@@egdearaaron1086 hta wadada humu wapo wengine chuki na kama hvo mnavo sema hawaja pitia
@merryrau88794 жыл бұрын
Wangapi tunaona sauti ipochini au nicm yangu tuu
@happysalva244 жыл бұрын
mimi pia
@ritalucas83534 жыл бұрын
Nilijua simu yangu
@janemhagama19254 жыл бұрын
Ipo chini sana kiasi kwamba maneno mengine hata siskii nilijua ni simu yangu mbovu mpaka nimetumia earphone lakini wapi
@nassoriddi13074 жыл бұрын
@@janemhagama1925 sauti kwao....hata mm nimeweka earphone bdo sauti ipo chini
@yeyothegreat82774 жыл бұрын
Iko chini mpk inaboa
@zainasalum11104 жыл бұрын
Pole dada shishi sheria ichukue hatua yake kwasababu wapo wanaume wengi wanajifanya wameshika din kwa nje lakn mambo wanayowafanyia wake zao hakuna anaeweza kuvumilia umenikumbusha mbal sana nilipigwa sana kwetu hakuna aliekua anajua hata mmoja nilishawahi kung'atwa jichon ila saiv nimejifunza kusema kila kinachotokea kwenye ndoa ambalo linahusu maisha yangu
@hadijahussein22184 жыл бұрын
Bora umeongea shishi maana yule kaka nilishamuona mnafiki fulani anajificha kivuli cha dini.pole sana shishi
@neeysahbenson34674 жыл бұрын
😂😹😹
@khadijaomari93444 жыл бұрын
kweli
@aminamusa65314 жыл бұрын
Kabisa yule kaka ana2mia dini vibaya na malipo atayapata hapa hapa dunian
@fatmas73384 жыл бұрын
Nawashangaa wanawake wenzangu tena mlio comment hapa nyote ni waislamu mamsapiti mtu mmoja he mmesikiliza na upande wapili umepitua magumu gani au.kwakua uchebe hataki kuongea ndio mnaulaumu kwa ubaya na dini inasema ukimsitiri.mwenzeo na ww Allah atakusituri siku.ambayo haina stara ila ni kutoka kwa Allah peke yake
@hadijahussein22184 жыл бұрын
@@fatmas7338 kuwa na subra tu utaona kinachoendelea kwa uchebe. Usiwe na wasi wasi wala haraka
@dorndet61794 жыл бұрын
Uchebe wewe sikio la Kufa ,Yaani hapa mi kama ni Dukani au gari yangu hugusi.wewe sio Binadam. huwezi mpiga mtu Akiwa amelala. Na Huwezi mke uliyeo oa akiwa na watoto wake si wako.Yaani unaweza kufanya chochote mbele yao wewe huo ni ushetwani.Shishi kakubariki kwa upendo lakini kama aliyosema ni kweli umejiponza.rudi ulikotoka maana wewe Mungu unayemuamini labda ni tofauti na Mungu wetu. Pole Shishi.
@haidaryhassan76054 жыл бұрын
Mtangazaji hujui kuwa interview watu unaboa! Unamkatishaje mtu anataka kufunguka mengi zaidi Millard is the best.
@mariammgeni88304 жыл бұрын
Kwenye kikundi kimoja Cha mikopo nipo na Mama uchebe..huwa Ana mtete Sana shishi .kuwa na mwanamke Bora...anamjari Hadi yeye..sema tu uchebe kibri kimemwingia sana maisha ya kwao Yalivo alitakiwa amweshimu Sana Shishi...bc tu anajiona babu kubwa cku izi
@batuliwanjallah54824 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu atakulipa Shishi sweetheart ❤️ 💙 be strong 💪 💪 💪
@aprilrosaliapanda48954 жыл бұрын
Kwann asingefanya hi interview milard ingenogaaa sanaaa
@gathonia21494 жыл бұрын
Pilipili kwa macho? Kupigwa ngumi mpaka unazimia na kutapika??? Na kunawatu bado wanamtetea huyu jamaa? Tuwe serious jameni. Pole sana Shishi
@jacklinengozi11224 жыл бұрын
Kwaninni?
@nahyialetomia92844 жыл бұрын
Gathoni A, seems women are in TZ are only empowered to look for money and not empowered to speak out! Sad!
