Bro anaongea kisomi mpaka raha yuko so professional kama kafika chuo😮 Big up❤
@nuruurio83192 ай бұрын
Na wanasemaga arusha hamna kijana timamu
@kingkendrickk2 ай бұрын
😂😂
@farajaMezza-qn4be2 ай бұрын
Nawashangaa sana
@igihamanuel12 ай бұрын
@@nuruurio8319 Nani anayesema hivyo?
@frankkessy12602 ай бұрын
@@nuruurio8319 ila huyu sio mdudu
@mai-cooks2 ай бұрын
Ukisikia kubarikiwa ndo huku. Maashallah, kijana mwenye akili zake timamu na IQ yake iko vyema. Big up my young bro.
@annagakome29912 ай бұрын
Hongera sana mdogo wangu,Mungu akuwezeshe ufike mbali
@salomewandya72572 ай бұрын
Anapika vizuri mashaallah ❤❤
@halimasalim78912 ай бұрын
He is brave and hansome tu❤
@judithkirenga99772 ай бұрын
George idea zako huwa nzuri sana, Rudi Arusha fungua restaurant yako huku restaurant nyingi zimejaa vyakula vya kizungu, pls come tuuze na mbege pia😂❤❤❤
@Sarah-e1o9k2 ай бұрын
Vlee inafaa😂❤❤❤❤❤
@saimalunde40022 ай бұрын
Mbona tyr kishasema yupo Arusha
@NuruChristopher-z1w2 ай бұрын
Yupo vzr mno,mungu akupe maisha marefu mpishi hodari
@LuckyTemu2 ай бұрын
Haya ndo MADINI ya kutuwekea 🔥🙌 keep it up my brother George usisikilize maneno mze wang utapotea fanya roho k2 inapenda
@kamarhelo2 ай бұрын
Fanya kitu roho inapenda na sio fanya roho kitu inapenda 😂😂😂😂😂😂
@MozzaNassor-sv5niАй бұрын
MashaaAllah nimependa sana upishi wako..naomba no yako tufanye biashara.
@SihabaAbdallah-e9f2 ай бұрын
Nilikuwa najua ni mkenya, kumbe home boys,hongera mwanangu ❤❤❤❤
@Samiah2011Ай бұрын
Watanga tumeshindwa tu kukubadirisha meno ila hata swahil si ya arusha saana MaashaAllah umejitahid sna congratulations 🎉🎉❤Nampenda san mwanaume mwenye kujibiidisha maan wakak wengi ni wavivu hawpend pia kufanya vitu kama wew unavofanya mungu akubarik sana young brother kwenye biashara zako
@HappyShirima-k9t2 ай бұрын
Me nilikuwa najuaga ety ni mkenya kumbe ni mwarusha mwenzangu jaman congrats George ❤❤keep it
@AnethMungure2 ай бұрын
Me too
@Bahati472 ай бұрын
Hata Mimi 😂
@pascoswai37042 ай бұрын
Kabsa mawazo yalikua Sawa, mi nilijua kabsa sio mtanzania
@ireneshao79502 ай бұрын
Mimi pia😂
@ce-082 ай бұрын
Duuh waTz cc mtu akija na idea ambayo hatujaizoe bas lazma weng wahisi sio mtz😢
@BlessedLady-by5hz2 ай бұрын
This guy 🎉🎉 anajielezea vizuri sana hadi raha
@graceaugustino53722 ай бұрын
Safiiiiiiiiiii hongera sana Dogo ❤ keep it up
@AishaSaid-yg1ou2 ай бұрын
Mungu akuzidishie wepesi..akubariki kipaji chako kiendeleze kazi ya mikono yako. Itakufikisha utakako..
