EXCLUSIVE! Mbunge NYALANDU aongelea kumsaidia TUNDU LISSU

  Рет қаралды 63,902

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 137
@josephmwakabungu8385
@josephmwakabungu8385 7 жыл бұрын
Yes,tunahitaji viongozi waliyokomaa kisiasa kama Mh.Nyalandu,na hii huduma uliyokirimiwa na MUNGU ifanye pasi ulegevu wala kuogopa,kwani yamkini ndiyo itakayokuingiza ktk ufalme wa MUNGU aliye Hai.MUNGU akubariki sana Ww Nyalandu unayestahili sana kuitwa MHESHIMIWA.Nakupenda sana Mh.Nyalandu wema wako huu,zaidi sana kutenda mema hili ndilo uliloitiwa kuliko hata ubunge
@siamollel9725
@siamollel9725 7 жыл бұрын
Mungu akubariki Mh,Mungu mponye Mh Lisu
@immaculeeuuiiopnsabimana4500
@immaculeeuuiiopnsabimana4500 7 жыл бұрын
Oohh my God maneno mazuri sana jamani Allah azidi kumpa roho ya upendo InshaAllah
@agneslaizer7833
@agneslaizer7833 7 жыл бұрын
Sifa na utukufu wa Mungu unaye yeye mwenye kuunena na kutenda. Mh. Nyalandu Mungu akuinue.
@victorkellei1382
@victorkellei1382 7 жыл бұрын
Hongera sana mh Lazaro, Mungu akubariki
@lucytarimo1688
@lucytarimo1688 7 жыл бұрын
Amina ubarikiwe
@edoedward1860
@edoedward1860 7 жыл бұрын
Mungu akupe heru na baraka, usiangalie siasa bali angalia ubinadamu, mungu atakulipa,
@lizzyshoo8084
@lizzyshoo8084 7 жыл бұрын
Mungu akubariki sana heri mkono wakutoa kuliko wakupokea
@sylviamassawe2667
@sylviamassawe2667 5 жыл бұрын
Mungu akutunze baba
@agneschaula3734
@agneschaula3734 7 жыл бұрын
wise word God bless u Nyalandu
@mosesndahani8912
@mosesndahani8912 7 жыл бұрын
Mungu akubariki sana, ktk ujumbe huu natambua kwa Mungu amekupa kitu cha tofauti sana. tunakuombea Nyalandu
@geraldmajula1453
@geraldmajula1453 7 жыл бұрын
Hongera sana Hongera sana Ndugu mpendwa Mh. Nyarandu. . Mungu ana makusudi na wewe. Nakutakia maisha marefu. Asante sana kujiandalia maisha mema ya baadae
@veronicawoisso5332
@veronicawoisso5332 7 жыл бұрын
Amina sana Mtumishi, endelea kwa moyo huo huo bila kujali wanasema nini kwani anayekulipa ni Mungu tu
@petrokawau682
@petrokawau682 7 жыл бұрын
Uko juu Sana Mh. Nyalandu. Kwanza ulipotaja tu Kibaha Boys na kisha Elbolu.... Nikajua unaakili..... Unaakili Sana na Mungu atakuinua na sisi tuko pamoja na wewe.
@anselmmwajombe2034
@anselmmwajombe2034 7 жыл бұрын
Hongera sana mheshimiwa songa mbele, Mungu akubariki sana...
@samdiah9779
@samdiah9779 7 жыл бұрын
"Let Love Lead" what a great message - God sent message. purely a servant of God! God bless you man of God! your faith will never fail!
@delebm543
@delebm543 7 жыл бұрын
Hongera sana kwa kauli nzuri mh. MUNGU AKUBARIKI SANA KWA MSAADA WAKO.
@charlesnjilegiiti5398
@charlesnjilegiiti5398 7 жыл бұрын
Kaka yangu Nyalandu kuwa na moyo huo huo usije ukashawishika kwa kudanganywa na wanasiasa ambao wanatanguliza masirahi kuliko maisha ya mtu...Mungu akulinde na akuongoze kwa kila ulifanyalo amen...!!!
