Exclusive na SOPHIA KANUMBA wa BIG Daddy, atua BONGO akitokea AUSTRALIA, Utashangaa alivyokuwa Mdada

  Рет қаралды 134,789

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 237
@lovenessaron2669
@lovenessaron2669 2 жыл бұрын
Jamanii siku zimekwenda aise Sophia wa kanumba amekuwa bonge la mdada 😍🔥🔥🔥
@khamisissa252
@khamisissa252 2 жыл бұрын
creativeness of the late kanumba kuona kupenda kutambua na kufanya maamuzi halisi ya kumchukua binti mdogo katika tasnia ni jambo ambalo waigizaji wengi hawana uwezo huo
@mariamhamad4171
@mariamhamad4171 2 жыл бұрын
Mashaallah Sophia kakua naongeayake haijabadirika ileile yakuongelea puani
@الرعدالصغير-ت1ش
@الرعدالصغير-ت1ش 2 жыл бұрын
Umekuwa sofi..usimsahau serengo
@fatmaally7252
@fatmaally7252 2 жыл бұрын
Ni kweli jamani
@chachachanny5621
@chachachanny5621 2 жыл бұрын
Kwani serengo Yuko wapi?
@RandB_Channel
@RandB_Channel 2 жыл бұрын
Hawa wa toto ingelikuwa KANUMBA bado yupo .kama movie zingekuwa 🔥
@khadijaali4657
@khadijaali4657 2 жыл бұрын
Mashallah umekua nakupenda sana from kenya
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah amekua❤
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 2 жыл бұрын
😂😂😂😂aisee urimsumbua selengo we Sof nakupenda sana mtundu wee jmn nimemkumbuka kanumba Allah amlemu arikuwa ananyanyua watto na vipaji
@omaryjuma8002
@omaryjuma8002 2 жыл бұрын
Nifanye niowe uyu nimeanza kumuona mda dah 🙌
@annenanjala1954
@annenanjala1954 2 жыл бұрын
I miss her my favorite from Kenya 💖💞🦋
@emmanuelfaith216
@emmanuelfaith216 2 жыл бұрын
Woww so cute 😍 💕💜💜💜🥰🥰🥰😘 Sophia umekuwa mdada mrembo kama so wewe ulivoigiza kwenye big daddy na nikikuangalia na sa hv tofauti umekuwa kama zuchu vile lkini so kwamba msanii wangu wa kike ni zuchu no msanii wangu wa kike ni nandy The African Princess 😍🥰🤩💜💜💜💜💜❤❤❤❤💖💖💖💖💖❤👌👌👌👌👌👌
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 2 жыл бұрын
Sophia MashaAllah kamekuwa🥰🥰
@Kilarento
@Kilarento 2 жыл бұрын
She is humble
@gracek5425
@gracek5425 2 жыл бұрын
Sana
@ndikumanarodrigue5657
@ndikumanarodrigue5657 2 жыл бұрын
Mtafute Selengo umuombe mxamaha umuomb mxamah ulimxumbua xana!! RIP KANUMBA
@livichakimbo5363
@livichakimbo5363 2 жыл бұрын
😂😂😂
@pendomarco8928
@pendomarco8928 2 жыл бұрын
Rip kanumba uliinua vipaji vingi vya watoto
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 Жыл бұрын
Mashallah nimefurahi kukuona tn sophia umekuwa mrembo sana❤❤❤
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 2 жыл бұрын
Umekuwa ma sha Allah 🥰🥰🥰
@mamananga2849
@mamananga2849 2 жыл бұрын
Duuh mashallah wamekua
@issazalala4907
@issazalala4907 2 жыл бұрын
Duuh kweri siku zina kwenda umesha kua mmama
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 2 жыл бұрын
Dah!! nampenda sana jaman
@youssefabdelaziz8776
@youssefabdelaziz8776 2 жыл бұрын
dada nakupenda sa ila unakumbuka gisi ulivyo musumbua selengo wewe🤣🤣🤣🤣🤣
@ssuaad8913
@ssuaad8913 2 жыл бұрын
Tunakupenda sana ,my dear,nikiwa pande za dubai
@aby21111
@aby21111 2 жыл бұрын
4 years is a very short time to forget the language and is a short time to talk fluent English like native Australians. 😎🇺🇸
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
nimekaa miaka 11 nje ya nchi sijasahau hata lugha isiyo yangu nakumbuka ambayo nimejifunza nikiwa mtu mkubwa
@berrybee264
@berrybee264 2 жыл бұрын
It depends with who u surrond urself with na kichwa chako as well kuna nyie ambao hamsahau na kuna wengine ambao hawako interested kujua different languages so its hard for them kushika hadi lugha zisizo zao
@aby21111
@aby21111 2 жыл бұрын
@@berrybee264 No way you can forget the language in 4 years no matter what, unless you went there when you're 2 years old.😎
@نجمةكينيا
@نجمةكينيا 2 жыл бұрын
uko poa sofi 🥰🥰🥰
@nuruali7859
@nuruali7859 2 жыл бұрын
Masha Allah!!! Mola akuzidishie Dada...
