IJUE SAFARI NA MAISHA YA RESTY MJASIRIAMALI MAARUFU TANZANIA.

  Рет қаралды 52,326

Dizzim Online

Dizzim Online

Күн бұрын

Пікірлер: 151
@eastcuisines124
@eastcuisines124 4 жыл бұрын
Huyu dada ni shupavu kati ya wanawake shupavu tz nayy yupo...she never gives up, she's a hard worker , a good mother, a good wife eishhh...i love you resty you inspire many of us.
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 4 жыл бұрын
Kweli kabisa namjua mda anajituma sana na sio mchoyo kwa ushuli
@gisselahonory7230
@gisselahonory7230 4 жыл бұрын
Resty is a very bright and intelligent lady. Mungu azidi kumshika mkono .
@kitkat-pr4mv
@kitkat-pr4mv 4 жыл бұрын
Hongera Dada resty nlkua naham nimskie uyu dada...nampendaga sanaaaaaa insta namfatilia anani inspire sanaaaaaa😍
@luganomugogo6373
@luganomugogo6373 4 жыл бұрын
Barikiiwa Dada endelea mbele
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 4 жыл бұрын
Napenda watu kam hawa wanakwambia nimepitia hivi na hivi bila kupinda pinda safi sanaaa
@marycianajulius8831
@marycianajulius8831 4 жыл бұрын
Hongera sana super woman ,napenda kujifunza kwa waliofanikiwa na natamani cku mmoja niwe mmojawapo kwa waliofanikiwa naamin ipo cku mungu atanifungulia milango ameen
@sadasaid4202
@sadasaid4202 4 жыл бұрын
Waoooh you’re so amazing girl god bless you dear we admire you always so keep it up
@vickykapama8386
@vickykapama8386 4 жыл бұрын
Rest mimi naishi Sweden, lkn nakukubali sana uko na familia nzuri na Umeishika familia yk kwa Upendo wa Yesu Kristo👏 Siku nikija Tanzania lzm nitakuja kukutembelea hapo Restpark kula kiti moto, mtori na Mbege. Keep a Good Job ❤❤❤❤❤💋
@josephlwagi9370
@josephlwagi9370 4 жыл бұрын
Nan kaona huyu Dada ana sauti ya utangazaji?
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 4 жыл бұрын
Dada ni JEMBE 🥰🥰SAFI SANAA
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 4 жыл бұрын
Nimejifunza kitu, mtuleeege watu kama hawa
@estherdhahabu5902
@estherdhahabu5902 4 жыл бұрын
Asant resty nimejifunza mengi kutoka kwako
@boke9196
@boke9196 4 жыл бұрын
Nampenda sana huyu dada ni mwanamke anae pambana sana
@fallymetoo191
@fallymetoo191 4 жыл бұрын
Inspired story 👌🏼
@floraclemence2081
@floraclemence2081 4 жыл бұрын
Du!Big up wewe ni mpambanaji Hongera sana
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 4 жыл бұрын
Taarifa za kibishara bwana wengi hawasemi ukweli. Kama unafanya biashara kwa mazunguzo ya huyu dada......!!!! Wafanyabiashara mshanielewa
@salamaignace7873
@salamaignace7873 4 жыл бұрын
Nimekuelewa
@butturachel1794
@butturachel1794 3 жыл бұрын
Siyowakweli wanasirizao nyuma ya pazia
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 2 жыл бұрын
Kweli kabisa kabisa ila jambo analo
@bibibomba4515
@bibibomba4515 2 жыл бұрын
💯
@hyasintapeter204
@hyasintapeter204 4 жыл бұрын
Hongera Dada but hujasema ulipopata mtaji kuanzia kufuga
@miriamcheya3136
@miriamcheya3136 4 жыл бұрын
Pesa iltoka kwa wazazi
@jacquelinenasaeli1499
@jacquelinenasaeli1499 4 жыл бұрын
Pia amesema nyumbani kulikua na kuku ndo walikua wanaendeleza hao hao
@priscapeterprisca7612
@priscapeterprisca7612 4 жыл бұрын
Nampenda huyu dada wallah...
