania tuna tongotongo machoni na wakutotoa hatumjui
@ombenianton3611
@ombenianton3611 Жыл бұрын
Mkuu acha kabisa, WaTz walo wengi hawana mawazo ya kuwasaidia, hata wanayopewa wanajikuta hawataki yaani nashangaa kweli
@afridesiamassam4669
@afridesiamassam4669 Жыл бұрын
Hii interview angeifanya Millard mwenyewe jmn . Huyu kaka hawezi kuuliza maswali.
@giovanmsigwa9136
@giovanmsigwa9136 Жыл бұрын
big brain
@brotherbenson7912
@brotherbenson7912 Жыл бұрын
The best way is assist the boda bado transport industry is to improve it we can give you examples of boda boda men who have made it life.
@ericron6115
@ericron6115 Жыл бұрын
Ila wachache sana, nimefanya hii biashasara hakuna kijana alitoboa.
@brotherbenson7912
@brotherbenson7912 Жыл бұрын
@@ericron6115 wengi Sana wametoboa what we need is to improve the sector through the following means 1} Government to provide thr riders with loans at lower rate 2} Government providing security to the riders 3} Government making sure riders have insurance covers } laws to protect riders from harassment from police and customers If you need more insight on this you ca email me The boda boda transportation should not be politicized
@thomasathanas964
@thomasathanas964 Жыл бұрын
Hakuna mwendesha bodaboda aliyetajirika labda useme mmiliki wa bodaboda
@brotherbenson7912
@brotherbenson7912 Жыл бұрын
@@thomasathanas964 kunayo baba yangu kindly check on KZbin of bado boda Sacco of Kenya how they constructed rental house,if condition of the transportation is improved life can turn around big time
@florianmalle-xr1ob
@florianmalle-xr1ob Жыл бұрын
Mkuu Lema tunakuunga mkono na tunakombeya sana..
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 Жыл бұрын
Umepoteza vision dogo. Look forward for the new ideas to help your....,.
@isaya43.12
@isaya43.12 Жыл бұрын
Hapo ni rivertree usa River arusha
@MtazameKristoTv
@MtazameKristoTv Жыл бұрын
Msela wake Mungu 🤩💪
@adammbaruku2499
@adammbaruku2499 Жыл бұрын
Ulikuwa mbunge miaka 15 ulionyesha hata mfano ktk jimbo lako?
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 Жыл бұрын
Lema akiwa mbunge, barabara zilijengwa arusha,machinga waliheshimika.
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Жыл бұрын
Lema chunguza na vijana wanaoitwa freelancers nchi hii ni wengi kuliko hao boda lkn jinsi serikali na makampuni ya simu yanavyowanyonya na kuwaibia wanazidi kutengeneza umasikini wa ajabu sana mkuu.
@derickbenedicto7435
@derickbenedicto7435 Жыл бұрын
Good lema
@bukurutv4035
@bukurutv4035 Жыл бұрын
Sema baba
@ericevarist224
@ericevarist224 Жыл бұрын
Saf Sana Leta company Tanzania tufanye biashara.Tunahitaji kuondoa umaskini
@alexngelezi9864
@alexngelezi9864 Жыл бұрын
Nakwelewa sana
@benleyan
@benleyan Жыл бұрын
Watanzania tuwe makini na vichwa vya habari za baadhi ya media zinazotafuta umaarufu. Millardo Ayo mnafanya vizuri kuchukua habari nzima ili kuepusha utata. Msiwe kama wale wanaoandika Lema asema kazi ya bodaboda ni laana. Wanaandika hivo tu wanawachia wasomaji watafsiri watakavyo. Vichwa vya habari vyenye utata huleta mgawanyiko mkubwa katika jamii.
