Interview nzuri sana. Dada yuko vizuri. Aliyegundua dada hana "R" ana "L" tu gonga like tuendelee mbele!
@saidasimba99794 жыл бұрын
Wahehe hawana R ..hapo ndo tuliferi
@NR-ll4sr4 жыл бұрын
@@saidasimba9979 hahahahaha uliferi
@khalidndemo43864 жыл бұрын
Sisi wahehe hatunaga R tunaweka L Tu na tunaeleweka fresh
@onlytecna94984 жыл бұрын
Miaka alubainiiii 😹😹😹
@fatmahchambo31314 жыл бұрын
@CSS mungu anakuonaaaa.....🤣🤣🤣
@kyaro59454 жыл бұрын
Dada yangu wa kichaga! Bongo zoo is your real man. wote mko sawa na mnafaana. That's true love. I support you!
@Shakira-Nb Жыл бұрын
Mhehe huyu bhn wa iringa
@janetwandeharris39344 жыл бұрын
Kweli kabisaa wazungu si km sisi waAfrica mm pia km Carol baba watoto wangu tuliachana lkn tuko marafiki saaana! Yuko Munich sasa lkn mm naenda Munich kumtembele a na yeye akija UK anakuja nyumbani anaingia jikoni anatupikia chakula au anatutoa kwa dinner pamoja. Kifamilia sijawahi kutoka mama mkwe na wifi yangu tupo vixuri km nilivyo kuwa pamoja na Mme baba mapacha wetu. Hongera Carol.
@G.S9854 жыл бұрын
Hongera Dada,wewe ni mwanamke shupavu na unamaamuzi mazuri sana,asante kwa kutufunza mama.
@haylaomar58633 жыл бұрын
Mimi nimezaliwa uzunguni lakini kiswahili changu ni kizuri. Tena toka mtoto mimi na ndugu zangu tunabonga kiswahili, ukiona wale wenye kuweke english mbele basi jua huyo mshamba...Namshukuru mungu kunifanya African😍😍😍
@harithharith95323 жыл бұрын
Saf kabisaaa
@chullakoi15084 жыл бұрын
Mara ya kwanza mtz amekaa ulaya na hana ubishooo..❤❤
@janetwandeharris39344 жыл бұрын
Hata mm naishi UK nina baba watoto wangu mwingereza lkn tunaishi tofauti. Yuko Munich niko UK. But nikija bongo napenda real life mtaani siyo siwezi kukaa Hotel lkn napenda maisha ya kawaida km muBongo vichochoroni. Walio na nyodo ni wapuuzi
@josephstephen20473 жыл бұрын
Sasa london si kijijini tu ana kipi cha kuringia kwa kukaa london
@ernestmbwana62824 жыл бұрын
Amenifundisha somo kubwa kuwa Ukioa/kuolewa na mzungu au ukiiishi uingereza sio lazima uingize maneno kama ok,ofcourse na Yugara
@evancesolomon45444 жыл бұрын
Ha ha ha hiyo ni tibia ya mtu tu..Nimekaa sana mahali pasipozungumzwa kiswahili lakini sio kweli haiwezekani kuzungumza kiswahili bila kuchanganya
@giftmush52974 жыл бұрын
Aaaaaah aaaah
@queenwinnie2564 жыл бұрын
Kabisaaaaaa
@chullakoi15084 жыл бұрын
Yes mm pia nimeifeel bro huyu demu ako mreal.
@ukweliunauma45704 жыл бұрын
Hao wanao jifanya you know , au kizungu kibovu dar ni washamba tu
@thomasraiton77604 жыл бұрын
Kuwa mkweli nilichogundua ni Bongo zozo ana mambo mengi japo anakupenda sasa amekuumiza mara kadhaa ukavumilia ila kama binadamu yakakufika HAPA!. ikabidi umwache huru ili kuinusuru roho yako na maumivu, (japo unampenda) na kikao kilifanyika kati ya ninyi wawili mkakubaliana kila mtu awe huru ktk suala la mahusiano ila watoto mtalea pamoja. katibu ku like kama u.enielewa.
