Watoto ni fitna kubwa na unaweza kuzaa mtoto ukafikiri umepata mtoto kumbe umezaa hasidi Allah atujaalie vizazi vyema vyenye hofu ya Mungu amen.
@LuluAquai3 ай бұрын
Aamin rabbilg'aalamin
@HaruniHaruni-jy7hw3 ай бұрын
Allahumma aamiiin
@SaudaShabani-b6c3 ай бұрын
Amiin thumma amiin tuwaombee watoto wetu mtihani sanaa walah
@RoseMrimbo3 ай бұрын
Kweli kabisa kuzaa sio kupata
@HamisMghuna-fj3vz3 ай бұрын
Walladukumu fitinaa,,huyo n Allah, Quran hio sasa jipendekeze,kua na kisu,mama yake alikua ale para, kazi ipo,eee mibange,hio,unajizalia Izirael,
@mwanaishamasoud3 ай бұрын
mungu tustiri sisi na vizazi vyetu ya rabii na utujalie mwisho mwema.poleni wafiwa mungu awape subra.
@Zaburi-3 ай бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@mwanaishamasoud3 ай бұрын
@@Zaburi- Asante mwalim wangu wa kiswahili
@SmilingCityMap-xb9md3 ай бұрын
Pasipo mungu tumefeli kabisa kizazi chetu tumeasi sana sana pombe mihadalati vimeshamili kila kona ni vilevi tusipogeuka na kumludia mungu tutashuhudia makubwa kuliko haya tunayopitia
@chunanachu25293 ай бұрын
Mungu tujalie watoto wenye kheri,watoto wema na Imani na sisi
@FatmaRashid-bq6yx2 ай бұрын
Amin
@EDMUNDADOLOPH2 ай бұрын
Allah amsamehee sana uyo kijana ametenda ambalo alijui
@SuleimanKhdija3 ай бұрын
Allah atujaalie vizazi vyema Subhanallah 😢😢Yani mtoto Umleye akishakuwa anakufanyia unyama sio mzi6wa akili labda yuwavuta bangi
@SalmanMughal-lq5lt2 ай бұрын
Aamina SubhanaAllah
@AbiaWilliam-s1s2 ай бұрын
Mungu utudaidie sisi na vizazi vyetu 😢😢😢mtoto anamuua mzazi😢😢😢
@boniphaceNyankena3 ай бұрын
Da Mungu atusaidie pia watoto wetu tuwaweke karibu na ibada zitawafanya wawe na hofu ya Mungu na tuwape haki zao na tuwafunze kutafuta vya kwao, ila pia tusiyafumbie macho matatizo tuombe msaada wa watu wakaribu angeondolewa nyumbani akakae sehemu rasmi tusifumbie macho
@chrispinantabaye48663 ай бұрын
Ni kweli kuna uzembe na kupuuzia mambo fulani kulikopelekea madhara haya makubwa,halafu jumba lote Hilo hakuna watu wengine wanaokaa hadi muuaji anafanya mauaji anamaliza mpaka anapata na nafasi ya kupigia simu watu kuwa kaua,🙄🙄?!!Gharama ya kumpeleka mtoto Milembe ilikua kubwa kiasi gani kulinganisha na maisha ya hati hati na wasiwasi anaoleta kwenye familia na uhai aloupoteza,duh🙌!!!
