No video

EXCLUSIVE: Mama Hamisa kazungumza "Namwambiaga Hamisa akipata mimba asitoe"

  Рет қаралды 100,498

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 239
@beryldennis2263
@beryldennis2263 6 жыл бұрын
Mama anatia raha huyu anajielewa sana mengin ni riziki kutoka kwa mungu inshalla
@wamamatu6294
@wamamatu6294 6 жыл бұрын
MAMA NIMEKUPENDA KWA MASHAURI YAKO, LAKINI MUOMBE NA MASHAURI APATE MUME ALIE CHAGULIWA NA MWENYEZI MUNGU, NDOA NI KITU CHA MANA SANA.
@eustarmwambanga5131
@eustarmwambanga5131 6 жыл бұрын
Umejua kunichekesha mama...ati unawablock. ... Love love love all the way from Kenya
@rahimajuma688
@rahimajuma688 6 жыл бұрын
woyoooo wapi team nyodo gonga like hapa ha ha ha Asante mama team nyodo
@shiraann632
@shiraann632 6 жыл бұрын
Wow hongera Hamisa mungu akuzidishie .
@kittsmohamud
@kittsmohamud 6 жыл бұрын
Mama mwenye adabu na heshma❤❤❤
@kittsmohamud
@kittsmohamud 6 жыл бұрын
Zuweina Mohamed .I ain't talking about dhambi zao,nazumgumsia vile hana vita mtandaoni.Dhambi yao ni yao na Mwenyezi mungu,lakini ako na heshima yake kushinda mama dangote.Authubillah
@kittsmohamud
@kittsmohamud 6 жыл бұрын
Zuweina Mohamed.LMBO you in my comment section preaching sis.I would rather one enjoys themselves and not be bothered with others ,than one who every post she post is throwing shades.Mama mobetto is respectful weather She's in a bar drinking that's her sins.You carry your own unless you are a saint....Google will help.Deuces
@veronikazacharia7206
@veronikazacharia7206 6 жыл бұрын
Asante mama tunakupenda pia
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 6 жыл бұрын
Iyo ndo raha ya mama anakuwa na mtoto bega kwa bega mama ndo Rafik wa kwel
@bintisuleimani7124
@bintisuleimani7124 6 жыл бұрын
Hongera mama na mwanao
@bisengobubasha
@bisengobubasha 6 жыл бұрын
Mama Mobeto anamchango mkubwa kwa mwanaye, mama ni mama tu
@giannajoji7944
@giannajoji7944 6 жыл бұрын
Clack Goodluck TV,mama ni mama kwa kweli!acheni mama aitwe mama!mama km hakuweza kuitoa mimba yako atakupigania kwa kila litakalo kukuta haijalishi we ni Malaya hata jambazi!
@bisengobubasha
@bisengobubasha 6 жыл бұрын
Gianna Joji iyo ni kweli dada yangu😍
@paschazianyerere8276
@paschazianyerere8276 6 жыл бұрын
I love you mama mtulivu mwenyewe
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 6 жыл бұрын
Mashaallah hamisa insha'Allah utapata mume wa ndowa cyo ndowana
@floraclemence2081
@floraclemence2081 6 жыл бұрын
Safi nimempenda bure anaongea kwa kujiamini na ana hekima.Hongera sana
@aminafesali5817
@aminafesali5817 6 жыл бұрын
dah Umeongea point sana mama etu kipenzi
@fgjjgbnko4383
@fgjjgbnko4383 6 жыл бұрын
Mama mshauri mwanao aolewe mungu hapendi uzinifu Allah atawabariki
@wandelugenzi5926
@wandelugenzi5926 3 жыл бұрын
Wewe umeolewa
@fbr5113
@fbr5113 6 жыл бұрын
Hongera mwalimu wa Hamisa kwa kumkomesha Dai hadi anaipatapata. Ayo vipi leo mmewagusa WCB family? Njaa kali eee hahaaa WCB family ndio inalipa mitandaoni. Dai ni wa watu hata msipomuhoji yeye mtajikuta mnahoji baby bibi wake hahaaa
@jonathanermas7245
@jonathanermas7245 6 жыл бұрын
Potezea Wazushi shuhudia mwenyewe umeona ee
@faridashabani8210
@faridashabani8210 6 жыл бұрын
mashallah,mama jaman huyu kila MTU anamwita mwanake
@shakershaker3336
@shakershaker3336 6 жыл бұрын
she's more than a mother,, with maximum respect......
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Ww mama hii interview yako niyamwanzo kuisikia. Lkn naona hufai kua mama kiisilam. Huna aibu wala busara. Allah akuongeze
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Жыл бұрын
We ndo Mungu eti?