@latifachilala20154 жыл бұрын
Ivyo Yani jamaa atakuwa anavuta bangi
@beatricetenywa43674 жыл бұрын
Kwakwel huyu,dada hanaga maneno wala dharau kwa mtu.wanaomdis ni stress za maisha tu 🤣mim nachoona ni mtu ambaye hajazoea media.
@KadeejaKadeeja-ej4bu Жыл бұрын
Mashallah ongera sana mama zozo nimekupenda sana namm nitafutie zungu moja😂😂😂😂
@slimmbaazi14524 жыл бұрын
mbona watu wanahate sana huyu dada,...hiyo R na L mbona wabongo wengi wanayo,....give the lady a break
@samwelsengati13694 жыл бұрын
Ndivyo walivyo wabongo
@mohammedally22894 жыл бұрын
True
@raymondclaud60264 жыл бұрын
Kawaida hata mimi ninayo na inanisumbua sana!
@Da-cr6ow4 жыл бұрын
Mtu haoni lake
@ramamtetu23274 жыл бұрын
Hata Wenyeji Wa Rufiji pia Wana L Hawana R Hivyo Wanachanganya tu Na Wenyeji Wa Kule Kondoa Wao wana R hawana L Vivyo hivyo Waarabu hawana P Wao Watumia B kwenye P Pakistan Wanaita Bakistani Hii ni Kawaida Sana
@theonasmkoba6121 Жыл бұрын
Huyu mama Zozo nimependa sana kwa kuithamini lugha yake. Lakini hii ni kutokana na kuwa Bongo Zozo ni Mswahili
@shijacs234 жыл бұрын
Penzi likifika hapo ni hali ya hatari, hamtakani lakini mnatakana basi ni full kuchanganyikiwa hamjui mfanye nini!! Yasikie tu kwa mwenzio! Poleni!!
@jamalahmed70574 жыл бұрын
Body language ya huyu dada inasomeka kama hivi bado dada anampenda bongo zozo lakini bongo zozo hajatulia
@lumark58374 жыл бұрын
CSS.... Kuna Dada mmoja kutoka Kenya aliachana na mumewe akaishi kama huyu dada na mumewe Bongo Zozo, huyo mkenya na mumewe mzungu walikuwa marafiki sana ingawa wame separate, siku ya siku yule bwana mzungu alimuua mkewe na kumfukia hapo hapo nyumbani. Ila aligunduliwa na kufungwa
@ilovejesus93034 жыл бұрын
Separation na kuendelea kuwa marafiki ni kitu cha kawaida
@suzansimon52964 жыл бұрын
😂😂😂
@JiTuKaBheJa4 жыл бұрын
Dada hachanganyi English na kiswali na amekaa London sasa ukutane na mwakipesile hapa dar tu utaskia you know its like hahah
@benardmapuga83704 жыл бұрын
Ahahahaaaaaa hatari sana
@abuundevu32584 жыл бұрын
Hahaha
@salumntulo15894 жыл бұрын
Angekuwa diva hapo tungepata shida sana
@teychriss32484 жыл бұрын
😁😁😁
@benjaminchagu42364 жыл бұрын
Hahahaa umetisha sana
@isacktarimo89174 жыл бұрын
Wanaona kuwa hawa watu bd wanapendana, kwa mujibu majibu ya kukanyagana gonga like
@Fm-MornStar20144 жыл бұрын
Sio raisi kwa sisi Waafrika kuelewa tamaduni za Ulaya. Yaani hata wanandoa wakitalakiana huko, bado baba na mama wanalea watoto pamoja kwa furaha tofauti na sisi. Pia Ulaya mnaweza kuishi kwenye mahusiano na kulala nyumba moja bila kufanya chochote hata miaka.
@yukundapeter79864 жыл бұрын
Jamani hajidai ng'oo! Mtoto wa cster wangu kamaliza u-doctor miaka 8 Marekani,haringi wala huwezi jua km ni msomi,Mungu 2jalie 2ache majigambo
@jovinathasavoie80184 жыл бұрын
Maisha yetu ya nje unaweza kubaki friends na ex mume au mke na mka co parent wakati kila moja anamaisha yake,so inshort everyone moved on lakin wanalea watoto, najua african countries ngumu kuelewa lakin ukiishi nje utaelewa,hakuna kuhacha kwa kupigana au kuumizana.life goes on.ni common sana mbona.