@giftThom102 ай бұрын
Hongera Bro 👊 Very professional ase. Uyu jamaa anajua bhna nimeshabahatika kula cake aliyotengeneza uyu jamaaa ase ni kwere bablai
@VickymaukyMauky2 ай бұрын
Nimejua kupika chapati kupitia huyu kaka jmn ubarikiwe mdogo wangu❤❤❤
@RachelMdao2 ай бұрын
Kweli anafanya kazi vizuri
@aliceaugustine43742 ай бұрын
Nampataje
@KazinjaSteven2 ай бұрын
eqedaqq
@salmamlokela19872 ай бұрын
Usijar geoge mama samia amekusikia tegemea mambo mazur mda si mrefuuuu😅
@NtamamiloGibson2 ай бұрын
Nimepemda anavyojibu facts bila kulemba lemba. Big up dogo najua utatoboa kuna siku campuni zitakuona.
@nuruurio83192 ай бұрын
Watu wa arusha wanarembaga maneno basi
@rosethamallya505518 күн бұрын
Hongera Sana George
@bokotvsai2 ай бұрын
Huyu jamaa anajua Ngelii Nyiee Si Unasikia hizo yaaah Yees 🙌😂😂
@sulumsalehebadulusaid15152 ай бұрын
😂😂😂😂anajua tu 🇾🇪🇸 ,🇾🇪🇦🇭 🇦🇦🇦🇭🇭
@yasminjuma91462 ай бұрын
Mhh😂 yes
@magrethherman7611Ай бұрын
George unajua sana good 👍 keep it up bro
@debbie110442 ай бұрын
Anapika vzuri alafu kwa usafi..big up George..tunaomba page ya cake pls wateja tuzifate
@halimamasai22342 ай бұрын
Hongera kijana wetu WA Arusha 💪💪💪
@sadikjuma5519Ай бұрын
Bro yupo amazing sana,kisha anajua kujibu maswali
@angelmashauri69612 ай бұрын
Hongera sana George…nafuatilia sana mapishi yako na napenda pia…Mungu azidi kukuongoza kwenye kazi yako ya upishi.
@christermlewa84712 ай бұрын
Hongera sana kaka,kwa uwezo wa Mungu utatimiza malengo yako
@francis9610-k2p2 ай бұрын
Dogo yuko real sana, anapika vizuri ,anafundisha mapishi vizuri, ameitendea haki interview anajibu maswali vizuri sana short and clear, Very focused young man , ni mtu ambae anahitaji uvumilivu na kuwa thabiti katika anachokifanya muda utaongea atafika mbali sana
@eliaswegero21992 ай бұрын
Uroho tu 😂😂 sio kwa kusifia kote huko 😂
@yasminjuma91462 ай бұрын
😂😂😂
@VeronicaPasko2 ай бұрын
😂😂
@hotkitchenapple832 ай бұрын
Sana😊
@OctaviaMakundaАй бұрын
😂😂@@eliaswegero2199
@SihabaAbdallah-e9f2 ай бұрын
Daaah, jamani mi nilidhani ni mkenya kumbe wa home,,hongera sana dogo uko vizuri ❤
@AgnesMfyomi2 ай бұрын
Mungu akutunze....🙏🙏🙏
@bahatirngulika44932 ай бұрын
Aiseee Mungu anisamehe sikuwazaga kwamba huyu ni gentleman kbs kumbe ni chalii ya Ara😁 big up brother
@RayyanRayyan-rt9cg2 ай бұрын
Uoni hata meno jmni😅
@deodatusmwacha7192 ай бұрын
@@RayyanRayyan-rt9cg Sio watu wote waliooza meno wanatokea Arusha Kuna warangi,wanyaturu na wanyantuzu😂😂😂😂kigezo Cha meno hapana na sio wote Arusha wameoza meno
@rumdeesonsoa18112 ай бұрын
Mnapenda kuhukumu kabla ya utafiti ndio maana
@karibunyumbani38242 ай бұрын
@@deodatusmwacha719changamoto ya meno arusha sio kuoza meno ninmeno kua na rangi kutokana na maji yalivyo suala la kuoza meno hilo linaweza kumpata mtu yoyote hata kama sio arusha
@paulabelleghe451Ай бұрын
anaongea vizuri kaa Milad ayoo
@AbelCharles-co6qb2 ай бұрын
Wanao amini George anakinge kizur kuliko chino wana man 2juane 😅
@aika91162 ай бұрын
Sasa kwanini umtolee mfano chino😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@thabealaizer33132 ай бұрын
😅😅😅kwann chino
@salhawaziri16682 ай бұрын
@@thabealaizer3313kwanin wana man lakin
@limymasele212 ай бұрын
Dah jinga sana umewaza nini lakini 😂😂😂
@kamarhelo2 ай бұрын
Na kwanini usimfananishe mondi anae sema ret dhem 😂😂😂😂😂😂
@lisavictor31022 ай бұрын
Huyu kaka anajua sana very professional kama amemaliza chuo kikuu
@MarySengo-i4c2 ай бұрын
Hongera saana George Mimi ni shabiki wako Niko Morogoro
@JackieMichael-q7x2 ай бұрын
hiyo ndio hatma yako na karama ukiifuata utatoboa kirahisi kabisa. Mungu akupe hekima na busara kubwa Kutumia kipawa chako.