@rahimajuma688
@rahimajuma688 6 жыл бұрын
Millard hili tangazo lako badilisha sasa tuna jua kazi yako ni utangazaji ndio 😂😂😂
@sharlinanyanje4065
@sharlinanyanje4065 6 жыл бұрын
Rahima Juma 😂😂😂😂😂
@supertal2943
@supertal2943 6 жыл бұрын
😂😂😂Rahima Juma
@rahimajuma688
@rahimajuma688 6 жыл бұрын
Dedih Ahmed 😂😂😂nimejikuta naandika tu
@ccmchadema8107
@ccmchadema8107 6 жыл бұрын
Rahima Juma tangazo ndo Pesa my
@magdalenauronu5949
@magdalenauronu5949 6 жыл бұрын
Linachosha sana kwa kweliii
@aminamgaya7511
@aminamgaya7511 6 жыл бұрын
Haki ya mungu nimekupenda bure we mama
@TheBlkk100mk
@TheBlkk100mk 6 жыл бұрын
Duh mama wa kiislamu una mshajihisha mwanao alete haramu ndani nyumba loh!
@jasminetesha8225
@jasminetesha8225 6 жыл бұрын
Tunamumbea missa wetu atampata wakumdeza pamoja mama unaongea adi raha penda sana wewe❤❤👏👏
@shanimpenike7568
@shanimpenike7568 6 жыл бұрын
Mungu ajaalie kushindania kher zaid hamisa hongera fanya kher zaid ndo maisha yanaenda zaid kumfurahisha mungu
@prettyedoedward8549
@prettyedoedward8549 6 жыл бұрын
huyu mama katulia anaongea mpk raha huchoki msikiliza
@nadyajumaa4490
@nadyajumaa4490 6 жыл бұрын
Ninekupenda sana mama mobeto
@ccmchadema8107
@ccmchadema8107 6 жыл бұрын
kweli mama mungu yupo nawe dar nakupenda sana una maneno ya busala
@emmamwaila7129
@emmamwaila7129 6 жыл бұрын
Salute mama lao pambana hivyohivyo
@lucasgeorge2540
@lucasgeorge2540 3 жыл бұрын
Huyo mama, kuna video aliyekua anakatika , ndo hyo au nafananisha
@faziafaziaa5259
@faziafaziaa5259 6 жыл бұрын
mama umesema ukweli penda wewe
@floraemile8476
@floraemile8476 6 жыл бұрын
Nimekupenda bule mama❤️❤️ unajielewa sio kama mama,,,,,,,,,,,😓 acha nisiongee sana😞☹️
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@maryammarym4437
@maryammarym4437 6 жыл бұрын
Penda mama hamisa
@phyllism2479
@phyllism2479 6 жыл бұрын
Aaah! She is so lovely. I can steal her from hamisa😊
@hamidamakamemohd8537
@hamidamakamemohd8537 6 жыл бұрын
Umeongea neno la mana mama heshima kwako
@catherinemsofe8020
@catherinemsofe8020 6 жыл бұрын
nampenda huyu mama
@faidadusabe9249
@faidadusabe9249 6 жыл бұрын
oyooo, Tim nyodo, ju ju Amisa, kimbiza wote 🏃🏃🏃
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Mitihani. Allah atuhifadhi na watoto wetu. Baada ya kumkataza aache zina. Ww unamwambia akipata mimba azae, hao ndio ndugu zake. Muhofu Allah mama angu, ww ni muisilam. Usihadaike na vishilingi hvyo. Kaburi linatisha na hata hvyo ujue unagawana dhambi na mwanao. Hayaa.
@aishaelias6826
@aishaelias6826 6 жыл бұрын
Nilichanga pia mimi from Germany..Team hamisa forever
@hamidamakamemohd8537
@hamidamakamemohd8537 6 жыл бұрын
Asante mama mama unaejielewa heshima yk mama wew ndie mama unaejua maana ya mtoto
@tausak4568
@tausak4568 6 жыл бұрын
Yaaani mtafutenii kabisaaa 😘😘😘😘interview ahi choshiii 😘💪💪💪
@masiqaima3099
@masiqaima3099 6 жыл бұрын
hongera mama kwa hekima
@mamag3301
@mamag3301 6 жыл бұрын
😂😂 nakupenda bule mama mobeto 💕💕
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 9 ай бұрын
Hongera sn Hamisa Kwa kuwa na Mama Bora ❤
@agnessjohn8404
@agnessjohn8404 6 жыл бұрын
huyu mama ni mzuri Sana kapendeza kweli halafu na mavazi yake ni ya heshma na anaongea point love you mama
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Halafu unasema ndoa majaaliwa. Inamaana azini tuu. Halafu unajitia kumtaja Yaa Rasulullahi. Humfaham kabisa. Km unajua jinsi Allah anavyoichukia zina basi usingekua unampa kichwa mwanao.