@kondesaidi20404 жыл бұрын
Sawa kaka wa us & uk 🤣🤣
@lumark58374 жыл бұрын
Jovinatha Savoie.... Bora ajirudie nyumbani na iwapo ana investment alijiandaa uongo Tanzania maisha ni mazuri saana
@jovinathasavoie80184 жыл бұрын
@@lumark5837 ,ndio wengi saiv wanarudi nje kuna pendeza fanya kazi na kurudi sio ishi tanzania,sema kama anafanya nursing walaipa vzr nje,so she makes money. Moe mwenyewe nampango wa kujenga kigambon nina kiwanja changu beach plot tiyar sitaki shida za nje
@albs14484 жыл бұрын
Mimi nimeachana na mcanada wangu, tupo best friends na hatuna watoto, nimeolewa na mmarekani na wote watatu tupo marafiki tena ex husband na mume wangu wanaenda mpaka camping pamoja,movies etc. Hao ndio wazungu sasa, hamna ngumi na mtoto wetu na mume wangu mmarekani, baba yake wa ubatizo ni ex husband wangu mcanada,mpaka familia yangu haielewi uhusiano wetu, tupo vizuri and best friends.
@Shammy-rn3tn4 жыл бұрын
@@albs1448 duh! hapa bongo ni issue hiyo. unajua hapa watu hawana trust na vitu kama hizo.
@mohammedothman9694 жыл бұрын
Hongera dada unahekima wewe na Baba watoto wako . Hiyo njia yako ni fundisho kwa familia nyingi . Tafadhali usiwape mashetani njia . Na Mungu atakpa nguvu zaidi maana mama ndio nguzo ya maisha ya binadamu. Tunakupeda kwa dhati.
@queenwinnie2564 жыл бұрын
Hivi wengine ambao hata ulaya hamjafika lkn mnasumbua kwenye interview lugha mnachanganya sana,
@sophiamfikwa73404 жыл бұрын
Kweli kabisa
@azizawadh59733 жыл бұрын
Ambaruti
@marycianajulius88314 жыл бұрын
Dada hongera kwa uvumilivu ,ila nimejifunza kitu kutoka kwako ,wanaokusema vibaya Ni wivu na chuki zao binafsi nakupenda dada ❤️😘
@irenembura56844 жыл бұрын
Life starts at 40 usijizeeshe!! You look very young. Utapata mwenzako mradi uwe makini na atakayekuja asikufanye daraja la kufika anapopataka!!
@leonardrichard23364 жыл бұрын
Hongera dada kwa kumuombea baba watoto wako mazuri kwa faida ya watoto wako, hata kama mumeachana sio kama wanawake wengine wakiachana na wenza wao wanawaombea hata wapatwe na mabaya,pia hongera kwa kumuongelea vizur mumeo wa zamani tofauti na wengine wangepata nafasi kama hii wangewaongelea vibaya sana wenza wao
Assalamu alaikum. Naomba mniunganishe na bongozozo. Nina dili la old coins. Nahitaji anisaidie kupata market. Nisaidie bro. Kuniunganisha nakupa dili ILO. Nyanyuka tuamke. Good luck.
@ashaali71544 жыл бұрын
TZ kuachana ni vita vya mwisho vya dunia lakini wenzetu wanajua kuwa kuna maisha baada ya kuachana wanaendelea kuwa marafiki wanashirikiana kwa kila jambo ili kuimarisha familia zao.
@robbyissack85754 жыл бұрын
Nimempenda huyu Dada,yupo vizuri
@tallyfa05saeed674 жыл бұрын
Nimependa inteview yote kaongea KISWAHILI hakuweka swaga za kizungu
@asinatjuma80884 жыл бұрын
Kabisa inapendeza sana
@awatifalghanim11064 жыл бұрын
Ni kweli utapenda kumsikiliza...
@ashahussein32474 жыл бұрын
Badilisha mindset kizungu muhimu sana
@yakoboyohana88113 жыл бұрын
Hongera Sana mama hujishebedui kuingiza maneno ya kingereza umesimamia kiswahili !!kiukweli umenikosha sana
@evankya19554 жыл бұрын
This is beyond co-parenting, wanaishi pamoja different bedrooms for all those years. Salute to both of them
@kingibandajembe2247 Жыл бұрын
Wachaga siyo watu waiting hamza mke
@walterp.makundi5640 Жыл бұрын
I salute you guys thats great decision! Mama you are great!!!