@SalmaSwai-k2x2 ай бұрын
Napenda mapishi yako mwanangu mungu akutunze Inshallah❤❤❤
@jacobsafari7002 ай бұрын
Keep going 💪💪💪
@rayaalhabsi17252 ай бұрын
Wapishi wengi na ma hodari sana ni wanaume. Subhana Allah
@AshuuuBakari2 ай бұрын
Wanawake tunafatilia sana mambo ya kiduni 😂kupika ziro
@Sarah-e1o9k2 ай бұрын
Unajua mtu akipenda kupika hawezi kunificha mimi sasa napika kama wazimu tukikutana na hyo tunaweza kufungua biasha kubwa sna wacha nimtafte❤❤❤❤
@Rose-ue2ho2 ай бұрын
Umefunguwa biashara yako au unapika nyumbani tuu??
@brandsmedia48612 ай бұрын
tuunganishe nguvu tuone
@Sarah-e1o9k2 ай бұрын
@brandsmedia4861 yes mimi kwa sasa nik9 nairobi napika kwa muheshimiwa fulani cwezi kumtaja hpa napima adi chumvi inanijua khaaa🤣🤣
@brandsmedia48612 ай бұрын
@@Sarah-e1o9k haha hiyo hatari sana
@antybabybintrashid23332 ай бұрын
@@Sarah-e1o9kniunganishe na mm waheshmwa ni wengi najua kupika sema na boss aniulizie namm kazi
@Mimy_keys2 ай бұрын
Hongera Sana GEORGE Mi Nakufatilia Sana 🥳😍🙏
@fredsengo41222 ай бұрын
So Gentle & Intelligent
@FredrickJonasАй бұрын
Hongera brother
@ellenkijja1486Ай бұрын
Ana confidence hadi raha kama msomi flan hv😊😊
@leticiamlomo4234Ай бұрын
Anajua bana
@naomymuro21992 ай бұрын
Anafundisha keki vzr uyu kaka hatariiii❤❤❤
@anethmaruhe91362 ай бұрын
Ada ni shingapi dear?
