JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@SimbaJumanneАй бұрын
Ungekua masikini sijui kama ungeshinda kesi😊
@davidkihiga3531Ай бұрын
Nguvu kubwa sana inatumika kujisafisha . Mungu ndiye anajua
@khalsasalim7930Ай бұрын
Ulifanya haukufaya utajua ww na mungu wako mwisho wa siku duniani tunapita
@juliethkatabwa5306Ай бұрын
Mungu ndie anaejua ukweli. Tumwachie Mungu
@annamashauri7421Ай бұрын
Polee dada angu
@halimamasai2234Ай бұрын
Pole dada hii dunia imejaa watu wabaya sana na wanachuki wivu hasidi mungu atakulipia inshaallah
@IdarousPossyАй бұрын
Katika watu ambao hawana Akili ni wewe,yan unasema kitu kama vile una uhakik nalo,ila yatakukuta na wew kwa mtoto wako utakuja kujua
@Rm2024-x3dАй бұрын
Ahahhaha we nawe Mungu ampe adhabu yake mapema tuone. Yy alijuaje ushirikina atupe evidence
@shahamemalenga4838Ай бұрын
Kama kweli anamjua Mungu na hofu ya Mungu hasigombee tena
@gracekagoma3231Ай бұрын
Tusimchague tena .Hilo ni lawama.Tayari tajiri atashinda siku zote Hela😢😢
@VivimediatzАй бұрын
Mmhh!! We ulifanya kweli unaonekana
@gfydfdf8869Ай бұрын
Kweri dada ,mtu anakutengezea kesi,mimi nilisukiwa mpango huo ,bila Mungu kusimama ningesha fungwa jela,,nilipo Marisa kesi yangu,, Mungu akanitoa Tanzania na Sasa na fanya,kazi ,lnje ya Tanzania,pole dada
@MarjebyАй бұрын
Naona Mbunge umeamua kufanya media tour kwa lengo la kujisafisha eeeh! Uchanguzi unakuja na sinema zake😂😂😂
@HafidhiSaidi-f3jАй бұрын
Wewe una hakili nyingi sana mwanangu
@joachimsironga1560Ай бұрын
you will be paid accordingly... we don't know only God knows
@zepinashatibu5149Ай бұрын
Leo kakubali kuhojiwa kweli pesa inaweza kukupeleka ipendavyo unaweza ukawa hata jini hata hao waandishi alikuwa hawataki
@HalimaMayungaАй бұрын
NAYAMAZA WEWEE
@thabitngangila8562Ай бұрын
Uchaguzi umekalibia sasa lazima kutengeneza mazingira
@onesmoshija9904Ай бұрын
Nimemsikiliza mwanzo mwisho, Kwa maelezo yake huyu amefanya kweli
@EmanuelMbandiАй бұрын
Ww hufai kuwa kiongoz ht sk moja
@HuseniMsumbaАй бұрын
WEWE UMESHA CHAFULIWA HUFAI TENA KUWA KIONGOZI,
@stanastana3199Ай бұрын
Bro hiyo kichwa ya mic inakaa kama nani liu......
@ChikuRashid-yg3jpАй бұрын
Huyu mdada ana😂 shida tu ni ela imetumika
@HafidhiSaidi-f3jАй бұрын
Heti kulikua na mabasi yanakula hapa! Jamani hao ndio wasomi wetu eti.
@Neema935Ай бұрын
Kaanza kujisafisha kwa ajili ya kampeni..Tuna wafahamu nyinyi ni wa janja kbs.
@sund2553Ай бұрын
Kaomba interview kujisafisha 😮
@collinsulomi1008Ай бұрын
Uchaguzi umekaribia
@sadotkyabuguta3700Ай бұрын
Hayaeleweki haya, naona sielewi.
@YusuphMwangobolaАй бұрын
Sasa kumekucha hyo Mama mwakani atoboi huku.
