Waliokuja kuangalia baada ya dd kukimbizwa nipe like
@KennethMgona-jy4vc4 ай бұрын
Daimond kafinywa na pidd
@RAAJMELODY Жыл бұрын
Napendaga sana interview za Babu tale l wish one day l will meet him
@PepiteSquare-cp9wd Жыл бұрын
Love you babu tale nakukubali sana papa
@GloriaAlexanda-ld5zt Жыл бұрын
Daah! Mzee wangu tale wewe ni hatare talking style yako nimeipenda 💪
@naimasbuguza23954 ай бұрын
Ungependa awe mpenzi wako au baba yako??😂
@BuntuAlkebulan-yh6qu3 ай бұрын
@@naimasbuguza2395😂😂😂😂😂😂
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Ila namkubali sana Tale, interview ya kizazi sana hii, part 2 please 😅
@twalebleboss9687 Жыл бұрын
RESPECT SANA...#TALE....Allah azidi kukulinda kiafya na kimaisha... #WE LOVE YOU BRO...👌💪
@saidabdulkadirmjahid8255 Жыл бұрын
That Babu Tale's Ring is 🔥
@hollanddutch-day Жыл бұрын
Respect Legend Journalist Millard upo na Muheshimiwa
@Jodrey1 Жыл бұрын
Kuanza leo namuheshim #Tale we ni story teller 🎉❤
@martineuzebio535 Жыл бұрын
I like this interview
@elinamilyatuu7337 Жыл бұрын
Interview kali sana kwann imeisha mapema😮😂
@glorytarimo8321 Жыл бұрын
Hongera Millday Ayo kazi yako nzuri sana uchangui ubagui safi sana wengi wajifunze kutoka kwako ni mtu wa kipekee sana 🥰
@kimah9855 Жыл бұрын
Tearm Zuuh tumefuraha❤❤❤
@princesofari1472 Жыл бұрын
Tale can be a good motivational person. His voice is soothing and calming, good work babu tale. 👏👏👏
@emmyfamily3487 Жыл бұрын
Tunaweza ponda yoyote ila co huyu mtu mungu ampe hekma ilokua kubwa ,mungu amlinde na baya ktk ulimwengu huu
@aishaomar1845 Жыл бұрын
WE 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯💯💯Break record of 🌍🌍🌍🌍
@heronimomsefya3190 Жыл бұрын
Be Blessed Brother Tale &Comrade Millard
@elastotulyanje5456 Жыл бұрын
MWENDELEZO BASI WA HII interview,,,, nimeipenda❤
@hoodlamar9284 Жыл бұрын
Bonge la interview🔥🔥🔥🔥🔥
@marthamushi9390 Жыл бұрын
Dah! Nimependa sana hii interview iko🔥 Then kumbe na wao wakikutana na wasanii wakubwa huko wanakuwa so saprise😂😂😂😂😂
@jaymandy8136 Жыл бұрын
Ndio
@videodon3280 Жыл бұрын
😂That shit normal mehn. Mimi nimependa venye Tale anaelezea Diddy alikuwa anamuongelesha Diamond "Yo Lion whatsapp"🤣
@officialdogobdance6724 ай бұрын
Tamu sana
@richcompanyfilmtv823 Жыл бұрын
Babu tale story Teller 😁😁😁🔥🙌🙌🙌🙌🙌
@remmywillyz8472 Жыл бұрын
😂😂 sema tale anajus kupigish story nimekubal bro hufich umefunguk san 🔥❤one love
@rancitv Жыл бұрын
Umekuwa mkweli bab tale, tumejifunza
@yutafilms6916 Жыл бұрын
Love the show
@lazarobomani1466 Жыл бұрын
Big up tale for exclusive interview
@blandinamyinga9489 Жыл бұрын
Safi sana,majibu mazuri
@PanchoValentino-wh7wt4 ай бұрын
TALE UMETISHA SAANA Aiseee good Vaibuuu 📺💯🔥💥
@abdirahmanali7347 Жыл бұрын
Will you have extend the interviews ....