@salmaluhombero84664 жыл бұрын
Dada mzuri huyu wow
@مارثاتنزانيا4 жыл бұрын
Inaonyesha uyu dada anamengi ambayo anapitia kuusu m'bongo zozo sema.ataki kufunguka,ila.wabongo sio watu wazuri mana sio kwakumjaji uko
Huko ni Uke jamii ya waafrika ndiyo wanahathirika na corona mhhh ,,Wakti ulaya nyingi wanaokufa wengi ni wazungu,,we dada vipi,,mi nafanya kazi pia Hospital huku italy ,wazungu manesi na madaktari ndio waliokufa ,,hakuna mtu mweusi,,ohh nasikia tofauti sasa
@godfreymushi134 жыл бұрын
Media Zina tengeneza propaganda kuficha ukwel wa mtu mweus ata yes tunachorewa mzungu wakat mzngu kwa biblia hayupo Wala kuran Sana labda Paulo akiwa amewandkia barua kuwaonya warumi
@ambokileasheengai11404 жыл бұрын
@@godfreymushi13 Yesu alikuwa muebrania,, hakuwa mweusi,, sawa Israel siyo weusi,,, ila ni wale weupe ambao wakipigwa na jua wanabadilika rangi,, hata wazungu wabatofautiana rangi,, ukiishi nao ndio utajua wako weupe sana wale scandanavia na wako hawa walatini wamechanganya na waarabu,,,, tuache,, maybe labda weusi wa UK,,, hawapati good meals na wa nakula majunky food kama wazungu,, wanakuvimbisha tu hayakupi all vitamins
@Officialboys.4 жыл бұрын
Au ndo ndoa za mkataba izo maana wazungu mara nyingi wanafunga ndoa hizo
@betymgaya-p9l18 күн бұрын
Huyu dada hana malingo mungu awabariki sanaaa
@Binti18014 жыл бұрын
Dada angalia Mr & Mrs Smith movie ndio utajua unaweza kulala kitanda kimoja na mtu maisha yako yote na usijue kama mpelelezi😁😁😁
@mimiapa84364 жыл бұрын
Bongo zozo hana upelelezi wote wacheni ujinga nyie
@rosehillary87424 жыл бұрын
Hayo ndo maisha sio sisi Africa mkiachana atakusaka kichakani akuue. Tujifunze jamani penzi linafikaga mwisho Mnaachana nakuelewana kama marafiki nakulea watoto nakuwekeza kwa watoto wenu Nimeelewa sana na kila mtu anakuwa na mpenzi wake separately
@kondesaidi20404 жыл бұрын
Kweli dada m nakusubiri
@rosehillary87424 жыл бұрын
@@kondesaidi2040 cjakuelewa
@kondesaidi20404 жыл бұрын
@@rosehillary8742 Lifike mwisho🙄 au hujaolewa🤣
@aishaelias38674 жыл бұрын
Kwa haraka haraka wanaishi maisha ya kawaida sana..
@oliviaseth46524 жыл бұрын
Dada wengi wana kuonea wivu, wana comment UJINGA, una bahati sana, USIJALI.
@aminanamoyo834 жыл бұрын
Huku Europe kukaa pamoja wakati wametengana ni kitu cha kawaida sana.