@zuweinamohamed8436
@zuweinamohamed8436 6 жыл бұрын
Love Mummy swadakta maneno yako nipo pamoja na wewe sijaona cha kumsifu huyu MAMA ikiwa na mie pia mzazi kama yeye...unasema ndoa ni majaaliwa inamana ni kheri mwanao akafanye zinaa ili mradi tu MKONO uingie mdomoni...kataza mwanao zinaaa na sio kusema ndoa majaliwa.....
@FM-xi3on
@FM-xi3on 6 жыл бұрын
Mama mwenye busara zake 💕💕
@aminamgaya7511
@aminamgaya7511 6 жыл бұрын
Mama unajielewa Sana ww namama ake kiba achana na Yule mtandale ushamba umemjaaaa
@angelgaly1696
@angelgaly1696 6 жыл бұрын
Mama nakupenda sanatu sana lv mama mombeto
@queenkhalimaqueenkhalima3174
@queenkhalimaqueenkhalima3174 6 жыл бұрын
Nakupendaga sana mama hamisa
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 6 жыл бұрын
Mtangazaji mfukunyuku wewe khaa Mama uko sawa kabisa kibaya chako kizuri cha mpita njia Hamisa your luck una rafiki wa ukweli 😂😂😂Team Nyodo hahahha ume tisha Mama
@R10_Rajab
@R10_Rajab 6 жыл бұрын
Mh sijawahi kuona mzazi wa ajabu kama huyu ambae anamshauri mwanawe azini lol pole sana
@jamillaibrahim7068
@jamillaibrahim7068 6 жыл бұрын
rajab msinzia ww umezini mara ngp usijifanye msafi
@jamesmpeter8710
@jamesmpeter8710 6 жыл бұрын
mama mecup kdg unatumia saf saba mama mobeto
@zaitunisudi3022
@zaitunisudi3022 6 жыл бұрын
Hajamshauri azini lkn amesema aki pata mimba azae, we vp sa amtenge 😏😏
@giannajoji7944
@giannajoji7944 6 жыл бұрын
rajab msinzia amemshauri wapi??jamani??mbona mnakuza mambo!
@mwanaidialimwayoyo1423
@mwanaidialimwayoyo1423 6 жыл бұрын
rajab msinzia hajamshauri amesema azae sasa unataka amwambie atoe mimba si uuwaji huo.na amesema ndoa ni rikzi ikipatikana atafurahi au hukusikia hio.waajabu ni ww
@elizabetandrew7954
@elizabetandrew7954 6 жыл бұрын
nimekupenda mama hunajielewa
@joycejoes
@joycejoes 6 жыл бұрын
Mama mwenye busara zakee
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 6 жыл бұрын
Mama hamisa ukimsikiliza kwa makini utagundua ni msomi na anajielewa,si mlopokaji,sema hamisa Sasa ivi utuletee Mume maana km watoto tayari una Baba na mama
@okojoshua4652
@okojoshua4652 6 жыл бұрын
Me kanichekesha tu alivyosema hawezi kutoka Instagram
@Jib28
@Jib28 6 жыл бұрын
I really wonder! Kumbe hamisa tabia anatoa kwa mamaake. Basi ndio hivo. Kuchubua na kadharika. I bet there is witchcraft in the whole drama of Diamond and Hamisa relationship. Mpaka mama anamshahuri mtoto azae bila ndoa???? Nimekushangaa! Yatamukuta Tu. Anavyotrndea wenzake yanamusubili.
@alexmurithi1327
@alexmurithi1327 6 жыл бұрын
jibrat mugwaneza have been following your comments in Facebook, KZbin etc. Pls stop that hatred
@Jib28
@Jib28 6 жыл бұрын
Alex Murithi Alex for your information I hv no hatred but i comment just because this family are just faking and are very good pretenders. I know hamisa mother is supportive to Zari and Diamond's break up. So, i dislike such characters.
@mamunote3507
@mamunote3507 3 жыл бұрын
Huyo Mama Mashallah Mashallah Ana Hikma ya hali ya juuu
@mohammadmpinga7404
@mohammadmpinga7404 6 жыл бұрын
Best Mama...
