Boss Lady: Zari Hassan azungumzia kutengana na Diamond Platnumz akihojiwa BBC Swahili

  Рет қаралды 99,799

BBC News Swahili

BBC News Swahili

Күн бұрын

Baada ya tetesi nyingi hatimaye mjasiriamali na mama watoto wa mwanamuziki maarufu barani Afrika kutoka Tanzania Diamond - Zari Hassan, ameubwaga moyo na kuweka wazi hasa kilichowasibu wawili hao maarufu. Katika mahojiano maalum na Mariam Omar wa BBC, Zari ameulizwa iwapo Diamond mwenyewe alikuwa akitarajia ujumbe mzito wa kutengana alioutoa kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Пікірлер: 76
@shakilarasti
@shakilarasti 6 жыл бұрын
This is a woman talking now you have a golden heart which many don’t have keep going and focus to your children’s l believe you will find someone who will truly love you.love you zari
@loreengonzaleck1977
@loreengonzaleck1977 6 жыл бұрын
That's the woman of her principles great decision!
@OliviaOlivia-rh1eb
@OliviaOlivia-rh1eb Ай бұрын
Much love from uganda ❤️ 🇺🇬 zari❤❤❤❤❤❤
@mwanaharabu82
@mwanaharabu82 6 жыл бұрын
Hongera sana Zari 👏
@ntaconayigizeesperance7625
@ntaconayigizeesperance7625 5 жыл бұрын
Nakupenda saaana Zari The Boss Lady Mungu akusaidiye
@Huhason
@Huhason 6 жыл бұрын
This woman is smart.the boss herself
@maimunaabdalla7146
@maimunaabdalla7146 3 жыл бұрын
Hana u smart wowote nimfa Maji hawachi kutapatapa.kiroho na kisebusebu kipapo.c arudi Tu anaona haya
@fatumajeneby5449
@fatumajeneby5449 Жыл бұрын
AJIKAZA KISABUNI NAHUKU POVULATOKA, KUMPOKONYA WEMA ILIKUWA RAHAAAA 🎉 KULIPIZIWA😂 MPAKA BBC😂 MKUKI KWA NGURUWEEE 🤑 HUKUTAKA AWE NA HAMISA KWANI HAMISA NI DADAKO? NAPIA DAIMON HAJAKUOWA. 🤑🏃‍♂️🤭💀😇🙄😂🤩😆🙃🤑🏃‍♂️🤭💀😇🙄😂🤩😆🙃
@lazarodaudi1689
@lazarodaudi1689 6 жыл бұрын
Zari nakupenda milele achana na huyo fara diamond kakalia wanawake wa uswahilini ambao hawana vision yoyote ya maisha, keep on your future
@gachalinjesmo3180
@gachalinjesmo3180 6 жыл бұрын
my God
@marthajohn6801
@marthajohn6801 4 жыл бұрын
Zar❤️💞❤️
@emilym5376
@emilym5376 5 жыл бұрын
Diamond knows what he was doing in public ,he die not loved Sari anymore and that was the way to show her so that she can decide. First was the Hamisa relation ( with the baby). Zari had a strategy , it was wrong from the begining. It is a pitty because oft the kids. Peace.
@aswilaidrisa4251
@aswilaidrisa4251 6 жыл бұрын
Hongera sana zari umefanya maamuzi sahihi
@esdaroyaute8992
@esdaroyaute8992 6 жыл бұрын
Hongera Zari💗
@claudinehedam.1297
@claudinehedam.1297 6 жыл бұрын
Wooow... intelligent woman there.
@eddadaniel9355
@eddadaniel9355 2 жыл бұрын
Zari anahekima Sana nampenda Sana wifiye2huyu mjanjasana
@fredreckmwakalinga3475
@fredreckmwakalinga3475 5 жыл бұрын
Ukiwa na pesa hubabaishwi,Zari uko vizuri sana somo kwa dada zetu wa Tz
@girllilio8026
@girllilio8026 6 жыл бұрын
I wish it was in English
@nurathnduli457
@nurathnduli457 6 жыл бұрын
now I know ...what goes around comes around
@muhammedsaidi360
@muhammedsaidi360 5 жыл бұрын
I love you zari 🌹❤️
@agnecyandrew3789
@agnecyandrew3789 6 жыл бұрын
Hongera mwaya boss lady chibu akome ubishi ,mwaka wake huu wakawaka wakaaaaa.
@mirandaal4541
@mirandaal4541 6 жыл бұрын
Somebody enlighten me, Why is Zari's relationship with her former husband of national, regional or international interest??
@sduduzilelambrance1600
@sduduzilelambrance1600 Жыл бұрын
They were rich and ballers in Uganda with Diamond people were shocked how can he leave a rich man for a toyboy
@acw079
@acw079 11 ай бұрын