@floridalupala1228
@floridalupala1228 4 жыл бұрын
Congrats sis..,but natamani kujua idea ya biashara umeianza kabisa baada ya kumaliza tu chuo au hata ulipoluwa chuoni ulijihususha na biashara??
@jtheophil5499
@jtheophil5499 3 жыл бұрын
Godbless you resty
@naimanimo4925
@naimanimo4925 4 жыл бұрын
Mmmmhh lawyer to famigating something is not clear here
@belak999
@belak999 4 жыл бұрын
Acha kukariri maisha, kinachotafutwa ni hela
@farajalaizer4669
@farajalaizer4669 4 жыл бұрын
I agree,...
@claramunish2726
@claramunish2726 4 жыл бұрын
Acha ushamba bana.kuna wanaume na vilaza kuwa na elimu au kazi mzuri sio sababu yakudharau kupiga pesa kwa njia nyingine ikitokea fursa tunapiga kitu n pesa sii kaz nzur au elimu.wacha wenye waume wanaojitambua tumukubali huyu dada.nampenda sana Resty.na nawakubali sana.wee endelea kuhoji lowyer na famigation wapi na wapi zitakupita pesa.pole mwaya...wacha uvivu wakufikir
@leylabashir6601
@leylabashir6601 4 жыл бұрын
Nampenda huyu dada Mungu ambariki sana.
@jackmichael2217
@jackmichael2217 4 жыл бұрын
Nampenda Uyu dada
@euniceshao115
@euniceshao115 4 жыл бұрын
Mimi binafsi nakuelewa Sana resty wangu kioo changu leo nimejifunza vitu sio kitu
@joynnko5186
@joynnko5186 4 жыл бұрын
Nampenda uyu sis
@ThiagoMessi10-f4g
@ThiagoMessi10-f4g 4 жыл бұрын
Na yule mtoto mtundu wa Nairobi akiona atafanye
@zakstv7368
@zakstv7368 4 жыл бұрын
Jamani nilikuwa natamani sana nimsikie huyu dada namjua sana kwenye mitandao ananivutia natamani kuwa km wewe
@restutabura4611
@restutabura4611 4 жыл бұрын
Nashukuru sana Kuna muendelezo wa kipande cha pili bado sijamaliza
@reginatsaxara4600
@reginatsaxara4600 3 жыл бұрын
@@restutabura4611 Dada natamani nipate no zako
@hosianaeliud243
@hosianaeliud243 4 жыл бұрын
Nimekupenda nimependa ulivyo mpambananaj
@doristo2597
@doristo2597 4 жыл бұрын
Tunaomba muendelezo please..........
@rahmakipingu2926
@rahmakipingu2926 4 жыл бұрын
Nampenda sana huyu dada
@hadijakabona955
@hadijakabona955 4 жыл бұрын
Apa nimejifunza kt kwa Dada rec
@ntekaniwakitatu6343
@ntekaniwakitatu6343 4 жыл бұрын
Congratulation rest
@cocktailkwinzy9419
@cocktailkwinzy9419 4 жыл бұрын
Huwez kumridhi kila mwanadam dada ake so hakuna tusi jipya hapa dunian ww fany biashara zako yako tu watu wako wa karibu wakikupenda inatosha wanao kutukana acha wakutusi achana naooo
@salmakiungo2538
@salmakiungo2538 4 жыл бұрын
Nakupendaje
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 4 жыл бұрын
Kwan mtangazaj ana miaka mingap🤣🤣maan rest alipost 30 mwaka jan, sasa mbona kama wanaendan jmn shikamoo hz kha🤣mtangazaj una mingap ww naona unamuonea resty🤣
@neymafrancis6219
@neymafrancis6219 4 жыл бұрын
Kwakweli syo tabia nzuri hii😄
@ashaally6662
@ashaally6662 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@mastidiadionis3335
@mastidiadionis3335 4 жыл бұрын
Hata mimi sijapenda aisee 😄😄
@lipymuscat4779
@lipymuscat4779 4 жыл бұрын
mtangazaji ovyo tu et heshima yako dada
@gertruderobert5488
@gertruderobert5488 4 жыл бұрын
Siku zote ukiwa n hela utaamkiwa had n waliokuzid
@fatumamdoka8475