@dotnatajoseph2620Ай бұрын
Mimi ni mfanyabiashar mdogo ila huyu dada nimemuelewa wafanyabishar hatupendani kiukweli nimemuelewa huyu dada
@LispafulgenceSimon-rs1zgАй бұрын
Pole Dada
@Kabwela776Ай бұрын
Pole ya nyoko Na Mavi
@gracekagoma3231Ай бұрын
Sitaki hata kuiona sura yake😮😮😢
@claudia1500Ай бұрын
Huyu anaeleza maelezo yenye ukakasi sana,pia inaonekana we mama ni mbabe sana
@ChausikuAliАй бұрын
Waiaraq ni wajeur
@christophermwashiozya5178Ай бұрын
Mbunge mzima mtunga sheria wa nchi una amini uchawi huna la kujitetea haki itapatikana Mbinguni kwa Baba.
@bahatimahone4922Ай бұрын
Ninavyowajua wana siasa ni ngumu kukuamini unachoongea hata hivyo kwa mahojiano yote hayo unayosema ulifanya na huyo kijana usimu record kweli?
@zebedayokatamaduni9676Ай бұрын
Puuzi tu
@CommentsplusАй бұрын
Hawajakutafuta umewatafuta waandishi
@tumainmkonyi8459Ай бұрын
Walimchafua tuu huyu mbunge aingiziwe chupa duh Mungu anamuona
@HafidhiSaidi-f3jАй бұрын
Sura yako kidogo inafanana na kikwete ila roho ni iddi amini kabisa
@EmanuelMbandiАй бұрын
Huyo kenge kaonekana
@HafidhiSaidi-f3jАй бұрын
Nani mwengine aliegundua kuwa huyu mama ana roho mbaya?
@JamalAbas-fe5djАй бұрын
Maona ulitaka kukimbia
@emilianapaskal7319Ай бұрын
Mmmh yaani mtu atumwe kwa siri Kuja kuomba kazi na asipopata atauwawa aje akwambie tuu kirahisi hivyo,uongo,uongoooooo
@Rm2024-x3dАй бұрын
Fala huyu mama kwani si nyie wa serikali hamuamini ushirikina? Mungu atakulipa kwa tendo ulilofanya na akulipe mapema tuone
@gracekagoma3231Ай бұрын
Huyo dada ni muongo ,tusimuamini Ni muongo anataka ubunge tu😮 N a sisi wajinga tutamchagua kutokana na ujinga wetu.😢😢Wale vijana ni masikini hawana haki.😢Achana na huyo dada .Ni muongo.😢😢
@daudymlauletv8489Ай бұрын
Huyu alifanya sema anataka kujisafisha
@officialkinghimself2637Ай бұрын
Hata sura ni mbaya na imejaaa uongo
@josephlorri431Ай бұрын
Acha kashfa.. ni uumbaji wa Mungu
@marrypius576Ай бұрын
Ni mzuri wew ndo mbaya
@Kabwela776Ай бұрын
Ni sura ya Mavi ya malaya wa kiiraqw hilo mama ni katili sana Samia ndio maana alimtumbua
@Msuya-w4vАй бұрын
Kwa maelezo tuu una note kitu hapo. Still bado ana kwere ya kibiashara
@josephjila957Ай бұрын
Mmmmh inasikitisha sana kwa kweli pole mh
@JamalAbas-fe5djАй бұрын
Bei gani imekutoka kujisafisha
@noelmasue9708Ай бұрын
Usimuukuumu mtu kwa muonekano lakini huyu du 😅
@FootballHM-r5tАй бұрын
Mbunge unakuwa na maelezo mengi kma hvi, ni ishara ya uongo,hakunaga maelezo kwenye ukweli
@zepinashatibu5149Ай бұрын
Hapo kashapoteza cheo yupo mpole alipo kuwa na cheo kikubwa alikuwa akiongea sauti ya juu
@daslamonline4665Ай бұрын
Mshangaz
@Mrmohadi.OFFICIALАй бұрын
😂 akuna kumchagua uyo
@MaryFlorence-t3mАй бұрын
Sinema hii tuipe jina gn
@ibrahimkibira9943Ай бұрын
Kipind cha karibu na uchaguz mtakuja kuongea kila kitu unaroho mbaya Kama sura yk … mtalipa kila kitu mlichowafanyia watu wanyonge. Ulikuwa wapi sikuzote???