​@@sduduzilelambrance1600i wondee if it worked out for zari... Ivan left her and the kids his properties etc.
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 2 жыл бұрын
Nampenda zari🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@muhammedsaidi360
@muhammedsaidi360 5 жыл бұрын
I love zari ananipa comfidence nikiangalia all about her
@side-eyewarrior823
@side-eyewarrior823 6 жыл бұрын
Can someone translate please
@rechaelelisha6630
@rechaelelisha6630 6 жыл бұрын
safi sana hayo n maumiz mazur
@goodgood3434
@goodgood3434 6 жыл бұрын
👏👏👏👏 zari
@chibandanorms8709
@chibandanorms8709 4 жыл бұрын
Nice
@TRAVELANDTASTETANZANIA
@TRAVELANDTASTETANZANIA 6 жыл бұрын
Duh....napita tu...haya mambo sio ya kuingilia.....tukalime jamani.
@carolglen2965
@carolglen2965 Жыл бұрын
🌹🌹🌹
@muhammedsaidi360
@muhammedsaidi360 5 жыл бұрын
I love you zari
@satulubz2449
@satulubz2449 6 жыл бұрын
Damn no subtitle this irritating
@petromsigwa1380
@petromsigwa1380 5 жыл бұрын
Hapo kwel bro alizingua
@florahangel1718
@florahangel1718 6 жыл бұрын
Zari hana njaa,vihela vya diamond havimbabaishi
@muhammedsaidi360
@muhammedsaidi360 5 жыл бұрын
Baby I love you nimeachana na x wangu leo nafata attitude zako as as a lady
@abdulmohamed3240
@abdulmohamed3240 6 жыл бұрын
Diamond bado hajatambuwa kinamwanamke wa matumizi na mwanamk kama MKE atajuta
@wanjirukarago9308
@wanjirukarago9308 2 жыл бұрын
The best thing she did was leave
@raphaelgadau2783
@raphaelgadau2783 6 жыл бұрын
Pole zari ntakuoa mm
@maimunaabdalla7146
@maimunaabdalla7146 3 жыл бұрын
Jamani tushachoka kusikia hiyo nyimbo ya zari ..tumeachana...tumerudiana.,.tutafunga ndoa mara Sisi ni co parents.(which is which??????)zari Acha kutangatanga Kwa kuona haya!!!Rudi Kwa mondi mwanakurudi!!!!unatuchosha na hiyo nyimbo🇰🇪001
@surujajwie4768
@surujajwie4768 3 жыл бұрын
😅😅umeona
@allyabdallahally9637
@allyabdallahally9637 2 жыл бұрын
Hii haitaondoka mtandaoni mpaka vilembwe
@jastinmgabo7739
@jastinmgabo7739 6 жыл бұрын
d nae alizidi jaman
@ezekielnjau8818
@ezekielnjau8818 6 жыл бұрын
Daah chibu kaacha classic wife kisa cheap women, atakukumbuka
@kibibimwanamvuamohammadmoh9823
@kibibimwanamvuamohammadmoh9823 6 жыл бұрын
Maisha tu haya
@sduduzilelambrance1600
@sduduzilelambrance1600 Жыл бұрын
Mother in-law you been making yourself a wife shame Zari 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@fatmaomar8497
@fatmaomar8497 2 жыл бұрын
Zari muongo..mbona ulirudi kwa wabongo na hashuo kubwa...
@estermwanilwa7107
@estermwanilwa7107 4 жыл бұрын
Eti zari mtumzma uyo mondo mtoto ,nyoooo mbna mama dangote kaolewa na mtoto na wametulia itakuwa zari,shwain kabisa
@ufugajiwetu7782
@ufugajiwetu7782 6 жыл бұрын
umefany sahihi
@muhammedsaidi360
@muhammedsaidi360 5 жыл бұрын
Zari sipost kwa pombe nilikuwa na wazungu lakini muafrika ananiferisha please ata ticket nitalipia nipate muongozo wako
@uwimanauwimana5519
@uwimanauwimana5519 6 жыл бұрын
mezidi kuvuliya vitt vidogo chup acha viwaumbuwe tama ilikuponza na wenzie wapatie fundisho kwako
@aystv5998
@aystv5998 6 жыл бұрын
Ovyooooooooo
@bokabakari3321
@bokabakari3321 6 жыл бұрын
Unazalilika km jinalako majina mengine jmn unajizalilisha kwamtoto.
@baiaaa2809
@baiaaa2809 2 жыл бұрын
Zali ni bahati si jina la uzalilishaji
@maishalupia7136
@maishalupia7136 6 жыл бұрын
Msamehe
@abuuqaasim4815
@abuuqaasim4815 5 жыл бұрын