@fatumamdoka8475 4 жыл бұрын
Kila kitu hadi mtt nimezaa2010
@fatumamdoka8475
@fatumamdoka8475 4 жыл бұрын
Mbona historian yako kama yangu second born tuko wanawake3 yaani kila kitu😀😀
@damalisamnguto3066
@damalisamnguto3066 4 жыл бұрын
😍😍
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 4 жыл бұрын
Nice interview
@kokutunda9591
@kokutunda9591 4 жыл бұрын
♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@happygw6930
@happygw6930 4 жыл бұрын
Huyu mtangazaji mbona anaingilia sana ajui kutangaza amwache aonge na ndio aulize maswali ana kiherehere ajirekebishe na kumwacha aonge kuhusu biashara za kwenda china awe na uvumilivu
@lipymuscat4779
@lipymuscat4779 4 жыл бұрын
mtangazaji hajui kabisa..ilitakiwa amwache atiririke mwenyewe
@nururaymond5
@nururaymond5 4 жыл бұрын
Sauti ya Mamlaka, hata kuimba anaweza, hasa nyimbo za GOSPER ..,ana Kipaji haswaaaa , namkaribisha kwenye Ushereheshaji pia karibu uwe Mc wa Shughuli mbalimbali
@florahmeck124
@florahmeck124 4 жыл бұрын
Jamani huyu dada nampenda
@mmakiluly
@mmakiluly 4 жыл бұрын
Video yenyewe inafunguka kwa shida
@neemawilliam8415
@neemawilliam8415 4 жыл бұрын
Huna bando
@zainabuhatibu4373
@zainabuhatibu4373 4 жыл бұрын
simu yako ina matatizo
@damalisamnguto3066
@damalisamnguto3066 4 жыл бұрын
Cmu yako ndugu
@zeriamdee7381
@zeriamdee7381 4 жыл бұрын
Da rest nakufatliaa Sana'a uko vzur
@Lizzah_Media
@Lizzah_Media 4 жыл бұрын
❤❤❤❤
@mariaamos3538
@mariaamos3538 4 жыл бұрын
rest kama rest..mwanamke mwenyee furaha zake mda woteeee
@aluwiyahussein1948
@aluwiyahussein1948 4 жыл бұрын
❤❤❤❤
@marymwasantaja1967
@marymwasantaja1967 4 жыл бұрын
💞💞💞💞💞
@Lizzah_Media
@Lizzah_Media 4 жыл бұрын
DA rest un an I enspire Sana..nakupenda mnooooo yani nikiingiaga Instagram wa kwanza kukuangalia ni ww post zako na kufanya napata nguvu zaidi ya kunitumia huku uarabuni ili nije kuwa Kama ww
@amaliweston3963
@amaliweston3963 4 жыл бұрын
CAN YOU GIVE US THE NAME OF HER INSTAGRAM ACCOUNT🙏🏾
@marryakyoo6579
@marryakyoo6579 4 жыл бұрын
@@amaliweston3963 resty- cosmetics
@amaliweston3963
@amaliweston3963 4 жыл бұрын
@@marryakyoo6579 THANKS FOR THE REPLY. I LOVE TO SEE ORDINARY CITIZENS DOING WELL IN TANZANIA. GOING TO FOLLOW HER.🙏🏾🙏🏾
@happymwanguo2521
@happymwanguo2521 4 жыл бұрын
Dada nimekupenda bure hukati tamaa na ndio inavyotakiwa ili kufikia mafanikio
@nuruleonard959
@nuruleonard959 4 жыл бұрын
I love this lady
@neemafrancis9362
@neemafrancis9362 4 жыл бұрын
Umenifariji na story yako.Umenipa nguvu Asante da Rest .Inawezekana unaona umesema kama story tu lkn wenzio tuko darasani TUNAJIFUNZA vitu vingi kwako 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@rosejoseph9378
@rosejoseph9378 4 жыл бұрын
Resty ni superwoman kusema kweli anastahili tuzo
@dubenamahanga5363
@dubenamahanga5363 4 жыл бұрын
Mungu akubariki mama Hayley
@farajalaizer4669
@farajalaizer4669 4 жыл бұрын
English baaado,plz ongea tu kiswahili, zisi zati tunaomba tupumzishe na shemeji akapambane si kufuatana na wewe kila kona na kinywaji kila siku yeye anakunywAgaaaas Try a little bit of privacy...