@cachec7930 Жыл бұрын
Good interview✋
@neemamaganga9774 Жыл бұрын
watu wanaohitaji kuoana hufanya kwa vitendo sio maneno kwa sababu mkiridhiana mnafika kwa wazazi kisha taratibu zinafuatwa. Ila drama ni nyingi kila siku kusema hili mara lile. Kuvuta tention za watu.
@kantai737 Жыл бұрын
Kwa kweli, hatutaki kila siku kumdhalilisha zuchu, anayekupenda anakuheshimisha,kama si hivo wafanye mambo yao ndani kwa ndani,sisi tunataka kumuona msanii wetu anaheshimika.
@kilsonghalck9124 Жыл бұрын
Daa!, ni hatari, nawaomba mka m'contact "Decky real" ni msanii ambaye hana kuja na project kali hijapokuwa upande wa promotion haja kaha sawa ki hivo, haki pata promotion hata kuwa hit ndani ya bongo, ali kuwa haki fanyiya kazi kigoma ila ame panda DSM kwaku tafuta kuji push, shukrani kwa hatakaye mfollow maana huyu jamaa hanaga show mbovu mwene sauti yaku vutiya anaye juwa kuteka hisia za mashabiki🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤
Napenda tale anavoongea Kama ningeweza ningemsikiliza siku nzima
@mbungulanga6729 Жыл бұрын
Aende wapi mtoto wa watu heheh Hana option inamana
@pedeize4987 Жыл бұрын
Ndugu zangu tupambane kilakitu kinawezekana
@ryanfrancis57904 ай бұрын
🎉
@jumahassan273 Жыл бұрын
Hii nayo ni story dah kweli umaarufu sio ujuzi
@jacksoncastor4423 Жыл бұрын
Tale anaongea kama hataki Safi sana
@fahadmussa8879 Жыл бұрын
Sheikh unaongea sauti laini sana mashallah
@fatmafatu1128 Жыл бұрын
Sheghe ndio nini
@shabbyofficial_ Жыл бұрын
@@fatmafatu1128 sheikh
@josephanthony4043 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉until
@farajachengula9227 Жыл бұрын
Nakupnd tale
@dmykingonlinetv4880 Жыл бұрын
Kazi mzuri Sana kaka
@japhetjohntv5579 Жыл бұрын
Wcb bhn wako vizuri check views
@fauziaabdul8732 Жыл бұрын
Tale huchoki msikiliza.
@barakasandey1980 Жыл бұрын
Nimekaa naisubiria hii nacheki dakika tuu
@mohdloushmoney9994 Жыл бұрын
Sio mwenzetu tena guys tushamkosa
@kakaaignas3675 Жыл бұрын
Mpe goli hilo
@sinanindola93 Жыл бұрын
@@kakaaignas3675 ili jibu konyo 😂
@victorkamate4570 Жыл бұрын
Mbona hii story inataka kufanana na ya zumaridi bro!!!!
@hassanmwallimu57674 ай бұрын
Msanii mlikua hamumjui fiscally but mlikuwa mnamsikia kama sisi
@user-ly2bh6si9z Жыл бұрын
apana mziki wetu bado sana
@loveneskaaya1652 Жыл бұрын
Mbna BEYONCE kwenye renaissance tour kuna nchi katumia uwanja unaochukua watu 80k nakauza tiket zote?
@ichicarodan6931 Жыл бұрын
Beyoncé ana 20 yrs kwny muzik
@elizeteaieiraalberto3644 Жыл бұрын
Polític!