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Mama unamaneno ya Busara, *Bi Sandra* ebu msikie uyu Mwanamke mwenzio alivyokuwa na hekma, love you forever *Mama Mobetto* umeongea point.
@rahmahussein4019
@rahmahussein4019 6 жыл бұрын
Mama hamisa ni kijana na ni mrembo Lakini hajishauwi kwa kweli...kama vile navyo jishauwa mama diamond. Mama diamond ni mtu mzima ..lakini mh !..anapenda kujishauwa na wala hajiheshimu...hapendezi hata kidogo .
@amnahebraheem7868
@amnahebraheem7868 6 жыл бұрын
Rahma Husseil
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 6 жыл бұрын
Yaani upo vizuri, umeongea vizuri
@lulugama1547
@lulugama1547 6 жыл бұрын
huyu mama anajielewa, yaani interview yake haichoshi hata nusu sema mmemuhoji kidogo na nyie
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 6 жыл бұрын
Huyu mama anajielewa.hata anavoongea unaona.kapita shule huyu
@zamzamhamisi7332
@zamzamhamisi7332 6 жыл бұрын
Anny Onesmo Ana heshima na pia mstaharabu MashaAllah
@fatumamunguamlalezemahalia9488
@fatumamunguamlalezemahalia9488 6 жыл бұрын
mwacheni azae mpaka wafike Mia hawezi kushindana na Zari anawatoto 5 na bado Anaita MTu na pasa zake
@annaupendo4768
@annaupendo4768 6 жыл бұрын
Anny Onesmo unachokiangea ni kweli sasa usikie wale wariobahatisha maisha kina mama Nasibu na Dada mtu jibu na swali utabaki unajiuriza wapi na wapi vijembe vya ushwahilini tu😏😏
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Anny Onesmo Umeona heeeeee!!!
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Anna Upendo 😂😂😂
@judithkatabaro3294
@judithkatabaro3294 4 жыл бұрын
Mama nakupenda nimecheka unanifanya nikufuraie jinsi unavyo mfariji amisa yani anapitia magumu
@chim_j3133
@chim_j3133 6 жыл бұрын
safiii sanaa mama hamisaa
@supertal2943
@supertal2943 6 жыл бұрын
UKIPATA MIMBA USTOE!!!.....Mh wasia mzur huo!!!
@amirsab1158
@amirsab1158 6 жыл бұрын
Mama mzuri wa hekima sio kama muji mama mungine haina hekima hongera mama hamisa
@cyantess8423
@cyantess8423 6 жыл бұрын
nakupenda mama misa
@zainabumtubwi263
@zainabumtubwi263 6 жыл бұрын
Mama hero mungu atampa mume wenye kheri nae .azae watoto wa mama
@iddiaman6418
@iddiaman6418 6 жыл бұрын
Mimba si anategesha au bahat mbaya had umshaur? Azae wengi tu
@hamidamakamemohd8537
@hamidamakamemohd8537 6 жыл бұрын
Umeongea none mama nakupenda sn mama kwanz mjasir unajielewa
@husnauthman7609
@husnauthman7609 6 жыл бұрын
Anajielewa sana huyu mama mashaallah
@YusufAli-jv3bj
@YusufAli-jv3bj 6 жыл бұрын
Best mum in the world Allah bless me mother like hamisa mum
@aishaaly2489
@aishaaly2489 6 жыл бұрын
Mashallah mama yetu uko vzr sana nakupenda sana
@sophiatesha9696
@sophiatesha9696 6 жыл бұрын
kabisa mama ndoa ni riziki
@ARi-gp3cm
@ARi-gp3cm 6 жыл бұрын
Unajua kujibeba mama....
@francischiko3752
@francischiko3752 6 жыл бұрын
mbn wcb am wafanyii interview.