@jacquelinejohn7821
@jacquelinejohn7821 4 жыл бұрын
Ww ni hater
@mariammbughi2702
@mariammbughi2702 4 жыл бұрын
Ampumzishe wapi na ndio mumewe ni wivu
@gracemichael2225
@gracemichael2225 4 жыл бұрын
Hater
@faridamussa965
@faridamussa965 4 жыл бұрын
Acha wivu khaaaa
@scolastikanjau1891
@scolastikanjau1891 4 жыл бұрын
Jiue ukapumzike unakasirikia maisha ya watu na liinsha lako lireeefu woii
@yasintawalyuba2444
@yasintawalyuba2444 2 жыл бұрын
Umenizidishia ujasili Sana dada Resty kwangu na nmejifunza Mambo mazuri kutoka kwako, ubarikiwe sana.
@farajalaizer4669
@farajalaizer4669 4 жыл бұрын
Hongera pia kwa kua mpambanaji
@faithmwangosi16
@faithmwangosi16 4 жыл бұрын
Keep it up lady,so inspiring
@uwimananadia6066
@uwimananadia6066 4 жыл бұрын
Acha na mimi nika ku forrow dada, unaongea vizuri kwa busara hakika Mungu akubariki sana unatupa moyo wa kusonga mbele bila kukata tama🙏🇧🇮
@anamariayuba5457
@anamariayuba5457 2 жыл бұрын
asante dada umenitia nguvu kwa maneno yako mungu akubariiki
@victorlaiser1512
@victorlaiser1512 4 жыл бұрын
Napenda unavyoishi na biashara zako.Mungu aendelee kukufanya kichwa.
@pendopendo7427
@pendopendo7427 4 жыл бұрын
Mi nampenda huyu dada yni Mungu ndo anajua love nlonayo kwa huyu dada Mungu akutunze ili nizid kujifunza kupitia wew😘😘😘😘😘😘😘😘😘😍😍😍😍
@hmk..
@hmk.. 4 жыл бұрын
"unakuwa na curious yakutafuta kazi"
@rehemavickie6521
@rehemavickie6521 4 жыл бұрын
Hahaha yea nimeinasa pia huuh
@juliethurassa1469
@juliethurassa1469 4 жыл бұрын
Gr8 interview.....saf sana.ur blessed aisee.Mungu akuzidishie...unatuinsipre weng..
@miriamnyalusi9313
@miriamnyalusi9313 4 жыл бұрын
I lov u dear....u ar how you ar since childhood ..jioneshe and keep dat up, i lov u
@veronicavalence534
@veronicavalence534 4 жыл бұрын
😍😍😍😍
@restipaul4286
@restipaul4286 3 жыл бұрын
Good wajina
@joycekimario9552
@joycekimario9552 4 жыл бұрын
Watoto watatu au wawili
@atuganilekalinjila8385
@atuganilekalinjila8385 4 жыл бұрын
your the best Resty
@maggyjerry8062
@maggyjerry8062 4 жыл бұрын
Ila Resty ww ni mwongo na ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu Nakumbuka ulishasemaga kuwa hilo eneo ni lako la kitambo ulinunua ndo ukaamua ujenge leo umekodisha jitahidi ukumbuke uongo wako
@abiahsteven7345
@abiahsteven7345 4 жыл бұрын
😂😂😂
@bonvivant3704
@bonvivant3704 4 жыл бұрын
😭😂🤔
@venerandamwalimu16
@venerandamwalimu16 4 жыл бұрын
Ukweli umekusaidia nini wewe?