@henryj3304
@henryj3304 Жыл бұрын
Huyu Mwamba kiboko 😍😍😂😂🙏🙏
@justkam-jx9pw
@justkam-jx9pw Жыл бұрын
Good
@lickylaizer1619
@lickylaizer1619 Жыл бұрын
Mm bado siwezi kumwelewa lema amekua mbunge kwa miaka 15 ila Hana legacy alioacha Arusha zaidi ya usela mavi na kutuvuruga Wana arusha
@mmasipeter4157
@mmasipeter4157 Жыл бұрын
We ulitaka akukamiee au
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Жыл бұрын
Watu wanabisha wakati akiweza kumiliki millioni tano hafanyi tena boda
@innodeculture8551
@innodeculture8551 Жыл бұрын
Mbona jamaa kaelezea vzr tu.. Tatizo bodaboda tumekurupuka kuelewaa.. Unajua hata kama unapata pesa kwa bodaboda jiulize jee.. inakidhi mahitaji ipasavyo..?? Anachokisema lema ni serikali itafute mbinu za kupunguza umaskini kwa watanzania na cio kuumaliza maana hatutaweza kuumaliza.. kila mtanzania kwa sasa anatumia sio chini ya dollar 3 kwa siku... Sasa jiulize utasave shingap ukitoa matumizi kwa siku. ukiona una save 5 dollar baada yakutoa mahitaji bac uko vizuri punguza kelele..
@gladnesskombe1664
@gladnesskombe1664 Жыл бұрын
😷😷
@allandavid752
@allandavid752 Жыл бұрын
Ttzo watu hawaelewi kwa utajiri wa nchi hii si sehemu ya vijana wengi kimbilio lao ni boda boda. Na pia ajira hiyo haikidhi mahitaji ya kifamilia kwa kiasi kikubwa. Mawazir makatibu manaibu mawaziri wabunge...wana bima kubwa za matibabu mishahara nyumba na magar mazur wakati wao hawakatwi kodi kwenye mishahara yao.. elimu kitu cha muhimu sana...lema sasa angetakiwa aende deep kufafanua yy aliona kama wanaelewa
@bonifacekalima5273
@bonifacekalima5273 Жыл бұрын
Wewe ndugu umemuelewa lema kama nilivyo mwelewa mm,,hata mimi nikiwa nimebebwa na bodaboda mda mwingi nakuwa mshauru juu ya afya yao kuhusu bodaboda ni hatar kwa ajari ni hatari kwa afya
@williamjoakim304
@williamjoakim304 Жыл бұрын
Sure kabisa asee
@digital-d2t
@digital-d2t Жыл бұрын
Huna akili ww
@blockchain1203
@blockchain1203 Жыл бұрын
Bahati Mbaya Heri Hizo Boda zingekuwa zao Asilimia Kubwa Hizo Boda ni za watuu..Anae faidika ni Mwenye Nayo Kama ni Yake Mwenyewe Afadhali Wapo wengi Wametona Kutoka Hali ya Chini Hadi Katii.
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
KWA KWELI LEMA ANAONGEA PUMBA SIJAWAHIONA🤓🤓🤓 YAANI SIASA ZA WIZI WA FIKRA ZA WATU ZISHAPITWA NA WAKATI LEO NI VITENDO NDIO UNAELEWEKA...