@zaitunisudi3022
@zaitunisudi3022 6 жыл бұрын
I love you mama♥️♥️
@irenejoshua1616
@irenejoshua1616 6 жыл бұрын
nimama wacheche Sana wanao ongea hivyo Asantee mama
@mbilabilele2977
@mbilabilele2977 6 жыл бұрын
Huyu maman anaakili sana na anafanana amesoma weng wanajibu awaja elewa ata alicho kiongeya nikuropoka tu anapenda mwanae aolewe ila mimba ikiingiya kabla ajaolewa asitow azae nyiy mumeikaliya ku towa tu
@barakasaningo9478
@barakasaningo9478 6 жыл бұрын
Huyo mama hata Bado ni mdogo sana diamond anaweza kumkatia
@khadijaaziza7586
@khadijaaziza7586 6 жыл бұрын
Aolewe ndo kizurii siyo kuzin tuu
@matonyaalbaho7034
@matonyaalbaho7034 6 жыл бұрын
wote nyie Malaya wewe na mwano wewe mwenyew Malaya ndiyo maana ujaolewa mpaka leo mnategemea k zenu kuishi poleni sana unaacha kumshauri mwanao aolewe unamshauri azae hovyo MTU mzima hovyo
@khadijaaziza7586
@khadijaaziza7586 6 жыл бұрын
Matonya Albaho sipendi mabishano
@janetwandeharris3934
@janetwandeharris3934 6 жыл бұрын
Khadija Aziza malaya wewe na mamaako nfyuuuu
@faidadusabe9249
@faidadusabe9249 6 жыл бұрын
Janet Wande Harris kabisa...👏👏👏
@faidadusabe9249
@faidadusabe9249 6 жыл бұрын
Khadija Aziza ndowa ya toka kwa Allah 🙏☝
@jamillaibrahim7068
@jamillaibrahim7068 6 жыл бұрын
😂 😂 kuna watu wachekesha hapa. wenyewe usichana wao n pka sai wengine wanazini...... mwachen hamisa n mmke n mkome
@mwanamkas5539
@mwanamkas5539 6 жыл бұрын
Safiii mamawe
@maureenlove7921
@maureenlove7921 5 жыл бұрын
she is so mature❤❤
@nabintukadende2388
@nabintukadende2388 6 жыл бұрын
👏👏👏
@matonyaalbaho7034
@matonyaalbaho7034 6 жыл бұрын
eti hamisa azae kwaiyo mnafanya zinaaa hovyo Malaya wewe unatafuta kiki bwege
@ccmchadema8107
@ccmchadema8107 6 жыл бұрын
ndoa mpangaji ni mungu kama mume wake yupo tu atatokea awe kama shishi akajikalya na uchebe kimy
@douceurgracia4359
@douceurgracia4359 6 жыл бұрын
na cream zimechoma mikono vidole vyote vipodozi vinawaweka wazuri sadaka aina baraka kani imetangaziwa
@teclabeny3335
@teclabeny3335 6 жыл бұрын
Nakupenda buree mama Hamisa!
@janengota3902
@janengota3902 6 жыл бұрын
Asante mama
@mirriamandayi6753
@mirriamandayi6753 6 жыл бұрын
And God bless u mama
@jeremiahmwasapilicharlie2926
@jeremiahmwasapilicharlie2926 6 жыл бұрын
mama uko safi
@trytokeepup1786
@trytokeepup1786 6 жыл бұрын
kumbe Hata Millard hatangazi hbar za diamond... 😂😂😂😂😂 naona mtangazaji anazunguka zungyka.....
@halimkepa7766
@halimkepa7766 6 жыл бұрын
Mmh watot wa zinaa unafurahi mam pole
@janeawuor9468
@janeawuor9468 6 жыл бұрын
Mama Mobetto is the real GGGG! Namfollow Instagram pap. She is the best😍
@Roz923
@Roz923 6 жыл бұрын
Uyu mama ana akili
@dedenadine741
@dedenadine741 6 жыл бұрын
Mama nimama 2 ivi hamisa akiumwa ukiwi utakumbuka kama umewahi kusema kama ni kuza hata kumi utaeya hakuna mutu anaweza kumusema mtoto wake vibaya hata awe mwizi utamteteya ivi iyi myaka yote ulikuwa wapi mbona hamisa kaza na majuzzo haukuwahi kutangaza niju hakukupa nyumba ? Mimi sina team ila nasemesha ukwei ivi pako mutu anatukanwaga kama wema na zari kwei mama ni mama ivi nimwanaho unahona yeye ndo anatukanwaga acha tuyape macho tutayasikiyaga uyu ujumbe umeandikwa namukaaji wa America
@beryldennis2263
@beryldennis2263 6 жыл бұрын
Mama wewe hatari tukomesheee
@deograsiamgeni5716
@deograsiamgeni5716 6 жыл бұрын
Mama nakukubali
@neemajankey6985
@neemajankey6985 6 жыл бұрын
Naipenda xna hii familia
@sheillahchisika8414
@sheillahchisika8414 6 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 mama anasema anaadvice Hamisa apate mimba akizaa Aii mama wambie ni vizuri kuolewa
@reginaphillipo8758
@reginaphillipo8758 6 жыл бұрын
I love mama saaana
RIYAMA NA MUME WAKE WAFANYA YAO LIVE KWEUPE REDIONI TAZAMA.
16:49
TimesFMTZ
Рет қаралды 2,4 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 49 МЛН
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 3,4 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 28 МЛН
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 49 МЛН