Hata unapomsaidia mtu utakiwi kujisifia kwa imani ya nasibu na rajabu 🙏🏻🙏🏻🤝🤝
@merrynancesimon15623 ай бұрын
Firauni mjaaalaanaa mange afe tu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥mpe dozi🔥🔥🔥🔥mchukue manyaunyau atimbe marekani atume kimbunga ajichinje bila kuchinjwa mamaeeeeeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥
@anuarymyekakimolo47853 ай бұрын
Afu sjui kwann namkubali dot to margarita bro nakukubali tu yan you’re so really japo funny maker but ivo ulivo tu bro upo makin sana Mwenyezi Mungu akulinde
@user-uw7er1ec3v3 ай бұрын
Doto. Unanichekesha sana.nimefurah. big up sana
@zainabumartin95203 ай бұрын
Kweli kakosea sana kwani anakosagani mama samia mimi nampeda raisi wangu❤❤❤ i
@user-wl7ew9fn6q3 ай бұрын
Aweeeee mtoto wa mama kizimu kazi a.k dotto magari nakukubali mbk bc yani ❤
@merrynancesimon15623 ай бұрын
Mamaaaaaaeeeeeeeee Doto love you bro❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@salomewandya72573 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@dismanManotaАй бұрын
Kamwe usiongelee maisha ya wenzako ongelea maisha yako siku juu kukiwa chini na chini kukawa juu utaelewa tu
@AranimwandiasAranimwandias3 ай бұрын
Kaka nimekubali ww hatar Sana mungu akujarie maisha mema good san
@awatifalghanim11062 ай бұрын
Mara ya kwanza kusikiya mwananchi wa Tanzania kusupport Rais wake 🇹🇿 . Ama kweli hutochukiwa na wote na hutopendwa na wote. Mr. Doto Mungu atakubarik kwa imani yako.
@user-ch2it3qt5z3 ай бұрын
Chawa mwny akili nyingi big up Bro una point Sana....
@chantalnizigama50123 ай бұрын
Nakutumia maji ya kunywa🥤maana koo limekauka😂😂. Well done D. Magari👏👏💪
@toyikudratullah14663 ай бұрын
Dogo 24 nakubali kueneza k 100
@kakamau03843 ай бұрын
Kwani Diamond Platnumz kamnyanyapaa au kamsimanga au kajisifia kuwa yeye kawatoa wasanii kadhaa kwa kujionesha ukubwa wake na proud kwa alio watoa jamani
@scolasticahpeterh86493 ай бұрын
Mbn davido hajproud hvyo au kusema kwny interviews zke kwamba alimtoa diamond kimataifa
@sophiamsangi97633 ай бұрын
Saluti kwako big up
@user-zx8kk6dc9z3 ай бұрын
Nakukubali sana kaka angu❤
@user-tm3ug4xo5j3 ай бұрын
Kapendeza sana tatz nywele tu ndo zinamfanya awe ovyo🤣🤣
Usinde doto wao wanasoma wapate Kaz nzuli na mishahara mkubwa Sasa tayari mafungu unayo wachie degree zao waacha waamke alufajiri we subiri sim iiite uingize nyingi million
@salomewandya72573 ай бұрын
Hahaha nimecheka bila kupenda wallah 🤣🤣🤣🤣
@StellaJulius-qb3wy3 ай бұрын
Unanifurahishaga sana kaka Doto wacyokpnda ww haziwatoshi aisee