ZARI MDOGO WANGU UKIMKOSA DIAMOND UMEKOSEA MAISHA NA PIA DIAMOND NA WEWE NDIO UMEBUGI SANA ZAIDI NA ZAIDI HUNA AKILI UKIAMUA KUWA NA FAMILIA TULIA ,HALAFU TATIZO KUBWA NI NDOA KAMA UNGEFUNGA NDOA KILA MTU ANGEKUHESHIMU SANA
@banana-rg4vo
@banana-rg4vo 2 жыл бұрын
Every day new man what about your kids
@Bravo-or8oy
@Bravo-or8oy Жыл бұрын
Which man did she have yesterday and today?
@asajileandimile7890
@asajileandimile7890 6 жыл бұрын
Jaman msamehe mrudiane
@الاو-ث5ر
@الاو-ث5ر 6 жыл бұрын
Bos abu Una sema ako na haki ya kuo wake wann sio mbaya kulingana na dini ya wiisila but dai ni malaya kama ni kuo angefuata sheria za dini yake but iyo ya dayamo ni usherati ya hali ya juu bila kumpa bibi yake heshima. Mh2547.
@reganikalenga988
@reganikalenga988 6 жыл бұрын
Msamehe kaka yetu bwana utatuua
@camillestorm740
@camillestorm740 3 жыл бұрын
she was so embarassed! glad shes moved on x
@mellenondieki6329
@mellenondieki6329 6 жыл бұрын
money,is not a good name, you can have alot of money but you are respecting yourself, of your body, God said your body is special body, now to Zari is prosituting, her pravent body to all three countries, if you have a lot of money, don't jump,here and there with men,the same boundaries, Uganda, Tanzania, kenya, l see that although l don't have anything, money is not live, can l say,one time,Hv,will come close, and money will be nothing to you,he was first proud of Diamond pluntinumz, that she will never leave him,alayer,of lies,woman, money is cheating her,how many were with alot of money but they died without, and their money they left for the moths,they are eating. How many,relationship do you want all over the world. l write this because she was proud that she will,not leave Diamond but she was saying with lie mouth, sorry for you zari. Hv,is on the door.
@wanenetv9672
@wanenetv9672 6 жыл бұрын
DAWA ZA MAGONJWA SUGU/TIBA ZA MAGONJWA SUGU/: kzbin.info/aero/PLRMIRcpWDhtwnm4xMHx4DeZVSXFXw6gCi
@muhammedsaidi360
@muhammedsaidi360 5 жыл бұрын
Zari please call me
@bosiabu6607
@bosiabu6607 6 жыл бұрын
eti zari hassan na wala umejiweka mbali na dini yako ni haki ya diamond kuoa wanawake wanne so utachomwa
@silvotorestyles9728
@silvotorestyles9728 6 жыл бұрын
Bosi Abu anayofanya ni zina..his actuaally supposed to be stooned to death in islam...if ni kuoa..nikka..is another story
@bosiabu6607
@bosiabu6607 6 жыл бұрын
Silvotore styles97 alioa bila kumwambia ndo yamchoma wala hakuzini kitambo afikie kuondoka aligunduwa kuwa diamond kesha oa
@mbrilliB
@mbrilliB 2 жыл бұрын
@@bosiabu6607 zari ni mkristo Kwanza
@surujajwie4768
@surujajwie4768 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂badiyako uliondoka zar ama kwli ww ni bibi yani sura imejikuja 😅😅😅wallah uogo zabi
@frolidaamani9090
@frolidaamani9090 Жыл бұрын
Uwongo zar mzuliamejikunja wap
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 31 МЛН
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 919 М.
WORST BETRAYAL OF ALL TIME - ZARI ON CELEB SELECT [ 16TH DEC 2017 ]
40:05
EXCLUSIVE: Zari afunguka baada ya msiba wa Ivan The Don
18:22
Millard Ayo
Рет қаралды 954 М.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 8 М.
Mkasi - SO4E01 with Diamond Platnumz
27:57
MkasiTV
Рет қаралды 1 МЛН
Diamond Platnumz akiri imemchukua muda mrefu kumsahau Wema Sepetu
27:54
ZARI THE BOSS LADY: "I LIKE NEYMAR BECAUSE HE'S CUTE!"
13:40
B&B Kigali 89.7FM
Рет қаралды 44 М.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 10 М.
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 31 МЛН