@kelvinolotu1200
@kelvinolotu1200 7 жыл бұрын
Kaka mungu akubarik naomba uwaelmishe wengne wenye upeo mfup wa kufikir na kuona siasa n vta na chuk
@davidtenga9166
@davidtenga9166 7 жыл бұрын
Hongera sana Mhesimiwa Lazaro Nyalandu,kwa maneno mazuri yenye elimu kwetu sisi Watanzania,kwani tumefika mahali pabaya kwa kubaguana kwa itikadi za vyama vyetu,Pia mungu akubariki sana kwa huduma ambazo umewahi kutoa na ambazo utatoa huko mbeleni,umekuwa kiongozi wa mfano kuigwa na watanzania wote
@mhandyeyoo6591
@mhandyeyoo6591 7 жыл бұрын
Ameen kk ubarikiwee saana🙏🏾🙏🏾🙏🏾shikilia funguo za mbinguniiii🙏🏾🙏🏾🙏🏾nimeliaaaa kwa uchunguuuu ubarikiweeere saaana naelekea kwa tbjoshua kwa ushuhudaaaaaaaa ubarikiwee saanaaaaa kizazi cha Noah🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@mwanachuoemanuel3769
@mwanachuoemanuel3769 7 жыл бұрын
safi Sana nyalandu naomba mungu akupe maisha malefu achana na wapuzi wa ccm walitaka kumuua lisu wameshindwa mtu akijitolea kuchangia mnachukia . ata mkiwapiga lisasi chadema itakuja chadema. nyingine. ata nyie mtakufa kuma nyoko zenu
@marykitiru9212
@marykitiru9212 7 жыл бұрын
ooh Mungu azidi kukubariki..akupe uzima na afya tele na awe mlinzi wako utokapo na uingiapo..barikiwa sana...
@adelaidedaycareprenurseryk6324
@adelaidedaycareprenurseryk6324 7 жыл бұрын
Nyarandu nakupenda sana kwa sababu Mungu ameweka makao moyoni mwako Mungu akutetee na kuku inua zaidi ustawi kaka yangu
@cathymosha4412
@cathymosha4412 7 жыл бұрын
barikiw sana
@sulleysonmishlaymishlay7233
@sulleysonmishlaymishlay7233 7 жыл бұрын
Hii nimeipenda Mhe Mungu akubariki songa mbeletu
@josephmchila6467
@josephmchila6467 7 жыл бұрын
Hakika uko sahihi sana bro
@imanmsafil4436
@imanmsafil4436 7 жыл бұрын
mungu akulinde mh nyarandu kwan kwa mung akuna cheo
@danidanieli2630
@danidanieli2630 5 жыл бұрын
mheshimiwa uko sawa kabisa...pls nisaidie na mimi sirias naumwa...
@danielgwajima2837
@danielgwajima2837 7 жыл бұрын
Ukweli daima utasimama imara,wewe ni mmoja wa viongozi mwenye busara,hekima na mwenye hofu ya Mungu pia. Watanzania tunaendelea kukuombea ili uwe na maisha marefu na pia uendelee na moyo wako huo wa kujitoa kusaidia shida mbalimbali bila kujali itikadi za vyama. Mungu akubariki sasa.
@doreengomes3489
@doreengomes3489 5 жыл бұрын
Honorable Nyalandu, God bless you in abundance.
@esthermichael5792
@esthermichael5792 7 жыл бұрын
umenifundisha kitu mheshimiwa..Mungu akubariki
@mathewbicco7841
@mathewbicco7841 7 жыл бұрын
Hongera sana tena sana. Barikiwa sana
@elizabertshayo558
@elizabertshayo558 7 жыл бұрын
Safi sana Nyalandu Mungu akuzidishie maicha marefu
@happinessmwaipopo7426
@happinessmwaipopo7426 7 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Nyalandu kwa moyo wako mzuri.
@simonfundi5472
@simonfundi5472 7 жыл бұрын
Barikiwa sana baba
@florsnzunye9407
@florsnzunye9407 7 жыл бұрын
hongera
@zuwenasirgutty8830
@zuwenasirgutty8830 7 жыл бұрын
Maneno ya Hekima.. Mungu akubariki #Nyalandu
@mosesmlowe8033
@mosesmlowe8033 6 жыл бұрын
hengera Mh. Mungu akulinde nakukuongezea
@sheilalolila2233
@sheilalolila2233 7 жыл бұрын
ijumaa karimu. mungu akuzidishie na akupe maisha marefu + mwisho mwema ishallah.