@elperanto12514 жыл бұрын
Ladhima tumtetee maana hatujasikiliza upande wa pili na hatujashuhudia kipigo maneno 2 je Kama s kweli anamsingizia
@kilimanjarolady52444 жыл бұрын
El Pèràñtö hata kama alimkosea vipi hakuna mtu mwenye ruhusa ya kumpiga mwanamke...
@kilimanjarolady52444 жыл бұрын
So sad.....mungu akutetee Shishi
@dutchsafari75624 жыл бұрын
Sound engineers wa clouds wanafeli sana kwenye live streaming bado kuna tatizo mikoromo mingi Kwan hamfanyi rehearsal kabla ya kurusha kipindi?
@catherinephales46464 жыл бұрын
Mtangazaji ameboaaaa umeminya hajafunguka vzr millard uko wapiiiiii mfanyie moja
@shirzn4 жыл бұрын
Pole sana shishi, keep telling your story. May God heal your pain
@suzanlyimo63514 жыл бұрын
Majibu ya uchebe kama ya aliyekua mume wangu jmn hawa baadhi ya wanaume hawa sijui wataaccha tabia yao ya kupiga wake zao lini pole sana dada shishi
@hadijafridah77234 жыл бұрын
nakupenda shishi..am your no 1 fan from kenya
@vanessalaizer43634 жыл бұрын
Litangazaji limekazana tutamuoji Uchebe tutamuoji uchebe. Sasa inahusiana nini kuingiza mambo ya kumuoji Uchebe akati ni interview ya Shilole! Mxiuuuu
@essy13944 жыл бұрын
Mtangazaji yuko very unprofessional!! Hii interview angefanya Millard au Zamaradi ingekua 👌🏽
@zanzibar_expertguides_orga91804 жыл бұрын
😀watanzania ni ma judges wakipekee sana
@yunaisamir20994 жыл бұрын
@@zanzibar_expertguides_orga9180 mpka aibu yan
@slayingtee60444 жыл бұрын
Anamkatisha kuongea shishi mara nyingi,,,very unprofessional
@yunaisamir20994 жыл бұрын
@@slayingtee6044 yan hii interview angetakiwa ampe mda mwingi wakuongea ila ana mkatisha mara karud nyuma yan dah
@dianadouglas90544 жыл бұрын
Aaah wapi Ww humjui siza ww
@sophialaurent28764 жыл бұрын
Pole sana shishi nilimsikia uchebe akiongea nikakuchukia sana, lakin baada ya kusikia wewe ulivyo ongea duuh, kweli uchebe ni mwongo sana na sheria ifuate mkondo wake, ni lipigwa cku moja na mume wangu kipigo cha mbwa mwizi ctawai kusahau na niliondoka kuanzia cku hiyo cjawai kuishi na mwanaume,
@khadijasalum23024 жыл бұрын
Kweli tusihukumu kesi tutuzame side zote mbili khair shilole hujazaa nae sema alhamdullillah utapata mume mwenye khair na wewe muhimu musameheane
@kozbeahani67634 жыл бұрын
Never be weak my dear I love u shish girl power
@azizaiddy49814 жыл бұрын
Pole sana shishi mungu atasimama na ww kwa kila hatua unayopitia
@alicemgiri8454 жыл бұрын
THE REPORT WAS VERY UNPROFESSIONAL..ITS NOT YOUR STORY AND YOU COULD LET HER TELL HER STORY WITHOUT YOU CUTTING HER OFF OR STOPPING HER FROM TELLING HER STORY..VERY UNPROFESSIONAL PERIOD
@edahbundala4834 жыл бұрын
Hii interview angei Host Millard Ayo ingekua kali sana
@winmapunda59604 жыл бұрын
Hata sinza yupo vzr jmn sema hatujamzoea huku
@winmapunda59604 жыл бұрын
Sinza mbona km unampeluz na kumdadisi shishi
@fizzozimba4 жыл бұрын
Huyu jamaaa muogaa muogaa
@miriamlaurean22264 жыл бұрын
Hyu pia ni millard ajae..
@slayingtee60444 жыл бұрын
Kabisa sound mbovu camera ndo usiseme
@beatricerajabu72344 жыл бұрын
Yani ogopa sana mwanaume anayejifanya mcha Mungu.