@MwajumaMsimuwilliam2 ай бұрын
Poleni sana Mungu Awatie nguvu 😭😭😭😭
@Zuu6733 ай бұрын
Mungu atujaalie vizazi vyetu,km ukujaaliwa uzazi wala husikuful mungu anamakusudi yake unaeza kuzaa kumbe umezaa shetwan
@kamarhelo3 ай бұрын
Hasbullah wa neemar wakir😢😢😢😢😢😢
@abou.salimu17953 ай бұрын
Nimeumia sana kwa hiki kifo. marehem nilifanya nae kazi kibaha secondary
@OfficialA836403 ай бұрын
Innalillah wainnailaihi rajiuun poleni wafiwa. Mjumbe point uliyoongea mtoto hana hatia km kichwa hakipo sawa na unathibitisha hilo basi kesi hakuna hapo Allah amrehem marehemu na kijana apelekwe milembe la sivyo ataleta madhara makubwa kwenye hiyo nyumba Subhannallah
@erickalbert44603 ай бұрын
R.I.P Mwalimu wa advanced Mathematics Kibaha, pumzika Fundi, pumzika Legend🫡
@abasmwika34323 ай бұрын
Poleni sana
@iviejustified81092 ай бұрын
Mwalimu mzuri saana wa mathematics.. RIP
@Grace-w4r5n3 ай бұрын
Wazaa mtoto wasema nbaraka kumbe umezaa kiumbe cha ajabu mungu tulindie vizazi vyetu😢😢😢😢
@itanzaniaAS3 ай бұрын
Huzuni sanaa
@noot-oe2mw2 ай бұрын
Inalilah wainalilah rajuuni poleni sana family
@AtifaIslam-t6g3 ай бұрын
Subhanallah yaallah tusamehe waja wako tulipokosea yarab mana huu mtian mkubwa
@ShafiiSoud-b3w3 ай бұрын
amiin
@safiyanirram-pf3sv3 ай бұрын
SubhanaAllah Allah atunusuru vizazi vyetu msiba huu unamuuwa baba kisa amekunyima pesa yeye mbona akuwa nayo na kija mkubwa tu kwann asifanye kazi anaenda kunywa mapombe na kuvuta bangi wakati anajijua anatatizo kichwani poleni sana wafiwa muacheni akanyie debe jela
@Awezae-w8o3 ай бұрын
Duuuh!!! Tanzania Vita akuna lkn matukio Ni hatare MTT anauwa babake sijaway Ona mungu wangu
@allythabiti81503 ай бұрын
Hii hatar unajua kwann sahz watoto hawapewi elimu ya dini na kuwajengea hofu, mtoto anakuwa tu huku aendi hata kanisa,Wala msikitin yan hawawekewi mazoea matokeo mtoto anakuwa tu huku anajua miziki tu, michezo na mambo ya hovyo huyu hawez jua ukubwa wa mzaz
@Zuu6733 ай бұрын
@@allythabiti8150wallah umenena mungu atujaalie vizazi vyetu
@Ayuminchasi3 ай бұрын
Pia hata wakati wazazi wanamtafuta huyo Mtoto hawakuanza na bismillah kisha wanze ili kumkinga mtoto na shetan endapo watapata mtoto@@allythabiti8150
@Lyimogirl2 ай бұрын
Kiyama kimekaribia sio kwahaya matukio mungu tupe mwisho mwema
@jacksontarimo2185Ай бұрын
Jamani mungu wa saidie watoto wetu waponye poleni sana wafiwa mungu awatie nguvu inauma sana
@makondorshimora50172 ай бұрын
Unaomba hela ya nauli halafu unaenda baa kukesha🤔. Kwa upande wangu uelewa ni mdogo sana😔. Mara kumbaka mama yake ea kufikia…… mmmh haya weee wewe Mungu wajua🙏
@LatifaAnatory3 ай бұрын
Mungu tupe mwsh mwema... Vifo vimekuwa vng na vya ajab ajab sn..😭😭
@GiftAbduly3 ай бұрын
Allah utusamehe dhamb zetu adhabu zako unazotupa hapa dunian ni nzito na ngumu daaah polen kwakwel pia tuwafundishen watoto dini ili wawe na hof ya mungu
@omanmct1353 ай бұрын
Subhanalllah watoto hawana imani tujaliye mwisho mwema yarab
@OmanOman-bx5du3 ай бұрын
Wee mtoto ulaaniwe kwani siutafute kwa jasho lako. 😢😢
@SalmanMughal-lq5lt2 ай бұрын
NashaNgaa
@Sokomoko132 ай бұрын
aisee mungu atusaidie watoto wetu, watoto wanakula haramu tangu wakiwa tumboni, unaweza kudhani mtoto ni mzima kumbe ni muuaji kabisa 😢 daaaah
@jayjay43133 ай бұрын
Mwanangu, wa miaka saba aliponitamkia " Bora ufe au ufungwe Ili niwe huru" Kisa anahisi sheria zangu za kumlea ni kali. Nikaona maneno huumba. Alipofika miaka tisa tu, nikamrudisha kwa mama yake. Mungu tuokoe wazazi.
@fettiemaganza14843 ай бұрын
Duuh
@melanialeonard40313 ай бұрын
Atarudi huyo subiri kidogo
@bakarinangulukuta15073 ай бұрын
Hujatatua tatizo
@Iantussa3 ай бұрын
Ulifaa kutomuondoa ila kuanza kumjengea upendo na wewe. Inaweza kuwa ulivuka kiwango cha sheria kwa umri wake.