@maggyjerry8062
@maggyjerry8062 4 жыл бұрын
@@venerandamwalimu16 WE NAE HEBU TOA UJINGA WAKO WW NDO RESTY AU UMBEA TUU
@venerandamwalimu16
@venerandamwalimu16 4 жыл бұрын
@@maggyjerry8062 Mungu akuweke unapostahili...nimekubali mimi mjinga.
@normansanga127
@normansanga127 4 жыл бұрын
ila marafiki mungu anawaona
@stacydii3324
@stacydii3324 4 жыл бұрын
Super woman I love her
@vailethkinabo7961
@vailethkinabo7961 4 жыл бұрын
Dada wa Taifa nakupenda mpaka basi Unampenda Mungu na ndio maana upo juu Mungu hawezi kukuacha daimaa .nakufuatilia sanaa wewe ni mwl mkubwa sana kwangu
@saramwaipopo8516
@saramwaipopo8516 4 жыл бұрын
B.A
@salamakindee4805
@salamakindee4805 4 жыл бұрын
Mbona mtangazaji anaonekana mzee kuliko huyo rest,kakazana kujibebisha mxue.....kujifanya mdogo hivyo kwio
@djamilathiam4663
@djamilathiam4663 4 жыл бұрын
Ila recho temu anamutusi sana uyu dada duuh
@joynnko5186
@joynnko5186 4 жыл бұрын
Afu sijui kwann
@deborahrkaguo6540
@deborahrkaguo6540 4 жыл бұрын
Yule anatukana kila mtu anaepambana sijui ana roho gani
@ashaally6662
@ashaally6662 4 жыл бұрын
Ndy na hata Ww ukienda ukacommnt kitu chakwaida anakutukana😂😂😂Sijui kichaa yule
@pilimateleka2970
@pilimateleka2970 4 жыл бұрын
Huyu dada sio kwa resty tu..kuna mtu alimfanyia hvyo na hakua mkubwa..nlihisi wanarandana umri.. sema..labda ni mdogo ila mwili ni mkubwa.
@berthaleonardbihondo1141
@berthaleonardbihondo1141 4 жыл бұрын
@@ashaally6662 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@janembawala6009
@janembawala6009 4 жыл бұрын
Faru john
@ashaabdallah9254
@ashaabdallah9254 4 жыл бұрын
Acha uchokozi
@eastcuisines124
@eastcuisines124 4 жыл бұрын
unaemwita faru john kakuzidi kila kitu, acha wivu mwanamke....penda mafanikio ya wengine na wewe ufanikiwe
@janembawala6009
@janembawala6009 4 жыл бұрын
@@eastcuisines124 kanizid nn embu niache umesifiwa ss muon sura lake kwanza km pumbu za mwijaku nyioo
@janembawala6009
@janembawala6009 4 жыл бұрын
@@ashaabdallah9254 kapewa na shg ake hili jina
@eastcuisines124
@eastcuisines124 4 жыл бұрын
Jane Mbawala duh dada muombe Mungu akuondolee wivu jaman, yani unasikitisha shida ni nn??kakupora bwana ama?usipo penda mafanikio ya wenzako hivi unadhani ukimuomba Mungu atakubariki?
Amazing Parenting Hacks! 👶✨ #ParentingTips #LifeHacks
00:18
Snack Chat
Рет қаралды 22 МЛН
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,8 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 244 МЛН
HOUSE GIRL EP 15  | S3 | Love Story 💕💞
22:11
BUSATI TV
Рет қаралды 6 М.
Shilole alivyokuwa Muhudumu wa Hoteli na kumtongoza Ray
19:43
Millard Ayo
Рет қаралды 357 М.
Amazing Parenting Hacks! 👶✨ #ParentingTips #LifeHacks
00:18
Snack Chat
Рет қаралды 22 МЛН