@amanimram3333
@amanimram3333 7 жыл бұрын
safi snaaaa mungu akubarikiii n ndy maan upo vzriiiii
@medsonulendo4221
@medsonulendo4221 7 жыл бұрын
maneno yenye busara nyalandu cc sote ni NDUNGU taifa moja baba mmoja mungu atakulipia amina
@stelasasala5972
@stelasasala5972 7 жыл бұрын
Nimekuelewa bro unahofu sn na Mungu. Mungu akubarik sna.
@judynjabeky5602
@judynjabeky5602 7 жыл бұрын
Amina amina amina utukufu ni kwa mungu, mungu akupe maisha marefu sana
@samhendawallaa2144
@samhendawallaa2144 7 жыл бұрын
Asante ubarikiwe
@donaldsinkamba4867
@donaldsinkamba4867 7 жыл бұрын
kweli Mungu anao watu wengi. sikujua kabisa km bado duniani kuna watu was Namna ya Lazaro Nyarandu, Mungu akutie nguvu adui watakapoinuka uweze kuwashinda.
@DaudiSanga-m5o
@DaudiSanga-m5o 2 ай бұрын
Nyalandu mungu akutengee baraka zako huko mbinguni
@hamisimsalapai7785
@hamisimsalapai7785 7 жыл бұрын
hongera sana..japo sijajua chanzo cha mapato wakati ulipokuwa sekondari
@marcodominico9503
@marcodominico9503 7 жыл бұрын
ITOSHE TU KUSEMA MUNGU AMEPITIA KWAKO KUWAAMBIA WATU UKWELI. INAFURAHISHA SANA WATU WA NGAZI ZA JUU KI MADARAKA WANAPOONGELEA HABARI ZA MUNGU. BE BLESSED BRO
@tracyjustice1600
@tracyjustice1600 7 жыл бұрын
Mungu akubariki sana muheshimiwa Nyarandu, wewe ni Mzalendo na hiii ndio maana ya Uzalendo
@kidaghokadari3294
@kidaghokadari3294 7 жыл бұрын
Asante kaka
@idirulali4037
@idirulali4037 7 жыл бұрын
sawa Nyalandu
@zenasalumu2560
@zenasalumu2560 7 жыл бұрын
Hongera mungu akubaliki sana
@marthasilas4304
@marthasilas4304 7 жыл бұрын
kweli. may God blec u all the time
@yusuphmwandendi7085
@yusuphmwandendi7085 7 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@allenmongi5451
@allenmongi5451 7 жыл бұрын
mungu akubariki nyalandu asiwepo atakaye pungukiwa ndani ya malango yako unacho kifanya kikawe kumbukumbu kwa mungu awakumbuke watoto wako hata kama utakuwa haupo duniani
@halimamasai2234
@halimamasai2234 7 жыл бұрын
Wewe ni mfano wa kuigwa mungu akubariki sana maashaallah
@xxxxxx-qi4fq
@xxxxxx-qi4fq 7 жыл бұрын
good speech nyarandu
@tuntumemedia2046
@tuntumemedia2046 7 жыл бұрын
Nimekupata kaka, Hon. Lazaro unao.uwezo na karama ya upatanishi, Mungu azidi kukubariki watu wenye masikio na wasikie neno.hili ambalo Lazaro ayambiambia mataifa.