@mcback43843 ай бұрын
Malezi uliyompa
@MajaliwaMhungati3 ай бұрын
Mmmmh 😢😢😢 Hawa watoto wa kiume mbona wanatutisha sasa
@jadetoto3 ай бұрын
Watu wanapitia meengi na huwezi jua..tupendane sana
@MichelleMobasa3 ай бұрын
Kabisaa
@NairatHassan-nm2dg3 ай бұрын
Inna lillah wainna ilayhii raji'unn Allah atupe mwisho mwema poleni sn wafiwa😢 allah awape subra na awatie nguvu Inshallah 🙏
@mohamedrajabu9055Ай бұрын
Ndio mwaka mpya au maisha yamezid kuwa magumu lkn hata km tumuogepe mungu.
@shakilamasoud29833 ай бұрын
Haya matukio ya watoto kuua Wazazi yamekuwa endelevu.💔. Mwenyezi Mungu tujaaiye wtoto walio wema nasi😭. Poleni sana wanafamilia.
@DiwaniMwafongo3 ай бұрын
Mafunzo 1. Hakuna mtihani mgumu ksma wa kuchagua mke wa kuoa. 2. Maendeleo yetu ya kazi , mali na taaluma yawepe kipaumbele kuliko marndeleo ya wanetu? Wanaume tunapanda mbegu ya kujimaliza wenyewe!! R.l.P maths teacher!!!💕
@witnesssabato54572 ай бұрын
Unamaanisha nn ndugu?
@DiwaniMwafongo2 ай бұрын
@@witnesssabato5457 Ukiwa makini ktk chaguo la mume au mke utakuwa na stable family. Ktk stable family SI mume, mke au mtoto aweza kumzuru mwingine. Mafanikio ya baba au mama na huku watoto wako hoi ni hatari kwa mzazi!
@witnesssabato54572 ай бұрын
@@DiwaniMwafongo Sawa kabisa, ila kwa hiyo hali ilivyoelezwa inaonekana mtoto alipata matatizo katika ajali na si uzembe wa wazazi.
@DiwaniMwafongo2 ай бұрын
@@witnesssabato5457 Dada wity, ukiwa level ya kuwa bosi wa BMT mwl halafu mwanao aendeshe bodaboda huoni kuna kitu babah Ali cheza sivyo, ? Either kwa kumwacha mama yao au malezi yalimshinda!!
@Latifaally390Latifa3 ай бұрын
Allah awafanyie wepesi wa safari yke nasie Allah atupe mwisho mwema inshallah
@ariphkimani37902 ай бұрын
Mwalimu wangu wa Hesabu Kibaha Secondary School.Mungu amlaze pema.Watoto wetu hawa jamani
@Bongovillagex3 ай бұрын
Milembe PUNGUZENI Ada
@NaomiChristopher-mt2yh3 ай бұрын
Dah, imebid nicheke TU.
@JoyceJoshua-e3l3 ай бұрын
Jaman mtaani kwetu balozi wetu mungu tusaidie
@vincentkatabalo2863 ай бұрын
Jamani mbona mwili wangu umesisimka! Unamuua baba yako kisa baba yako kakunyima pesa? Ee Mungu tusaidie na huu uzao wetu!
@thabitdaudi98153 ай бұрын
Tena mtoto wa kiume alafu kijana mkubwa tu. mtu mzma unaombaje hela kwa baba yako
@OfficialA836403 ай бұрын
Mmesikia mjumbe km kijana hayupo vizuri kichwani na walitaka wampeleke Mirembe ila pesa ndefu ndy kashindwa kumpeleka
@GeraldMyuku3 ай бұрын
Huyo kijana mjumbe anasema akili haiko vizuri shida ni ufahamu wake hauko sawa
@hanifamziray2773 ай бұрын
Ukizaa shida usipozaa shida hizi bangi jaman akafungwe tuu
@clauschaula20502 ай бұрын
Poleni sana.Mungu tuepushe na majanga ya aina hii kwani yanaumiza sana moyoni.Watoto tunaowazaa wanakuwa maadui badala ya kutetea.Ila hakuwa na akili timamu.
@Yana_queen13 ай бұрын
Tujifunze kuwaombea watoto wetu..adui anawatumia sn
@SaidIssa-tq3yv3 ай бұрын
Hakika brother, tuwaombee sana vijana wetu , greetings from Zanzibar.