@lujobilz7482 Жыл бұрын
💪😅😅😅🤓🤓🤓
@esperancenathali Жыл бұрын
Nisiwe mchoyo babu tale km ndugu yangu vile maana kafanana na mzee wangu hadi kuongea sorry guys for saying that cause I been watching his interviews so many years daah ila mimi mkongo tuuu
@wamburaamanimatutu7575 Жыл бұрын
Hahahahaha wat a story, ila ubaya ni fupi sana 😂😂😂
@sylviembirize Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@dommy173 Жыл бұрын
Mhh
@Mina.15 Жыл бұрын
I hope they knows PDD ni SHOGA
@sonnyr1899 Жыл бұрын
Hio hata mwenyewe nimeipata juzi juzi tena inasemekana wasani wake wengi lilikua linawafunuwa.
@amanimapenzi571 Жыл бұрын
Aliyekwambia ni shoga ni nani? Yaani ushamba wa wabongo ni mwingi sana
@sonnyr1899 Жыл бұрын
@@amanimapenzi571 Ndio siye ni washamba haina tabu ila fanya utafiti utagunduwa hizo funyunyu zipo. Google haitotuacha salama
@afrocushitic Жыл бұрын
Shoga anawatoto zaidi ya watano
@Swahili14 Жыл бұрын
@@sonnyr1899 shoga kiaje naliwa au anakula? 💀😭 Nmeskia izo rumors pia He's secretly in love with Will Smith I'm not judging him tho But if he's forcing by raping victims I'm concerned
@naslee1010 Жыл бұрын
Ongea yako sijaipenda bro una lainika sana
@mubuyafrancis3979 Жыл бұрын
Kwani siku gani ulishawi kumuona aongei Ivo kaka yangu?Toka kitambo kaka.Babutale ndojinsi alivyo toka kitambo Kama unafatilia Mziki kaka yangu
@thagreatmaizah9964 Жыл бұрын
Mwanangu nikajua pekeangu mwenyw namchora kitambo ...kunavitu havipo sawa amini
@@thagreatmaizah9964 wangu mambo ya ushoga yamewaharibu Sana Kila kitu mnafikiria ushoga Tale ndo uongeaji wake huo Miaka na Miaka labda kama hufatilii mziki
@nancyg8664 Жыл бұрын
@@thagreatmaizah9964 🤣🖐
@hakimayubabdul8117 Жыл бұрын
Alfu vice President wa marekani eti kazijua nyimbo za bongo fleva?😜😜😜 Duffy alikuwa hamjui Platnum?
@princekarani7836 Жыл бұрын
Eti nyumba kama garage 🤣🤣🤣🤣,kuzungushwa bonge la jumba
@sir_ENOCKMACHA Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 hakuamin macho yake
@princekarani7836 Жыл бұрын
@@sir_ENOCKMACHA wamezoea ramani ya nyumba zetu za Africa,ndomaana aliona kama garage mwanzoni,alipozungushwa na akaona nyumba yenyewe🤣🤣🤣
@shinipapaya846 Жыл бұрын
Na pia kasema aise mwamba ana maisha 😂😂😂😂 huyo ndio B TALE bwanaa
@athanaswilliam6940 Жыл бұрын
Huyu muheshimiwa anaongeaje ..??? Mmh!!!
@Lassana755 Жыл бұрын
Kama punga
@m___ck799 Жыл бұрын
@Getonmyfeet he comes across gay to me.
@Swahili14 Жыл бұрын
@@m___ck799 judge your life first Mpk saut mna judge 🙌💀 Unaeza ongea km mbavu afu ukaliwa
@perfectpixelsstudio360311 ай бұрын
Nilicho gundua kukatazwa kwa bangi kunawatu muhimu hawaji kuongeza pato la taifa viongozi fanyieni kazi hilo big up mbunge wa morogoro vijijini
@lumulyimage482610 ай бұрын
😂😂😂
@eliuskamwelwe101810 ай бұрын
Sema Lina na mapozi ,mashauzi 🤣🤣
@juliusmethod6380 Жыл бұрын
ssa labda hamjakutana na matajiri wengi wao huwa wanaongea bila kutumia nguvu alaf simle yani hatutemeani mate usoni, hata wwe ukija kushika pesa utabadirka muonekano mpaka kuongea kwako, mwendo nk..