@justinemgomi9561
@justinemgomi9561 7 жыл бұрын
ubariakiwe Mh Nyalandu ubarikiwe hapa duniani na Mbinguni
@masudiitembele5414
@masudiitembele5414 7 жыл бұрын
kabla sijamaliza kuisikiliza nimeipenda sana huko kujitolea kwa mh, nyalando, mungu akubariki
@mathewjoachim8632
@mathewjoachim8632 5 жыл бұрын
God bless you nyalandu
@janethjackson5370
@janethjackson5370 7 жыл бұрын
Viongozi wote igeni mfano kwa Lazaro MTU wa mungu
@jafariufuku3215
@jafariufuku3215 7 жыл бұрын
asante sana nyarandu
@johaivenbyashara2665
@johaivenbyashara2665 7 жыл бұрын
Mungu akubariki ndugu Nyalandu
@samsonikijanga5244
@samsonikijanga5244 7 жыл бұрын
nimekukubaliiii kaka singidaaàa oyeeeeeeee
@eliasjohn1072
@eliasjohn1072 7 жыл бұрын
Safi sana brother Mungu akubari sana Wewe ndo unafaa kuwa prisdent Ajae
@beatricenicholausiwasa7601
@beatricenicholausiwasa7601 7 жыл бұрын
mungu akubariki nyarandu
@aminayasni9031
@aminayasni9031 7 жыл бұрын
Safiiiii baba mungu hutumia watu
@gidionmchembe2234
@gidionmchembe2234 5 жыл бұрын
Good words
@ibrahimmungure7493
@ibrahimmungure7493 7 жыл бұрын
shemeji uko vzuri, safi Sana
@landeysatulo1199
@landeysatulo1199 7 жыл бұрын
Mungu akubariki sana my brother Cku zote tenda mema nenda zako usisubiri shukrani hapa duniani lkn Mungu yupo atakulipa kwa yote
@davidjohn543
@davidjohn543 7 жыл бұрын
Mungu akuongoze
@gasperpatrick8919
@gasperpatrick8919 7 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu hicho ni kipawa mwenyezi mungu kakupa
@emmanuelmasele8734
@emmanuelmasele8734 7 жыл бұрын
Mungu akuongezee moyo wa upendo na Hekima zaidi.Wapiga kura wa Nyarandu kura zenu zilikuwa na mkono wa Mungu.
@tumpembenatumpe3681
@tumpembenatumpe3681 7 жыл бұрын
asante nyalandu mungu akubariki huo ndo uzalendo
@tosiankel564
@tosiankel564 7 жыл бұрын
Nmejifunza kitu kutoka kwako God bless you
@emmanuelndoss1341
@emmanuelndoss1341 7 жыл бұрын
hongera nyalandu
@rogerserickurassajr.9163
@rogerserickurassajr.9163 7 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏✅✅✅✅mh!!! Lazaro Nyalandu
@wendyeliezer6419
@wendyeliezer6419 7 жыл бұрын
Mungu akusimamie sana na akulinde
@paulineandrew181
@paulineandrew181 7 жыл бұрын
Nyalandu umeongea vizuri sana
@ashalaurent6562
@ashalaurent6562 7 жыл бұрын
Lati viongozi wengine nao wangekuwa kam wew hata mungu angezidi kubariki taifa letu ubarikiwe san nyalandu
@kisakahagai8827
@kisakahagai8827 7 жыл бұрын
mungu akupe njia nyepesi uwe Rais wangu
@princesinko4073
@princesinko4073 7 жыл бұрын
Kumbe huyu ndugu ana moyo wa kusaidia watu tangu akiwa bado, Mungu akulinde
@mropetbjoshotz334
@mropetbjoshotz334 7 жыл бұрын
Mungu ni Mwema
@hongerakkachawasemewwkzbut4996
@hongerakkachawasemewwkzbut4996 7 жыл бұрын
sante mnyaturu mwenzangu mwishimiwa nyalandu mungu akupe miaka 190🙏🙏
@richardsoka2400
@richardsoka2400 7 жыл бұрын
There are very few human beings particularly amongst politicians of the caliber of Hon Nyalandu!
@marklekasango9300
@marklekasango9300 7 жыл бұрын
barikiwa sn nimejifunza kuafanyika msaada pale napoitajika
@allysaid2846
@allysaid2846 7 жыл бұрын
ongela sana mungu atakuzidishia wewe na familia yako
@lizzyshaban5407
@lizzyshaban5407 7 жыл бұрын
mungu akubrk San mh nyalandu mungu akulnd uzd kuwasaidia wengi
@robertkairo8483
@robertkairo8483 7 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kaka. Ni matendo ya huruma kabisa..Watu wanaouguswa na huduma yako wanauona mkono wa Mungu kupitia wewe.