@w40583 ай бұрын
Inna Lilaah Wainna Ilayhi Rajioun Allaah amsameh makosa yake amzidishie mema yake Subhanallah sasa pesa zake mwenyewe zimemtoa roho
@SheilaOmar20073 ай бұрын
Wamefanana na kakake jamani 😢😢😢
@RashidRamadhani-b5o3 ай бұрын
Kama ana tatizo la akili haijalishi ni kubwa au dogo kikubwa ana tatizo la akili apumzike mzee wetu Mungu ampe kauli thabiti 😭😭😭
@Latifaally390Latifa3 ай бұрын
Ukiwa na watt mtihani usipokua na watt mtihani allah atujaalie watt wema inshallah
@aminakasim11983 ай бұрын
SubhanAllah eeeeh,mungu wangu ninavyopataa shidaa mm babaa,hayupo,Leo,kijanaunamuua,babaakweli
@ShamilaAbdul-n8b2 ай бұрын
Allah akurehemu, ulikuwa unaishi maisha mepesi tu jamani
@HawaSeif-j7b2 ай бұрын
Inalillah wainaillaih rajiiun, jamani mtihan huu m/mungu atujaalie kizazi chema.
@JoyceLuhasha2 ай бұрын
Mungu walinde watoto wetu bariki vizazi vyetu
@itanzaniaAS3 ай бұрын
Jinsi KULEA MTOTO KULIVYO KUGUMU,, UMLEE MTOTO AKUE ALAFU NDO AJE AKUUE?? 😢😢😢SAD. MZAZI AKIKUKWAZA ONDOKA ACHANA NAE.
@shabanipanya10333 ай бұрын
Kiamaa hichoooo kimeisha fika bado kuripuka tu alafu mnakataa maneno ya mitume ""mtoto kumuua mzazi na mzazi kumuua mtoto""
@jamesmasome3593 ай бұрын
Malezi malezi.....
@nikrahayubu-sz3pw3 ай бұрын
Naam kiyama kimefika ujue wenye akili ndoo wanajua lkn wengii wawatu hawajui Hilo Dunia imiisha subhanallah ndoo hatuoni na Wala hatutak kufanya ibda tunakufa ghafla
@faridanurdin96353 ай бұрын
Hakika kiama kimeshafika
@hassanmwemba31583 ай бұрын
Inna lillaahi wainna ilayhi raajiun, inaumiza mno, mtoto anaua mzazi kisa kutopewa pesa halafu hapo nyuma alijaribu kumbaka Mama yake ... dah! poleni sana, tuko pamoja katika kipindi hiki kigumu :!
@lilianmwinamila95062 ай бұрын
Matukio ya mauaji yamekuwa mengi sana…. Eeh MUNGU atusaidie 😭🙌🙏
@kisinza60773 ай бұрын
Duuuh! Mungu amlaze mahali pema! Huyo ndiyo mgonjwa wa akili haina kidogo Wala sana. Kama hatibiki na hafungiki; apelekwe milembe akaishi huko ataangamiza wadogo zake.
@witnesssabato54572 ай бұрын
Milembe garama
@husseinshabani95223 ай бұрын
Namshukuru Mungu niliondokaga nyumbani nikiwa mdogo Sana...hii habari yakukaa nyumbani mpaka Unaota ndevu ndo mazara yake haya...poleni jamani.
@EmmanuelMgome3 ай бұрын
Kuzaa c kupata mbele yako nyuma yetu majala tutakukumbuka daima mungu akupe kauli thabit uendapo
@lisawilliam24913 ай бұрын
hii dunia ! mungu tusaidie! polen familia
@ScopionScopion-zj9cd3 ай бұрын
Mzee kayataka mwenyewe mtu ukishaona littoto halieleweki fukuza mapema lifunzwe Nawalimwengu mtaani uko
@AtifaIslam-t6g3 ай бұрын
Wewe ni mzazi au waongea tu mana kama ni mzazi omba mungu sana awaongoze wanao mungu awaongoze watoto wetu
@hatibbaraka39563 ай бұрын
Kabisa watu wengine wanaongea pumba.@@AtifaIslam-t6g
@deogratiusyudatadei56583 ай бұрын
@@AtifaIslam-t6gSasa ulitaka asemeje nyiee wazazi mnaolea kimayai mayai matokeo yake huaga ni hayo hata mm mtoto nikiona simuelewi na mtimua mapema akafiee huko Sina mapenzi na nyoka atakaye kuja kunimeza siku za mbeleni
@yasminjuma91463 ай бұрын
Jamani . Mzazi kwa mtoto wke huna lakumwambia. Na hilo jambo ulisikie mbali tu.. Tuombeane dua tu
@JabirHaji-vj2nf3 ай бұрын
Nyie waongo musitudanganye mtoto wako wa kumzaa huwezi mfukuza nyumban aende wapi kwa mfano acheni uongo hii mitihani tuombe sisi isitukute tu na tuwalee watoto kwenye misingi ya dini
@HadijaMsangi-e7n2 ай бұрын
Innalillah wainaillah rajiuun, tunakuomba yarabi tujaalie mwisho mwema
@yusuphissa67452 ай бұрын
Allah aziongoze family zetu insha allah.
