Kujieleza vizuri huko kunathubitisha ni kwa kiasi gani uko vizuri! Big up sana! I wish you all the best mummy!!!
@Kimaro_Comedy5 жыл бұрын
Duuuuh! Hongera sana! Ila akaze buti coz bado safari ni ngumu mbele na ni ndefu asije akachange na matokeo yake mazuri yakabaki hayo tu ya form 4
@timothysanga97464 жыл бұрын
Mhh huyu mtoto, yani anavyojieleza vizuri, utafikiri ameshakuwa doctor tayari. Ana umri mdogo ila ana akili kubwa sana kushinda wasichana wengi wenye umli mkubwa zaidi yake. Na ukimwagalia tu, unaweza kuona kuwa future yake ni nzuri kisi gani, mbali na kuja kuwa dactari, namuona kuja kuwa kiongozi katika nyazfa kubwa serikalini. Kazana mdogo wangu your future is very bright like a 🌞.
@kileoisaac5 жыл бұрын
hongera sana binti! mtangulize Mwenyezi Mungu nawe utafanikiwa zaidi ya hapo! all the best to ur studies
@barakabahati43155 жыл бұрын
unamacho mazuri we demu na kupendaaa
@godfreyishengoma2323 жыл бұрын
Mungu Akubariki, Pambana mdogo wangu, Usisahau Utii, Nidhamu na Ujasiri, ipo hazina Mungu kakuwekea Pambana sana Usali sana utafika tu, this is your time to make legacy.
@zenamshana68524 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua Zaid ya hapo naomba mungu na mm kizaz changu kiwe Kama huyu kwakupitia huyu mtoto naomba mungu na watoto wangu
@euvassammy85375 жыл бұрын
Hongera sana mama.. Ila ukifika Changanyiken a.k.a chuo obstacle haitakuwa uongozi tena, huko kuna vijana mafundi wa kucheza na mioyo bila hata operation, ukiwamudu hao then we already have a best HEART specialist In Tz. Best wishes at yr next step.
@RynlizzyTheBoss5 жыл бұрын
Euvas Sammy point
@mjukuutvonline83735 жыл бұрын
Fact
@oscarkabobo34615 жыл бұрын
hahaaaa
@mariammichael97735 жыл бұрын
Euvas Sammy 😂😂😂😂
@kulwamigo91275 жыл бұрын
Hakya-Mungu...wee jamaa!
@elizabethmwandu69375 жыл бұрын
Hongera sana binti kwa juhudi zako zote ulizozifanya ktk mtihani wako wa kidato cha nne Mungu akutangulie ktk masomo yako yajayo.
@samwelmloha58995 жыл бұрын
Hongera sana bint 4 da best u have done thanks so much
@asjelenterprisesltd78055 жыл бұрын
Hongera Sana Binti. MUNGU Akutunze Akulinde
@paulinajohn98995 жыл бұрын
Hongera Dada mm nakuombea tu Mungu akusaidie ufikie malengo
@matabac5 жыл бұрын
Hongera sana dada yangu. Mungu aendelee kukusaidia ili utimize ndoto zako. Ushauri: endelea kujiepushe na MAFISI najua hata sasa hivi mate yanawatoka..
@tulisalu72535 жыл бұрын
Hongera sana mwanangu. Mungu azidi kukuongoza ufikie kilele cha ndoto zako.
@benedictamaganga6145 жыл бұрын
No wonder umefaulu unajitambua binti hongerah sana.
@erastohance81015 жыл бұрын
Hata anavyoongea,tofauti kabisa na age yake
@noahmwambopo23655 жыл бұрын
Kaza Mama na ongela sana
@sakinasheidhan46425 жыл бұрын
Hongera sana kaza buti safari bado ndefu na ngumu muombe sana mungu akuongoze siku zote
@kondokibugula65515 жыл бұрын
Hongera bint. Hakuna kunachoshindikana ukiaamua, huku pia Mungu akikupigania. Fanya kila jambo kwa wakati wake,usichanganye. Utafanikiwa. Mwisho tambua kuwa kuna mdudu anaitwa mapenzi, hakwepeki. Ila kuwa nae makini.