@angelomalimi6438
@angelomalimi6438 7 жыл бұрын
mini Mingu akubariki sana
@humphreycned4056
@humphreycned4056 7 жыл бұрын
Exactly
@geofreybernard7313
@geofreybernard7313 7 жыл бұрын
Unanitowa machozi kwa wemq wako Nyarandu,wachache sana duniani wenye moyo kama wako wa uruma na upendo umekuzunguka,sura yako nikiangalia na sauti yako ni tosha wewe ni mfano wa kuigwa,tumekuja duniani sio kwa kubaguwana kwa ajili za itikadi zetu,mh.marandu nakuombea uhishi maisha marafu na kheri duniani
@michanomichano4931
@michanomichano4931 7 жыл бұрын
Mm ni chadema damuu lakini kwa hili ubarikiwe mh.mungu akuongezee
@yombopeter3635
@yombopeter3635 7 жыл бұрын
Hongera
@deogratiusmanyangu1195
@deogratiusmanyangu1195 7 жыл бұрын
Hongera
@hellenkahoko1449
@hellenkahoko1449 7 жыл бұрын
Mungu Akubariki Sanaa MTU wa Mungu na Akuinue kwa Viwango vingine vikubwa mnooo
@gideonimathew6491
@gideonimathew6491 7 жыл бұрын
Yesu ni mwema kwa watu wake. msichoke kutenda mema
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 7 жыл бұрын
Nyalandu,kumbe una huruma kiasi hicho?Mungu akulinde na akuepushe na mabaya yote.Una Upendo uliotukukuka.
@loatalothi8784
@loatalothi8784 7 жыл бұрын
PERFECTLY FINE, ABSOLUTELY HON.NYALANDU YOUR THE REALL ROLL MODEL WHICH A LIVE.AND OUR COUNTRY AT PRESENT IS IN GREAT HORRIBLE TRAGEDY OF HATRATE BECAUSE THE SO CALLED LEADERS ARE SERIOUSLY LACKING SUCH WISDOM YOU HAVE.INGEKUWA UGONJWA TUNGESEMA WAPO ICU MAHUTUTI ZAIDI YA LISSU LEO,MUNGU AKUZIDISHE.PLEASE NIRUHUSU NIKIJA TANZANIA NIKUTAFUTE YOUR MY MENTOR AND ROLL MODEL.WHETHER YOU LIKE OR NOT.ASANTE.
@loatalothi8784
@loatalothi8784 7 жыл бұрын
+971552208783 HONGERA SANA MUHESHIMIWA LAZARO YOUR THE GREAT ASPIRATION FOR MANY WHOM DID NOT GET A CHANCE TO COMMENT I DID.YOU MADE MY VISION
@justinemsela5456
@justinemsela5456 7 жыл бұрын
ubarikiwe sn
@maikomollel4443
@maikomollel4443 5 жыл бұрын
Mungu akubariki nyalandu
@richardmboka7467
@richardmboka7467 7 жыл бұрын
unayo hekima MUNGU akubariki Sana
@amirijuma5919
@amirijuma5919 7 жыл бұрын
Atakae kulipa ni mungu tu na si binadam heshima kwako nyalandu
@fredrickmalunde3426
@fredrickmalunde3426 7 жыл бұрын
Mimi na kukubali sana
@mangiclaus
@mangiclaus 7 жыл бұрын
lazaro nyalandu nakuomba uwe kaka yangu... naomba unipe nafasi nikuone na nikushike mkono. NIPO SIRIOUS Kabisa
@samsonnzisabira768
@samsonnzisabira768 7 жыл бұрын
mfano wa kuigwa!!
@fedrickhaule6452
@fedrickhaule6452 7 жыл бұрын
Naamini hiyo ni hekima aliyokujalia Munngu usijali maneno ya watu midomo nimali yao kusema wanavyoweza mtangulize Mungu mbele
@mokhimji
@mokhimji 7 жыл бұрын
god bless u
@rosemaryanaely3168
@rosemaryanaely3168 7 жыл бұрын
naweza kushuhudia hilo kwa sababu hata mm ulinisaidia nkiwa mgonjwa mount meru na hukuwa unanijua before
@juventusdaudi2088
@juventusdaudi2088 7 жыл бұрын
Ubalikiwe kaka
@ellylaw1109
@ellylaw1109 7 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 11 МЛН
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 2,9 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 14 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 81 МЛН
AMPLIFAYA: AJITOLEA KUJENGA VYOO VYA WAFUNGWA GEREZANI
6:37
Millard Ayo
Рет қаралды 3,2 М.
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 11 МЛН