@halimaali-n9uАй бұрын
Ndio mkorogo umedunda
@stanastana3199Ай бұрын
Sio muindi huyu?
@Mimi-wf7mbАй бұрын
Wambuli ndo sura na rangi zao. Hakuna mkorogo
@Kabwela776Ай бұрын
@@Mimi-wf7mbona mikono hiyo na machoni huyo malaya wa kiiraqw anapaka mkorogo
@HafidhiSaidi-f3jАй бұрын
Hapo alipomwambia 'unatuchelewesha tuambie ukweli' ndipo chupa zilipo tumika, huyo mama ni jini makata huyo
@collinsulomi1008Ай бұрын
Uchaguzi umekaribia, kujisafisha muhimu
@sekelajackob2905Ай бұрын
Wameanzaaa
@damariszuckschwert9489Ай бұрын
Kwanini bado yuko uraiani? Alitakiwa sjieleze haya akiwa lupango. Sheria za nchi siyo sheria za wote. Hata siwezi kutaka kuendelea kumsikiliza
@planethakunamatata5254Ай бұрын
Comments kibao zina viashiria vya chuki. Wengine mna chuki za kidini tu. Halafu we unaesema mkorogo inaonekana huwajui wambulu/waIraq wakoje. Huyu Pauline hyo ni rangi yake acha ushamba.
@bintmrisho3526Ай бұрын
Ao warabu ty wana rangi yao ya asili lakin wanajichubua
@halimamasai2234Ай бұрын
Wamburu wana rangi nyeupe nawajua vizuri sana tena ni warembo ila comment nyingi ni chuku tu na wivu lakini mungu anawaona We dad piga kazi We ni jembe achana na washamba
@bintmrisho3526Ай бұрын
@@halimamasai2234 Sawa wamburu ni weupe ila uyu mama kajiharibu umuon ana miwan kwa macho yake
@allyahahmed1091Ай бұрын
Kwaiyo hio mikono meusi huioni
@bintmrisho3526Ай бұрын
@allyahahmed1091 ndo hapo anajifanya haon
@elochoyakobo7809Ай бұрын
Uchaguzi unakaribia next year, wewe ni muuaji..ova!
@samiraabdimahamed4449Ай бұрын
Na ancheka kama mazuri, yaani washenzi hawa wanakula kodi za wanamchi alafu tena wanawadhulumu. Kwanza muone vile amejipaka mkorogo
@dhuhasaid-d2xАй бұрын
Mbunge wetu anaroho nzuri kwa sisi alie wahi kutusaidia muacheni kazin kuna fitna , majungu,chuki n kawaida
@MaedaMmАй бұрын
Kwenda ukalime tu wewe ni shetani tu nyoko wewe mjeuri wee mama mpaka mtaani kwako wanakujua
@DamianLucas-k2dАй бұрын
Alitaka awachanganye hakukuwa na baya sema yule dogo aliyekuwa anatafuta anabahati sana ndio maana walifanya hivyo ili wewe upanic umuondoe ila hapo yeye alikuja kufanya kazi tu Wala hakuwa na ubaya huyo aliyekuja kukwambia ndio mbaya tumia hakili kufumbua mafumbo
@HuseniMsumbaАй бұрын
DU! PAULINA PAULINA PAULINA NIMEKUOTA JINA LAKO MARA 3 MUOGOPE MUNGU,
@davidfidelis8595Ай бұрын
haiwezekani mtu aje kapewa masharti na boss wake mwingne afanye kazi kwako then unamuuliza nikipata kazi nitapewa masharti mengine alafu na ww umpokee umwajiri hii nikujisafisha tu
@noelbryson7840Ай бұрын
Unaomba Interview Siyo..?? Uwe umefanya Uwe hujafanya hii interview yako haitatusaidia chochote.. We kawatumikie wananchi wako wa Babati hizo ngonjera hazisaidii..