@SalmaSalma-ee4nx4 жыл бұрын
Na mwanaume anae jifanya kimya saana wasogope
@hamidajuma39094 жыл бұрын
Pole mwaya mtoto wa mwanamke mwenzangu Shishi. Ndoa ni tamu Ila mdaa mwingine ni chunguuuu pole Sana my love
@polinahkilunju65294 жыл бұрын
Pole Shishi wangu. I will always love you. May God Protect you
@gagedamoursarusaru80794 жыл бұрын
Shilole nakupenda sana! Pole sana ❤️❤️❤️
@hamismbekae30504 жыл бұрын
Mim nilijua uyo Uchebe ni sociopath. Kinajificha katika dini kumbe mbwa pori tu. Pole sana Shilole stay strong girl u will be just fine sote tumeshapitia katika hao. Stay blessed
@ashaathuman22094 жыл бұрын
Mtangazaji mswahili sana unafanya kienyeji mno
@vanessalaizer43634 жыл бұрын
Halipo serious kabisa sijui likoje
@mohamedmzee22674 жыл бұрын
Umefanya vizuri kuweka wazi, pole Sana ila Mungu atakusaisia
@allymatilda75194 жыл бұрын
Adi nimelia aisee daah😨 pole sana shishi utapata mume mwema inshallah
@lenniefei67104 жыл бұрын
Ndoa na watoto unatarajia nini Shilole....Liwe funzo basi kesho ufanye maamuzi ya kikubwa inshaAllah.
@jasmineally14934 жыл бұрын
Pole sana kwa yaliyokukuta..Allah akusimamie upate faraja..... Ila aliyekuhoji kaharibu tu anakukatisha katisha ovyo ovyoo anakera
@malabulabutempest51134 жыл бұрын
Pol sanaaa watu wakusema Allah kila muda wala wakusema Jesus wengi niwataperi nawanafiki
@abdulhakeemalibawazeer25954 жыл бұрын
I would like to comment in English. What Uchebe is not the way our religion Islam teaches us, if your wife makes mistakes you have no right to beat her, our Prophet Muhammad SAW taught us that women are not servants and you have no right to beat them if you are angry get outside the side the house until you cool down. Or women are beaten by tissue not boxing and slapping so I advise my fellow men we should be polite with our wives. Shilole this is not the end of everything In sha Allah Allah will compensate you with another husband.
@winfridaw.mwashala2894 жыл бұрын
Mtangazi amemkosea sana shishi! Uwezo mdogo.
@ajunamajid64384 жыл бұрын
pole dada angu wanaume ndo walivyo wanajifanya wanawivi kumbe silent killer, hata mm yalinitokea
@franklinmganga7364 жыл бұрын
ajuna mm sipo hivyo jamaani
@mutwalesylvie74434 жыл бұрын
Kumbe umeona wakisha anza michepuko Wana anza zararu uchebe ana lakumzalilisha shilole wetu
@proscovierbhou59874 жыл бұрын
Huyu siza kupewa nafasi ya kumuhoji shishi wamekosea sana mxiyuu limeharibu tu hii interview
@awatifrajab73814 жыл бұрын
Mtangazaji hayupo vizuri
@saidiasdd50434 жыл бұрын
Niatari sana kbs polesana wanaume nishida
@Winstonfying4 жыл бұрын
Pole sana, Shilole!
@rosemarypeter18404 жыл бұрын
Hii exclusive sio,Millady Ayo uko wapi.