@JescaJosephati2 ай бұрын
Anajua anajua na tena yupo vzr mashallah
@Evater17o2 ай бұрын
Wow nimependa sana hongera sana
@Joliegal8342 ай бұрын
Anayeangalia uku anatabasamu😊😊
@masalakulwa76012 ай бұрын
safi sana aise..nashangaa mnaoswma shoga .shoga baba zenu.mxiew
@saimalunde40022 ай бұрын
Kbsaaaa
@joselynenizi94752 ай бұрын
Ni wapumbavu2 wanajuwa kuchafua watoto wa wenzao 😢😢 unakuta li mutu lina mtoto ila anakazana kuita watoto w wenzao shoga
@joselynenizi94752 ай бұрын
Ni wapumbavu2 wanajuwa kuchafua watoto wa wenzao 😢😢 unakuta li mutu lina mtoto ila anakazana kuita watoto w wenzao shoga
Akija anajua kupika ntamfundisha pia yes 😂 yes 😂yes Yani mbka yes yenyew inaomba poo🤣🤣🤣🤣🤣
@Iam_fadheel2 ай бұрын
Jamaa anaongea very proffesional anajibu maswali clear sana
@NuruCleopa2 ай бұрын
Keeps going broh Mungu hawezi kukuacha
@ghaniyapoches26842 ай бұрын
By the way naomba upike mseto WA choroko na samaki WA Nazi can't wait for this...shush hii kitu utube na insta we r here for u Mungu azidi kukupeleka juu kimafanikio
@seneu.21282 ай бұрын
Hongera home boy endelea kufanya unachopenda.
@tumainielmaruwa31482 ай бұрын
Hongera sana Brother one day utakuwa billionaire 🙏
@JudithKimaro-b9j2 ай бұрын
Kwanza hongera chal unajua kujib maswal kisom na uko vizur
@MiishHassan-qm1et2 ай бұрын
Anaongea kisomi sana good job brother 🥰🥰
@EsupatLaiser2 ай бұрын
Arusha Moja
@FahadAbubakari-y3f2 ай бұрын
@@EsupatLaisermlikua mnajifanyaga wagumu kumbe soft tu ndo mana dogo dangote alikua anawalaza ndani mapema
@ChoroTesla2 ай бұрын
Mbona comment iko nje ya mada kaka@@FahadAbubakari-y3f
@AgnesJohn-f1r2 ай бұрын
@@FahadAbubakari-y3f😂😂😂 jamani yote hayo ya Nini
@FahadAbubakari-y3f2 ай бұрын
@@AgnesJohn-f1r wanaaktigi ugumu yani ile ubishi kinoma kumbe waigizaji tu
@SaphiaSitta2 ай бұрын
Kaka. Mambo hongera kwa kazi nzuri Mimi Huwa nakufatilia San tktk naomba naMimi unielekeze pia na viungo vyake
@victoriaadelard44372 ай бұрын
From chuga,,,keeping it up
@inviolathaathanas79892 ай бұрын
Nimejufunza kuoga maji ya pilau kupitia huyu kaka. Ubarikiwe sana☺️☺️☺️☺️☺️
@suzymnandi2 ай бұрын
😂na maji ya mayonaiz
@MichaelNdunguru-s9lАй бұрын
😅😅😅
@inviolathaathanas7989Ай бұрын
@@suzymnandi yaani😝😝😝
@EVERLYNEAMISIАй бұрын
Hongera ndugu
@emmymritta22252 ай бұрын
yaani huyu kaka Mashaallah yuko vizuri saaana mtulivu mwenyewe Gudluck to him❤
dah! kwako maroll model wake ni watu wa tanga..😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ ila tanga 🙌🙌📌📌📌
@stellakita3017Ай бұрын
Yupo vizuri
@FatumaOmary-hu7od2 ай бұрын
Bro ubarikiwe sana nilikuw xjui kupika chapat ila kupitia ww nmejua💞💞💞
@AthanaseKiyoja2 ай бұрын
Kwa dunia ya.wenzetu (wazungu) lkn hata tasisi zingine. kama vile Majeshi,wapishi ni wanaume.Wapishi wazuri ni wanaume,wanawake ni wasaidizi tu.
