#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 8,677

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 35
@ChristinaOnditi-el3xo
@ChristinaOnditi-el3xo 4 ай бұрын
Imelda Kwa mara ya KWANZA UMEPENDEZA MNO. kumbe wee mzuri sana ila maisha tu
@elizamushi-yv4iz
@elizamushi-yv4iz 4 ай бұрын
Nature,sitaki
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 4 ай бұрын
Sinta wangu❤❤❤❤
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 4 ай бұрын
I adore her lips❤❤❤
@bkkomesho9272
@bkkomesho9272 4 ай бұрын
Juma nature
@mariajackson5960
@mariajackson5960 4 ай бұрын
Dada sista jamn kitambo sanah...nakumbuka ulikua unapita nje ya kanisa la KKKT kimara korogwe unaenda kwenu wanafunzi wote wa kipaimara tukatoka nje tuje tukuangalie ❤
@FekiHappy
@FekiHappy 4 ай бұрын
Ila kajitunza mwili.mzuri ukilinganisha na umri wake
@Gratefulheart3188
@Gratefulheart3188 4 ай бұрын
Sinta kafanana na Luiza Mbutu kabisa
@alsam4881
@alsam4881 4 ай бұрын
Ungemtafuta na Nora umuhoji kapotelea wapi? Hapo hospitali ya Saifee kumuona daktari tu ni sh. 30,000 bado vipimo na dawa ni bei nyengine.
@aggiemarley5742
@aggiemarley5742 3 ай бұрын
Na yule aunt seche pia mtafute tujue jamani
@jennet6484
@jennet6484 4 ай бұрын
Kwel vitu vina badilika leo tunakuona una pua kubwa😢
@elizabethchikawe900
@elizabethchikawe900 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 4 ай бұрын
Hahaha hahaha hahaha hahaha 🤣🤣😂
@LailaTwalibu
@LailaTwalibu 4 ай бұрын
😂😂Izo ndo pisi kali za zamani siku izi wazuri wengi
@sophysamar7684
@sophysamar7684 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@elizamushi-yv4iz
@elizamushi-yv4iz 4 ай бұрын
Aseme tu kweli Jmo ndo alimfanya kuwa maarufu
@ChristinaOnditi-el3xo
@ChristinaOnditi-el3xo 4 ай бұрын
Hiyo less wigi nahisi umenunuliwa na wema maana wee mbahiri sana
@chire4574
@chire4574 4 ай бұрын
Uyu dem alikuwa mkali sema tu umri umembadilisha
@mariajackson5960
@mariajackson5960 4 ай бұрын
Yani acha
@Marjeby
@Marjeby 4 ай бұрын
Daah aiseee mambo yanàbadilika sana aiseee huyu Sinta miaka ile tupo shule Kariakoo Sinta na Juma Nchi ilitikisika Aiseee issue inababaki hivi watu wazamani hawakua na macho au zamani warembo hawakuwepo?!hivi kwa mabint wa leo huyu Sinta anasimama wapi mpaka aonekane??
@charlesmtesigwa2923
@charlesmtesigwa2923 4 ай бұрын
Sintah alikuwa mzuri sana tu ujue apo unaongelea miaka zaidi ya kumi na saba iliyopita nyuma kwa mwanamke lazima apate mabadiliko makubwa sema anajipenda mbona apo alipo anawakalisha warembo wengi tu maarufu wa sasa
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 4 ай бұрын
Warembo wa zamani ilikuwa ni urembo wa asili.siku hizi urembo unanunuliwa
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 4 ай бұрын
nilijuaga ana shape kumbe hola
@jadetoto
@jadetoto 4 ай бұрын
Kyanite lazima ucomment hivyo you being too cheeep
@jadetoto
@jadetoto 4 ай бұрын
Nimekumbuka mbali sana Watton wa 2000 hawawezi mjua labda wagoogle.Alikuwa Super star wa kweli kweli.mrembo with beautiful smile
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 4 ай бұрын
Kuna mtu hana shape????? Shape zinatofautiana tu kuna pentagon,hectagon,hexagon,circle,triangle,rectangle,trapezium etc etc😏😏😏
@aprilrosaliapanda4895
@aprilrosaliapanda4895 4 ай бұрын
Dada zako wanayo!?
@gloriadaniel3827
@gloriadaniel3827 4 ай бұрын
Kama sikosei aliwahi kuolewa na Mganga wa kienyeji wakahamia SA. Mganga akafia huko.
@TrizerMunishi
@TrizerMunishi 4 ай бұрын
Sio sinta ni Nuru Nasoro a.k.a Norah ndiye aliyeolewa na mganga wa kienyeji na wakahamia S. Africa na mganga akafia Huko.
@estherkimario7940
@estherkimario7940 4 ай бұрын
No yule alikuwa norah
@MwanjiNzala-mo5ni
@MwanjiNzala-mo5ni 4 ай бұрын
Aliyeolewa na mganga ni Norah na mganga jina lake.alikuwa.ngwizukuru.jilala alikufa. Akiwa.kwenye.gari lake kwa.kupigwa.lisasi alikuwepo monalisa na amina chifupa walimgombaniaga sana mpakanjia baadae monaliasa alimwachia amina bwana nae kwenda kuolewa na Taison na baadae.Amina alizaa.mtoto wa.kiume na monalisa alizaa mtoto.wa.kike. bifu liliishia hapo wakawa nakayeba yaan.nimekumbuka mbali sana
@goodluckkombe994
@goodluckkombe994 4 ай бұрын
ALIYEOLEWA NA MGANGA NI NORA .
@joycechuki8258
@joycechuki8258 4 ай бұрын
Nora naye yuko wapi sasa hivi
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 6 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 41 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 20 МЛН
UFUGAJI WA KISASA WA SAMAKI KWENYE MABWAWA
9:36
Mbeyainfo TV
Рет қаралды 11 М.
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 6 МЛН