@dr.madevualcantara47754 жыл бұрын
Wachafu sana yaani mushaachana na bado munatiana na huku munajua kua mwenzio ana demu mwengine au mwanaume mwengine lakn bdo muna sex kama sio uchafu ni nini?😳
@aminanamoyo834 жыл бұрын
@@dr.madevualcantara4775 No si hivyo soma vizuri uelewe msg yangu, kukaa pamoja si kwamba wanashirikiana kimapenzi la hasha, wanakaa pamoja na kila mtu anamaisha yake na watu wao wapya hope umeelewa, kwasisi wa wafrica haiwezekani hata ukipinga nitakuelewa ila huku Europe ni kawaida sana mpendwa mimi nimeshuhudia.❤
@dr.madevualcantara47754 жыл бұрын
@@aminanamoyo83Impossible..nakwambia shetani hakai mbali ktk hali hiyo haijalishi mzungu au muafrica wenyewe munaita kupasha viporo ni kawaida kwenu kma na ww ni wa hizo c ufunguke tu..hakuna jipya nowdays tumejizoelea kuona huo uchafu 😳🇶🇦
@aminanamoyo834 жыл бұрын
@@dr.madevualcantara4775 vyovyote unavyofikiri mpendwa waweza sema mawazo yako yanavyokutuma uko huru, mimi nimesema kile ambacho nimeshudia kwa macho na si kuambiwa, but I appreciate hisia zako.❤
@dr.madevualcantara47754 жыл бұрын
@@aminanamoyo83 👍pamoja 🇶🇦
@noorkhamisi24904 жыл бұрын
Nimempenda huyu Dada katika mahojiano yote hakuna you no wala you yes kanyoosha kiswahili mwanzo mwisho lakini kwajinsi ninavyo wajua mbongo atoke nnchi za wazungu kingekuwa kingeleza tupo kiswahili kidogo sisi tusio soma tungetoka patupu kwenye haya mahojiano
@ninabintizion14114 жыл бұрын
Huyu ni mzuri sana, ila hakuna ndoa.
@shamisseif45064 жыл бұрын
Duuh mambo vp kaka alieickia hio like hapa
@triplea34634 жыл бұрын
1:00
@MeryMbaga-d7b Жыл бұрын
❤❤❤ ndomn nampenda mama
@irenembura56844 жыл бұрын
Big Up👍🏻Wewe lea watoto wako? Mshukuru Mungu mko pamoja.
@charitybaya53514 жыл бұрын
Dada wa kwanza Tanzania kukubali colour yake
@queenwinnie2564 жыл бұрын
Color tupo ndugu sema ulimiiiii wa kingeri you know,
@mbarikiwambarikiwa39884 жыл бұрын
Ni kwa kuwa aliolewa na Mzungu, wazungu hawapendi wanawake wanaobadilisha rangi ya ngozi zao.
@wilfredjackson67434 жыл бұрын
Dah!! Mmeachana kumbe, ila mtarudiana
@captendunga13924 жыл бұрын
Jimbo liko wazi hilo ni kutangaza nia na kuchukua fomu tuu hapo bila kuwashirikisha wajumbe.
@subiradalabu66164 жыл бұрын
😀😁😆😀😀😀
@zakiamseka96984 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@ramamtetu23274 жыл бұрын
Hahahahahahaaa Natangaza Niya
@saumuhassan63654 жыл бұрын
Mashallah, hongera sana Dada, nimependa interview yako. 😘😄
@sikudhanimohammad76924 жыл бұрын
Ww mdada nimekumis. Siku hz umepotea humu. Ilikuwa kila sehemu unacoment
@ambokileasheengai11404 жыл бұрын
We muuliza swali nafikiri hauko kwenye ndoa,,hayo mengine huwezi kuyajua mpaka uwe umeoa,,,,Hiyo Kwa huku ulaya inaitwa openly coppie sawa,,,,
@giftmush52974 жыл бұрын
Sawa
@kessynurutajiri49404 жыл бұрын
Nyooosha maelezo, kifupi hakuna Ndoa.
@venerandamwalimu164 жыл бұрын
Hahaaaaaa
@MikiGermany2104 жыл бұрын
Hiyo ndio ulaya uwezi kuachana alafu usimuone mkeo wala watoto, kuachana sio vita, muhimu watoto wapate haki zao Za kuwa na baba na mama
@zabronnkoy31674 жыл бұрын
Kwa maana hyo Bongo zozo alikuwa anatembea na mwanafunzi wa secondary ..??
@maverickcreativesolutions82854 жыл бұрын
wewe secondary ulikua hutembei na wenzako?