@sayleewaprocesse2174 жыл бұрын
Kawa mzee yusufuh uchebe bwana Haahaaa pole zuwena me nakupenda sana tena sana mungu azidi ku2baliki daima sotee zuwena wng
@neeysahbenson34674 жыл бұрын
Shilole hataki kumaliza interview 😂😂ety uchebe altaka achukuelie mkopo hati ya nyumba ya shilole😂
@mbokamwakaje36994 жыл бұрын
Mi sio mvumilivu kwa kweli siwezi vumilia huu upuuzi, pole shishi
@pendophillip79364 жыл бұрын
Huyu kaka hajui kufanya mahojiano, wangempa mtu mwingine kama millard yaan kaboa sana
@missbartanzania6884 жыл бұрын
Pole dada lakini naomba nitoe somo kidogo, kumbuka uchebe alikuwa na mke wake na wewe ukaingia kichwakichwa, niliwahi kuskia intervew ya yule mke wake wa kwanza alisema hivohivo, alikuwa anapigwa, na alipokupata wewe akamfanyia dharau, dada basi ndo ujue ameshapata mwingine, uchebe pendapenda, na mfupa uliomshinda fisi, we huuwezi, naaaaa piaaaa, mwenzako akinyolewaaa na wewe tia maji, halaafuuu hukupata muda wa kumsoma uchebee ulikurupukaaa, haya niliyajua dada shishi, hebu rudia intervew ya yule mke wa kwanza wa uchebe unacholalamika ndo alivolalamika, ila poooleee sana,
@kozbeahani67634 жыл бұрын
U made me cry my super star move on never be week my role model I love u shish
@judithmado42264 жыл бұрын
Hatua za kisheria?... Au sheria za kisheria... So sad😢 pole shishi
@citymwacheo44974 жыл бұрын
Kwakweli uchebe ulikua una nia ya kumfanya mwenzio kiziwi kuanzia leo nakuchukia sana na mungu atakulipa hapa duniani
@jtheophil54994 жыл бұрын
Pole sana .Nakupenda sana.Umenichekesha eti nilipigwa adi mbwa waliamka.daah
@aminamusa65314 жыл бұрын
Pole sana shishi hakika mungu atamlipa yule flauni uchebe
@aishahassan98124 жыл бұрын
Duuh pole sana dada ang Allah yupo pamoja nawe
@fulgenslaurian12784 жыл бұрын
Sijui lakini huyu mtangazaji ni kama mskaji wa Uchebe
@mutwalesylvie74434 жыл бұрын
Daa pole sana shishi wetu maana wanaume wakulelewa awanaga shukrani kumamamake
@felizwanzagi84654 жыл бұрын
Pole Shishi tuko Pamoja pambana hadi kieleweke.
@pearl36964 жыл бұрын
Mtangazaji kazi haiwezi..ameharibu kipindi kizima
@johari66504 жыл бұрын
Kabisa
@zubedakilenza99984 жыл бұрын
Da! Pole shishi wanaume hawa
@glorymanka26894 жыл бұрын
Hatokaa apate mwanamke mvumilivu km huyuu😰😰
@belitadaudi81504 жыл бұрын
Pole dada yangu.. Nakupenda Sana Shishi 😭😭😭😭Mungu akubariki sana
@ashleydaudi20934 жыл бұрын
Ila huyu mtangazaji anaboa jmn Sasa ndo nini kumkatisha mtu mpaka anakuambia usikatishe niache niongee
@marymauya92074 жыл бұрын
Hafai
@jacquelinenasaeli14994 жыл бұрын
Anaboa sio kidogo,I assume anasoma izi comments anapapara sana
@ilovejesus93034 жыл бұрын
Interviews ni SNS Sky na Millard Ayo. Wengine wote michosho. Sauti mbaya. Kwenye mahusiano mtu unaweza jisifia unamtimizia mwenzio kila kitu kumbe yeye haoni. Pole Sana dada yangu mchapakazi, super woman. Ni ngumu masuper woman kukaa kwenye ndoa kwa vile wanaume wao wanakuwa very defensive especially kama hana kipato kama chako
@simulizi26324 жыл бұрын
We Siza HUJUI 😳 ndo nn hii...interview MBOVU
@chantalmulasi56634 жыл бұрын
Uyo mtangazaji wa mtoe kazini mfyuu na Sura ngumu kama nyangumi una tuaribia interview nzuri ivi una katisha katisha mtu maongezi hatujui mwanzo wala mwisho pumbavu wewe nyooo🙄🙄
@mwendaally89144 жыл бұрын
Mtangazaji hvyooo sana
@annieteddy37024 жыл бұрын
Horrible kabisa
@malabulabutempest51134 жыл бұрын
Pol Dada wanaume nimicoko.. Akuna mwanamke anaweza penda kuacana nabwana it means kuna shidaaa acana naye uley watoto wanaume hawana shukurani ata umupe ndege bule
@sonyakhamis42784 жыл бұрын
Kumbe kijeba hicho nikipuuzi Sana ungekufa mungu bado anakupenda pole shishi.