@nancympangile98132 ай бұрын
Hongera sana, umejipata Kwa kuanzia
@sofiaoman59012 ай бұрын
Hongera kaka napenda chakula chako unavopika mimi pia napenda kupika
@farajamwakifuna303Ай бұрын
Big up sana kijana umeweza
@DianaMacha-jf8gw2 ай бұрын
Huyu kaka napenda sana kazi zake saluty kwake
@MwadawaMohamed2 ай бұрын
Tanga raha❤
@MaryamMallya-mq5nf2 ай бұрын
Tanga ipi jamn huyo mtu wa Arusha😂
@DareAziz-g3s2 ай бұрын
Hongera Sana❤
@dorahmushi-we6ts2 ай бұрын
Asante sana kumkubali mama Samia, asante sana, nimeona ni jinsi gani unatuheshimu na unajali hisia za mama yako, kutokuumia...ni wazi unampenda mama yako .❤
@aziadaommary2 ай бұрын
Nakupenda bure
@GeorgeKessy2 ай бұрын
Wajinaaaa. Good 👍
@murtanseif35392 ай бұрын
Good brother very nice
@annaamsi94632 ай бұрын
Hongera sana George mwarusha mwenzangu
@janethjonas17002 ай бұрын
Yes yeah zikipungua itapendeza sana otherwise he is so perfect 👌
@mai-cooks2 ай бұрын
Mhm makubwa! Kila mtu na namna yake ya kujieleza anapohojiwa.
@goodteam78902 ай бұрын
Mbona we umetupia kizungu hapo mwishoni
@agriparose39422 ай бұрын
Yupo sahihi mno mno
@getrudedevis2 ай бұрын
Hongera sana na Mungu azidi kukutia nguvu uzidi kupambanaa
@EsterJonh-i7h2 ай бұрын
Hongera broo Tanga ndivyo tulivyo karibun na wengine
@estherelias4312 ай бұрын
Hi
@justice6072 ай бұрын
Kaskazini hatokagi fala! Ooh! Chuga hiyo! Chuga hiyo!😅😅🎉🎉🎉🎉
@ubuntubantu24042 ай бұрын
Sasa huyu unadhani ni fala?
@GeeMelly2 ай бұрын
@@ubuntubantu2404hujaelewa
@nuruurio83192 ай бұрын
Na utaskia vijna wa arusha hawapo timamu 😏😏
@patrickjustus69302 ай бұрын
Mm sio wa Chuga lakini hilo ni kweli Watu wa Arusha wana akili sana by nature nmesoma kule nmejionea hata ambaye hajaenda shule unaona anacho kitu kichwani sijui ni maji mnayo kunywa na baridi
@sarahmcharo15482 ай бұрын
@@patrickjustus6930 ndizi piaa
@renyfridabutitiba34582 ай бұрын
So smart wengine, wanawaza waoe akawe house girl
@jinnahsameer2 ай бұрын
❤❤❤ kaka naomba namba za huyo kaka
@geraldmwangira.49782 ай бұрын
Kwahyo mpenzi uko naye mpk mnaonga wote lkn kuoa bdo sana!! Sa uoe nn nawe unatosheke bila kuoa!! Wasichana mnakwama sana! Kumpa mwili wko mwanaume kabla hajakuoa jitunzeni.
@pendojeremia70682 ай бұрын
🎉🎉❤
@Blackmar2292 ай бұрын
Anapika uyu Yan akifungua mgahawa na kupika mwenyewe itakua nomah 😊😋
@gracejacky7760Ай бұрын
Ata uza sana yani🙏🙏
@katherinemetili34282 ай бұрын
Aisee kumbe ni wa kwetu peace sana name hongera sana
@asumaathuman60942 ай бұрын
Ila ndo avae kanga mm sipendi😢😢😢
@paulalove12232 ай бұрын
Ameishi na watu wa tanga %kubwa watu wa pwani kuvaa kanga mwanaume akienda kuoga ni asili
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج2 ай бұрын
😅😅😅leo sasa nmeelewa kila siku nilikuwa nakufananisha na masai😂😂😂kumbe kwel.
@GloryJohn-o7s2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nitakaribia siku moja nije nionje jaman
@Agatha-q5b2 ай бұрын
Big up George
@nelykaaya65032 ай бұрын
Nakubaliii sana
@kochulemdelvine1285Ай бұрын
Namtaka huyu.....bachelor boy...akuje tuishi Switzerland 🇨🇭 tufungue hoteli letu humu😅😅😅😅kama ako single