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Ila nimemuelewa sana
@Kulindwa
@Kulindwa Жыл бұрын
Hapa ipo sura haijifichi, itoshe kusema aachiwe Mungu na namna atensavyo mambo kwa matakwa yake, ndio, tunaona na tumeona na tutazidi kuona, kazi imetema jambo lake...but aluta continua
@cyrusharper2355
@cyrusharper2355 Жыл бұрын
ANA DHARAU
@williamjoakim304
@williamjoakim304 Жыл бұрын
Lema nakuelewa sana mkuu,misimamo yako ipo good sana
@elirehemaringo188
@elirehemaringo188 Жыл бұрын
Viongozi kama waha wanahitajika sana maana wanamawazo makubwa,Ila inasikitisha sana kuona watu kama hawa wanapitia maisha magumu kwenye nchi yetu kwa kutishiwa maisha kumbe wakitumiwa vizuri wanaweza kufanya mambo makubwa sana na wakawasaidia watu kupiga hatua kimaisha, kuwaza mambo makubwa
@martiniddo2608
@martiniddo2608 Жыл бұрын
Godbless lema unaakili nyingi sana
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Жыл бұрын
Kwa hiyo ww umewaletea utajiri? Mmeshindwa aliyetaka kuwabeba hao boda mlishamua Sasa leo unajifanya unawatetea boda ni ushenzi mkubwa Sana! Lema kwa uroho na tamaa acha kucheza na maisha ya watu
@emanwelmsuya7320
@emanwelmsuya7320 Жыл бұрын
Wewe itawaletea nini sasa makufuli alitaka Tanzania ya viwanda mlimpeleka wapi
@jaydon3361
@jaydon3361 Жыл бұрын
Kumbe wew unajua alie muua
@rajabushabanimadeleka8023
@rajabushabanimadeleka8023 Жыл бұрын
Sijamuelewa kabisa issue ya bodaboda.pole lema
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Жыл бұрын
Tumekuelewa lema ✌️
@dn.n4983
@dn.n4983 Жыл бұрын
Sad story Msema kweli mpenxi wa mungu
@GoodluckMushy
@GoodluckMushy 3 ай бұрын
🎉
@YusuphmustaphaTanzania
@YusuphmustaphaTanzania Жыл бұрын
Tanzania kwanza life bdae
@TheMtandao
@TheMtandao Жыл бұрын
Poor match frame colour balance, Siku nyingine kama mnatumia different camera lens, kila camera iwe na flat setting
@marriemrema4244
@marriemrema4244 Жыл бұрын
I have to find you!
@barakajoseph2234
@barakajoseph2234 Жыл бұрын
Umeongea km kwa kujifanya kwamba uko Canada Uku Tz ni developing country ayo ni maisha ya Watanzania
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Ajafaham bado
@canisiusibrahim9856
@canisiusibrahim9856 Жыл бұрын
Jamaaa unajua
@peterlekanet5459
@peterlekanet5459 Жыл бұрын
Kuna watu wanaendesha maisha kwa biashara ya boda boda na kwa siku wanapata hata zaidi ya Elfu 40 kwa siku
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 Жыл бұрын
Acha kuambiwa ingia uone ukweli ni shida tu lakini uhalisia wanao nufaika na hizo Boda ni wauzaji tuu ila Kwa madereva wengi wao haziwakomboi kwamaana ukiangalia Boda nyingi niza mkataba au hesabu Boda anapeleka 10 KILA siku sio mchezo hajala hajalisha familia yake haja umwa mkuu.
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Bodaboda wanapiga pesa kuna boda kutoka mbagala mpk mwenge tunalipa 20 ukienda n kurudi
@peterjohnson167
@peterjohnson167 Жыл бұрын
Wanasiasa wasani ndio hawa Lema sema ukweli.... India ni baadhi ya nchi 20 duniani Bodaboda wapo hadi Baiskeli ni Taxi kwenye nchi zingine sio tu Tanzania...
@oldma90
@oldma90 Жыл бұрын
Mumesahau kipindi cha kampeni mnavotujaziaga mafuta full tank tuwashobokee ,acha kuzingua broo .
@dorothymbuere5236
@dorothymbuere5236 Жыл бұрын
Ni miaka mingapi amekaa Canada? NI miaka miwili au miwili na nusu. Nilijua mtu akisha toka africa kwenda nje za Dunia ya kwanza KURUDI nyumbani si rahisi asa akienda na family.Akirudi atabakiza family na kusema watoto wanasoma etc.Naona ata kwa Embassy ni hivyo atasingizia watoto kusoma etc.Kurudi na family ni ndoto.Maisha ya uko ni mengine.Labda itokee Vita hapo watarudi wote kama Ukaraine wengine wanakwenda NCHI nyingine mradi hasirudi. Ukisha onja maisha ya uko kurudi moja KWA moja si rahisi ndugu.DUH Unbelievable.