@bintimrope4 жыл бұрын
@@maverickcreativesolutions8285 😂😂😂😂😂
@victormneney14754 жыл бұрын
We ulitaka atembee na waprimary
@swaumdodoma75912 жыл бұрын
@@maverickcreativesolutions8285 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@swaumdodoma75912 жыл бұрын
@@victormneney1475 😂😂😂😂😂😂😂😂
@mtasma19944 жыл бұрын
Wale wanaoponda kisa r na l mbona hamsifii uwezo wake wa kuongea bila kuchanganya kiingereza? Maana dada zetu wa kazula mimba hawa ungesikia u know, ooooh coz bumbafu
@rewaatesh48774 жыл бұрын
Huko bongo movie ndio wahivyo.. Ujinga mtupu
@beatuskazimily4574 жыл бұрын
Kwel man ungeckia I know but ujinga mtp
@dickchambilo91384 жыл бұрын
Wanaomdis huyu dada ni wajinga tena Sana,Hana maringo hata kdogo, Kuna wale wadada zetu hata ulaya hawajawai kufika ,lkn utaskia" offcoz , yes ,no, u know, Hawa bado wanamaisha mazuri Sana ndo maana wanaenda na kurudi ulaya Kama vle kariakoo
@madamloveness72744 жыл бұрын
Huku ndiko kuachana kusikoumiza 💞💞💞💞
@danielnjowoka94124 жыл бұрын
😁😁🤔
@depaolo34614 жыл бұрын
Wajumbe mbona povu sana😂😂😂 mmesahau fujo isiyoumiza😂😂😂 Sasa huku ndo kuachana kusikoumiza...
@beatricetenywa43674 жыл бұрын
Stress za maisha ndugu 🤣🤣
@nyamkamawanjara294 жыл бұрын
😄😄😄
@AminaBadru4 жыл бұрын
Bogo zozo mrudie mkeo mmetoka mbali xana enzi za shule tena hna kitu tnzeni familia
@ramadhanmasiku41054 жыл бұрын
Japo ameishi England lkn hajasahau lafidhi ya kinyalu ingekuwa wengine angeongea kiswanglish ng'o ng'o00
@fatumayassin19744 жыл бұрын
Upo vizuri mama
@GVMTv-bs5cx3 жыл бұрын
Naombeni mawasiliano ya bongo zozo ninazo hela za zamani za noti
@mtumzito72684 жыл бұрын
Huyu hata kingereza kitakuwa kinampa tabu maana R na L kwake nitatizo kubwa. Right ata tamka light hapo maana itabadilika kabisa
@samwelsengati13694 жыл бұрын
Mmmmmhhhhhh
@hajiha65074 жыл бұрын
Haaaaaa
@alexandermkwemba79854 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@onlytecna94984 жыл бұрын
😹😹😹😹😹😹😹comment zzza Reo zinanichekesha sana acha niende kuraaa nikararee 😹😹😹
@ericron61153 жыл бұрын
Kweli kabisa hakijui
@loner_wolf4 жыл бұрын
Naangalia comments naona watu wanabishana tu na huyu dada, lkn wazungu kukaa nyumba moja na mwanamke bila kumtamani ni kawaida ndiomaana wao baba na mtoto wa kike wanawezavkuogelea kwenye pool na vichupi kbsa kitu ambacho kwa mbongo itakuwa kesi tu 😀😀😀😀
@ilovejesus93034 жыл бұрын
Wape somo
@zuriathkajwangya17244 жыл бұрын
Tena sana tu mbona wengi especially waingereza ndo zao hizo wala sio kitu cha kushangaza kabisa
@mohamedhaji22002 жыл бұрын
Nyie mnanyanduana banaa. Nyumba moja kiaje
@joycejackson2320 Жыл бұрын
Hii ndio faida ya kuwa marafiki kwanza ndipo muowane lkn mkioana tu kwa ajili ya mapenzi tu ! mapenzi yakiisha mtachina!!!!
@johnjoseph37734 жыл бұрын
Daaah unajaribu kuitetea sababu yako lkn haingii akilini anyway! Ndo maisha lkn umeyachagua!
@irenewile4 жыл бұрын
Jibu swali khaaa ,mizunguko Sawa ,unanipotezea mda.
@idrissatuppa39974 жыл бұрын
Huyu kesha achwa tayari🤔 Kwa Majibu hayo jimbo lipo wazi.
@shijacs234 жыл бұрын
:)))
@salmaabdulla52144 жыл бұрын
Huyu Dada anafuata maisha ya wazungu yakuwa separate.huyu bwana akipata mwanamke atahama tu.