@mamanbinwashadrack2257
@mamanbinwashadrack2257 2 жыл бұрын
Nice seeing you miss why, Sofia
@yassintaibrahim24
@yassintaibrahim24 2 жыл бұрын
Mashaallah Mtoto Mzuri Kila Lakheri Ktk Masomo Yako
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 2 жыл бұрын
Masha Allah umekua mdada
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Mashallah, kakua sana kwakweli.
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 2 жыл бұрын
MASHALLAH AMEKUWA😍
@NancyMwaibula7634
@NancyMwaibula7634 2 жыл бұрын
Ndugu zangu wanaishi USA tangu 1992 lakini wanaongea kiswahili kizuri hawa kina wema Kila kitu English lol hongera mdada upo vzr
@hahmadhabibu2076
@hahmadhabibu2076 2 жыл бұрын
Wema anabore sana
@awadhmbegea4743
@awadhmbegea4743 2 жыл бұрын
Sis tuna watoto wa ndugu yet wamezaliwa usa kiswahil plus kihaya wanaongra sana
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 жыл бұрын
Daaaa ilikuwa filam yangu pendwa sna hii aise kanumba angekuwa mbk leo aise Hawa wangekuwa mbali sna
@swalehesaad2692
@swalehesaad2692 2 жыл бұрын
Pengine wangekiwa na watoto wa kanumba maana alikuwa hataki vipaji vyake vije kutafunwa na mondi.
@swalehesaad2692
@swalehesaad2692 2 жыл бұрын
@@ahmadbadawi9664 kwanini umecheka kumbe unawajua wabaya wa vibinti walw.
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 2 жыл бұрын
love you sofia
@mozmudi3446
@mozmudi3446 2 жыл бұрын
Dah 😭😭😭 Nakumbuka Mbali Sanaaa
@PRINCESSNIFFER-iy5ln
@PRINCESSNIFFER-iy5ln Жыл бұрын
Mashabiki wa huba jaman mama kanumba ni yupi kwenye huba sababu sielewi nimesikia hapa kuwa yupo kwenye huba
@rosecandysymon6877
@rosecandysymon6877 2 жыл бұрын
Wala hakaringi mwengine angejitia vizungu vingi
@AngelinaCosmas-w5d
@AngelinaCosmas-w5d Жыл бұрын
Ongera sana Sofia umekuwa
@omarypeternassor839k.4
@omarypeternassor839k.4 2 жыл бұрын
😋😋 Sophia is the Best
@maryamm7765
@maryamm7765 2 жыл бұрын
Mashaa Allah amekua
@damarisNafula-f7c
@damarisNafula-f7c 8 ай бұрын
Cute gal umekuwa mkubwa waaa but hope ukiwach usumbufu😅😅😅😅😅
@nadanasser1020
@nadanasser1020 2 жыл бұрын
Mashaa allah amekuwa woow
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
Tabarakallah❤❤
@monicaisaya6143
@monicaisaya6143 2 жыл бұрын
Duuhh aki miaka inaenda🙆🙆 ndo amekuwa mama hivyo lakin saut iko vilevile daah natamani kanumba angekuwepo angeona watoto wake walivyokuwa akina jenifa dahh maisha haya😥
@raziasuleiman5219
@raziasuleiman5219 2 жыл бұрын
Woooooow sophia kakua mkubwa
@queentoto3878
@queentoto3878 2 жыл бұрын
Jamnnnnn amekuwa sana
@Dalaman10
@Dalaman10 2 жыл бұрын
Huyu ana memory lose. Kila kitu hakumbuki mpaka shule alosoma haikumbuki si mtihani huu
@gressjoseph5615
@gressjoseph5615 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@doreenmalesi6039
@doreenmalesi6039 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@laidayassmine319
@laidayassmine319 2 жыл бұрын
😅😅😂😂😂😂😂
@consojacob8636
@consojacob8636 2 жыл бұрын
😅😅😅miaka 4 tu nnje ya nchi ameshasahau hata shule alosoma chekechea 😅😅😂
@mamanbinwashadrack2257
@mamanbinwashadrack2257 2 жыл бұрын
Mwenyewe nimeshangaa sana,