@estherwilliam43785 жыл бұрын
hongera sana mdada Mungu awe nawe katika masomo yako na unachokihitaj utakipata
@deusleonard88215 жыл бұрын
Hongera karibu xana Medicine tupo!
@mariammtiniko21775 жыл бұрын
huyu dada anapiga Kingereza amenifurahisha sana hongera sana
@TOLLBOSS5 жыл бұрын
Hongera sana japo nilifeli form four ila Mungu anampangia mtu njia nyingine sasa nimetoboa kwanjia nyingine na chuo nimemaliza
@rachelemmanuel62444 жыл бұрын
mungu akubariki xana mwanangu tunazdi kukuombea nataman na wanangu waje wapate nafas kama yako mama
@sekelasiwezpekeyanguyesumw79742 жыл бұрын
Usichoke kuwaombea mpendwa Mungu hutazama Nia yetu ya ndan
@helgerkileo7214 жыл бұрын
hongera mama mungu akutangulie zaidi
@veronicamanyama92525 жыл бұрын
Nakupenda na Nakuombea uzidi kufanikiwa kaza mwendo safari bado ila kikubwa mtegemee Mungu atakuongoza ktk yote.
@eugentanzaniasafaris5 жыл бұрын
Congregation Mdogo wangu umejitahidi sana.
@dyanatanz65745 жыл бұрын
Mungu akusaidie mdogo angu uendelee ivoivo mbaka chuo. Ila unge kuwa mwanang nisinge taka uhojiwe na mtu wasinge kujua kabisa dunian
@nurukapoja51923 жыл бұрын
Hongela mwanangu mungu akulinde
@anisiamedard37755 жыл бұрын
Hongera sana mdogo wangu Kazana kumwomba Mungu
@maryammaram26125 жыл бұрын
Hongera binti jitahidii zaidi ufikie malengo yako 💞
@iamfriedrich3 жыл бұрын
Nakupendaga Maryam
@calvinmchopa22224 жыл бұрын
Pata ccccccc then unasema umefeli du safi saana MUNGU Mwenyezi akubariki
@nizzlejunior11835 жыл бұрын
That's excellent wish you all the best mary
@MohdDau-e9j10 ай бұрын
GOOD JOB 👍👍👍
@mercymoshi36665 жыл бұрын
hongera mamy,kaza buti
@anethmaro81685 жыл бұрын
Wenye vichwa kama huyu maria huwaga na akili saana kichwa kimechongoka na akili zipo juu safii mamaI💟UI💟U
@rogersgeorge29204 жыл бұрын
Good job
@flackomasterbaddest41555 жыл бұрын
KAWATAFUTE TANSAO WAPO GOLDEN TULIP DOGO WATU KAMA NINYI MNAPATA FULL SCHOLARSHIP GREAT UNIVERSITIES ZA DUNIA .......Dont waste that chance
@zuwenahassan34615 жыл бұрын
Chunguzeni hii video ,,kma sikosei nimeona kivuli kimepta nyuma ya huyu Dada kma umekiona gonga like
Nikweli yaa hapo kwNg mie ni ufaulu wahali ya juuu😁😁😁
@issaabeid12155 жыл бұрын
😂😂😂😂
@zakiamseka96985 жыл бұрын
hongera sana binti yetu .hongera walimu .hongera wazazi
@nachuchuna9715 жыл бұрын
Hongera mi mtu mzima nimrjifunza kitu😘kukaa na kutafakari wapi unakosea, kupanga mambo
@AMANISADIKIMLIPU4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jHLXn4aEprOKf5I
@AMANISADIKIMLIPU4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jHLXn4aEprOKf5I
@jasminemboje18505 жыл бұрын
Wow hongera sana Darlng
@kharidmohamed29525 жыл бұрын
Hongera dada allah akuzidixhiee
@IsraelMsallenge-t8g Жыл бұрын
Fact 🖐️ your are medical personnel
@Kafi-bin-upondo5 жыл бұрын
Dada engeza bidii matokeo yako isije kuwa sabab ya kulegeza kamba, Huku chuo tupo na watu wana division one form six lakini tunawapiga chini siss wa division 3 Hongera sana muhimu kujitambua zaid