@mariamabdallah52244 жыл бұрын
Mtangazaj sio ustaarabu kumkatishs mtu anakuambia mwisho wa kipindi umekosea sn
@deejulesdonatha41074 жыл бұрын
Yn anaboa
@bestalex24124 жыл бұрын
Atakuwa mshikaji wa uchebe
@jasmineally14934 жыл бұрын
Yan anakera
@mariamabdallah52244 жыл бұрын
Best Alex na mm nahis mpambe wa uchebe
@glorykweka16314 жыл бұрын
@@bestalex2412 Nshomile mwenzie
@husnarams36984 жыл бұрын
Mpuuz kwel uchebe mwanamke anabebelezwa
@levinamwaila78474 жыл бұрын
Polee da shishi 😭
@neemapella26094 жыл бұрын
Shishi anakwambia kwa mara ya kwanza nilipigwa mpk mbwa wanaamka😂😂
@deogratiusmkoba55114 жыл бұрын
Mbwa waamke alafu atuoni kovu
@vanessalaizer43634 жыл бұрын
@Deogratius Mkoba sasa mbwa wanahusiana vipi na kovu
@christinesulle50514 жыл бұрын
Kweli nimewaona niliishi na mtu kabisa ya huyu kaka nilipigwa sana mbele za watu yaani nimetoka mimi Bora umetoka mamy Hawajui kupenda
@rakanmahmud38294 жыл бұрын
Ucheebeeee bondiaa basi ingia kwenyee ngumii tuwonee ukingiaa kwenyee bondiaa utafitii sanaa na upigane na mfalmee wa kisarawee utafitii sanaa
@venstonvedasto4 жыл бұрын
Pole sana Shishi mapenzi huwa hayashauriki hata siku 1 you look very innocent but one thing how sure are we you are even 90% loyal? everyone has that dark side........😕😔😔
@ilovejesus93034 жыл бұрын
She is just telling her side of story. It's not a must to believe it but am glad she is opening many women eyes and giving strength to other women who go through this na bado hawajui what to do. Some end up dead just because of love
@faridaibrahim66994 жыл бұрын
Shishi keep staying strong, more power to you ❤.... as for the interviewer Siza, you were extremely unprofessional, bad etiquette and horrible interviewing skills.
@witneywilly4 жыл бұрын
Yan we mtangazaji unaudhi. Kasome uandishi wa habari. Unafeli sana
@mpalazotz77534 жыл бұрын
Asante kwakutupa faida ila atukulipi sis utalipwa akhela
@sumayahfathi94134 жыл бұрын
Nawewe Uchebe Mtihani tu, Siku zote ukimuona mwanaume anaongea kinyonge muogope,uchebe ni Chui kavaa ngozi ya Kondoo, Hawa wanaojifanya wanadini Siku zote ni Mtihani, Same time sitaki Mume, Nae uchebe umetolewa mbali ulitakiwa uwe mpole, ulijiona kama ndo umefika bora umeachika ni Mtihani mkubwa uchebe anajifanya mwema namcha mung
@hamoudcreator63434 жыл бұрын
Point ya kusema Uchebe ameingia na Dini kwa Shilole, akabadilika na kufata Vya Mjini.. Iyo ni kweli kabsaaaa.. Uchebe anajifanya Dini Sanaaaaa mbele za Watu.. Ila Mshamba Tu Sanaaaa... Vitu anavyofanya Tu sasa hivi kwenye Instagram yake anaonekana Mshamba..
Kama unataka mwanamke wako asijichanganye na watu,,,, usimruhusu afanye kazi mweke kwa nyumba umfanyie kila kitu,,,,
@sophialaurent28764 жыл бұрын
Hakuna mwanamke ane kaa nyumban bila kazi kwa maisha haya na nivigumu sana mwanaume kumpatia mwanamke kila kitu
@slayingtee60444 жыл бұрын
Mwanaume akikupa lzm akupe na manyanyaso...Cha kutafuta mwenyewe kina raha yake.