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 жыл бұрын
Waaaao siku zinakimbia mashallah jamila
@fatnabinkitime98
@fatnabinkitime98 2 жыл бұрын
Yes one million subscribers am waiting for long time
@sleifikhajjir262
@sleifikhajjir262 2 жыл бұрын
Sofia kanumba.mm nakuita ms why
@irakozesania1680
@irakozesania1680 2 жыл бұрын
MashAllh ❤️❤️❤️
@marthageorge5043
@marthageorge5043 2 жыл бұрын
Umekuwa mama
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 2 жыл бұрын
Mashallha amekuwa mdd mwenyewe
@mohamedjumbe9309
@mohamedjumbe9309 2 жыл бұрын
Duu miaka inaenda sana
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 2 жыл бұрын
Ila kanumba bc tu ndio ilishatokea pengo lake bado halijazibika kwa kweli miaka kumi sasa duh kama utani yaan so sad
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 2 жыл бұрын
Ohoo amekuwa
@billylovebillybillylovebil580
@billylovebillybillylovebil580 2 жыл бұрын
Masha allah kakua sophia 😘😘😘
@rahmasoliman489
@rahmasoliman489 2 жыл бұрын
Mashaallah kakua
@mariamstephano826
@mariamstephano826 2 жыл бұрын
Yaani kakaaa nje miaka 4 lkn hana shobo na kidhungu lkn hawa wanaoenda miez miwili t wanatukeraaaa na kidhungu jmn ika nimempenda bure
@bernardzuhura4187
@bernardzuhura4187 2 жыл бұрын
Wala haji shaui anaongea kiswahili ingekua wenzangu na mm hapo mmh!ila ana kirafuzi flani Kama Cha kizungu
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 2 жыл бұрын
ndo inavyokua ukiishi nje ya nchi mn huongei kiswahili sn
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@zuleikhakhamis3303 unaishi sehemu ganni huongei kiswahili saana?maerekani kila jimbo wasema kiswahili wamejaa hata wasio WTZ wapo wanaoonea walau hata kile kilichokufa kidogo,wacongo na waKenya
@messaabbas739
@messaabbas739 2 жыл бұрын
MaashaaAllah ❣️❣️❣️❣️❣️
@georgemhalla8853
@georgemhalla8853 2 жыл бұрын
Was my favorite fm
@devothaniyukuri5619
@devothaniyukuri5619 2 жыл бұрын
Anaishi upande ghani wa australia. I live in south australia
@barakaj6713
@barakaj6713 2 жыл бұрын
Asi msahau serengo
@mr_kajomba_og5719
@mr_kajomba_og5719 2 жыл бұрын
Watu wanakuwa kama michicha😳😳
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 2 жыл бұрын
🤣🤣
@irankundaanitha585
@irankundaanitha585 2 жыл бұрын
Mimi adi nineshangaa Mimi naona sikuwi😂😂😂
@lightnessdominick6887
@lightnessdominick6887 2 жыл бұрын
😂😂😂😁
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 2 жыл бұрын
Frequencies zimeingiliana, kwasababu mics ni nyingi 🥴🥴🥴🥴
@siriyangu4724
@siriyangu4724 2 жыл бұрын
Mashallah amekuwa serengo aone mtto wke
@agnespeter6421
@agnespeter6421 2 жыл бұрын
Hivi wale wengine wanaoendaga huko kwa wenzetu wanarudi wamevaa kiajabu ajabu inakuagaje? Maana simple kabisa
@Welcomehere
@Welcomehere 2 жыл бұрын
Unamanish nin? Nikujibu.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
wanazuzzuliwa na maisha ya ugenini,nilienda nasuka sisuki tena nanyoa kabisa nakaa kiasilia,nimechukia kusuka mawizi nakaa na nywele zangu alizonipa Mungu
@converseshangi3339
@converseshangi3339 Жыл бұрын
Sofia amekuwa kabisa.