@mnisi36943 ай бұрын
😢😢😢😢 hivi kweli mwanaume unaomba pesa kwa mzazi ukiwa nyumbani kwenu
@hildajoel53 ай бұрын
Jaman jamani kwani tumekuaje siku hizi Watoto tunaua wazai eti hajakupa hela😢😢😢
@IsmailHaji-mn3ko3 ай бұрын
Mtoto akishafikisha miaka 20 fukuza nyumban akatafute chake. Maana akishakaa nyumban anaanza kulaza akili akitegemea urithi
@YohanaRichard-e6p3 ай бұрын
Mungu atusaidie , poleni sana
@Mayasa-o2w3 ай бұрын
mungu.akupe nguvu . kijana na.poleni.wafiwa mh.mtoto unamzaa.na anakuja.kukuua kichwa.kina.matatizo alafu.kinaongezwa na.bangi tena.inakua mtihani.wallah.mwenyezi mungu.atunusuru sisi na vizazi.vyetu
@MsAisha-w4o3 ай бұрын
Innaalillah wainna ilayh Rajiuun... huyo mtoto kitamramba muda si mrefu weh damu haina masihara.
@Rehema-h6t3 ай бұрын
Subhananllah jaman dunia imeisha laaana sumakhaa weee na hauta iyona raha ya dunian 😢😢😮
@josephkulija2933 ай бұрын
Hiki ni kizazi chenye laana, watu tumrejee Mungu kwenye maombi sana. Mtu ambaye hajapata mtoto anamlilia Mungu ampe mtoto, na wengine wenye watoto wanajuta kuzaa.
@maryamkokani46833 ай бұрын
Wamepoteza baba na mwana..very sad indeed
@daslamonline46653 ай бұрын
Kuzaa sio kupata mungu atupe mwisho mwema
@halimamnyati93113 ай бұрын
Hakikaa
@hamidaalhabsi85683 ай бұрын
Ewemwenyezi Mungu tupe mwisho mwema yaarab pamoja na watoto wetu wawe wenye roho ya huzuni na ya upendo
@aminakasim11983 ай бұрын
Nimeamini kweli kuzaa siyokupataa
@tinnahagustinolyelu42473 ай бұрын
Jamani mtihani mkubwa uwiiiii Mungu tunusuru
@MfiriFulgensi3 ай бұрын
Mungu atusaidie unafurahia kupata mtoto wakiume kumbe kimezaliwa kifochako
@FatmaRashid-bq6yx2 ай бұрын
Kwakweli Allah atusaidie sana
@zawadjose5440Ай бұрын
Ahaaa vijana tafuteni hela pambanani
@NajmaramadhaniAlly-is6mf2 ай бұрын
Watoto wetu tunawalea kwa taabu tunawazaa kwa uchungu mkiwa wakubwa mnatuuwa 😭😭😭😭😭😭
@itanzaniaAS3 ай бұрын
Sasa hela si akatafute mwenyewe?? Mpumbavu sana AKIBAINIKA NAYE WAMNYONGE😢😢
@linahmacha3702 ай бұрын
Yote kwa yote tuishi na watoto wetu kwa upendo hutuwezi kujua kilichokuwa kinaendelea wazazi wengine waishi na watoto wao kama siyo wao tubadilike wazazi tuwapende watoto wetu 😭😭
@eyeonnature40222 ай бұрын
Wewe ni mpumbavu na huna akili. Kalea mtoto mpaka kafika umri uo alafu unaongea ujinga? Hata kama aliteseka siungekua umri unaomtosha kuondoka? Na mpaka alitaka kumpeleka mirembe tatzo ada kubwa huo sio upendo? Uyo mtoto mwingne mbona asishirikiane na mwenzie nani mtu na mdogo ake? Usiongee vtu ambavo ata Mungu akivgeuza kwako ni mtihani
@RojaMoo-zh2cv3 ай бұрын
Dah!! Ww ulomuua baba yako n laana kubwa sana jmn
@ThomasMmary-r7w3 ай бұрын
Poreni 😢wafiwa
@HusseinChai-n4g3 ай бұрын
Mtoto uleavyo ndivyo akuavyoo hakumuandaaa kujitumaa
@binthamoudshariff54923 ай бұрын
Allah atupe hidaya jamii 🤲 innalillah wainna ilairajiun
@ShabaniSudi-d1x3 ай бұрын
Kweli kuzaa watoto sio kupata.