@ameenasur6564 жыл бұрын
Siwez kukaa kusubil unihudumie je ukitangulia kufa
@aminamwanakombo20974 жыл бұрын
Pole sana shishi wewe nimwanamke mrembo achana umbwa yeye
@deejulesdonatha41074 жыл бұрын
Mtangazaji unazingua mtu akiwa anafunguka mwache afunguke sio unamrusha rusha na maswali. Unaboa
@vanessalaizer43634 жыл бұрын
Linauzi kweli
@jasmineally14934 жыл бұрын
Yan anatibua
@sarhasarhasalum42634 жыл бұрын
Mtangazaji kapatika leo😆ila shishi pole sana mama daaaa maisha hayaa acha niendelee kupambana tu pole sana Tena sanaaa
@citymwacheo44974 жыл бұрын
Jamani kwann wasanii mwapenda kutoa aibu zenu za ndoa
@nsengiyumvabienvenu84914 жыл бұрын
Pole sanaaaaa Mm
@victoriathomas37154 жыл бұрын
Pole xana dada naumia
@nadhifasudi14504 жыл бұрын
Pole mpnz mungu atakujaalia umpate alie bora
@hamidajuma39094 жыл бұрын
Pole shishi pole my love hadi nimejikuta nalia pole my
@lizzjahsolja12404 жыл бұрын
Uchebe will never find peace in his life,mwanamke mwenye anakusaidia unampiga mh
@tunsumeakimu96084 жыл бұрын
Kwa hiyo hata akimdhalau navkumpiga matukio awe anamwangalia tu eti sababu huko na pesa mwanamke!mwanamke mwenyew mambo mengi huyu
@m.mmarckus62984 жыл бұрын
Jamani hata km unamsaidia mtu,basi usimdharau tayari nimumeo.pia nayy afunge mdomo aache kumuongelea.wengi tushapita kwenye hivi vitu au kwasbabu yy nistar basi kila akiulizwa anaongea.akikataa watamlazimisha.kujidhalilisha nakumpa faida zaidi uliyemuacha nakukimbilia huko nayamekushinda
@lizzjahsolja12404 жыл бұрын
Cathereen Exzavery umesikia poa alichosema Shishi
@lizzjahsolja12404 жыл бұрын
Tunsume Akimu ebu rewatch musikie
@asiahmariam39424 жыл бұрын
Maskini shishi alikua ameamua kutulia kwenye ndoa ila akakutana na kaini bora hivyo ulivyoamua kutoka mami ungekuja kufa bure
@yusragundia50894 жыл бұрын
Nakuelewa sn shishi
@filomenaedmund57654 жыл бұрын
Shishi pole dada nimeumia
@fredmtake22854 жыл бұрын
Akika 2najifunza vingi kwa kupitia wewe wew ni super women like my mother 💪💪💪💪💪💪🤳🤳🤳
@zakstv73684 жыл бұрын
Dah pole sana Shishi
@isejemedia67604 жыл бұрын
Ngumi katika ndoa hazifai,,bola kuachana ili maisha yaendeleeee...
@dayana5513story4 жыл бұрын
Mimi sitaki kuhumu sasa tunasubulia uchebe ya kwake
@nellymasengo14194 жыл бұрын
Nipe mkono 🤝🤝 hata na mimi siwezi sikiya maneno ya Mtu mmoja, tusubiri uchebe, sababu tulimlahumu Sana harmonise, na kumusema vibaya Sababu, ya wolper Sasa Leo hii toku Wapi ? Hata makamani awahukumu mtu bila kumsikiliza mwingine
@habibafeithal40144 жыл бұрын
Yan mm mwenyewe nilikimbia ktk ndoa na nikagoma kurudi kwake ,had leo kila mtu na maisha yake,tusiwavumilie wanaume wanao piga wanawake
@firdaussheikh48174 жыл бұрын
Maskini ya mungu. Wanawake km hawa wanateseka
@janatahmad70484 жыл бұрын
njo maana mimi.nitazehea huku saudia kwa kutafutia.maisha mwanangu wanaume hawa mungu tuu.kama ni.kweli shishi.haya unayongelea mungu tuu atajibu
@aisatahaisatah26124 жыл бұрын
Kwakweli mwenzangu tuwatafutie watoto kama ndoa zenyewe nihizo basi tupambane