Huyu hapa Tanzania ONE masomo ya sayansi, mbinu alizotumia, matokeo kidato cha nne, nini anapenda

  Рет қаралды 21,088

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

2 жыл бұрын

Catherine Mwakasege aliyeongoza kitaifa katika masomo ya sayansi kwenye mtihani wa taifa wa kidato cha sita kwa mwaka 2022, ametaja siri ya ufaulu wake na malengo yake ya baadae.
Video kamili tumeshakuwekea kwenye ukurasa wetu wa KZbin.

Пікірлер: 25
@ednawilliam7759
@ednawilliam7759 2 жыл бұрын
Very very humble Girl🙌🏻 Congrats babygal... God bless you!!
@farajalongo4528
@farajalongo4528 2 жыл бұрын
Keleleeee nyingiii kwa Mwl. Inocent 🙌🙌🙌🙌💪
@joymdemeka4036
@joymdemeka4036 2 жыл бұрын
Beauty with brain
@eppiemodest
@eppiemodest 2 жыл бұрын
Hongera binti. Kamfanana sana na baba yake. Hata kumcha Mungu ni sawa na baba yake. Ni Familia ya wacha Mungu. Hongera malimu Inocent. Tanzania inataka walimu kama wewe.
@berthachacha653
@berthachacha653 2 жыл бұрын
Hongera sana mwanangu MUNGU ni mwema endelea kumtanguliza kwa kila jambo.
@lukasjohn2032
@lukasjohn2032 2 жыл бұрын
Hongera sana kwa kufaulu mtihani
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 2 жыл бұрын
Hongera Sana mwanangu tanzania itahishimika nje
@LightnessDamian-dq5hm
@LightnessDamian-dq5hm 8 ай бұрын
I wish to be like may God bless
@user-wj5ph8ov1u
@user-wj5ph8ov1u 8 ай бұрын
Jaman mungu akuongoze
@bashirmrisho8491
@bashirmrisho8491 2 жыл бұрын
Well done gal
@monicamelita8011
@monicamelita8011 2 жыл бұрын
Hongera sana mdogo
@atupakisyesitima8164
@atupakisyesitima8164 Жыл бұрын
Appreciated
@malitasamwel6890
@malitasamwel6890 2 жыл бұрын
Congratulations
@peterdoisso2414
@peterdoisso2414 2 жыл бұрын
Hongera sana binti
@danielndam5997
@danielndam5997 2 жыл бұрын
Sema mwalim inoncent
@ReginaOlomi-bo1rd
@ReginaOlomi-bo1rd Жыл бұрын
Congaturalation
@malitasamwel6890
@malitasamwel6890 2 жыл бұрын
Hongera Catherine kwa kuonyesha ushirikiano wako mzuri na wenzako pamoja na walimu wako na mungu pia Kama dereva ,hongera.
@eliudkintu2113
@eliudkintu2113 Жыл бұрын
Matokeo kdt Cha nne 2022
@clementdeogratius4201
@clementdeogratius4201 Жыл бұрын
Ongera bint
@calvinpaul2171
@calvinpaul2171 2 жыл бұрын
Anna unakumbukaa mawenz sec.??
@marymathew6529
@marymathew6529 2 жыл бұрын
Dada mtangazaji,wewe ni mzuri
@calvinpaul2171
@calvinpaul2171 2 жыл бұрын
Ataaa wew mzur
@annamacha846
@annamacha846 Жыл бұрын
Mji mpya secondary
@kihuyubob8704
@kihuyubob8704 2 жыл бұрын
Dr. Ni PCM
@IssaAbushehe
@IssaAbushehe 9 күн бұрын
Vichwa kama hivi sasa vingepata sponsorship nje tungepata mtumba grade A kabisa
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 56 МЛН
1❤️
00:17
Nonomen ノノメン
Рет қаралды 12 МЛН
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
Simulizi Ya Tanzania One Elias Kihombo Form 6 (ACSEE) 2016
4:29
Top Stories Tanzania
Рет қаралды 3,6 М.
Mbinu za kusoma na kufaulu masomo magumu kwa wanafunzi wa aina zote.
5:46
TUKI - Kuza Akili Yako
Рет қаралды 12 М.
Mbinu za Kufaulu Mitihani Yako Yote  Soma Hapa!
4:50
Mezani
Рет қаралды 9 М.