@DavidFrancis-oe5qu2 ай бұрын
Daaaaàh mungu atuepushie na hatari
@SaumuSaidi-z2v3 ай бұрын
Mh nakumbuka yule mtoto aliyemuuwa mama ake akamweka kwny chemba ya choo arsha na kesi imeisha hivyohivyo
@khdj-x3w2 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢mtoto anyongwe kbisa huyo
@abdullahhashimu23803 ай бұрын
Huu ni mtihani Subhanallah
@Ajijji123 ай бұрын
Ewe mola wetu angalia vizazi vyetu wajaalie hekma na upendo kwa wazazi wao
@khadijaamur60323 ай бұрын
Allahumma Aamiin
@Ayshernasolo3 ай бұрын
Watoto wengine ni ibilisi kwanini msitafute KAZI mkafanya jaman istoshe nikijan unguvu zakufnya KAZI usaidie Baba yako man wee umeshakua sasa😢😢
@naomigenchiri22233 ай бұрын
😭😭😭😭 jamani jamanii eeh..
@rebekakalondji25762 ай бұрын
😢😢poleni sana
@aronmilinga73033 ай бұрын
Suala la malezi ,yan n madawa ya kulevya watumiaj tatzo tunawaficha ndo shda inatukut hiv, jamii wanajua mtumia bang lkn no action before, serikali chukuen hatua tia ndan wavuta bangi wakazalishe huko nchi isonge mbele. Duh!! Mzee wa watu jmn mhhhh!!!!
@Jayhood283 ай бұрын
Uchunguzi makini unahitajika sana..Mungu Amrehem.
@FatumaJuma-b2g2 ай бұрын
Innalillah wainna lillah raajuun poleni wafiwa
@ukhutfatumah11543 ай бұрын
Innalillah wainnah Lillah rajuun hakika sisi ni WA m/mungu na kwake tutarejea 😢mtian sana
@fatumaoseya96683 ай бұрын
Innalilah wainna ilayh rajiuuna... Chuki kutoka wamama jumlisha msongo wa mawazo ajali hewa ya petrol bangi
@happinessmosala22173 ай бұрын
Jamani kijana mdogo.kweli hiyo Ni pepo.daah poleni sana familia.
@aminakasim11983 ай бұрын
Yaan,ni huzuni sanaa😢😢😢😢😢😢😢
@Jacklinejohn73 ай бұрын
Wanaume wanabeba mambo mengi dana moyoni jamani😢😢😢😢😢😢😢daah
@neemaallybendera14962 ай бұрын
Ila Tanzania yaani sehemu ya tukio haijazungushiwa utepe wa precaution mpaka watangazaji mnaingia na damu mnaonyesha
@salamamango5203 ай бұрын
Mali,mke,na watoto wenu ni mtihani kwenu jihadharini...poleni.allah ailaze roho ya marehemu mahali pema
@KuruthumBilali2 ай бұрын
Innalillah wainna ilàih rajiuna
@wazirihamisi64843 ай бұрын
Subhanallah mtihani
@alfredamapunda13213 ай бұрын
Jamani Tanzania Kuna nini mbona mbona kukicha tuuu mauaji mungu wangu
@vanessalaizer43633 ай бұрын
Si walimuondoa Magufuli matokeo yake ndo haya
@Ahmed_05023 ай бұрын
Inalillah waina lillah raji’un pumzika kww amani Sir 🥲
@marrypius5762 ай бұрын
Asee wazazi watoto wakikua fukuzeni nyumban haya ni madhara yakukaa na watu wazima nyumban mim mtoto kama hasomi nafukuza akajitafutie maisha huko