@Kabwela776Ай бұрын
Malaya wa kiiraqw katili hilo mama waulize wanaomjua Na kaka yake wana kiburi sana Na dharau huyo malaya eti anamtaja Mungu Mavi matupu
@Mjeda-q1mАй бұрын
Janja janja tuulishakamatika hutufai tena tafuta bwana uolewe mbwiga tuu
@Ajijji12Ай бұрын
Siwezi kutumia cheo changu kukuhujumu by the way uwezo huo ninao..... nitaondoka na kauli hiyo
@marrypius576Ай бұрын
Yes anao si nikiongozi hat shuleni ni hivy halipingiki hilo 😂😂😂
@mwaamwetahussain9947Ай бұрын
Huyu ni gaidi hata huo ubunge hafai kuwa
@josephmolleАй бұрын
Iyo ni kujisafisha tu ila mungu ndiyo muhukumu mama samia amefanya yake kukutengua 😢😢😢
@d15355Ай бұрын
Kwa kawaida vyeo vya kisiasa ukipatabkashfa yeyote inayoitaji uchunguzi ni Lazima uondolewe kupisha uchunguzi,ukiisha tunaweza kurejeshwa au ukaachwa,sio sawa na utumishi wa umma
@Rm2024-x3dАй бұрын
@d15355 wht do you think 😊
@NkwabiMasanjaАй бұрын
Mbwa huyoo twamjua xana
@MaedaMmАй бұрын
Hakuchagui mtu wala nini waite waandishi waje mtaani kwako waone unavyo ishi na majirani zako nyodo tu na zarau
@Rm2024-x3dАй бұрын
Kumbe ndio zake mbwa huyu msimchague
@Kabwela776Ай бұрын
Muuwaji huyo uchaguzi unakaribia anataka kujisafisha nitaona watu wa babati ni Mafala wakimchagua muuwaji huyo katili
@SimbaJumanneАй бұрын
HakunA mbuge hapoo jambazi tuu
@Boniphaceshayo5Ай бұрын
Kikubwa mungu alisimama na ww malengo yao hayakutimia kabisa hongera sana sasa wana babati tunakupa mitano tena ndo wapasuke kabisa 😂
@TimoclementАй бұрын
Mulokoz nafac Iko wazi 2025 chukua fomu .
@dailantz4073Ай бұрын
Kaonewa sana watu hapendi kisa utendaji wake wakazi mzuri sana nifatiliji sana mambo ya maendeleo na pia wapizani pamoja na watu fulani wene uchuna madalaka wamepambana nae sana ila wakaona dawa nikumchafua mbunge ili watowe kwene leli ila mama wawatu sibaya watu ndowa baya
@jimpazclimpaz1794Ай бұрын
Huyu Matako alimuuingizia kijana wa watu chupa matakoni mpk leo kijana wa watu ameathirika kisekolojia
@EmanuelMbandiАй бұрын
Ww inatakiwa uuwawe mshenzi mkubwa ww
@khalsasalim7930Ай бұрын
We listen but we not judge
@chemstry409Ай бұрын
Pure lies.......Shame on you..
@felixmsale9244Ай бұрын
Wewe ni muonho kabisa .unaonekana kabisa wewe ni myanyasaji kabisa.
@bintmrisho3526Ай бұрын
Haya maelezo ya uyu mbunge wala sijayaelewa yan mtu aje ajiseme kabisa nimekuja kuomba kazi ili nikuuwe mh we mama ni muongo niamemin ni kweli uliwafanyia hivyo vitu vijana kwa imani yako mwanyewe ya chuki za kibiashara yan maelezo yako ayaelweki kabisa
@bakermusa9033Ай бұрын
Hichi chama likija suala la tumbo ni life and death. Uchaguzi huo halaaaa.
@Janet560Ай бұрын
Kila mtu anakuchukia wewe kwa chuki binafsi how
@khalsasalim7930Ай бұрын
We listen but we not judge
@Kabwela776Ай бұрын
Muuwaji huyo uchaguzi unakaribia anataka kujisafisha nitaona watu wa babati ni Mafala wakimchagua muuwaji huyo katili