@ummahmed3354 Жыл бұрын
Thats too much information to put in public....so vizuri kuuliza maswala ya ndani kama haya si vizuri...
@drvaxminja2133 Жыл бұрын
Hakukuwa na sababu ya separation maana bado mnapendana. Kwani kuna ufahari gani kuachana
@andersonchibule47614 жыл бұрын
Muingereza akuoe, akuzalishe but kuzeeka pamoja hiyo ni kipengele... Chezea watu weupe wwe🙄☹️😩
@upendotarimo93244 жыл бұрын
@Zawadi Issa Ni mtazamo wako tu Ila c kweli kama unavyofikir hata bongo kwa kizazi hiki ndo balaa kabisa
@hajiha65074 жыл бұрын
Hoja ya Chibule ina logic. Hua hawazeeki na waswahili
@muzneali3874 жыл бұрын
Bongo ZoZo rudiana na Mkeo bado anakupenda sana
@hamzarifai6653 жыл бұрын
Huu ni utamaduni wa nchi za magharibi wengine wanaita open relationship, kibongo bongo kwa mila na desturi zetu ni ngumu sana
@khalidndemo43864 жыл бұрын
Mmwandishi kasema , mambo vip Kaka
@carenseleman74244 жыл бұрын
Kasema caro
@yohanahussein70623 жыл бұрын
Sasa nimejua kwann BOGO zozo anajua kiswahili saaaana
@vanesaalberto84794 жыл бұрын
Ayo maisha ndio ninayoyapenda sana
@shijacs234 жыл бұрын
Watoto wakiwa hawapo home jamaa huwa anapoza hiyo tusidanganyane!!
@مارثاتنزانيا4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@salumntulo15894 жыл бұрын
Hata wakiwepo kwani inawahusu nini
@dasilvajacmwax74364 жыл бұрын
@@salumntulo1589 hahhah salum bana
@beatricetenywa43674 жыл бұрын
Wanapasha kiporo🤣
@agatastanslaus46574 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@soloartist_ivanvespalusind16094 жыл бұрын
Kumbe maneno ninayoyasikia Kwake kama vile before na iliwa-confuse n.k ni kiswahili! Mh! Katika ulimwengu huu mtu kuchanganya Lugha hususani Lugha yake na Kiingereza ni kitu kisichokwepeka kwa sehemu kubwa sababu muingiliano wa Lugha ya kiingereza na maisha yetu ni mkubwa mno katika nyanja mbalimbali za maisha mfano teknolojia na Mawasiliano, biashara, Elimu, n.k. Hivyo kiingereza kimetuathiri kwa sehemu fulani. Kwahiyo kumtaka kila mtu azungumze bila kuchanganya na neno hata moja la kiingereza ni kumuweka mtu huyo kwenye chumba cha mtihani. Ngoja mtu awe huru kuzungumza mradi tumuelewe, labda shida iwe kwa wale wanaofanya hivyo kwa kujionyesha au kujifanya.. vinginevyo wote tupo darasani. @ iidelphonse Kisasi
@sulemandaud29674 жыл бұрын
Aisee mm sijaelewa kabisa sijajua tatizo kubwa lipo kwangu au kwa mzungumzaji🤔
oh shit, nimeshindwa kuendelea kumsikiliza huyu demu yaani hajui kutamka ri kabisa? ulafiki, kufulahi, nzuli wtf!
@ansilaulotu71784 жыл бұрын
True
@teychriss32484 жыл бұрын
Kama Ebitoke
@leticiachunga91184 жыл бұрын
Kashasema ameishi IRINGA sasa nini unashangaa Nini?kawaida kwa watu wa huko
@ahmed-shakirmwamba49924 жыл бұрын
@@leticiachunga9118 mbona hata Magu anatamka mladi na Balabala. Nadhani Kiswahili kinachafuliwa Sana na Watanzania bara. Anshu hata baadhi ya watangazaji wameshapitwa kabisa kutofautisha L na R. Naona unaweza kuona kiwango cha Elimu tulipofikia.
@happynesselisha20484 жыл бұрын
Kwahiyo mumeo mzungu anajua kiswahil kuliko ww dah shikamoo Tanzania.. ila dada sikuelew jaman unajikanyaga sijawah kuona.