@athanassylas7469
@athanassylas7469 Жыл бұрын
Kaka uko vzr sana
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Жыл бұрын
Mm hoja yake nimeielewa kuwa hao boda watoke kwenye hiyo ajira wawe sehemu tofauti
@azaellivingston7415
@azaellivingston7415 Жыл бұрын
wawe kwenye levo gani na wfanyeje?
@asinahussein2176
@asinahussein2176 Жыл бұрын
Cha msingi angeleta mbadala kabla ya kukashifu mbadala wake nini?
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Жыл бұрын
@@asinahussein2176 waendelee tu na kazi yako nzuri kwa sababu wameona wanasemww
@jubilatemanase9050
@jubilatemanase9050 Жыл бұрын
Duuh!ukisoma comment huku unaona kabisa jinsi watz tulivyo na safari ndefu, anyway tutaelewana tu as we go, I believe 🙌
@blockchain1203
@blockchain1203 Жыл бұрын
Tz Mutu nyingi Jinga sanaa
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
Kibaraka huyu lema mnamuona wa maana🤣🤣🤣 kweli aliyepotea naaamini ni wwwe
@hatybshenkondo373
@hatybshenkondo373 Жыл бұрын
Say broo
@saidimtongori2773
@saidimtongori2773 Жыл бұрын
Umeongea vizuri lkn kimsingi hamna kazi isokuwa na changamoto, muhimu ni kuangalia namna ya kupunguza athari za kazi husika, kazi ya laana ni ile inayomchukiza mungu.
@amidulyuma1833
@amidulyuma1833 Жыл бұрын
Bitter truth
@eliasmakoye3939
@eliasmakoye3939 Жыл бұрын
Kàma nyinyi wanasiasa mnatuibia haki zetu itakuwaje tupate maisha mazuri? Acha upotoshaji tunafanya kazi halali kama kazi zingine kufa hata viwandani watu wanakatwa mikono
@frankfrancis5736
@frankfrancis5736 Жыл бұрын
Niko US Nafanya kazi kiwandani sijakatwa mikono and if I have any problem, I will be paid a lot of money. Employee safety is number 1kwa watu walio na akili
@jramadhanmgonja6110
@jramadhanmgonja6110 Жыл бұрын
Ki Ukweli Nilikua namuheshimu Sana Lema Ila Hii Interview Ni Mbovu Ni Mbovu Mnoo! Aliemhoji Hovyo na Aliejibu Hovyo! Kimsingi Sikuona haja ya Milad Kupandisha Hii Video
@dyzoomgonja9892
@dyzoomgonja9892 Жыл бұрын
ni maoni yako broo
@jacksonjonathan2262
@jacksonjonathan2262 Жыл бұрын
Mpuuz wwe
@herikaniugu
@herikaniugu Жыл бұрын
Mbovu? Hii nchi tutatoboa kweli 😅
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
@@herikaniuguit's not easy
@ajmstationery6157
@ajmstationery6157 Жыл бұрын
God bless Lema That's right
@beetrootfruit2098
@beetrootfruit2098 Жыл бұрын
Hes talking sense regarding bodaboda..
@frankfrancis5736
@frankfrancis5736 Жыл бұрын
Serekali ingewekeza Kwenye Mashamba makubwa kama Yale Truecape Leo hii tusingekuwa na boda wengi kama Hawa wasasahivi 🤔
@herikaniugu
@herikaniugu Жыл бұрын
bodaboda sio usafiri kabsa, tutumie njia zingne aisee
@frankfrancis5736
@frankfrancis5736 Жыл бұрын
@@herikaniugu kwanza wanapata Ajali Sana Aisee
@tadeishayo-uj8nv
@tadeishayo-uj8nv Жыл бұрын
Uyu jamaa no Moto kweli kweli ndio maana watoto Wawa chawi Wana jiarishia tu
@hamisichimoche7652
@hamisichimoche7652 Жыл бұрын
Wewe kama Lema sasa, umefanya nini ili kuoepusha usambazaji wa bodaboda utlist tukasema yes! umekuja na njia mbadala, Ikumbukwe umekua mp kwa miaka 10? Sio wongee vitu tuu visivyo na mbele, kazi ni kazi Bora watu wale
@derickbenedicto7435
@derickbenedicto7435 Жыл бұрын
Fantastic👍
@samweljoel6128
@samweljoel6128 Жыл бұрын
Siamini na hio kauli make mimi mwenyewe nimetoka kwenye kulima kwa kutumia mikono na saivi kuringana na bodaboda natumia tractor wara sio masikini
@christinapaul2957
@christinapaul2957 Жыл бұрын
Umekuwa mbunge miaka 15 hakuna cha maana ulilofanya leo unakuja kudanganya watu kweli njaa mbaya
@wenseslauswilliam1202
@wenseslauswilliam1202 Жыл бұрын
Forex trading ama?