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Miaka mingi sana
@mwalimualiaminialiamini8623
@mwalimualiaminialiamini8623 2 жыл бұрын
Kweli nimezee gadi huyu mtoto amekuwa mkubwa🤣🤣🤣
@omarypeternassor839k.4
@omarypeternassor839k.4 2 жыл бұрын
Kiukwel nimependa
@letisiamakonda3873
@letisiamakonda3873 2 жыл бұрын
Sophia Selengo😆😆😆
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 2 жыл бұрын
Sofia love you
@MariamSaidy-c1y
@MariamSaidy-c1y Жыл бұрын
hiv unawasiliana na selengo😂😂😂😂
@neemapeter3880
@neemapeter3880 2 жыл бұрын
Nikama Sophia amefanana na Nandy
@luciamapunda4879
@luciamapunda4879 2 жыл бұрын
Yaaan Hana hata ujuajiii maringoo Hana
@hamisishabani8864
@hamisishabani8864 2 жыл бұрын
WHY😂😂😂😂
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 2 жыл бұрын
Wadadawanarefuka mara mojaa
@petergirago5465
@petergirago5465 2 жыл бұрын
Kumbe nmezeeka Kama haka katoto ndo kamekua kiasi hichi bac nianze kunyoa kipara😄😄😄
@j...876
@j...876 2 жыл бұрын
Usi sahau ku mwona serengo
@khadijajacobo627
@khadijajacobo627 Жыл бұрын
Kamekua! Jmn utazan sio kenyewe
@vijanaparokiayakigamboni5630
@vijanaparokiayakigamboni5630 2 жыл бұрын
SAMAHANI SANA SIMULIZI NA SAUTI COMETI YANGU NI NAMNA NA JINSI MTANGAZAJI ALIVYOOVAA NOT GOOD MABEGA WAZI MAKWAPA NJE HAILETI PICHA NZURI HATA KAMA NI ONLINE TV ENTERTIMETI BUT BADO MAADILI YA UTANGAXZAJI YANATAKIWA KUBAKI PALE PALEE .. TUANGALIE NAMNA YA UVAAJI SIYO KILA NGUO UTASIMAMA NAYO MBELE YA CAMERA
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
ni wasanii hivyo hakuna shida
@ramadhanitokwete8069
@ramadhanitokwete8069 2 жыл бұрын
Mbona ziwa limelala mapema sana kwan na Australia kuna wahuni😢😢
@queenrajabu465
@queenrajabu465 2 жыл бұрын
Umeliona?
@mercynnko3416
@mercynnko3416 2 жыл бұрын
So kwenye vyote umeona nyonyo tu mpumbavu kweli ww
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 2 жыл бұрын
La mama yako nani kalilaza senge ww, kila mtu na umbo lake anaweza akawa na mika 40 lakini ziwa limesimama unaweza ukawa namiaka 15 na kuendelea ziwa limeanguka😏😏😏😏
@adijakitunda1488
@adijakitunda1488 2 жыл бұрын
Maziwa sio kuchezewa Ila ni kifua cha mtu mwengine akipevuka tu yanaanguka kabisa
@hashimuramadhan6530
@hashimuramadhan6530 2 жыл бұрын
Kashakuwa ivoo
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 жыл бұрын
Ulimbukeni tabu kwa hiyo kiswahili ladha hujijuwi
@humphreynduye6239
@humphreynduye6239 2 жыл бұрын
Kakua aise duuuu
@issakamangila4143
@issakamangila4143 2 жыл бұрын
Amekuwa mkubwa ivyo atari sn
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 2 жыл бұрын
Naomba no yake jaman
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 2 жыл бұрын
Daaah,
@janetahmed6948
@janetahmed6948 2 жыл бұрын
Kipindo kilefu sana tu
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 2 жыл бұрын
mbona sauti hakuna
@idinado4524
@idinado4524 2 жыл бұрын
Amekuwa fasta
@shiplegcm4948
@shiplegcm4948 2 жыл бұрын
Kweli soma kwanza dada kipaji bila kusoma kanumba alisema ni kipaji kilicho dumaa
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 2 жыл бұрын
Naombeni no yake jaman
@championtv255
@championtv255 2 жыл бұрын
Ata kama mmekata nmesikia kuvywa ata soda mmekatisha aharaka🤣🤣🤣
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 2 жыл бұрын
Mbona amekuwa
@nurumanyota416
@nurumanyota416 2 жыл бұрын
Mashaallah
@magrethkusu8456
@magrethkusu8456 2 жыл бұрын
Without dady
@yonas.johnson
@yonas.johnson 2 жыл бұрын
Composure
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 жыл бұрын
Sauti haikubadilika
@upendo1020
@upendo1020 2 жыл бұрын
No kiswa-english nimekupenda bure
@aminakipande5645
@aminakipande5645 2 жыл бұрын
Sio wabongo yes no nyingi upuuzi tu
@happylynguya3464
@happylynguya3464 2 жыл бұрын
Yaani hata mimi nimependa, sasa wangekuwa wengine 😀😀😀tungechoka.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
ni chaguo lako,nje wwala hakuna ch ajabu kila watu wapo hivyo kupend kwako
@imanidaraja8275
@imanidaraja8275 2 жыл бұрын
Du mashallaaaa kakua balaa😜
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
SEKESEKE LA MARTHA MWAIPAJA
16:58
TUJIFUNZE ONLINE TV
Рет қаралды 1,6 М.
Mama Kanumba: Huyu Ndiye Mrithi wa Kanumba, Naamini Atanifuta Machozi!
6:03
Twins Reaction After Diana Came Back😭 -They Really  Cried🥹
20:57
Mauno ya ZUCHU na QUEENDARLEEN ni noma, waoneshana ufundi, Ni balaa
9:01
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 18 М.