@EK-kp2np4 жыл бұрын
Hizi taarifa binafsi za huyu mama zinasaidia nini jamii?🤷🏼♂️
@magynzioka11224 жыл бұрын
Divorce sio uwadui
@kyaro59454 жыл бұрын
personal expression is crucial ili wengine wajue! vijana wanabadilisha maisha from traditional to liberal life. Hawa wawili after 20years wanarudiana.
@stelacharles88674 жыл бұрын
Beautiful
@mkushplatnam15954 жыл бұрын
bongo zozo mjanjamjanja sana pengine ili aendeleee ku trend haiwezekani pic kama hiyo mnazunguka tu ndani, na vinguo venu ivyo na hilo baridi la england weeee msitudanganye sisi
@wilfredstivinngowi42894 жыл бұрын
Vizuri mgerudi mkamalizia maisha yenu ya uzeeni pamoja
@NancyMwaibula76344 жыл бұрын
Ila haka kadada kalikuwa karembo sanaa na bongo zozo alikuwa handsome, nakumbuka tulikuwa tunapeleka hela za zamani ananunua duuh maisha haya
@callmesubra54724 жыл бұрын
Sanaa kweli maisha yanaenda kasi sana
@mahatakitengewamuninga12604 жыл бұрын
Kamwene Mama Jeska
@jafariramadhani32644 жыл бұрын
Huyu dada nimempenda buree . Hajishaui hata kidogo
@ashahussein32474 жыл бұрын
Kizungu muhimu musikubali watoto wetu wawe kama watu fani hapa wanacomment mindset low sana
@Mpakauseme3 жыл бұрын
Unamaanisha kitu gani sasa
@rajabutumbo93644 жыл бұрын
Mtarudian 2
@hassanchauluwa73084 жыл бұрын
Kama Kuna mtu kagunduahuyu mama bongo zozo mjanja² naomba tujuane.
@NancyMwaibula76344 жыл бұрын
Kalikuwa kahun enzi zake bongo zoz alikuwa anakavumilia, kajanjakajanja sana kachaga haka hahah
@lumark58374 жыл бұрын
nancy Mwaibula..... Kumbe ni mchaga, basi mimi nikifikiri ni mtu kabila wa Iringa
@noxlosingida23694 жыл бұрын
@@NancyMwaibula7634 mbona hayupo kabisa uchagani yaani kama mtu wa Iringa vile
@hectorychibele70824 жыл бұрын
@@noxlosingida2369 watu wa Iringa wapoje?
@noxlosingida23694 жыл бұрын
@@hectorychibele7082 kiswahili chake kina fanana na wa Iringa
@rahimamkumbo32384 жыл бұрын
Wahehe hawajui kiswahili
@janekikoti21794 жыл бұрын
Wewe kwenda huko hawajui kiswahili nani kakwambia nenda huko
@enockrwehumbiza35554 жыл бұрын
Mbn bongo zozo anasemag mke wake mchaga
@callmesubra54724 жыл бұрын
Caro ni msambaa mixer mchaga japo amekulia iringa
@jacklinelyimo74073 жыл бұрын
Ni kweli hapa ulaya ndoa watu wanaachana kimwili na sio kimaisha ila mnakaa pamoja na kulea watoto pamoja ila kila mtu ana take time zake
@abelelibariki57604 жыл бұрын
Kwann unaforce uongee kama Millard broo have ur own unique ndio ubunifu
@alexjulius3064 жыл бұрын
Ndio ubunifu wenyewe huo, acha wivu wwe
@ahmadmlima8155 Жыл бұрын
Chamsingi funguka maana mmeoana pamoja mkiwa watu wenye umri mdogo.kwani mmeamua Sasa kujiachia ili Kila mtu atumie ujana wenu kwasasa.kulingana kauli Yako ya kwanza ndio hiyo Ina onesha mlifunga Mkataba.hamja achana.mtarudiana.
@beaugosseadam68314 жыл бұрын
Wa Bongo na umbea!!! Au labda ni sehemu ya maisha yenu? Kuliko kuuliza maswali ya maana, unakilili ndoa yao. Aisee!