@gerardyoung1707
@gerardyoung1707 Жыл бұрын
Alafu kuna mtu anasema et atutampa kura kumbe hutegemei hata ubunge uko vzr mbunge wangu arusha mjini niyako 2025 ni lema tena
@danieltemba6700
@danieltemba6700 Жыл бұрын
"God, bless Lema." A prayer and a name at the same time. Ukimtaja tu umembariki 😂😂😆😆
@nelsonmwavipa9761
@nelsonmwavipa9761 Жыл бұрын
Nimekuelewa vizuri na hiyo ndiyo inayotakiwa kwa kiongozi siyo kugawa unga alafu kamera kibao na waandishi wa habari.
@neliusdidas8749
@neliusdidas8749 Жыл бұрын
Sasa siungenunua ukawapa Bure Ili uwasaidie kama nabii mkuu alivyosaidia million 100 bila riba
@upendomatella-ic9mf
@upendomatella-ic9mf Жыл бұрын
Jamani naomben namba ya lema jamani kuna vitu vinaumiza jamni
@upendomatella-ic9mf
@upendomatella-ic9mf Жыл бұрын
Jamani mwenye namba ya lema naombeni
@godlistenmangowi9328
@godlistenmangowi9328 Жыл бұрын
Lema swafi
@yassirgiya6743
@yassirgiya6743 Жыл бұрын
Jamaa anaongea ukweli na ninamuunga mkono
@neemamahimbo4711
@neemamahimbo4711 Жыл бұрын
Ulaya ulaya tu
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
NB: ✍️✍️ time will talk,wewe siyo nabii Ila unaona mbali
@John-vn4pp
@John-vn4pp Жыл бұрын
Wanaohusika na nmb clocktower especially customer care desk. Wako extremely slow. Huku ndani wamejazana vijana wanapiga story.
@georgempaji9465
@georgempaji9465 Жыл бұрын
Tena usije ukajiroga uende jumatatu yani unakuta watu ni nyomi harafu wafanyakazi hawana hata time wanaboa kinoma aise
@zaudolutambi9895
@zaudolutambi9895 Жыл бұрын
Point
@ombenianton3611
@ombenianton3611 Жыл бұрын
Hii imeeleweka sana Lema
@zakayodenis7118
@zakayodenis7118 Жыл бұрын
HAKUNA jipya hapo njaa zinatusumbua tu, sema njaa zetu zinatofautiana Mimi nilishawahi kusema Tz hatuna wapinzani ila Mpinzani alitokea mmoja tu kwa kipindi hiki ambae ni JPM hakuna mwingine, alikuja namfumo wake mpya kabisa huyo ndie Mpinzani wa kweri.
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 Жыл бұрын
Kweli kabisa huyu kaona hakuna jinsi ya kuiba canada inabidi arudi huku
@brownsebastianmwibi5647
@brownsebastianmwibi5647 Жыл бұрын
Upinzani wa JPM usingeujua mpaka alipopata nafasi. Wapinzani wapo, sem hawajapata nafasi tu.
@kazkaz1943
@kazkaz1943 Жыл бұрын
Lema n mpujz
@AliAli-xj3su
@AliAli-xj3su Жыл бұрын
Umesema kweli
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 58 МЛН
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
Israel kills Hamas leader Yahya Sinwar in Gaza
22:04
Channel 4 News
Рет қаралды 345 М.